Тёмный

HOUSE GIRL EP 13 || SEASON 2 || Love Story💕💕 

BUSATI TV
Подписаться 137 тыс.
Просмотров 132 тыс.
50% 1

Кино

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 686   
@EfkiMichael
@EfkiMichael Месяц назад
Wanao tamani mama Tasha ajuwe tabia ya Samia ilivo mbaya ,gonga like apa
@MarryClavery
@MarryClavery Месяц назад
❤😂
@happinessjuma177
@happinessjuma177 Месяц назад
Leo nimewahi
@ZenaMussa-gf3vy
@ZenaMussa-gf3vy Месяц назад
Mama tasha anabugi sana kumuamini mt arie muona kwasiku chache daaaa inasikitisha
@Sumayaq7i
@Sumayaq7i Месяц назад
Tasha ira Kai Ari mwambia
@MillyMjeni
@MillyMjeni Месяц назад
Tukome tumechange mwaya😢😂😂
@saverinabaitwa
@saverinabaitwa Месяц назад
Wanaoamini mama Tasha ajue tabia halisi ya Sania gonga like apa
@ceciliawilly8573
@ceciliawilly8573 Месяц назад
Sifurahii sania akiolewa na Mr tasha,naomba zatiti aolewa na tasha
@MwanakomboHassan-kp8vy
@MwanakomboHassan-kp8vy Месяц назад
Hilo ndo neno
@ShukuraniPeter
@ShukuraniPeter Месяц назад
Kweli sana
@SiseraDonasiano
@SiseraDonasiano Месяц назад
Jaman zatiti apewe maua yake ya kiuongo uongo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅
@Lucy-g5v
@Lucy-g5v Месяц назад
Mm nataka tu nione tasha n zatiti wakiwa pamoja kama unakubaliana n mm nipe like basi
@ApolinaMwitenda
@ApolinaMwitenda Месяц назад
You ❤❤❤❤❤❤❤
@NuruIbrahim-ue1if
@NuruIbrahim-ue1if Месяц назад
Wakwa leo wale wanao sema tasha amuoe zatiti like hapa
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz Месяц назад
Wanaotaman zatiti aolewe na tasha abebe ujauzito chiko aumbuke gonga like hapa tujuane 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr Месяц назад
Tuko hapa
@TitoMichael-np2kh
@TitoMichael-np2kh Месяц назад
@@YusraSiyaleo-yk2fz chiko hafai mlembo zatiti snapsmbana na genda Hela kedi
@fainesmdage5114
@fainesmdage5114 Месяц назад
Which language is this​@@TitoMichael-np2kh
@MariaSalim-u5z
@MariaSalim-u5z Месяц назад
🤞🤞🤞🤞
@mauamaua1228
@mauamaua1228 Месяц назад
Na ataumbuka si haba
@melanianjau3244
@melanianjau3244 Месяц назад
Jaman uku America tunawashukuru busati kwa kazi njema na kama mr tasha atamuoa zatiti wazae tujuane na like ata 10😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 Месяц назад
Huko America saa hizi ni saa ngapi😂😂😂😂
@melanianjau3244
@melanianjau3244 Месяц назад
Saivi ni asubuhi ndo nina enda kazini
@eversweedakemo
@eversweedakemo Месяц назад
Lazima ungetuambia uko America​@@melanianjau3244
@BeatriceJoseph-z8z
@BeatriceJoseph-z8z Месяц назад
@Latifa-ns7os
@Latifa-ns7os Месяц назад
Watu mko fasta bas naomben like namimi yakuchelewa😢
@AminaRajabu-kr8km
@AminaRajabu-kr8km Месяц назад
Natamani San zatiti aolew na tasha
@EmmilianaWekesa
@EmmilianaWekesa Месяц назад
Leo nko top 50 team strong from kenya now in Saudi Arabia Riyadh hello❤❤🎉🎉
@Daftar-nc1lh
@Daftar-nc1lh Месяц назад
Wanaoamini sania hataolewa na tasha gonga
@umfahad2609
@umfahad2609 Месяц назад
Sania hawezi olewa na Tasha. Papaa atapiga cm. Mama Tasha atackia wakiongea. Na atajua tabia ya Sania.
@VicentSadick
@VicentSadick Месяц назад
Huyu Mzee amewatabiria vizuri Mr. Tasha na Zatiti b'se wanapendana wakioana itakuwa vyemaa zaidii. Nimatumaini yangu wataoana bila shaka kabsaa kama unaamini hivyo wekaa like❤❤ na Maua🎉🎉 hapo!!
@Johar903
@Johar903 Месяц назад
@@VicentSadick ila maneno ya mama Tasha sio mazuri kabisa kwa mwanao Tasha atamuowa sania kwa kuogopa radhi ya mama ila sijapenda Mama Tasha
@MwanaMisi-v3r
@MwanaMisi-v3r Месяц назад
Ila wazazi mda mwengin Wana fail utamuaninije mtu ambae unaemuona kwa mda tu hujui katokea wapi Wala amefikajefikaje apo...pole Sana Tasha 😢ila nnaimani furaha Yako ni Zatiti na ipo siku atakuwa wako tu uyo kamkindee atafte kipapaa uko😂😂
@jamesmboneko2952
@jamesmboneko2952 Месяц назад
Kilamba unazidisha Comedy pasipohitajika comedy 😊
@watisonywatisony7659
@watisonywatisony7659 Месяц назад
😂😂😂
@UsuiliMilangitoni-gm.c
@UsuiliMilangitoni-gm.c Месяц назад
Mm napenda 😂😂
@SitiSaid-ol9rm
@SitiSaid-ol9rm Месяц назад
Anaharibu
@AishaNibizi
@AishaNibizi Месяц назад
Wakwanza wenzangu Like zangu kutoka Burundiป,🇧🇮🇧🇮
@hussenichambila4899
@hussenichambila4899 Месяц назад
Mama Tasha anamambo ya zamani ya kuchaguliana make wanaoungana na mm gonga like 🤙🥰🥰
@SandrineDupfiki
@SandrineDupfiki Месяц назад
Warundi wanao penda iyi movie tujuane🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@IrakozeOlene
@IrakozeOlene Месяц назад
Tupo weng hapa kutoka nyanza lac
@oman1oman179
@oman1oman179 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤tupo hapa Kwa raha zetu
@adelaa.magnusy5820
@adelaa.magnusy5820 Месяц назад
Boss wa hii Kaxi pepon moja kwa moja 😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Месяц назад
Ameen
@AllyMkola-u7e
@AllyMkola-u7e Месяц назад
Adelaa kwa kuigawa pepo ila kusali aah
@adelaa.magnusy5820
@adelaa.magnusy5820 Месяц назад
@@AllyMkola-u7e 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣subili nimalize hii House girl nitaanza kusali
@swabrinaawardhi7989
@swabrinaawardhi7989 Месяц назад
Wakwanza nipeni hizo like hata kumi
@MathiasMathias-cg4nf
@MathiasMathias-cg4nf Месяц назад
Like
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 Месяц назад
Naomba mama Tasha ajue tabia y Sania, jamani tasha funguka umuelezew mamako dah 😳😂😂😂
@glorykadzo
@glorykadzo Месяц назад
Kabisaa
@MutoniFunny
@MutoniFunny Месяц назад
Kwel mama wa mister tacha hajui kituu lakin mwenyezi munguu atamupitiya kwenye macho atakuja kuyawona naamini kwel zatiti atawolewa n'a zatiti n'a wapate watoto
@Jenniffer-m9k
@Jenniffer-m9k Месяц назад
w kwanza leo naomben like🎉🎉🎉🎉🎉jaman nimewahi🎉🎉
@douglasomanga8649
@douglasomanga8649 Месяц назад
Sania Sania Sania aaaaah this episode hapana nataka zatiti aolewe na taza aaa😪😪😪😪
@DoreenWanyonyi-x8y
@DoreenWanyonyi-x8y Месяц назад
Huyu mama anakera
@AllyMkola-u7e
@AllyMkola-u7e Месяц назад
Sio taza ni tasha
@FetrissJanni-lb5il
@FetrissJanni-lb5il Месяц назад
😂😂 mbona tazaa 😅😂​@@AllyMkola-u7e
@faithkalulu
@faithkalulu Месяц назад
riswaaa😅😅 wa kwaza kucomment,nipen likes
@AtuSamoto
@AtuSamoto Месяц назад
Tujifunze kitu kupitia movie hii inafundisha sana mamuzi ya mama Tasha sijayapenda kabisa siyo poa
@busatitv
@busatitv Месяц назад
🙏🙏
@RosekinanuGitari
@RosekinanuGitari Месяц назад
Ndio maana wazazi wanafanya tupitie maisha mangumu hivi better kuzichangulie kipendacho roho wee mama hapo umefanya bibaya akuendi hivio zame
@jacklineteresia2629
@jacklineteresia2629 Месяц назад
Mm apo sijapenda kabisaa.mama Tasha alafu mbona Tasha unajipea pressure bure mwondoe uyu sania
@مريم-ض7م1س
@مريم-ض7م1س Месяц назад
K​@@jacklineteresia2629 yan muondoe tu mm naskia uchungu 😂😂 san😢😢😢
@Asiamohammed1317
@Asiamohammed1317 Месяц назад
Halafu naumia mimi sasa😢​@@jacklineteresia2629
@AishaTanzania-t1g
@AishaTanzania-t1g Месяц назад
Nambari 1🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅😅
@Fransiscakavish
@Fransiscakavish Месяц назад
Waooo nimekuwaa wa kwanz naomb lik zang ap zatiii ataolewaa na mr tashaa
@ZamzamMusa-ve5tc
@ZamzamMusa-ve5tc Месяц назад
Wakwanza Jamani like zenu😂😂
@زهرهالعبري-ش2ي
@زهرهالعبري-ش2ي Месяц назад
Amina omary move zenu nzuri sana tunaomba mturejeshee na mtt wa ajabu
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Месяц назад
Naskitika sana kuskia eti sania aolewe na tasha kweli 😢😢😢😢
@jacklineteresia2629
@jacklineteresia2629 Месяц назад
ebu niaje kunipea pressure mm
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 Месяц назад
6 mins ila acha ni coment saiv hatuzungumzii ndoa nya kai na zuuu saiv ni tasha na zatiti ila busati daa nyie mnajua kuonesha sers yaani kwa cku mara 2 hongera yenu
@MERCYMWIAMUSEMBI
@MERCYMWIAMUSEMBI Месяц назад
Kilamba nakupenda jamen❤❤❤good job
@AminaMwamgodza
@AminaMwamgodza Месяц назад
Nataka mumtege Sania yaani mumpe mtihani ashindwe nia ya mama ibadilike😢
@monaciarkennymo6ix9ine62
@monaciarkennymo6ix9ine62 Месяц назад
Mwanzo nilikuwa naangalia nikusubiri Kai na Zu lkn now days Niko naangalia Mr Tash na Zatiti..❤ nani yuko free tuanzishe mapenzi ya uongo uongo?😂
@MarthaMwalusambo
@MarthaMwalusambo Месяц назад
😂😂😂
@christinewanga7385
@christinewanga7385 Месяц назад
🖐️🖐️😂😂🙌🙌🙌
@NeemaJeremiah-s9x
@NeemaJeremiah-s9x Месяц назад
Mimi
@monaciarkennymo6ix9ine62
@monaciarkennymo6ix9ine62 Месяц назад
@@NeemaJeremiah-s9x 😂🥰
@DinaSamwel
@DinaSamwel Месяц назад
😂😂😂😂
@DidaSalumu
@DidaSalumu Месяц назад
Wa kwanza Leo jamanii mnipe hata like 5 tyu
@Josephine-i7j
@Josephine-i7j Месяц назад
Wa kwanza jamni naombeni like ❤❤❤❤❤
@IsmailyHamisi-s8c
@IsmailyHamisi-s8c Месяц назад
Mr tasha na zatiti wanapendezana jaman
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 Месяц назад
Natamani sana zatiti aolewe na tasha❤❤❤
@HusnaOmarry
@HusnaOmarry Месяц назад
Leo nimewahi jmn na mm wanaopenda Tasha na zatiti waoane tujuanee
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx Месяц назад
Nimechelewa Epson ya 12 na ya 13 niyangu sasa😂
@khido_tz
@khido_tz Месяц назад
Nawapenda busati 🎉🎉🎉
@HanifaHabibo
@HanifaHabibo Месяц назад
Pambania Haki yako Candy utaipata mama Ake Mr Tasha Acha kijana wako aamue mwenyewe mke amtakae usimchagulie unamchanganya
@IlhamShaban-vq3kx
@IlhamShaban-vq3kx Месяц назад
Mhhhh hatar naomben like 🎉❤❤❤❤ ubaya ubwela
@maryammaryam7354
@maryammaryam7354 Месяц назад
😂😂waa leo ninewai aki toka nianze sijawai kua wakwanza ❤❤❤❤
@FestusJuvinary
@FestusJuvinary Месяц назад
Wao wakwanza jamen nipeni like zangu
@BINTIHAMISI-c9p
@BINTIHAMISI-c9p Месяц назад
Nyie mnao omba likes je mnajifunza au
@FridaTarimo
@FridaTarimo Месяц назад
Jamn mom tasha c ajuw harak tabia Haris ya samia kama na ww unatakaivy like hapa tujuane
@Gladys-254
@Gladys-254 Месяц назад
Leo nmewahi, acha n watch afu ntarudi Tena kucomment
@ThomasyohanaPetro
@ThomasyohanaPetro Месяц назад
Wa kwaza Leo kutoka rushoto nipeni like zangu
@SaraSara-wk2mr
@SaraSara-wk2mr Месяц назад
Haya mzeze nyiyangu
@BintiYohana
@BintiYohana Месяц назад
😂😂 Ete viazi kwaanza upate like
@AllyMkola-u7e
@AllyMkola-u7e Месяц назад
Mlola bumbuli mlwanzi au n.k
@UmmySumaiya-w4q
@UmmySumaiya-w4q Месяц назад
Waume 😂😂😂​@@BintiYohana
@افااقع
@افااقع Месяц назад
Wa mwisho kutoka🇰🇪🇰🇪ila mamake tasha ngoja kikurambe ndio utajua ukweli wenye mwanao alikua anakataa kumuoa sania utamruhusu mwenyewe amuoe zatiti❤❤🎉🎉
@HadijaHamisi-yt3pn
@HadijaHamisi-yt3pn Месяц назад
Tasha na zatiti wamependezana Aky❤❤
@MauwaSuleiman
@MauwaSuleiman Месяц назад
Tupendane kiuongo uwongo from Zanzibar apa❤❤
@HyasintaWisdom
@HyasintaWisdom Месяц назад
Jmn kz zinaniban Ila nimewai pia wanaosem kibendu atamuoa keilina gong like tujuaneee ap😂❤
@abedysteven4930
@abedysteven4930 Месяц назад
Wanao aman tasha ataoa samia na tabia umshinde mama na mama tachukia! Atamkumbka zatiti weka like!
@JoshuaKameta-jf2rb
@JoshuaKameta-jf2rb Месяц назад
Eee Mungu mpe macho Mama Tasha😂😢😮😅
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn Месяц назад
Macho kashapewa ila kuona tu ndo Bado 😂😂😂😂😂
@rosinahndimu3781
@rosinahndimu3781 Месяц назад
❤❤❤ movie nzur kwel
@busatitv
@busatitv Месяц назад
Asante sana
@everlinekenga437
@everlinekenga437 Месяц назад
My favorite ❤❤❤❤
@RUTHWERE-m2y
@RUTHWERE-m2y Месяц назад
Zatiti hakupewa talaka na chiko huenda wakarudiana baadae😢
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q Месяц назад
Zatiti yupo in love 🥰❤️
@BonideeNiyonkuru
@BonideeNiyonkuru Месяц назад
Mama tasha natamani akutane na baba kai ili amweelezee tabia za sania busati ❤❤❤❤
@brianthestreetboy4034
@brianthestreetboy4034 Месяц назад
I don't know why young talented like me. Nobody can see him I'm doing music. No one can see me why😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@SophiaHamadi-n6y
@SophiaHamadi-n6y Месяц назад
Just show your talent in RU-vid
@jacklineteresia2629
@jacklineteresia2629 Месяц назад
​@@SophiaHamadi-n6yyes very true 😅
@JeanmarieNdayikengurukiy-dr1hd
@JeanmarieNdayikengurukiy-dr1hd Месяц назад
Jaman Mr Tacha!! Usimuowe Sania
@Mwanalimamasumbo
@Mwanalimamasumbo Месяц назад
Mama tasha nn mbya jmn
@ShillaVennesa
@ShillaVennesa Месяц назад
Wanaotamani Mr. Tasha aowe Zatiti agonge like apa❤
@umfahad2609
@umfahad2609 Месяц назад
Sania hawezi olewa na Tasha. Papaa atapiga cm kwa Sania ili warudiane. Watakapo ongea mama Tasha atackia na atajua tabia za Sania.
@Dadiesomeoné
@Dadiesomeoné Месяц назад
Ay wakuu me nawap like tu cna bay n nyie mnipe zangu sas✌️✌️
@RitahKedi-h3e
@RitahKedi-h3e Месяц назад
😂😂😂😂 tuone radhiii za babu na zamama kwa mr tasha tuone yanani itafanya kazi mama tasha ulijiforce kws baba tasha au ulimpenda
@MwaJuma-s5f
@MwaJuma-s5f Месяц назад
Wanao amini zatiti ataolewa na Tasha gonga like 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FredyLaswai
@FredyLaswai Месяц назад
Jaman mnaishia patamu sanaaaaa🎉🎉
@MetrineNelima-i4w
@MetrineNelima-i4w Месяц назад
Yule mamake Tasha atapata dawa yake ngojea huyu kamkonde aolewe atajutia😢
@habibomar-j3j
@habibomar-j3j Месяц назад
Pole sana Mr tasha
@RosalieNdutu
@RosalieNdutu Месяц назад
Iv mnao omba like huwa mnapeleka wap??jaman
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf Месяц назад
Tuwafungie wanakera sana 😅😅😅
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Месяц назад
Waulize ww mie sina cha kusema
@EcaMakamba-l5o
@EcaMakamba-l5o Месяц назад
Wambililie
@RosalieNdutu
@RosalieNdutu Месяц назад
Ni wanaboa sana
@MaryClement-gq3se
@MaryClement-gq3se Месяц назад
Me pia naulizaga hili swali cjawahi kujibiwa😊
@DanielMolley
@DanielMolley Месяц назад
Hongereni sana wana busat tv
@MetrineNelima-i4w
@MetrineNelima-i4w Месяц назад
Tunakesha uku adi harusi ifanyike ya da zuu😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th Месяц назад
Mimi wamwazo ila watu wachoyo ajabu kunipa haki yangu
@MwanashaHemed-w3r
@MwanashaHemed-w3r Месяц назад
Wee sania bana tafuta mume kwan mpk tasha weeee hufai hata kidgo😢
@RusalinsMusimbi
@RusalinsMusimbi Месяц назад
Nimimi hapa jameni naomba yafanyike Karnataka ❤
@AtuSamoto
@AtuSamoto Месяц назад
Daah pole sana mr Tasha wamama tujifunze kupitia movie hii
@TinaJoseph-nh6jh
@TinaJoseph-nh6jh Месяц назад
Mm pia naomba like ata kidogo jaman😢😢
@Zaitunrashid-c7q
@Zaitunrashid-c7q Месяц назад
Mama ake tasha kishaanza kutia mkosi tena jamani wakati sisi tunataka tasha amuoe zatiti
@marthamwanyiva1814
@marthamwanyiva1814 Месяц назад
Kazi nzuri sana🎉❤ongera 🙏
@NAOMIMSNAOMI-s3m
@NAOMIMSNAOMI-s3m Месяц назад
Tasha ukimuowa sania mutanipoteza katika movie zenu. Mutazinguwa sana
@busatitv
@busatitv Месяц назад
Hahahaha yani
@Shamimurajabu-ez1lh
@Shamimurajabu-ez1lh Месяц назад
Cushendall tasha kukubali kumuoa sania bna wanapendezana na zayiti
@zainabusabas7421
@zainabusabas7421 Месяц назад
Mimba yenyewe unayo candy 😂😂😂😂
@busatitv
@busatitv Месяц назад
🤣🤣🤣
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf Месяц назад
Mwache ajishauwe😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Месяц назад
Naona sania akishajua kwamba tasha atamuoa litamkuta jambo ambalo mama na kina tasha atamgundua...nko paleee😒
@prettyney3812
@prettyney3812 Месяц назад
Mmeanza kuzingua sana hii movi khaaa mpaka nakwenye kuni 😂😂😂😂
@YafitaHasna
@YafitaHasna Месяц назад
😂😂😂Yani nacheka 😂😂
@prettyney3812
@prettyney3812 Месяц назад
@@YafitaHasna 😆😆😆
@Franciscah-ks5zq
@Franciscah-ks5zq Месяц назад
Watu wa Tasha mpo??
@AishaJuma-s4n
@AishaJuma-s4n Месяц назад
Hongereni jama
@23Maryamu
@23Maryamu Месяц назад
Good work❤❤❤
@zeyadazeyada8050
@zeyadazeyada8050 Месяц назад
Mama wengeni wa ovyo Sana mungu amsimamie tasha 😢😢
@CresensiaEnock
@CresensiaEnock Месяц назад
Wakwanza😂❤❤❤
@Fabianfideltz
@Fabianfideltz Месяц назад
🎉🎉🎉good job
@mummyjei5634
@mummyjei5634 Месяц назад
Good job❤❤❤
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 Месяц назад
jamani mukovizuri ikiwekwa tu mushakuwepo au mnalalaga you teb nyny 😂😂😂😂😂 nimekuwa 201 hahahaa mubarikiwe sana❤❤❤❤❤
@hussenichambila4899
@hussenichambila4899 Месяц назад
Wanaoamini ndoa ya Kai na zu itakuawa pambe dondosha like
@MauaKondo
@MauaKondo Месяц назад
Sijawahi fikisha hata like 20 jaman naombeni like zenu 👍
@NajmaAli-kz5hh
@NajmaAli-kz5hh Месяц назад
Uyo tasha anaudhi kwann amueke sania ndani ya nyumba yake😓
@MercySilvester
@MercySilvester Месяц назад
🎉🎉🎉❤ mwisho Leo harusi ya zuu imefikia wap jamani
@busatitv
@busatitv Месяц назад
Ndoa haipangwi siku moja 🤣
@MercySilvester
@MercySilvester Месяц назад
@@busatitv sawasawa twasubiri
@PurityDida
@PurityDida Месяц назад
Wow ausio❤❤❤❤❤🎉nawakubali
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r Месяц назад
❤much love from saudi
@HappyMtawali
@HappyMtawali Месяц назад
Kwani nihumuu tu hamkaimbali jmn Aya nimefika pia mm 🎉🎉
Далее
HOUSE GIRL EP 14 || SEASON 2 || Love Story💕💕
20:10
PERFECT PITCH FILTER.. (CR7 EDITION) 🙈😅
00:21
Просмотров 3,4 млн
iPhone 16 & beats 📦
00:30
Просмотров 162 тыс.
PLAN B _ Episode 4
32:24
Просмотров 216 тыс.
HOUSE GIRL EP 19 | S3 | Love Story 💕💞
24:17
Просмотров 17 тыс.
KISS MY PAIN 1:IRENE UWOYA /HEMED PHD
53:23
Просмотров 975 тыс.
Last Minute Shopping For A Family Trip❤️
22:51
Просмотров 22 тыс.
THE HOUSE GIRL   EP - 1
9:36
Просмотров 9 тыс.
PLAN B _ Episode 1
40:01
Просмотров 383 тыс.
Taji Wajesus 5th Birthday DUBAI TRIP
28:45
Просмотров 89 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [47]
21:55
Просмотров 172 тыс.
HOUSE GIRL EP 30 | S2 | love story💞💕
21:05
Просмотров 143 тыс.
HOUSE GIRL EP 02  | S3 | Love Story 💕💞
38:22
Просмотров 131 тыс.