Rais Paul kagame hapa Rwanda amefanya maajabu, umeme vijijini, umenea sehemu zote, maji ndiyo hivo, usalama usiseme unaweza kutembea na begi la pesa hata, usiku wa saa sita za usiku, amegawia nkombe maskini, Rwanda yote hauwezi kuona nyuma ya nyasi, babala usisemi, matibabu kwa wote, na masomo kwa wote!!! Hapa Rwanda tunataka uongoze paka dakika za mwisho wake.