Wanaume sio wakuwategemea sana ukizaa mtoto wakiume umuombee kwa allah apate mwanamke mwema ndo utafaidu la sivyo akipata mwanamke mshirikina ndo kama haya hata kwetu yupo ndugu yetu hataki ndugu wala kabila lake na anasema anajuta kuzaliwa na ktk hii familia ila tukumbuke haya maisha ya dunia ni mafupi sana yasituhadae
Kai anaharibu utamu wa movie hayo mafunzo yahii movie ilikua inakuja vizuri ila ep 25 nahii Kai waaaah Ila Acha tuone mwisho😂😂😂😂 nawafatilia nikiwa kenya❤
wuuuwi Gay umenipoo sana kwa episodes zenye zimefuatana haki unafanya nimeanza kukuchukia na vile nilikuwa nskupenda, kwa kila movie nikikuona nilitaka tu niwatch yote
Hii move wameharibu hao watu wengine wanatokea wapi yaani mgefanya maarifa mkawatoa wale wadada ambao hapo sirias mkawaweka ambao wapo siriasi ili move yenu inonge mnazidi kuongeza watu mmeiharibu hii move
Dakh kai mazure mazure yakikutoka käi utakuja juta käi pole sana ila candy mnafiki sana unajifanya mwema ila candy lichá kwamba nimchezo ila sijapenda tabiya yako dakh
Hii filamu inafunza kwakweli hapa kwa huyu chiko mnapswa wanaume mjifunze kitu tulieni kwenye ndoa zenu kuna maradhi😢 Kai hujainuwa thamani ya baba utakuja kujuta badae majuto n mjukuu😢 natamani kuita baba mwenzio 😭💔 zuu pole wapitia magumu ila utapona tuh Mungu Yuko nawe🙏💕
Ila dawa kila siku Ina mwanzo na mwisho ala hamnaga Siri yawatu 2 hapo Siri isha vuja nahapo ndipo patakua patam Kay umeshikwa na uchawi kweli pole sana