Тёмный

HOUSE GIRL EP 22 | S2 | love story💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 144 тыс.
Просмотров 138 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 986   
@IreneLudani
@IreneLudani 2 месяца назад
Ila hawa wapumbavu wawili chenga wote nataka sitaki hata hawafikirii sherehe ikiisha itakuaje wanaangalia tu sherehe kwasababu wanajua hata wasipiweza kulipa huo mkopo wataenda kukaa kwa kai huo ni ujinga mtupu kama na wewe umeona gonga like 👍 hapa
@ShAMIMURASHIDI
@ShAMIMURASHIDI 2 месяца назад
😂😂😂Nimecheka kam mazur vile🙏ovyo kwely mtu n mke
@FatmaSeguni
@FatmaSeguni 2 месяца назад
Sikuping kbx 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@SadamuLyuma
@SadamuLyuma 2 месяца назад
Wote hawana hakili wamekutana
@NesthKey
@NesthKey 2 месяца назад
Kwani si wameshauliana kuusu hilo
@FarajaNziku-f7f
@FarajaNziku-f7f 2 месяца назад
Kabisa
@افااقع
@افااقع 2 месяца назад
Toka hii movie ianze sija wahi kuwa wa kwanza kama leo nawapenda sana busati🇰🇪
@AishaRashed-m5o
@AishaRashed-m5o 2 месяца назад
Zuu mwali kigego ila mama Tasha nakupa 🎉🎉🎉🎉 yak umetufundish wengi maan somo so la sania2 ❤❤❤❤
@marthanassari3524
@marthanassari3524 2 месяца назад
Mama nimejifunza.
@QuinterKerry
@QuinterKerry 2 месяца назад
Wanao amini sani kitamramba weka like hapa
@AgnessBenard
@AgnessBenard 2 месяца назад
Tena kitambaa cheupe😂😂😂😂
@cathrynyoram4569
@cathrynyoram4569 2 месяца назад
Mpumbavu na mpumbavu mwenzake mnanivunja mbavu😂😂😂
@Bint-Zanzibari
@Bint-Zanzibari 2 месяца назад
😂😂naomba nizimie kwanza
@FaithNekesa-wambete
@FaithNekesa-wambete 2 месяца назад
Zimia tu 😂😂😂​@@Bint-Zanzibari
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 2 месяца назад
Tunaosema kwenye muvii sania anaigiza sehemu ngumu kuliko wote like hapa
@irinemmasy8387
@irinemmasy8387 2 месяца назад
Yaani we acha tu
@marthanassari3524
@marthanassari3524 2 месяца назад
Kamkonde wangu 🎉🎉🎉
@HellenHamza
@HellenHamza 2 месяца назад
Dah ila amejitahidi sana
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 3 дня назад
@@HellenHamza sana
@ClaraAdam-i1o
@ClaraAdam-i1o 2 месяца назад
Nampenda sana zatiti na rafki ake sandra kwanza wastaarabu wote
@LighySteven-gd8wo
@LighySteven-gd8wo 2 месяца назад
Waliofurahi kibendu kumpenda gonga like
@EvaMollel-hz2nr
@EvaMollel-hz2nr 2 месяца назад
Na ni handsome balaa
@zainabzain3434
@zainabzain3434 2 месяца назад
Nimefurahi kubadilika kwake hii inaonyesha kuwa inawezekana kubadilika
@zawadikimaro4087
@zawadikimaro4087 2 месяца назад
Aysee Tasha Safi Sana usikubali tendo la ndoa mpaka mkapime huyo atakuwa muathirika
@NesthKey
@NesthKey 2 месяца назад
Sandra Mrembo sana😘Mozambique support it
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 2 месяца назад
Wa 138 naomba na mm like leo 😂😂😂😂 msinichambe sijawahi kuomba like😝😝😝
@TantineZuzu
@TantineZuzu 2 месяца назад
Uyu dada yake zuuu mwishoni amenifurahisha sana 😂😂😂😂❤❤🇧🇮🇧🇮
@mkwendazakotvshow
@mkwendazakotvshow 2 месяца назад
Walai pitia kwangu mmi wakwanza kenya 🇰🇪
@Franciscah-ks5zq
@Franciscah-ks5zq 2 месяца назад
Kama unaamini Zatiti ataolewa nisalimie tu from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@DanielObadi
@DanielObadi 2 месяца назад
Hello
@Franciscah-ks5zq
@Franciscah-ks5zq 2 месяца назад
@@DanielObadi hello too😍
@zafriiy
@zafriiy 2 месяца назад
Mamb
@Franciscah-ks5zq
@Franciscah-ks5zq 2 месяца назад
@@zafriiy poa sana. Be blsd
@SourianteMbafumoja
@SourianteMbafumoja 2 месяца назад
Scania ndo aolewe,mana kapambana
@RoseBhoke
@RoseBhoke 2 месяца назад
nmejaribu leo wah nipew likes🎉🎉🎉
@TausiJ
@TausiJ 2 месяца назад
Hahaha maraika umejua nichekesha dah penda sana house girl jmn
@rahmamumbua7321
@rahmamumbua7321 2 месяца назад
😂😂😂😂 Kai na zuu mchezea bibi ,,,,mtajua hamjui
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 2 месяца назад
Kilamba na mke wake wananifurahisha😂😂😂😂
@FelixKamanga-u3c
@FelixKamanga-u3c 2 месяца назад
Watching from Kenya,,,likes zangu jamani❤
@petermwarumba329
@petermwarumba329 2 месяца назад
Nipeni namba ya simu ya zatiti. Naona ywapata tabu sana. Nipeni namba yake ya simu. 😅😅 Movie Iko poa sana.
@selmezahor4696
@selmezahor4696 2 месяца назад
Lakin hata hivo Leo nimecheka Hahaha 🤣🤣🤣 hahaha bibi nakupa salut bibi shikomoo pia,
@VioVdn
@VioVdn 2 месяца назад
❤❤❤❤bibi nakupa duruuu🎉🎉🎉🎉
@MwanarusiRupia
@MwanarusiRupia 2 месяца назад
Mashaallah movie nxuri sana❤❤❤❤nawa penda nyote
@haluarahma3071
@haluarahma3071 2 месяца назад
Makofi aki kwa bibi👏👏👏malaika aki umenichekesha😂😂😂😂😂
@LylyMasika
@LylyMasika 2 месяца назад
Djamani wasani wetu mbona munacheleweshamuvi!mate imenikauka shingoni nikiwangojea kwahamu.munatuburudisha vvema bwana,!filamu hii inasomo nzuri🙏
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 2 месяца назад
Malaika bana unawasukumiza 😂😂😂
@bonnymuia
@bonnymuia 2 месяца назад
Alafu anajifanya anaangalia kando😂😂😂
@SyliviaMbuya
@SyliviaMbuya 2 месяца назад
Sikumuangalia vizuri kibendu, kaka wa candy, kumbeeee ni muhandsome akitulia😂😂😂😂
@ellahjonas4881
@ellahjonas4881 2 месяца назад
Huyu dada wa Zuu sio mtu mzuri kabisa kwa zuu
@fathmambeyu8987
@fathmambeyu8987 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@fathmambeyu8987
@fathmambeyu8987 2 месяца назад
Ak ww akilizetu moja kbsa😂😂😂🎉🎉
@JeannetteEdwige-z5b
@JeannetteEdwige-z5b Месяц назад
Mimi naonaga kama anawivu na mdogo wake zuuu
@ZawadiMasha-r9b
@ZawadiMasha-r9b 2 месяца назад
Haha😂😂😂bibi nakupenda sn😂😂😂
@sophiapretty3690
@sophiapretty3690 2 месяца назад
😂😂malaika jameni aah hongera kwenu wana busati
@PhilbertHabonimana-o1z
@PhilbertHabonimana-o1z 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂Kaka Kai nazuuu jamani naomba like
@sakina5550
@sakina5550 2 месяца назад
Bibi kama bibi jamn na fimbo yake😂😂😂😂
@djbngudukwimba5682
@djbngudukwimba5682 2 месяца назад
Kitambo sana mzigo ushachotwa niite king dj b from ngudu kwimba
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 2 месяца назад
Yaani hii movie himeisha hutamu maan haipo km mwanzo mnawajaza watu wengi sana humu ndan mpk inakera na kutoa mnazingua
@munamuna3921
@munamuna3921 2 месяца назад
Mm hata imeanza kuniboesha sasa
@yonisabdullah2528
@yonisabdullah2528 2 месяца назад
Walai inaboesha tu sana 😅
@KhadijaG-rm8fu
@KhadijaG-rm8fu 2 месяца назад
😂😂😂Malaika mungu anakuona🙌
@zuwenaabdallah2059
@zuwenaabdallah2059 2 месяца назад
Jamani tatizo nin mpaka mnatucelewesheya movie ivooo
@mauamaua1228
@mauamaua1228 2 месяца назад
Wameanza kutuchelewesha
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂 maraika umenichekesha sana aiseee et busuaneni haraka tuondoke duuu
@MagdalenaZephania
@MagdalenaZephania 2 месяца назад
Mi nimecheka ilo lifimbo labibi zuu Aki adi nimetokwa namachozi😂😂😂😂
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq 2 месяца назад
Hhahahaha Kai mmechelewa kubusuwana hahah bb apewe like zake kwa kueka bakora
@SuleimanBadi
@SuleimanBadi 2 месяца назад
Hapo pazuri bibi yuko makin😂😂😂😂😂
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq 2 месяца назад
@@SuleimanBadi ni Atari sana vp lkn Musa yupo ?
@MariaSalim-u5z
@MariaSalim-u5z 2 месяца назад
Hongera Sana bibi😂😂😂😂
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq 2 месяца назад
@@MariaSalim-u5z yaan bb ake na zuu unajua kupendezesha hii movie japo kuna seem anatuacha kwa kiluga🤣🤣
@MiltonInnocent
@MiltonInnocent 2 месяца назад
Naomba maua yangu nipo firstly comment
@ivayodianap
@ivayodianap 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani bi zuu 😂😂😂😂😂😂😂
@LucyKarembo-s2m
@LucyKarembo-s2m 2 месяца назад
Vile nimekesha macho kusubiria hii 🥰🥰🥰
@everlinenjuguna2281
@everlinenjuguna2281 2 месяца назад
Ya leo Kali,,,nimeipenda sana❤
@Amina-s2n3k
@Amina-s2n3k 2 месяца назад
😂😂😂malaika umenifurahisha kwa kwel chukua maua yako🎉🎉🎉🎉
@Shalom-f9j
@Shalom-f9j 2 месяца назад
😂😂😂😂bibi kaona msinitanie kaweka kijiti kabisaaaa😅😅😅
@ZulfaMjege
@ZulfaMjege 2 месяца назад
Sijachelew sana leo tupo pamoja ❤❤😂
@janethnyigo5925
@janethnyigo5925 2 месяца назад
Malaika wewe umenichekesha sana 🤣🤣🏃🏃
@glorysimon4021
@glorysimon4021 2 месяца назад
😅😅😅😅 malaika umewachomaa wenzioooo so poaaa😆😆😆😆
@boyflany26
@boyflany26 2 месяца назад
Wanao amini sania yupo kimaigizo kwa Tasha na atarudi kwenye tabia zake baada ya mpata Tasha em like apa
@عايشهعمان
@عايشهعمان 2 месяца назад
Zatiti karibu Oman ❤😂😂😅
@VeronicaMkasa
@VeronicaMkasa 2 месяца назад
Kazi nzuri sana Mr. Kai💕💞
@thomasmwaipale2621
@thomasmwaipale2621 2 месяца назад
Wanaoamini sania atakuwa kama candy like hapa
@SadamuLyuma
@SadamuLyuma 2 месяца назад
Ni kwer Sania atakuwa Kama kendy
@MetrineNelima-i4w
@MetrineNelima-i4w 2 месяца назад
Ukweli kabza ameficha tu tabia kumnaza Tasha
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 2 месяца назад
Acha Tasha ayakanyage, Mimi niko pale
@natanaaly7486
@natanaaly7486 2 месяца назад
Tasha hawezi kumuoa sania atamuoa zatiti
@prisilaKennedy
@prisilaKennedy 2 месяца назад
Inajulikana hiyo
@SelinahKeny
@SelinahKeny 2 месяца назад
Am number 1 today from Kenya guys for real I like it
@KarenOwino
@KarenOwino 2 месяца назад
Kutoka mandera nawapenda sana
@linderedward7956
@linderedward7956 2 месяца назад
Hamjaangalia mnacoment nini sasa
@DynessDaud-ip3sk
@DynessDaud-ip3sk 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂busuaneni haraka haraka jemeni 😂
@AngelMoses-pd3bo
@AngelMoses-pd3bo 2 месяца назад
Ila malaika umejua kuniumiza mbavu et busus aneni 😂😂😂
@gladnessmichael2459
@gladnessmichael2459 2 месяца назад
Malaika we dishi kwel😅😅😅
@joneyjohn
@joneyjohn 2 месяца назад
Duuh jaman me sijafurahia Sania kuolewa na Mr Tasha kama Kuna wanaonisapot like apa
@RrShd-vq1xy
@RrShd-vq1xy 2 месяца назад
Haki Bibi ya zuu umenifurahisha😂😂😂😂😂😂😂na Nina ameona baba ya kai akiongea na simu bila kupokea😂😂😂 kama umeona gonga like hapo👀👀👀
@RehemaSaid-r4h
@RehemaSaid-r4h 2 месяца назад
Watazamaji wa hii movie weka like kwa busati TV kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@melanianjau3244
@melanianjau3244 2 месяца назад
Ampa america tumefurahi kwa kibendu kumpata caila❤❤❤❤
@REBECCABOKE-s3y
@REBECCABOKE-s3y 2 месяца назад
Hello team khai naombeeni like hata moja jamani Leo wakwanza😂
@everyne.illankunda8292
@everyne.illankunda8292 2 месяца назад
❤❤🎉🎉reo naamka mapema house ❤❤❤
@HawaBeka-t4c
@HawaBeka-t4c 2 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka kama chizi ila malaika anavituko jamani daàh et anawasukuma wezie wabusiane
@RaelDiana-d3w
@RaelDiana-d3w 2 месяца назад
😂😂😂😂lkn mbona hvo,,l was waiting for the kiss ,, suddenly kijiti kikawekwa😅
@MamuuHussein
@MamuuHussein 2 месяца назад
😂😂😂😂
@NuruAli-ip9wn
@NuruAli-ip9wn 2 месяца назад
Imepoaaa,,, jamani zuu hatumwoni et,,,
@Jacky01180
@Jacky01180 2 месяца назад
Hawa wapumbavu wawili vichwa vyao ni maji😅😅😅😅😅
@moodylenovo100
@moodylenovo100 2 месяца назад
Kilamba kitakulamba kwa kweli😅😅
@ediselaemmanuel1930
@ediselaemmanuel1930 2 месяца назад
First one🎉
@chemsahakizimana
@chemsahakizimana 2 месяца назад
Mansha Allah 🥰🥰🥰
@HudhaimatHaji-wf8nh
@HudhaimatHaji-wf8nh 2 месяца назад
jmn zuu hadi nammis 😢❤
@NuruIbrahim-ue1if
@NuruIbrahim-ue1if 2 месяца назад
Wakwaza leo wanao mkuba mama cend kumuonzensha mwanae kwa yule binti nipeninlaki tujuane
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 2 месяца назад
Kama umeona baba kai akiongea na simu bila kupokea mnipe like hapa man ameongea then ndio akakata we kuweza 😂😂😂amechemsha leo baba kai 😂😂😂❤❤❤ila mumeweza pia
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 2 месяца назад
😂😂
@FadhilaNdongolo
@FadhilaNdongolo 2 месяца назад
😂😂
@DeeDan-sj1mr
@DeeDan-sj1mr 2 месяца назад
Ameifingeprint bhn😂😂😂
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 2 месяца назад
@@DeeDan-sj1mr ooooh 🤣🤣🤣
@Miriam-kk6lr
@Miriam-kk6lr 2 месяца назад
😂😂 Sasa unaamua kumwangalia Babu wangu 😂
@GasareSaxy-e9h
@GasareSaxy-e9h 2 месяца назад
Aki malaika wew umenifurahisha eti😂😂 eti busuaneni harakaharaka 😂😂😂 bibi nae ninani😢😢😢
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 месяца назад
Malaika umenichekesha et busianen haraka haraka
@FridaAnzazi
@FridaAnzazi 2 месяца назад
😂😂Malaika yeye anajijua mwenyewe aky 😂😂
@TashaCosy-gc1fs
@TashaCosy-gc1fs 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@maria5514-u2g
@maria5514-u2g 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@Janegravins-ud4yu
@Janegravins-ud4yu 2 месяца назад
Malaika naye 😅😅😅
@EliaKornelio
@EliaKornelio 2 месяца назад
Mpaka najichek pekee ang😂😂
@lucylukansola7999
@lucylukansola7999 2 месяца назад
Watu mko fast balaaa
@ATUPELYEMBWILINGE
@ATUPELYEMBWILINGE 2 месяца назад
Naipenda sana hii move
@waleedbahar5275
@waleedbahar5275 2 месяца назад
Aaaa sania mbona haraka mno Weee unakimbilia lollipop Na malaika naye weee anaharaka na Kai
@shadyazitueni5338
@shadyazitueni5338 2 месяца назад
😅😅😅😅 et busuaneni busuanen tuondoke 😅😅😅 dad ake zuu wayaweza
@happymsigala396
@happymsigala396 2 месяца назад
Naomba like na mm leo nimewahi❤❤
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 2 месяца назад
Sania mbona una mabakuli shingon
@AnnaEugen
@AnnaEugen 2 месяца назад
Naombeni like zenu ht tano na mimi jamani japo nimechelewa
@SalomeSumbizi-ll9wc
@SalomeSumbizi-ll9wc 2 месяца назад
Sema Kibendu ni handsome akiw mpole ivo😂
@everlinekenga437
@everlinekenga437 2 месяца назад
Malaika wahanfaiaha wenzioo utaona vyenye bibi atakuchukia ila hongereni🎉🎉
@VEREDIANAMUMBA
@VEREDIANAMUMBA 2 месяца назад
Hahaha we bibi zuu unamatatizo gn bhanaaa ahhhhhhh unaboa bhanaaàa
@merryshayo9819
@merryshayo9819 2 месяца назад
Jamani walo mmisi kendi kama mimi gonga like zako apa twende sawa
@buru1235
@buru1235 2 месяца назад
Waah hiyo part ya mwisho jmn duuuh Bibi yetuuuuu😂😂😂😂😂 Aki malikia umenimaliza 😀😀😀😀😀😀🙌🤦
@Fofo-z6t
@Fofo-z6t 2 месяца назад
WA Kwanza like wa Kwanza views wa Kwanza comments muje na mauwa yngu na like😂😂
@mercylinemusimbi9846
@mercylinemusimbi9846 2 месяца назад
Mlivanyaniiii was just chilling 😅😅😅😅😅😅😅😅then boom
@SarahLusasi
@SarahLusasi 2 месяца назад
Ai malaika unataka kuharibu 😂😂😂😂
@CatherineOmbeni-k2r
@CatherineOmbeni-k2r 2 месяца назад
Ila dada yake zuli jaman aty busuaneni busuaneni muondoke nmecheka mpaka basi😂😂😂😂😂
@jamilamjengi6515
@jamilamjengi6515 2 месяца назад
Nyie leo nimekua wakwanza😂😂😂😂😂😂😂
@Amena-z5r
@Amena-z5r 2 месяца назад
😂😂😂😂😂 malaika kwa kweli umenichekesha sana leo acha nikupe maua yko 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@christinaKufakulala
@christinaKufakulala 2 месяца назад
Ila malaika😅😅😅😂😂😂😂 eti busuaneni
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n 2 месяца назад
Jaman nimependa kiguo chako xania af mama tasha halali anasubili watu wanyimwe udambu aje kumpa mkono❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@BrendaChacha
@BrendaChacha 2 месяца назад
Ndo mtoe mwendelexo mapema sasa maaana mnatuacha na ham
@tobiaschirwa9364
@tobiaschirwa9364 2 месяца назад
😂😂 nimecheka Malaica we noma umepiga mwingi apo mwisho nawapenda Team Khai from malawi ❤❤❤🎉🎉🎉
@happymsigala396
@happymsigala396 2 месяца назад
Ila malaika 😂😂😂😂 eti mjibusubusu sie tuondoke
@Benti-f3o
@Benti-f3o 2 месяца назад
Malaika leo umejua kunichekesha et wabusuane busuane hahaha 😆 😂 🤣 😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@ladyj5089
@ladyj5089 2 месяца назад
Wambumbavu 2 kitawakuta kitu kizito kama ww pia wakiona gonga like kwawingi ❤❤❤
@Iteritekamimi-yk8nx
@Iteritekamimi-yk8nx 2 месяца назад
😂😂😂😂😂 eeee Malika jamani amenicekesha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@KhalidaUridu
@KhalidaUridu 2 месяца назад
Jaman malaika wanifurahisha we 😅😅😅😅😅
@FaithJoshua-n8n
@FaithJoshua-n8n 2 месяца назад
Wee Leo mmetuchekesha sana Kwanza malaika 😂😂😂😂
@FaidhatyGuga
@FaidhatyGuga 2 месяца назад
Tumewah ila kibendu ni handsome jmn
@dearchotay5569
@dearchotay5569 2 месяца назад
Nikweli
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 месяца назад
awa wapumbavu wawili ndio wanao fanya bange ionekana mbaya wakati uku konde gang ni oya oya jeshiiiiiiiiiii😅😅😅😅😅😅😅.mashabiki wamemisssssss kaiiiiiiiiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤
Далее
HOUSE GIRL EP 23  | S2 | love story💞💕
21:27
Просмотров 138 тыс.
HOUSE GIRL EP 42  | S3 | LOVE STORY 💞💕
20:56
Просмотров 49 тыс.
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 1,9 млн
iPhone Flip станет ХИТОМ!
00:40
Просмотров 387 тыс.
UFC 308: Пресс-конференция
35:18
Просмотров 510 тыс.
HOUSE GIRL EP 24  | S2 | love story💞💕
23:22
Просмотров 140 тыс.
HOUSE GIRL EP 41  | S3 | LOVE STORY 💞💕
18:58
Просмотров 69 тыс.
HOUSE GIRL EP 40  | S3 | LOVE STORY 💞💕
21:41
Просмотров 100 тыс.
HOUSE GIRL EP 29 | S2 | love story💞💕
19:33
Просмотров 131 тыс.
HOUSE GIRL EP 30 | S2 | love story💞💕
21:05
Просмотров 152 тыс.
HOUSE GIRL EP 28 | S2 | love story💞💕
23:26
Просмотров 142 тыс.
HOUSE GIRL EP 39  | S3 | LOVE STORY 💞💕
21:28
Просмотров 91 тыс.
HOUSE GIRL EP 31 | S2 | love story💞💕
27:17
Просмотров 153 тыс.
HOUSE GIRL EP 31  | S3 | LOVE STORY 💞💕
22:38
Просмотров 103 тыс.
MY MOTHER EP 30 |FINAL EPISODE  | Sad Story 💔💔
23:54
He went ALL in 😭
00:12
Просмотров 1,9 млн