Тёмный

HOUSE GIRL EP 25 | S2 | love story💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 144 тыс.
Просмотров 141 тыс.
50% 1

#bongomovie #housegirl

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1 тыс.   
@busatitv
@busatitv 2 месяца назад
Busati tv Fans WhatsApp 👇👇 chat.whatsapp.com/JyrN7hIxoagKiVTISAAdm0
@Marlenapilikitsao-gk9je
@Marlenapilikitsao-gk9je 2 месяца назад
@@busatitv kwani kunendaje shida ikowapi wapendwa?
@TausiJ
@TausiJ 2 месяца назад
@@busatitv mbona mnatuweka roho juu jamn kutwa tunachungulia muendelezo tupen bas tatiba kama j2 na j3 amrushi tuwe tunajua msituganyie hivyo lakin kisa tumependa
@JudithJudy-hz6wr
@JudithJudy-hz6wr 2 месяца назад
Naomba muongezee dakika zitoke hata 50 kama unakubaliana na mimi gonga like
@FadhiliadbielPilla
@FadhiliadbielPilla 2 месяца назад
Ndomn kwa siku wanaweka mbili
@innocenttalentedperson9552
@innocenttalentedperson9552 2 месяца назад
Yes
@dorcasmathew-z1z
@dorcasmathew-z1z 2 месяца назад
Mmmh si ndo maana wanatoa mapema na wanaweka mbili kwa siku sasa waongeze dakika za nn tena
@AsiaSalumuMohamed
@AsiaSalumuMohamed 2 месяца назад
Nakubaliana naww ilasolazima nikupe like
@manirambonajeanne3876
@manirambonajeanne3876 2 месяца назад
Wakovizuli mulizhike nanyie
@FarajaEliakim
@FarajaEliakim 2 месяца назад
Kai anaenda kuoa woyoooooooooo🎉 Mr Tasha nae anapata mke mzuri wa tabia mzuri wa sura mzuri wa moyo zatiti🥰🥰
@SospeterAmosy
@SospeterAmosy 2 месяца назад
Jaman team tasha na zatiti like hapa japo nimechelewa
@NuruAli-ip9wn
@NuruAli-ip9wn 2 месяца назад
Wenyefuraha kuwa Sania hawezi kubadilika pitieni hapa,,, jamani mama ni mama heshima Kwa mama
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 2 месяца назад
Team tasha na zatiti ❤❤ twendeni nalo 😂😂🎉🎉
@LeilaAdija
@LeilaAdija 2 месяца назад
🎉🎉🎉
@LighySteven-gd8wo
@LighySteven-gd8wo 2 месяца назад
🎉🎉🎉
@Lucy-g5v
@Lucy-g5v 2 месяца назад
Wazi tasha amekubali zatiti kama wewe uko n furaha kama mimi, zatiti kuwa pamoja n tasha gonga like hapa😂😂
@LightnessMalle
@LightnessMalle 2 месяца назад
Nimekubal nimefurah zatiti awe na tasha tena tasha amoe zatiti
@EmJesho
@EmJesho 2 месяца назад
Oyoooooo harusi tunao na tutatamba nao🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZabibusuphianialisuphianiAlly
@ZabibusuphianialisuphianiAlly 2 месяца назад
Aki watu kwa kuchungulia house girl mpo vizur nilijua mm wa kwanza kumbe bure kabisa 😂😂😂😂 mnipee na mm like sasa 🎉🎉❤❤❤❤
@MirriamWanjala-h2r
@MirriamWanjala-h2r 2 месяца назад
Wacha tu
@zahraali5113
@zahraali5113 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 wezio waangalia vile vile ikiwa inatumwa
@MaryEliza-m2h
@MaryEliza-m2h 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤😮😮
@NfalumeRachide
@NfalumeRachide 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉
@AFizaamadeAmade
@AFizaamadeAmade 2 месяца назад
Ni kweli atulali mpaka inatoka ila saivi wanashelewa sana 🎉🎉🎉🎉
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v 2 месяца назад
Nimewahi team strong 💪 team zuu naona alipofika huyu boss sioni kma kuna harusi tena 😭😭😭huku nako sania hana ndoa tena kamrudia shida kumuomba msamaha 😂😂😂kma waamni zatiti na Tasha wataoana gonga likes tukisonga 😂😂
@VioVdn
@VioVdn 2 месяца назад
Harusi ipo hapa naiona ileeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@SaumuJumwa-u4v
@SaumuJumwa-u4v 2 месяца назад
@@VioVdn mmmh
@BelbanicekagehaBellah
@BelbanicekagehaBellah 2 месяца назад
Number one from Kenya 🇰🇪 like tukisonga
@MillyMjeni
@MillyMjeni 2 месяца назад
TEAM zatiti tumewin kijijini hatuendi na Tasha tunatamba nae😅😅😅
@RizikiMollel-m8y
@RizikiMollel-m8y 2 месяца назад
Naharusi tunayo
@FatumaFeso
@FatumaFeso 2 месяца назад
Kabisa ❤❤❤❤
@nurukilelo
@nurukilelo 2 месяца назад
Ila wewe😂❤
@esternsimbila5359
@esternsimbila5359 2 месяца назад
Natunaolewa na Tasha😂
@OmarJaffar-fw4lt
@OmarJaffar-fw4lt 2 месяца назад
kama umependa sania kufukuzwa like hapa woyo woyo😂😂😂😂😂😂
@LucyCeline-kr8ld
@LucyCeline-kr8ld 2 месяца назад
Seline from Kenya
@BertinaCatitiAdamu
@BertinaCatitiAdamu 2 месяца назад
Sandra na zatiti wamefanana anae sema kweli gonga like
@JoelNtivuguruzwa
@JoelNtivuguruzwa 2 месяца назад
Wanafulahia sania amefukuzwa gonna like hapa.
@DainessMtewele
@DainessMtewele 2 месяца назад
Waliofulah kama mm Sania kufukuzwa na Mr Tasha like hapa jaman
@youngb8672
@youngb8672 2 месяца назад
Mm sijawah kupata like plz naombeen ❤❤❤
@djbngudukwimba5682
@djbngudukwimba5682 2 месяца назад
Kitambo sana mzigo ushachotwa niite king dj b from ngudu kwimba
@walteradera4336
@walteradera4336 2 месяца назад
Wow leo nina furahaa tele kuskia tasha kutaja zatii kama mke bora kwake,,mara ya kwanza likes zipitie kwangu
@GloriaMwaiteleke-vf4kj
@GloriaMwaiteleke-vf4kj 2 месяца назад
Ngoja nami leo niombe like. Haya mm wa Kwanza like zangu
@Marlenapilikitsao-gk9je
@Marlenapilikitsao-gk9je 2 месяца назад
Kumbu kulizia talaka ujue inasemaje? Mengine yafate Tasha
@LighySteven-gd8wo
@LighySteven-gd8wo 2 месяца назад
😮 24:40 24:42 24:43
@Hapygideon
@Hapygideon 2 месяца назад
Boss wake na Kai hatumpendi jamani anatuharibia movie,,sijui mmemuweka wa nini
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 2 месяца назад
Pia mm sijapenda
@Asiamohammed1317
@Asiamohammed1317 2 месяца назад
Wapo katika jamii lazima tujifunze juu yao
@RizikiMollel-m8y
@RizikiMollel-m8y 2 месяца назад
Nalisura lake kavu kama bati
@innocenttalentedperson9552
@innocenttalentedperson9552 2 месяца назад
😂😂😂
@NeillahMcute
@NeillahMcute 2 месяца назад
​@@RizikiMollel-m8y😅😅😅😅😂
@FestusJuvinary
@FestusJuvinary 2 месяца назад
Jamene wahini uku kimemlamba saniha kwa mr tasha nahapa nahisi zamu ya zatiti imefika kwenda kuishi kwa tasha
@Scolayusuph558
@Scolayusuph558 2 месяца назад
Kalibu kwenye ndoa zatiti wanao flaia ndoa ya zatiti na tasha tujuane kwa like ❤❤
@RizikiMollel-m8y
@RizikiMollel-m8y 2 месяца назад
Lazma nitanunua kijora Cha sare
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 месяца назад
Masha Allah 🎉🎉🎉​@@RizikiMollel-m8y
@LenatusAbeli-v7h
@LenatusAbeli-v7h 2 месяца назад
Leo Mimi wakwanza naomba like na comment za kutosha iringa Tanzania ❤
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 месяца назад
Watu mnawahii daaa ilaa leyo nimejitahidi nimekuwa 73 afadhali mubarikiwe sana🙏❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰
@OmarJaffar-fw4lt
@OmarJaffar-fw4lt 2 месяца назад
wooww like hapa kama Boss wake kai kuchoka nandoa
@Hapygideon
@Hapygideon 2 месяца назад
Sania aondoke hapo nyumbani ,,afu kakofi kadogo umempiga ilitakiwa ngumi ya mwendo kasi😅😅😅😅
@ummycheedy2809
@ummycheedy2809 2 месяца назад
Kaaaaah utaua😂😂😂😂😂😂
@Hapygideon
@Hapygideon 2 месяца назад
@@ummycheedy2809 mtu mwenye mdomo sana unabonda Hadi azimie
@Hapygideon
@Hapygideon 2 месяца назад
@@ummycheedy2809 mtu mwenye mdomo sana unabonda Hadi azimie ndio unafukuza nje🤣🤣🤣
@FelixMunyao-t9u
@FelixMunyao-t9u 2 месяца назад
Machakos wakwa jamani naomba like katano wadau 🇰🇪🇰🇪
@Aminah-r4s
@Aminah-r4s 2 месяца назад
Aamin iwe ya kher zatiti na Mr Tasha 🥰🥰🤲
@ElizabethEliza-d4e
@ElizabethEliza-d4e 2 месяца назад
Chezea ww nyie wanaume mbon mnakuwa wepes kam nguo z ndani 😂😂😂 kma mmeipend like hapo
@marthakavemba7495
@marthakavemba7495 2 месяца назад
Kuna mtu ako karibu na Sania amuekelee kofi moja mzuri sana nitaleta jibu badae 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anyway Kenya tupo macho wazi kutazama housegirl alfu Hii arusi ya Kai na Zuu ifanyike emergency
@Hapygideon
@Hapygideon 2 месяца назад
Leo nimewahi sitaki utani Kila siku nakuwaga wa arobain wa mianne Sasa like zangu nazitaka
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 2 месяца назад
I love you Tasha Yani Leo nimefurah zàid ya siku zote Kuna furaha ya zatt inarudi ❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda sanaaaaaaa
@umfahad2609
@umfahad2609 2 месяца назад
Nakupenda saana Sandra. Una sauti nzuri saaana. Nawafatilia from Oman.
@AishaRashed-m5o
@AishaRashed-m5o 2 месяца назад
Waooo zatiti Mr Tasha kakiril Leo kwa mama yak hiy ni zawad ya zatiti yaan u pole wa zatiz na Mr Tasha had nyumban itakuwa vizr san❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@reginakulwa4494
@reginakulwa4494 2 месяца назад
Wanaofrahia sania kimemramba leo mgonge like😅😂
@vailethmsogoth8235
@vailethmsogoth8235 2 месяца назад
Na kimemramba kwel kwel 😅😅😅😅
@elizabethurassa9854
@elizabethurassa9854 2 месяца назад
Naona Sania na kendi watakavyo kuja kugongana kwa papaa
@JeannetteEdwige-z5b
@JeannetteEdwige-z5b Месяц назад
Mimi namba moja kufurahia sania kimlambe
@jackmsuya9599
@jackmsuya9599 2 месяца назад
Wakwanza leo naomben like zangu ❤
@MarieTwizere
@MarieTwizere 2 месяца назад
Wanaoamine kuwa zatiti ataolewa na Mr Tasha tujuwane kwenye like
@John346
@John346 2 месяца назад
Hata Mimi Leo nimejaribu kuwahi kutoka Kenya wenzangu.
@JoannyBreezy
@JoannyBreezy 2 месяца назад
Hahahaahqahah jamaaan like 5 tuuuu hapa tunaenda kuona Sania akibatuliwa makofi kisawa sawa
@ElizabethNanjala-lm5ec
@ElizabethNanjala-lm5ec 2 месяца назад
Watu wanaomba likes cjui wafanyie nini hata basi pia mimi naomba likes zenu all the way from 254 ❤❤❤
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 месяца назад
Zatiti na Tasha haoooo, waoooh nimeipenda hyo Asante kwa kutuona mashabiki wenu kwa maoni yetu,
@DeeDan-sj1mr
@DeeDan-sj1mr 2 месяца назад
Unajiita wakiume alaf unajua kupka pilau aaah tulia diana😂😂😂😂
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 2 месяца назад
Niwape pongezi waigizaji wa hii movie na muandaaji niwape pongezi mko vzr sema ningependa kuwashukuru kwa kututorea movie mzurii
@SofiaAliAli
@SofiaAliAli 2 месяца назад
Wakuanza leo naomba like zangu
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee 2 месяца назад
Kazi nzuri movie nzuri yenye mafunzo🎉🎉🎉🎉🎉
@YulaFaith
@YulaFaith 2 месяца назад
Sasa furaha yangu imerejea...Asante sana Tasha kumeoa zatiti...Sasa Nina hakika atapata mtoto wake Tasha. Wooow😂❤
@AishaSalem-g2v
@AishaSalem-g2v 2 месяца назад
Jamn busat nawapenda bure kwa kuturidhisha❤ yan amcheleweshi nawapenda bure❤❤
@SalumMathias-bt2us
@SalumMathias-bt2us 2 месяца назад
Wowooo🎉🎉hatimaye zatiti na Tasha ❤
@ishamtam3
@ishamtam3 2 месяца назад
Naona ndoa ya zatiti na Mr Tasha oyooooo wangap wapoupande wangu tukutane na like ❤❤❤😂
@AïshaAtibu
@AïshaAtibu 2 месяца назад
@Victormziwanda-g9z
@Victormziwanda-g9z 2 месяца назад
Wakwanza mm jamani naombeni like zangu
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 2 месяца назад
Mnaomba like nauza popocon jamni 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@asiamwachega
@asiamwachega 2 месяца назад
Leo nimewahi jamani naombeni likes na mm
@HalimaMsovela
@HalimaMsovela 2 месяца назад
Sania hapo vip jifunze mama wa mwezio ni mama Ako alaaaa
@EvaMollel-hz2nr
@EvaMollel-hz2nr 2 месяца назад
Kililililililililililililililililili! Tasha katangaza upendo kwa zatiti ❤❤❤❤
@NyamweruAlex
@NyamweruAlex 2 месяца назад
❤❤❤❤leo wa kwanza kigoma likeee 4me
@Aisha-oj9cx
@Aisha-oj9cx 2 месяца назад
Sania amejikatia tiket mwenyewe kwa mr tasha . ila mr tasha hajawai feli mama muhimu bana mbona pambe😂😂😂😂❤❤❤
@mossikombo959
@mossikombo959 2 месяца назад
Pambeee voo❤
@Aisha-oj9cx
@Aisha-oj9cx 2 месяца назад
@@mossikombo959😄😄
@FestusJuvinary
@FestusJuvinary 2 месяца назад
Piga keleleeeeeeee nopeni maua yangu like zangu jaman mm wakwanza leo❤❤❤❤❤
@TeddyJames-rh6cl
@TeddyJames-rh6cl 2 месяца назад
Sania kimemramba hahahahaha Nazidi kujifunza Tasha hongera kwa msimamo kweliii mama ni mama ❤
@kipyegonvictor2803
@kipyegonvictor2803 2 месяца назад
Nangojea Tasha na satiti sana 😂😂😂mapenzi ya uwongo uwongo 😂😂😂
@Aminah-r4s
@Aminah-r4s 2 месяца назад
Maashallah zatiti mwisho na wewe mungu amekuona dada angu ❤❤❤❤🎉🎉
@khadijachama6269
@khadijachama6269 2 месяца назад
Wa Kwanza Mie jaman nipewe🎉🎉 na like zangu😅😅
@LoveAron
@LoveAron 2 месяца назад
Watu weweeeeee Zatiti oyeeee tulikuwa tuna lisubiri penzi lenu kwa hamu na badhishi telee 💞💕❤️❤️❤️😍😍😍👌👌👌👌
@RayH-j3y
@RayH-j3y 2 месяца назад
Wa kwnzaaa kwa mara ya kwanz
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj
@khafidamkambeKhafidamk-dq7nj 2 месяца назад
Nakubali sana mama tasha ila mr tasha nakubali mama n bora kuliko ktu chochote like kwa mama tasha na mr tasha kma unawakubali eshima ni bora
@ThomasyohanaPetro
@ThomasyohanaPetro 2 месяца назад
Wa kwaza leo kutokea rushoto nipeni like zangu
@happinessjuma177
@happinessjuma177 2 месяца назад
Leo nimewahiiiii
@JannetyGesare
@JannetyGesare 2 месяца назад
Kai sijafurahi
@ElzaMungure
@ElzaMungure 2 месяца назад
@@ThomasyohanaPetro tz akuna rushoto kuna lushoto zingatia spelling broo
@officialbasheer13_tz
@officialbasheer13_tz 2 месяца назад
Lushoto ndio sahihi sio Rushoto boss
@everlinekenga437
@everlinekenga437 2 месяца назад
Watu hawalali huku❤❤❤
@Fayzer-yb4ic
@Fayzer-yb4ic 2 месяца назад
Naomba like zangu leo wa kwanza
@Franciscah-ks5zq
@Franciscah-ks5zq 2 месяца назад
Zatiti hoyeeee kapata chance. Kama unaamini hili nisalimie kwa like🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ZAITUNMOHAMED-u1k
@ZAITUNMOHAMED-u1k 2 месяца назад
Bola zatit aolewe na tasha jmn
@VioVdn
@VioVdn 2 месяца назад
❤❤❤❤❤
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 месяца назад
Kweliii
@Zenabeby
@Zenabeby 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉 hoyeeeeeeee from Kenya ❤❤❤
@LighySteven-gd8wo
@LighySteven-gd8wo 2 месяца назад
❤❤❤
@shivobs4485
@shivobs4485 2 месяца назад
Mwamba kagoma kuvaa dela 😅😅 like zake jamani
@BahatiKadenge-n5r
@BahatiKadenge-n5r 2 месяца назад
Wa kwanza leo jamani hivi huyu kai anatakaje mbona simuelewi ole wako kai usimuoe zuu utaniudhi sana but much love kama unamukubali zuu na kaii mnipe like zenu na comment zenu basi hata kama ni tano ❤❤❤❤❤
@PriscarProsper
@PriscarProsper 2 месяца назад
😂
@kipyegonvictor2803
@kipyegonvictor2803 2 месяца назад
I am admiring satiti secretly wapi likes zangu 🥰🥰
@Mejumaayusufu-lg2or
@Mejumaayusufu-lg2or 2 месяца назад
❤❤🎉
@MasauShida
@MasauShida 2 месяца назад
Kazi nzuri sana wana Busati tv🇹🇿
@ZaituniAbdallah-pz2iy
@ZaituniAbdallah-pz2iy 2 месяца назад
🎉 mm wa kwanz Leo lk zangu
@BrendaChacha
@BrendaChacha 2 месяца назад
Aya apa sasa nalala roho imetulia kazi nzuri wana busati
@HadiaAmiri-y8z
@HadiaAmiri-y8z 2 месяца назад
Weeuweee time strong time wi:fi njooni uku mambo yameiva
@abuhashar5808
@abuhashar5808 2 месяца назад
Zatiti hoyeeeee🎉🎉mimi nawapenda san muwowane😮❤❤
@kamarhelo
@kamarhelo 2 месяца назад
Ila kiukweri masozi ni rafiki mzuri kwa candy kwani hajawah kumuacha kwenye shida na raha mnao liona hili gonga like hapa
@AishaModi-eg2vq
@AishaModi-eg2vq 2 месяца назад
Asante sana bro tasha kwa uamuzi sahihi wakutaka kumuowa zattiti nimefurai sana❤❤❤
@sarahaipa4769
@sarahaipa4769 2 месяца назад
Waaaahh hatimaye zatiti na mr tasha watakaa qwa amanii
@SarahElisha-gi7dg
@SarahElisha-gi7dg 2 месяца назад
Zatiti oye😊😊😊 kapata chance hiyo kama naona vile
@SimaoErnestoJoao
@SimaoErnestoJoao 2 месяца назад
Leo ni mewai nipeni like 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@JusterSamwel
@JusterSamwel 2 месяца назад
Tuache unafiki Sandra ana sauti nzuri nyie 😋😁😁
@FestusJuvinary
@FestusJuvinary 2 месяца назад
Jamen nipeni like bas mbona ivo by mm chai na nkozo
@ElizabethSiwale-mv5bu
@ElizabethSiwale-mv5bu Месяц назад
Hahahaaa walioona kamkonde kakivyorushwa rushwa wakati wa kufukuzwa tujuane hapa
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 2 месяца назад
Kama una imani zatiti.....ataolewa na mr tasha,,,,,, ,,,,,,,,,please....gonga. like hapa.tujuane 😅😅
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 2 месяца назад
😅
@ElzaMungure
@ElzaMungure 2 месяца назад
@@mohamedlopa8410 tena ataolewa na ataishi nae vizur tu
@VioVdn
@VioVdn 2 месяца назад
Mimi amini 1000 ataolewa na tasha
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 2 месяца назад
​@@VioVdn❤❤❤❤
@اللهاكبر-س4ي
@اللهاكبر-س4ي 2 месяца назад
❤zatiti jamani congratulations ❤❤ much love soon your going to be a 👰‍♀ bride ❤❤much love to Mr tasha,
@lydiandagire3022
@lydiandagire3022 2 месяца назад
Mama wa tusa so beautiful 😍😍😍😍😍😍😍 mummy ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nakupeda Sana my mum
@nahimanabella2478
@nahimanabella2478 2 месяца назад
Mama tasha nimuzuri saaanaaa. Angaliki msichana alikuwaa muzuri saanaaaa❤❤❤❤❤❤
@HAWAMAULIDI-zl5xd
@HAWAMAULIDI-zl5xd 2 месяца назад
Tusa ndo nani ?
@BeatriceRobi-j5q
@BeatriceRobi-j5q 2 месяца назад
Nakupogeza Mr Tasha🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MourineIndasi
@MourineIndasi 2 месяца назад
Alaaah Sania nje bila kuangalia nyuma binti aliyefundwa na wazazi ndani, yaani Zatiti ndani Sania nje. Umejazaki furaha kaa mie hapa hit like👍👍👍
@jacklinemwikali5045lina
@jacklinemwikali5045lina 2 месяца назад
Wonderful zatiti anatoka uchuma wa uongo uongo anaenda kuwa mchumba sasa wa ukweli❤❤❤❤❤❤
@Husna-s5k
@Husna-s5k 2 месяца назад
Haka kasania kumbe ndivyo kalivyoo na tabia mbaya hivi hadi nimekachuki. Gaflaa ambae ameichukia tabia ya sania gonga like
@jeskaoscar9423
@jeskaoscar9423 2 месяца назад
Akiamungu nampenda Sana kendi jamn napenda anavyo ongea kendi🤣🤣🤣♥️
@MaggySemkande
@MaggySemkande 2 месяца назад
Hunishindi mimi😅
@AishaTanzania-t1g
@AishaTanzania-t1g 2 месяца назад
Namba 1😂😂😂
@AsteriaThobias-w2t
@AsteriaThobias-w2t 2 месяца назад
Jaman candy nakupenda bule unajua kuigiza dada angu!!!!!!!! Yan sania anakuomba msamaha unavunga kbxa😂😂
@tuyajengeyaishe-vq5pq
@tuyajengeyaishe-vq5pq 2 месяца назад
Nimefurai tasha kugundua ukwel wa sania nakuamua kumfkuza kama umefrai nawewe tujuane ka like❤❤💕💞
@ginafaruque5335
@ginafaruque5335 2 месяца назад
Hongera sana tashaá mpende zatiti póle sana zatiti póle sana zatiti nakupenda sana EP 26 Léo mana mambo ni moto ❤❤❤
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 месяца назад
Zingatieni mavazi jamani wanawake mnathalilishwa na kujidhalilisha pia
@JoyceKayombo-y3g
@JoyceKayombo-y3g 2 месяца назад
Hatiae zatiti na mr.tasha ❤❤❤❤ 💃💃💃
@AminaPtg
@AminaPtg 2 месяца назад
Namba1 mimi
@salmahelly2203
@salmahelly2203 2 месяца назад
Zatitiii oyeeeeh jamn nyieee ❤️kitu enye nlikuwa natamani mm akiih
Далее
HOUSE GIRL  EP 26 || love story💞💕
20:49
Просмотров 189 тыс.
HOUSE GIRL EP 26 | S2 | love story💞💕
22:20
Просмотров 139 тыс.
МЭЙБИ БЭЙБИ - Hit Em Up (DISS)
02:48
Просмотров 336 тыс.
PLAN B _ Episode 22
1:02:01
Просмотров 112 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [59]
21:52
Просмотров 91 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full  episode /53/ #love
20:30
Просмотров 197 тыс.
HOUSE GIRL EP 43  | S3 | LOVE STORY 💞💕
22:37
Просмотров 33 тыс.
HOUSE GIRL EP 42  | S3 | LOVE STORY 💞💕
20:56
Просмотров 64 тыс.
SNAKE BOY ( 1-5 )
55:00
Просмотров 730 тыс.
HOUSE GIRL EP 03  | S3 | Love Story 💕💞
20:08
Просмотров 121 тыс.
МЭЙБИ БЭЙБИ - Hit Em Up (DISS)
02:48
Просмотров 336 тыс.