Тёмный

HOUSE GIRL EP 11|| love story💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 137 тыс.
Просмотров 208 тыс.
50% 1

#bongomovie

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 831   
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
WhatsApp group Busati tv 👇 chat.whatsapp.com/EXedjPddrA9C1XIkEg36JP
@millymaloba3194
@millymaloba3194 3 месяца назад
U peoples. Y can't you give us like 5 episode per day. Do u know....how u left us hanging up...giving our mind extra work of overthink what next...
@issaTyg
@issaTyg 3 месяца назад
Ahaa jaman kai kuendeshwa huko VIP badilishen picha kama hamuwez kuwa na mov menti
@franksabin7484
@franksabin7484 3 месяца назад
Jamn naomba like na mm ety
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 3 месяца назад
Nami nipeni like zangu jaman japo nimechelewa team strong mko wapi tujuane wale wa free WiFi 😂😂😂🇹🇿🔥
@rehemaruwa
@rehemaruwa 3 месяца назад
😂😂😂😂 kma nakuona vle
@zabeniramba
@zabeniramba 3 месяца назад
😅😅😅😅una mot ila wanatuchelewa saaan
@DanielaSanka
@DanielaSanka 3 месяца назад
😂😂😂🎉
@RejinaSilvesta
@RejinaSilvesta 3 месяца назад
Tupo wifii zabule kazi ndio balaa
@GfgGgh-v5z
@GfgGgh-v5z 3 месяца назад
@@rehemaruwa 😄😄🤭
@RichardMuteke
@RichardMuteke 3 месяца назад
Wewe kendi naku chukia mno wewe nizaidi ya chetani Ila namkubalizuu kama uko pamoja namimi leta like hapa
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
😭😭
@kashrajabu5744
@kashrajabu5744 Месяц назад
Kweli chetani ila Mimi nampenda sana kabeba uhalisia anafundisha waliokua km yy
@HafsatSeifissa-gy1we
@HafsatSeifissa-gy1we 26 дней назад
Ameitendea haki nafas ake
@jacklineshayo3962
@jacklineshayo3962 3 месяца назад
Jmn wanawake 2jifunze k2. Hat kam 2nawazarau wanaume ze2 bhas 2gombanie chumbani so kumvunjia mwanaume heshma mbel za wa2 mmmmhh. Mwnyz mung a2saidie sanah🎉.
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Inshaallah
@JophasbatoJophasbato
@JophasbatoJophasbato 3 месяца назад
Aha bola we umelijua ilo
@hlimaa5182
@hlimaa5182 3 месяца назад
Kai toka nianze kufatilia hii tanfilia leo nime toa tabasamu😊😊😊langu umeonesha kiume mbele ya Zuu na baba yetu yaani ulipo muasha kofi kendy nime furahi kupitiliza hongera sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
@mimahsavage-ju2xj
@mimahsavage-ju2xj 3 месяца назад
Nataman nimwambie anywe hat peps ya barid Alf bill ije kwang
@hlimaa5182
@hlimaa5182 3 месяца назад
@@mimahsavage-ju2xj 🤣🤣🤣🤣🤣
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Hivi Hii Team Strong imeanzia wapi? Mpo wapi Mimi nimeipenda wana sapot sanaakini sijui ilipo hii Team 😅😅😅😅 Mukuje hapa Team Strong
@fatumabakari2640
@fatumabakari2640 3 месяца назад
Team strong ipo Gulf 😂😂😂😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Ndio wapi
@AgnesMwende-p9w
@AgnesMwende-p9w 3 месяца назад
Team strong 💪💪💪💪💪 tuko gulf countries bwana
@AgnesMwende-p9w
@AgnesMwende-p9w 3 месяца назад
Kama Mimi nawangalia nikiwa Saudi Arabia and I'm from kenya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MutoniAnge-pt4eg
@MutoniAnge-pt4eg 3 месяца назад
​@@busatitvinchi zawa ugaibuni
@nurumgaya1620
@nurumgaya1620 3 месяца назад
Jaman niko hapa natumai cjachelewa sana team zuu mko wapi
@AdolphinaNgasa
@AdolphinaNgasa 3 месяца назад
Tupo apa
@AshaRubea-y9m
@AshaRubea-y9m 3 месяца назад
Tupo
@fatumabakari2640
@fatumabakari2640 3 месяца назад
Tuko hapa
@nurumgaya1620
@nurumgaya1620 3 месяца назад
Jamani team zuu naikubali sana
@nurumgaya1620
@nurumgaya1620 3 месяца назад
@@fatumabakari2640 jamani zuu nampenda
@LazarusMalya
@LazarusMalya 3 месяца назад
Baba. Mimi. Nataka. Like. Moja. Tu😅. Sio. Chakula. Ila. Burudan. ChaMuhimu. Ku enjoy. Pamoja. Moja. Tu. Ije. Moshi. Kibosho. Piwa 😊😊😊
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 3 месяца назад
Leo no 1 😢 si mnipe na Mimi likes hata mbili tu team strong mko wapi
@harveyindiana3787
@harveyindiana3787 3 месяца назад
tuko mpenzi
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 3 месяца назад
@@harveyindiana3787 nimefurahi sana kuwa pamoja nanyi
@ChristineKavoi-gm6uj
@ChristineKavoi-gm6uj 3 месяца назад
Tuko
@Hanan-bc6ps
@Hanan-bc6ps 3 месяца назад
Tupo bby
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 3 месяца назад
@@ChristineKavoi-gm6uj 🥰
@RamCharan-wk4qc
@RamCharan-wk4qc 3 месяца назад
Khai leo umenikosha sanah asee nimependa
@JumaAdamo-rz4ye
@JumaAdamo-rz4ye 3 месяца назад
Raha tu kutoka kwenu busata asante nawapenda sana.❤❤❤❤ Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿.
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Tunawapenda sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@LovelyCows-dq2uv
@LovelyCows-dq2uv 3 месяца назад
Kay kazi nzuri sana🎉🎉🎉🎉
@ShaltyOs
@ShaltyOs 3 месяца назад
Kai kazi poa hio
@LugomeRisasi
@LugomeRisasi 3 месяца назад
Wakwaza nipeni like zangu
@manaxelukama2926
@manaxelukama2926 3 месяца назад
Daaah wanangu kwa ndoa ya Kai kwa wale ambao Bado hatujaoa vip tuingie kwenye ndoa au kwenye ndoano😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Tafuteni Wanawake sahihi
@christinewangili
@christinewangili 3 месяца назад
SI watu mnafika mapema 🇱🇧🇱🇧🇰🇪🇰🇪🇱🇧
@kibibimlaula2526
@kibibimlaula2526 3 месяца назад
Wallah leo baba kasema uwa ni mpole kila kitu yuamezea lkn leo kendi kakanyaga pabaya😂😂
@Norah-dee
@Norah-dee 3 месяца назад
Jamna tang nianze kuomba like sijawahi pewa nalia mimi 🙈
@rahima3390
@rahima3390 3 месяца назад
😂😂mnakulag hizo like?mnanikwazaga hatari
@omarsaid_1607
@omarsaid_1607 3 месяца назад
Hebu lia nikuone😂
@afandekatana380
@afandekatana380 3 месяца назад
Umepata I hope sai
@MercyJackson-ep9wi
@MercyJackson-ep9wi 3 месяца назад
​@@afandekatana380lia nilkuon
@MashakaGimu
@MashakaGimu 3 месяца назад
Endelea kulia😅
@nurusaid4698
@nurusaid4698 3 месяца назад
Apo Kwenye Mavazi Mtu Na Mkewe Mkaba Chukueni Makopa Mumependeza ❤❤❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@AbrahmanSenzia
@AbrahmanSenzia 3 месяца назад
Hamja wai nipa like hata moja jmn naombeni basi😢
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 3 месяца назад
Kama unapenda inavyo wahi gonga like 😂😂😂
@LoveMikito
@LoveMikito 2 месяца назад
Umewai
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 2 месяца назад
@@LoveMikito 🤭🤭😁😁
@estherezzy136
@estherezzy136 3 месяца назад
Wow 👏 Kai leo kachangamka 🥰🥰🥰
@ZainabuHussein-w5i
@ZainabuHussein-w5i 3 месяца назад
Kwan izo like mnashiba ovyooooo
@Joyce-nt4rf
@Joyce-nt4rf 3 месяца назад
Mimi kutoka Saudi Arabia nimewaonya mambo ya kuomba likes bila kutoa maoni yeyote kwa waigizaji wa filamu mkome kabisa😂otherwise love everything about this series ❤❤❤🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
❤❤🙏🙏🙏🙏
@Joyce-nt4rf
@Joyce-nt4rf 3 месяца назад
@@busatitv good job keep shining bright your series is amazing and very interesting ❤️❤️🔥
@OttoNchimbi
@OttoNchimbi 3 месяца назад
Kweli wapo bize kuomba like
@SirvestaTz
@SirvestaTz 3 месяца назад
Kwakweli uyu ken anaboa sana Tena sana anakatisha tamaa wanawake
@JanethEmmanuel-mr5le
@JanethEmmanuel-mr5le 3 месяца назад
Kai washa Kofi uyo inaonekana ajafunzwa adabu candy tabia mbovuuu eshima una
@SheilaHasan-p3r
@SheilaHasan-p3r 3 месяца назад
Waaooh kai umekuwa shujaaa kweli
@sergenshimirimana-wf2uk
@sergenshimirimana-wf2uk 3 месяца назад
Mpo kwenye kazi kbs hamkawizi Good🎉🎉🎉🎉
@PapiaDeogratiusMpangaje
@PapiaDeogratiusMpangaje 3 месяца назад
movi nzuri sana inafundisha kweli kweli
@SibijaliLim
@SibijaliLim 3 месяца назад
Kai vip ebu funguka basi ujuwe mi unanikera wallah yani mi kama ivi mungu akunifikishiye hapa yan naweza nikakuchapa viboko kwakwel😢😢
@MaryamKhamis-w9s
@MaryamKhamis-w9s 3 месяца назад
Kawa zuzu mpaka anaboa 😢😢😢
@roseafrael75
@roseafrael75 3 месяца назад
Yani huyu Kai anafanya move inakuwa mbayaa maana hana maamuzi kama mwanaume
@MaryamKhamis-w9s
@MaryamKhamis-w9s 3 месяца назад
@@roseafrael75 umeonaeee
@bjayjahi1954
@bjayjahi1954 3 месяца назад
Yani kwel kabisaaa anaboa kiukwel
@bjayjahi1954
@bjayjahi1954 3 месяца назад
Naona hata inaboa haswa yani mwanaume anashindwa kuchukua maamuzi kama mwanaume.nmeboeka kwa ukwel yani nakosa hata nguvu yakuendelea nayo
@AishaHamisi-o6w
@AishaHamisi-o6w 3 месяца назад
Kai utaendewa kw mgang mungu akusaidie
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Tumuombee
@tobadinamhegele8055
@tobadinamhegele8055 3 месяца назад
Haaa Leo baba kawaka aiseee!!!
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Yani mmewachamba sana
@HasnaHasna-q5x
@HasnaHasna-q5x 3 месяца назад
ata sijui izo like mnazo omba mnazipeleka wp😂😂😂😂😂😂
@doroblessing3779
@doroblessing3779 3 месяца назад
Ndio nashindwa ata ,Tuko apa Kwa ajili ya kipindi Na wengi wetu wamesahau kipindi wako Kwa likes tu
@جاااحظمجنون
@جاااحظمجنون 3 месяца назад
Pongezi Kwa wote ❤❤❤❤❤❤ila candy Weeee
@AminaMohammed-u7j
@AminaMohammed-u7j 3 месяца назад
Hapa kai amekosa mwanamke jamn pole sana kaka
@MagegeSwaumu
@MagegeSwaumu 3 месяца назад
Waoooo ni.ewahi❤
@ShadyaSalum-mx5wo
@ShadyaSalum-mx5wo 3 месяца назад
Ananchkeasha candy macho km jini hvi 😂😂😂😂😂
@PudensianaVisenti-wr8pc
@PudensianaVisenti-wr8pc 3 месяца назад
Waooh kai leo nmefurah kwa kweli🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🥰🥰🥰
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 месяца назад
Kenndy ana vituko sanaa jmn
@gracenyevu8082
@gracenyevu8082 3 месяца назад
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
@RehemaNgumbao-f1s
@RehemaNgumbao-f1s 3 месяца назад
Wakwanza leo ❤❤❤ila kendi huna maana hata dakika😂😂bora ungezaliwa mkate ungeliwa kwa chai
@esterjuma827
@esterjuma827 3 месяца назад
Uo mkate huu ungekaba watu balaa😢
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
😂😂😂
@RehemaNgumbao-f1s
@RehemaNgumbao-f1s 3 месяца назад
@@aishaomar2287 🤣🤣🤣🤣
@LoveMwakanyika
@LoveMwakanyika 3 месяца назад
Leo nimewai nipeni like zangu
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@GermaineZabibh
@GermaineZabibh 3 месяца назад
Maajabu Leo nimeshangaa kbs maraba Kay amejisimama eko
@Mrsmick712
@Mrsmick712 3 месяца назад
Jamani like za kaka kai maana leo kajikaza kiume 😂
@zaitunimwandetele4400
@zaitunimwandetele4400 3 месяца назад
😂😂😂😂 nikajuwa nimewai bhana kumbe wa23 niliimic kweli nilikuwa naisubilia kwa ham❤❤🎉🎉🎉
@VeronicaDamas-in9yx
@VeronicaDamas-in9yx 3 месяца назад
Daaah! Baba mkwe leo kawaka aisee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aahdgd
@aahdgd 3 месяца назад
Kazi nzuri ❤❤❤
@JanetBange
@JanetBange 3 месяца назад
Huyo kend analoho mbaya na macho kaa jini
@SusanJulius-cu8xp4vx4m
@SusanJulius-cu8xp4vx4m 3 месяца назад
Exactly mm namchukia na inaonekana ndio uhalisia wake
@Alexismadimo
@Alexismadimo 3 месяца назад
Muvi tu​@@SusanJulius-cu8xp4vx4m
@Ngumukumezaaa
@Ngumukumezaaa 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂Leo Kai ameongea kama mwanaume hee ila candy 🍭🍭🍭
@renathakalamage4931
@renathakalamage4931 3 месяца назад
Safi sana kofi tamu sana uyo kendy anajiamin mno
@RamCharan-wk4qc
@RamCharan-wk4qc 3 месяца назад
Me enyewe nimependa
@Naaah-cc3kq
@Naaah-cc3kq 3 месяца назад
Nikajua nimekuwa wa kwanza 😂😂kumbe nimekuwa wa mwisho 😂😂😂kabisa
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 3 месяца назад
From 🇺🇸 Asante DJ
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sanaaaa Watu wa 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 Tunawapenda sana
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk 3 месяца назад
Kendi Hungekua Traffic Gari Za Dala Dala Zingekoma bt Ongerani Sana Muko Vizuri Lovely ❤❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@user-Ambani
@user-Ambani 3 месяца назад
Kendy😂😂 is a good actor 🎉🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Actress 🙌
@Alexismadimo
@Alexismadimo 3 месяца назад
Ko sio actor sio???
@Gertrude-m8h
@Gertrude-m8h 3 месяца назад
Napendaka vituko vya kend i jamanii🤣🤣🤣🥰🥰❤❤ nombeni like 🇱🇷🇱🇷
@Mado-p5n
@Mado-p5n 3 месяца назад
Léo Kaye omeongera kama mume
@Mado-p5n
@Mado-p5n 3 месяца назад
Kaye Léo nakukubali
@youngb8672
@youngb8672 3 месяца назад
Waooooooooooooo mmeanza na mda leo
@NaifatSaleh-yk5wo
@NaifatSaleh-yk5wo 3 месяца назад
Jmn nmechelewa leo 😂😂😂 ila leo kizur maan si kwa kibao kile hongera 👏👏👊
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 3 месяца назад
Candy sikupendi wew
@Jajakanjaniri
@Jajakanjaniri 3 месяца назад
Weye Mwanamuke Ongeye Porepore😮😮😮 Munguwangu Unamudomo🤔🤔 Tena Unapandisha Sauti Mbere Yababayako Mukwe😢😢 Haaàaaaaa Ni Balaaaaa 😊😊
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Daaah
@angelmauja1846
@angelmauja1846 3 месяца назад
Kama redio ya mbao
@SalomeJoseph-rw1cn
@SalomeJoseph-rw1cn 3 месяца назад
Saf sana Kay Leo umejua kunifurahisha baada ya kumzaba Kofi kendi 🥰🥰🥰
@BlessJames-p3t
@BlessJames-p3t 3 месяца назад
Wapili leo team strong mpo wapii
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Tupooo
@AhmedHamad-x4k
@AhmedHamad-x4k 3 месяца назад
Mm ndio maana napend kufatilia move za kai hachelewesh vizur sn mungu akuzidishie Barak
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana 🙏🙏
@ItangishakaClaudine-vc6xb
@ItangishakaClaudine-vc6xb 3 месяца назад
Waoooo cai Leo nimekupenda sn kwakibao ulichomupa candy😂😂
@raphaelvarane-rv9bv
@raphaelvarane-rv9bv 3 месяца назад
Uyu mwanaume Fala sana
@haluarahma3071
@haluarahma3071 3 месяца назад
Waaah...candy ni kiboko aki😅😅😅😅😅😅lkn Kay maamuzi unayo mwenyewe.
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Sanaa
@DamianoFisoo
@DamianoFisoo 3 месяца назад
Mnazingua kai yupo vizuri kwenye kimombo. Movie nzuriii zuu❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 3 месяца назад
Kaka Kai shukran, saan,muendelezo bass🎉🎉🎉❤❤
@ZeynaAnania
@ZeynaAnania 3 месяца назад
Kama kunawatu wanaishi maisha kama hii movie Allah awape wepesi jaman busati tv kupitia hii movie nimejifunza sana 😢😢 Nawapenda sana❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana Tunakupenda mnoooo
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 3 месяца назад
Kendi kama kendi huu🔥🔥🔥Kai senge hili kweli kiramba mchuzi polen San nilikushaur lkn usiende Kwa kina Kai ww 😂😂😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣
@reilaally5481
@reilaally5481 3 месяца назад
Kay are you chiziiiii 🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@sesiliahussein7774
@sesiliahussein7774 3 месяца назад
Leo kai umenifurahisha kwa hicho kibao
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 3 месяца назад
Story ni nzur ila kiingereza cha humu ndan😂😂😂 mie hoi
@FaridahFemy
@FaridahFemy 3 месяца назад
Momba nakukubali sana best
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏🙏
@salmahassan-e3b
@salmahassan-e3b 3 месяца назад
Umefanya vzl sana kumpiga move zenu zul sana zuu nakupenda
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 месяца назад
Wow sofy wangu mmpanzi jmn
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Sofi kafikiwa jamani
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 месяца назад
@@busatitv kafanyaje sofy karembo
@SophieFrank-fn2nj
@SophieFrank-fn2nj 3 месяца назад
Hivi mnaoombaga like mnapokeaga mshahara huku yutube nin isikut mnalipwa huku na hatujui mnaombaga like huku hovyo
@christinamgeni9228
@christinamgeni9228 3 месяца назад
Mim mwenyew nataka kujuwaa
@Tunusugar
@Tunusugar 3 месяца назад
😂😂😂😂ila kilamba na mke wake wanajuana
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
@noorakoom1687
@noorakoom1687 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣mwanamke huyu shetani kwa kweli
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 3 месяца назад
Kai Kai Kai unaelekea pabaya na huyo jini wako amka ww usiingie kwenye matatizo mambo hayo ya waganga hayo
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
@walteradera4336
@walteradera4336 3 месяца назад
Wa kwanza leo
@marymarwa9107
@marymarwa9107 3 месяца назад
Mko vzur hamjawahi kuchelewesha kazi mnafanya vizur sana🥰🥰🥰
@FazilimariamMariam
@FazilimariamMariam 3 месяца назад
Ky asante Kwagisi ulivio mpakofi
@victorassenga
@victorassenga 3 месяца назад
Zuu ondoka acha kujilizaliza kazi unaweza enda kwa dada ako akupee boss mpya achan na hyo kisirani
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 3 месяца назад
Mbn huyo candy n mbaya Alf nyondo nyngiiii duuuh, angekuwa mnzr cjuwii
@Rahmaomarymangosongo
@Rahmaomarymangosongo 3 месяца назад
Jaman ii kal sanaaaaaaaa mdada ana roho ngumu iv
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 3 месяца назад
Mashallah ❤mungu abaliki sana kazi zenu
@PrinceKenge-rq5ur
@PrinceKenge-rq5ur 3 месяца назад
Kai iyi rôle Yako ah ah inakera sana
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
@PrinceKenge-rq5ur
@PrinceKenge-rq5ur 3 месяца назад
Ah bro stuka Kaka , unanifanya nishinde kwangaliya wakati mwengine, nasikiya vibaya kama ni pige m'y smartphone Samsung Galaxy chini
@bennamush4616
@bennamush4616 3 месяца назад
Pongezi nyingi kwenu mpo fasta sana 🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Umeona eeeh
@AngelBoniface-oe8ug
@AngelBoniface-oe8ug 3 месяца назад
Kai ananikera mwenzenu mwanamke anampanda sana kichwani yupo kama fala
@Martha-gs3in
@Martha-gs3in 3 месяца назад
Itakua kalogwa 😅😅😅😅😅
@AngelBoniface-oe8ug
@AngelBoniface-oe8ug 3 месяца назад
@@Martha-gs3in we acha tu anakera
@oswardjaphal-cd6np
@oswardjaphal-cd6np 3 месяца назад
Wanaume tujipe hongela sana.
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana 🙏🙏
@BarakaAbedi-ne7pi
@BarakaAbedi-ne7pi 3 месяца назад
Kazi mzuli bro hongereni 🎉🎉🎉🎉🎉
@LatifaMohammed-p4k
@LatifaMohammed-p4k 3 месяца назад
Nani kaona kuwapa la kai😅😅😅
@افلينافلين-ي9ك
@افلينافلين-ي9ك 3 месяца назад
Walio ngonja iyi siku. Ya kiramba na familia yake kwenda kwa kay. Tujuwane. Maana nilikua natamani kuona. Candy kisi atavyo wapokea😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@AlenLasway
@AlenLasway 3 месяца назад
Leo wakwanzaa 😂
@ManikManik-nd2kz
@ManikManik-nd2kz 3 месяца назад
Wangapi tunafatilia team strong 😂😂😂😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@ميريم-ط1س
@ميريم-ط1س 3 месяца назад
Ila huyu bwana anaibu kwel muache mkeo akunywe juice kwa raha zake❤😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@francosemmy
@francosemmy 3 месяца назад
Huyo cay ananiumiza natamani amchape makofi Candy na awe mkali pia
@DaisyNyabuto
@DaisyNyabuto 3 месяца назад
Yeyote anayechelewa naomba Moja like Moja tu❤❤
@nancyg8664
@nancyg8664 3 месяца назад
😂😂😂kai baada ya kuchambwa na wananchi umebadilika leo umetufurahisha kiasi😂😂
@SwaleheMsangi-qn2ww
@SwaleheMsangi-qn2ww 3 месяца назад
Wa kwanza hata like 5 t
Далее
HOUSE GIRL  EP 12 || love story💞💕
21:35
Просмотров 198 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/44/ #love
20:05
Просмотров 395 тыс.
Учёные из Тринидад и Тобаго
00:23
HOUSE GIRL EP 19 | S3 | Love Story 💕💞
24:17
Просмотров 8 тыс.
THE HOUSE GIRL   EP - 2
12:45
Просмотров 2,7 тыс.
KAPUNI episode 01
6:24
Просмотров 95 тыс.
HOUSE GIRL  EP 13 || love story💞💕
20:14
Просмотров 185 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [48]
22:36
Просмотров 90 тыс.