Тёмный

HOUSE GIRL EP 12 || love story💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 137 тыс.
Просмотров 199 тыс.
50% 1

#bongomovie

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 869   
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Filam yetu nyingine yenye maadili 👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-TDtLuN3wXRk.htmlsi=38NFMM4a3iDRCcC2
@Rachael-n6h
@Rachael-n6h 3 месяца назад
😂
@mahfudhnassor7398
@mahfudhnassor7398 3 месяца назад
Mamb ni moto jamaniiii
@FATMARAHMARahma
@FATMARAHMARahma 3 месяца назад
Haya huna wewe
@ramadhanishabiru5474
@ramadhanishabiru5474 3 месяца назад
Mjitahid kushuti video quality
@estermpare4078
@estermpare4078 3 месяца назад
Nyiee waomba like !! Muachegee usenge na utotoo hebu toeni sifaa au maoni au madhaifu ktk move kwa waigizajii achenii ujingaa !! Aah nani mwingine nae anakereka na hii tabia ya waomba like😅😊😮😊😟😟😟
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣🙌🙌
@zahraali5113
@zahraali5113 3 месяца назад
Sijui wanafanyia nini 😂😂😂😂 wanakeraaa ile mbaya
@ramadhaniabdulabdul
@ramadhaniabdulabdul 3 месяца назад
Mimi hapa yaani ni washenzi kabisa
@estermpare4078
@estermpare4078 3 месяца назад
@@zahraali5113 saaanaa natamani ata wangekuwa wanafungiwa comment zao alf zile za maana ziachwee
@NisileMwakisilwa
@NisileMwakisilwa 3 месяца назад
Kai ndo anaferi lakn piaa candy anazingua adi kwa mkwe nako anaharibu
@WinfridaMgaya-mg2ed
@WinfridaMgaya-mg2ed 3 месяца назад
Kai chukua maamuzi kha kichwa cha familia Bhan ila anyway kwa wenye tunakubali zuuh na bamkwe gonga like❤❤❤❤
@VeronicaCharles-l2k
@VeronicaCharles-l2k 3 месяца назад
@sadequeentyra8513
@sadequeentyra8513 3 месяца назад
Wanawo penda house girl gonga like apa🎉🎉
@haluarahma3071
@haluarahma3071 3 месяца назад
Napenda hii familia ya mpumbavu mwenzangu iko poaaa❤❤❤❤from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰🥰💋💋💋
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Wengine wanaiponda daah
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 3 месяца назад
Iko poa sana sema wapunguze kuongea sana na pia mnawapa mda mrefu sana wao ila wako vizuri
@RachelNgalya
@RachelNgalya 3 месяца назад
​@@busatitvkikubwa unapokea ushauri na kuchanganya na akili zako wasikusumbue Dr WAtu hawaridhiki 😊😊
@Glorian-iv6xz
@Glorian-iv6xz 3 месяца назад
Wenye tubamkabali zuu na bamkwe tujuane kwa likes jamani nawapenda sana team 💪hoyeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Oyeee
@AsnaT-bn6cr
@AsnaT-bn6cr 3 месяца назад
Nameless zuu na baba mkwe
@DanilovianaViana
@DanilovianaViana 3 месяца назад
Tupo my usijali 🎉🎉❤
@NasraLiana-vw8kp
@NasraLiana-vw8kp 3 месяца назад
Am here again congratulations
@mwanamisimwapula8392
@mwanamisimwapula8392 3 месяца назад
Mtoto mashallah
@sadahamad6158
@sadahamad6158 3 месяца назад
Wow kazi nzuri hii movie nimeipenda 💐💐💐💐 dada wa kazi anastahili kuwa mama mwenye nyumba kweli
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana 🙏🙏
@SheilaErasto
@SheilaErasto 3 месяца назад
Kai safi sana umeanza kuonyesha msimamo hii nimependa Hongereni sana ila huyo rafiki Kai anaongea sana movie inakua inaboa mpk ikifika kipande chake inatulazimu kupeleka movie mbele ila wengine wote mmetisha sana movie nzuri sana
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@Nelly-s3h
@Nelly-s3h 3 месяца назад
Kwa kweli apunguze alafu awe serious pamoja na mkewe yani itabamba zaidi kuliko anavyoongea sana anaharibu tofauti na hapo hakuna kingine movie nzuri
@ferouzibrahim
@ferouzibrahim 3 месяца назад
Duh sio peke angu nnapeleka mbele vipande vya uyo jamaa
@OueenCynthia
@OueenCynthia 2 месяца назад
Kabx anawongea sana
@AliDerya-z2d
@AliDerya-z2d Месяц назад
Uongo rafikiyako Kai ananogesha
@HawaBeka-t4c
@HawaBeka-t4c 3 месяца назад
Napend sana milivyo igiza hii movie❤🎉 vipenz vyangu
@DamianoFisoo
@DamianoFisoo 3 месяца назад
Ni nzurii cnaa bt is too short. Zuu anaigiza kwa hisia cnaa, familia ya wapumbavu inavutia cnaa p1 na mihogo bado Wana enjoy life
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏🙏
@SitiSaid-ol9rm
@SitiSaid-ol9rm 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 3 месяца назад
Nani anapenda inavyo wahi gonga like 😂😂😂😂
@estermpare4078
@estermpare4078 3 месяца назад
.me napenda
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Imetosha sana
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 3 месяца назад
@@busatitv God bless all family ❤️🥰
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 3 месяца назад
@@estermpare4078 WOW tupo pamoja udugu wangu
@samiahsalum3464
@samiahsalum3464 3 месяца назад
yaan hamjui tu navofurah kuion hii movie mapema aiiii wapi BUSATITV ❤
@mwanaidimjeni1034
@mwanaidimjeni1034 3 месяца назад
Nani amependa venye kilamba amempa Kay makavu ake😂😂😂
@GladysKazungu
@GladysKazungu 3 месяца назад
Ak mpumbuvu mwenzangu na mkeo mwanifraisha😂😂😂nawapenda ❤❤saana
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
😍😍🥰🥰🌹🌹🌹
@BINTJUMAIbrahimu
@BINTJUMAIbrahimu 3 месяца назад
Tanaye mpenda zuuh gongeni like apa bs🙌❤️🥰
@YoungSele-c3g
@YoungSele-c3g 3 месяца назад
❤❤❤
@raheemaaaaa3156
@raheemaaaaa3156 2 месяца назад
❤❤❤❤🎉🎉
@mohaamswaki6139
@mohaamswaki6139 3 месяца назад
Yaan inabamba sana kwa vyenye inawahi aisee love sana boy from kenya hapa
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana mkuu 🙏
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 3 месяца назад
Team strong mko wapi 😢 jaman njoo tutiane moyo jaman ❤❤
@KhadijaSalim-jx5gd
@KhadijaSalim-jx5gd 3 месяца назад
Tupo my Alhamdulilah Allah azid kutupa wepes wa safar yetu❤
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 3 месяца назад
❤❤❤❤❤
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 3 месяца назад
@@KhadijaSalim-jx5gd Alhamdullilah nafurahi kusikia hivo
@HidayaMbodze
@HidayaMbodze 3 месяца назад
​@@KhadijaSalim-jx5gdtupo tukienjoy tu Ila mzee baba kai anakera☺☺
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi 3 месяца назад
Amiin thumma Amiin kipenzi 🤲​@@KhadijaSalim-jx5gd
@ornellaniyongabire4487
@ornellaniyongabire4487 3 месяца назад
Mbona leo mapema sana aisee basi munip like❤❤
@MussaJoseph-ji2ie
@MussaJoseph-ji2ie 3 месяца назад
Maan tumeisubir kwa ham san wamefanya vizur kutuma mapem
@MariamAlly-xw6ms
@MariamAlly-xw6ms 3 месяца назад
Daa nmpend zuu ❤❤
@sumaidazuraiyh
@sumaidazuraiyh 3 месяца назад
muvi tam sana muwe ata mnatoa vipande ata3 kwasiku kama inawezekana jamn wapenz et❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🥰🥰🥰
@floralucas4289
@floralucas4289 3 месяца назад
Jamani Leo nimewah like ata moja
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Pokea maua ya koo💕💕🌹
@CharlesMassanja
@CharlesMassanja 3 месяца назад
Mmhh
@dianaqueen7967
@dianaqueen7967 3 месяца назад
Wa kwanza from Kenya...naomba likes leo jamani❤
@Lilian-wc4zs
@Lilian-wc4zs 3 месяца назад
Kenya hawaombi like huenda Kenya nmgeni ww😂😂😂😂😂
@Wilb-v9g
@Wilb-v9g 3 месяца назад
Weee komaa kenya gani io naomba like naomba like kuzipeleka wapi haswa acheni ufala na likes
@ERICKOTIENO-jz4su
@ERICKOTIENO-jz4su 3 месяца назад
Mmmh movie yenu iko poa ila nkitoka sifa n kuwa Zuu ni mwenye bidii anafanya bidii Kwa hayo yote anayefanywa hufanyiwa katika hiyo nyumba na BDO anazidi kuvumilia ❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Umeona eeeh
@MillyMjeni
@MillyMjeni 3 месяца назад
Candy ni mzuri sema tu ndo ivo ,alafu siku zote mpole ndo anaangukia pabaya pole Kaka Kai ujumbe mzuri sana huuu😂😂😂😂😂😂😂
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏🙏
@MariaSshilla
@MariaSshilla 3 месяца назад
Kai naye anakera kila siku eti kafukuzwa kaz
@Jajakanjaniri
@Jajakanjaniri 3 месяца назад
Wew Kaka Funguwa Maco Uone Mbali Kama Babayako ❤❤❤❤ Cukuwa Zuuu 🇧🇮🇧🇮 Ira Hiyi Family Yingine. Nayipenda Bure 😂😂😂😂🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@maria5514-u2g
@maria5514-u2g 3 месяца назад
Watu wanapenda muonekano bna
@NisileMwakisilwa
@NisileMwakisilwa 3 месяца назад
Watu wengi wanapenda rangi so tabia
@JohnasRenatus
@JohnasRenatus 3 месяца назад
Movie Kali sana pongezi kwenu nyoote
@CharoJohnson
@CharoJohnson 3 месяца назад
Dada wa kazi mamaa mwenye nyumba mtarajiwa maua kwakk kipenzi❤❤❤❤🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
❤❤
@Frankmwinuka
@Frankmwinuka 3 месяца назад
Wapumbavu wawili mungu awapendelee furaha
@AlylenShitamu-tc2ng
@AlylenShitamu-tc2ng 3 месяца назад
Waaauuu ni tamu sana ila hawa wegine wanaongea sana hdi mda inaisha jamani
@LucyAllucy
@LucyAllucy 3 месяца назад
Busat 👌👌👌♥️♥️♥️ from Iringa elimu nzuri sana mm najifunza mengi sana na nipo kwenye ndoa kweli nafrahi sana najengwa na mengine ambayo nilikuwa siyafahamu ♥️♥️🙌🙌💋
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana natumahi unawapenda Wakwe zako
@ElidaMwandupe
@ElidaMwandupe 3 месяца назад
Kweli ata mm Bado sijaingia kwenyendoa ila najifunza kitu yan 6:49
@YusufOmary-c8c
@YusufOmary-c8c 3 месяца назад
Vizuri sana kazi nzuri sema simpendi kendi halafu kai un tuangusha wanaume bwana aaaa
@lailatbakar5829
@lailatbakar5829 3 месяца назад
Vyengine havisemeki jamanii...
@FarhatHamad-v3s
@FarhatHamad-v3s 3 месяца назад
Mdada wa kaz ndio maan mnyenyekevu analinda kibarua,ila akiwa mama mwnyew nyumba si rahis kuja wagen akawapigia goti ata sik moj
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣
@everlinekenga437
@everlinekenga437 3 месяца назад
Team strong tujuane tulikuwa tumesafir kwenda bet mama bt sahii niko❤❤❤
@FatmaMama-qq7ye
@FatmaMama-qq7ye 3 месяца назад
Zuuu amelelewa,akafunzwa,achana na hicho kikaragosi candy
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 3 месяца назад
Wewe tena😅😅😅
@NajmahBebbsy-uw5iz
@NajmahBebbsy-uw5iz 3 месяца назад
Kai oa zuuu bana❤❤❤❤pich itazid kua tamu dza halua
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
@briyanna8139
@briyanna8139 3 месяца назад
Familia yakilamba adi raha yan hawana unafik apoapo yan🤣🤣🤣
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 месяца назад
Nami leo nimewahi nipeni liké alafu tujuwane🎉🎉🎉🎉🎉
@JoselineJuma-r7o
@JoselineJuma-r7o 3 месяца назад
Mm naomba sana Zuu ukubali kuwa mke wa Kai
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Weee
@gladnessmichael2459
@gladnessmichael2459 3 месяца назад
Sijawah ata sku 1 kuwah Leo nimejitahid like ata 2 tuu😅
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 3 месяца назад
Dakk jaman Jaman, muongeze hata kdg
@rukcabby2572
@rukcabby2572 3 месяца назад
Akh
@antonynyanje4838
@antonynyanje4838 3 месяца назад
sasa imeishia hapa,mbna hakuna episode 13
@rukcabby2572
@rukcabby2572 3 месяца назад
@@antonynyanje4838 Kwan imeisha ss tutaelewa aje kuwa ndo alimuoa Zuri ama
@happinessndossa4544
@happinessndossa4544 3 месяца назад
Kwakweli jaman uwiii
@VeronicaDamas-in9yx
@VeronicaDamas-in9yx 3 месяца назад
Waoo! Kazi nzuri mbarikiwe❤❤❤❤
@Miriamerasmas-rk7nz
@Miriamerasmas-rk7nz 3 месяца назад
Jmn Mimi kil CK nachelewa naombeni at like tu na Mimi niwe na aman
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 3 месяца назад
Mbona leo sije lala nimesinzia nikingoja house girl na hamnipei like😢😢mnipe ata mbili pls
@Nailaty564
@Nailaty564 3 месяца назад
Kai sio mzima kichwani shabiki zake tumfanyie maombi
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 3 месяца назад
😂😂😂😂😂anahitaji maombi kweli
@AliceBensoni
@AliceBensoni 3 месяца назад
Eeh leo wa 1 mimi jmn
@FlFaustin
@FlFaustin 3 месяца назад
Yaani mko n'a kazi mzuri sana kwanza niwapongeze mnawahi sana
@EsterJaydan
@EsterJaydan 3 месяца назад
Oyoooooooo mekua wakwanza leo
@Belysemuhoza
@Belysemuhoza 3 месяца назад
Nimekuwa wakwanza 💪
@RemegieNdihokubwayo
@RemegieNdihokubwayo 3 месяца назад
Nipeni like zanngu bwana wa kwanza leo😂
@HawaBeka-t4c
@HawaBeka-t4c 3 месяца назад
😂😂 nimefurah sana Hawa kutoka Zanzibar
@Greysoniadiliii
@Greysoniadiliii 3 месяца назад
From Tanzania nilikuwa naombeni like jamani🙏
@VIPBOYS123.4
@VIPBOYS123.4 3 месяца назад
Huyu mke ni wakufukuzwa au niwakufunzdwa au yuataka katambe alanie mangumi na mambao mengimengi 😅
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
@madamuvictory7296
@madamuvictory7296 3 месяца назад
Fukuza kunguru
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 3 месяца назад
Kumekucha tena kwa kai np hap mwan kutoka oman 🇴🇲 waif za bure za warabu za bure hadi raha karibu san mashagala wezangu tujuwane bas maneno kutuu kiramba mchuzi kai senge kweli sijui lapewa nn hili kai we wako somy wap somy ❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Wifi kachafukwaaaaaa
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 3 месяца назад
@@busatitv namuona
@BabyeSaumu
@BabyeSaumu 3 месяца назад
Kai nawe una kera..kafukuzwa kazi kafukuzwa kazi..kafukuzwa kazi hiyo kwio..usipo funguka macho utaletewa mume mwenzio , kwenye nyumba yako, kwenye kitanda chako..ndio utajua hujui..
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Balaa
@BintiAmina-kh9oh
@BintiAmina-kh9oh 3 месяца назад
Wakwanza leo nipeni likes hatamoja
@MariamAbdubadi
@MariamAbdubadi 3 месяца назад
Napenda sana movies zenu na hamcheleweshagi episode ❤
@eunice1808
@eunice1808 3 месяца назад
Leo nimejaribu maua yangu please 🎉😂
@Myboy_1032
@Myboy_1032 3 месяца назад
Waoooo hongera kwa kazi nzuri nawapenda Sana 👏👏👏👏👏
@MariamCosmas-lu3yl
@MariamCosmas-lu3yl 3 месяца назад
Wanakaa nzuri pia hazichelewi asse mnatupa lah
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana 🙏🙏
@PudensianaVisenti-wr8pc
@PudensianaVisenti-wr8pc 3 месяца назад
Yan kila kitu unasingizia kaz kwa hyo tukifikuzwa kaz ndo tujibu watu ovyo
@fatumabakari2640
@fatumabakari2640 3 месяца назад
😂😂😂
@FaridahFemy
@FaridahFemy 3 месяца назад
Wakwanza leo
@lulupeter-xf9gs
@lulupeter-xf9gs 3 месяца назад
Nilikuwa naisubiri Kwa hamu jamani, naangalia kutoka moro tz gonga like hapa kama unamkubali zuly❤❤❤.
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Umetisha
@MuniraHassan-v7f
@MuniraHassan-v7f 3 месяца назад
❤❤❤
@NuruAli-ip9wn
@NuruAli-ip9wn 3 месяца назад
Mlio wahi wote hamjaona kitu jamani kama nilivyoona mm hizo dakika kutoka 14 mpaka 21 ❤❤❤ kazi nzuri kaka
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
Ila bibi ya kilamba kweli hakua na mpango na juice 😂😂😂 alafu kilamba sasa alivyofanya 🙌...tamthilia nzuriiii🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
😀😀
@emmyabely8791
@emmyabely8791 3 месяца назад
Mimi sio mwanaume ila hapa Kai umezingua sana,yani kama umeolewa wewe na huja owaa Bado kuvishwa dera tu🤣🤣🤣🤣
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣🤣 anazingua eeh
@emmyabely8791
@emmyabely8791 3 месяца назад
@@busatitv Anashidwa kutoa maamzi sahihi Yeye ni baba wa familia ila mke ndo anaongoza ndoa na sio yeye
@GetrudLyaizer
@GetrudLyaizer 3 месяца назад
Zuuuuh wew ni mwanamke na ngai
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 3 месяца назад
Hivi nani hanatamani candy haone ananyanyasika na yeye wanaotamani waje apa na Like ❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏
@Lucy-v3y
@Lucy-v3y 3 месяца назад
Mmetisha waingizaji leo naikubali hii movi
@raineryponera3278
@raineryponera3278 3 месяца назад
Kuwapenda busati ndo kitu najua💚💚💚
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Tunakupenda mnooooo
@ShamteTindwa
@ShamteTindwa 3 месяца назад
❤ good job wa kwanza leo
@sarahdismas9959
@sarahdismas9959 3 месяца назад
Bwana like like zenu zinatukera wengine mnaomba like nani awapeee😮😮
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
❤❤
@PudensianaVisenti-wr8pc
@PudensianaVisenti-wr8pc 3 месяца назад
First one
@CatherineSitati
@CatherineSitati 3 месяца назад
Kazi ngani hii Kai husema mke wake alifutwa
@HamisiMbwana-vo7ny
@HamisiMbwana-vo7ny 3 месяца назад
Watu ontime sio powa..😮😮
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 3 месяца назад
Kai! Munaji tahidi kuahisha irakingine mjitahidi kutoa Muvi ndevu tunawa ftilia malakwa mara From Burundi Ahsante
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@hellenpeter3088
@hellenpeter3088 3 месяца назад
Hii move inafundisha sana halafu mnajitahidi kuleta Kwa wakati 👌
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏
@jaliamartinz
@jaliamartinz 3 месяца назад
Eid Mubarak to everyone, jamani ❤❤❤❤much love from Uganda 🇺🇬 watching from Saudi Arabia 🇸🇦 ❤️
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 3 месяца назад
Kilamba mbn km comedian km vile hayuko serious
@elviskeiza6136
@elviskeiza6136 3 месяца назад
Wa 308 angalau likes 10
@AsiaAbubakary-hm6ig
@AsiaAbubakary-hm6ig 2 месяца назад
10 zimetimia usiombe zngne
@hlimaa5182
@hlimaa5182 3 месяца назад
Hata kama kila siku niwa Mwisho lakini kiramba na mkeo akili zenu moja😂😂😂😂 nawapenda kwaajili ya Allah busati❤❤❤❤
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
❤❤❤
@Frola-r9z
@Frola-r9z 5 дней назад
😅😅😅kabisa
@aishaomar9621
@aishaomar9621 3 месяца назад
Nyie muache ubaguzi mnipe like hata mimi mwenzenu😂 candy umenishinda tabia mwaya si kwa ukosefu wa adabu huo😢
@CharlesMassanja
@CharlesMassanja 3 месяца назад
Yann
@jackilinekaini8744
@jackilinekaini8744 3 месяца назад
Tunawapenda Sana ❤❤
@ErickKivuyo-qc4gz
@ErickKivuyo-qc4gz 3 месяца назад
Mke wa boss badilika make umetisha
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏
@JeniferMinja
@JeniferMinja 3 месяца назад
Ko Kila baya la mke wa Kai mume anamtetea kafukuzwa kaz hahahahhhaha
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Noma sana
@LovenessVeronica
@LovenessVeronica 3 месяца назад
Nawakubali sana mungu awalinde nawapenda sana zuu kipenzi tunakupenda wengi ssna
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante Asante🙏
@ZainabuHussein-w5i
@ZainabuHussein-w5i 3 месяца назад
Aweeeeee
@JenifaJairo
@JenifaJairo 3 месяца назад
Mko vizuri kwakweli Bado epsd 16 Ongern sana
@LuciaBukula
@LuciaBukula 3 месяца назад
Nimeigoja mpaka basi
@NeliaDaniel-h9s
@NeliaDaniel-h9s 3 месяца назад
jamani kamda basi ongezeni pia hongereni kwa kazi nzuri
@AtiAlsarsi
@AtiAlsarsi 3 месяца назад
Zuuu usijali Mungu atakutiia nguvu Mungu hawezi kuacha pambana tu zuu masikini hana cheo siku zote
@FATMARAHMARahma
@FATMARAHMARahma 3 месяца назад
Shikamo zuu and ba mkwe uyo mume kandy mbona kazi unayo utajuta usipo auma mpema🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤
@OmariIddy-hg4fl
@OmariIddy-hg4fl Месяц назад
Naomba nijuwe jamani. Ivi like inasaindiyaka nini? Naomba munieleweshe bs
@IshmaelOkongo
@IshmaelOkongo 3 месяца назад
Kai venye marafiki zako wanakwambia zuuu ndio mwanamke mzuri mwenye tabia nzuri
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
Asante sana🙏
@TiffanaOsama
@TiffanaOsama Месяц назад
Dhu movie tam sana ina mafunzo mmetisha sana sema uyo kendy Angekua ivyo kweli angekufa bila ndoa make kila ndoa angeachika lakini pia kai Acha upumbafu chukua goma ilo
@TatuHaji-zh4lh
@TatuHaji-zh4lh 3 месяца назад
Ahsante tupo sipitwi
@gabrielmichael4815
@gabrielmichael4815 Месяц назад
Nyie wajombaa hii movie wamechezaaa kilamba vs Mrs congratulations 🎉🎉🎉🎉of them 🎉🎉🎉 we are appreciates All 🎉🎉🎉🎉
@MawazoJustin-fw2ws
@MawazoJustin-fw2ws 3 месяца назад
Wakwanza jamani nawapenda sana amugawizi kbs napenda kweli❤❤❤❤❤
@nadzuwazidi
@nadzuwazidi 3 месяца назад
Kai kakangu chukua uamuzi wa familia mm pia nakubaliana na dada zuu nikiwa Kenya🇰🇪 in Saudi 🇸🇦🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🙏🙏
@PudensianaVisenti-wr8pc
@PudensianaVisenti-wr8pc 3 месяца назад
Hahah Kila mtu wa kwanza ahyaa 😢
@estherezzy136
@estherezzy136 3 месяца назад
Wow❤🎉🎉❤❤🎉🎉❤🎉
@latifakijuba3874
@latifakijuba3874 3 месяца назад
Kai anaboa ata kuangalia uvivu Mwanaume gan huna maamuzi
@busatitv
@busatitv 3 месяца назад
🤣🤣
Далее
HOUSE GIRL EP 13 || SEASON 2 || Love Story💕💕
20:34
HOUSE GIRL  EP 13 || love story💞💕
20:14
Просмотров 185 тыс.
КОГДА НАКРОШИЛ НА ПОЛ #shorts
00:19
Living life on the edge 😳 #wrc
00:17
Просмотров 5 млн
БАГ ЕЩЕ РАБОТАЕТ?
00:26
Просмотров 236 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [48]
22:36
Просмотров 91 тыс.
NDOTO YANGU. EP1
16:39
Просмотров 5 тыс.
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
Просмотров 5 млн
SNAKE BOY ( 1-5 )
55:00
Просмотров 704 тыс.
HOUSE GIRL EP 19 | S3 | Love Story 💕💞
24:17
Просмотров 9 тыс.
MSAKO | FULL MOVIE |
1:08:44
Просмотров 187 тыс.
КОГДА НАКРОШИЛ НА ПОЛ #shorts
00:19