Jamani mbn kila ninapo fatilia hii movie 🎥 mbn najikuta natokwa na 😢😢😢😢 Zuu wamemuua 😢😢😢furaha 😊😊😊kwa babaangu kipenzi 🥰 kapona na yuko kwa mikono salama Allihamdulilah 🤲🏼 hebu tuifatilie kwa hisia tuji funze kitu sio kuomba like kila mara wana familia busati TV much love 💕 so much ❤❤❤❤❤❤❤
Jamanieee hiii muvi jaribuni kuekti katik uhalisia kiukweli Kuna baazi ya wasaniii humu wanaekti mpaka wanaboa kama kendi hamna uhalisia wowote anaouenesha kwali ni ektaz ila uhalisia unahitajika mnabowa,
Baba baba Ni ww baba Amen 🙏🙏🙏❤❤❤❤ Nipenda familia hii iliyo jukumika Kwa swala la baba kupona mungu awatiye nguvu pia Maisha marefu Amen 🙏🙏🙏❤❤❤❤ nimesikia Raha kuona baba yupo Na Kai ufahamu pia nimeona ufahamu unaanja kurudi kiainaaina
Jmn team strong nimeanza kuboeka,zuu amenishtua tokea jana,nkiwa na hopes leo atakuwa swa,hatimae leo nayo nalala ihali zuu ako taaban😢,refusheni kias vpnd n vifupi sana...mob ❤❤❤ to u team busati
Hongera sana wana BUSATI TV Kwa uponyaji wa baba kai ...ila namuhurumia daa zuu😢😢 naombea daa zuu apone 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 nawapenda wote watazomao House girl🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Zuu haezi kufa juu n yeye kichwa cha movie long life zuuh n upone uje unyakue kendy bwana manake huyu kendy kazidi 😢 zuuh quick recovery baby gal we love you so much
Naomba sik mambo yakiwa mazur, yanii zuuu akipona na mambo yote yakiishaaa, naombeni tuwaone zuuu na Kai wakionjoy bata, tuone anavaa vzr, anasuka vzr, pamoja na Kai Yani tuone Mabadiriko mapya isihishee vibaya tunatak zuu aenjoy
Hata mm pia nimekuwa na huruma sana kwa zuuu,lakn naamini zuu yupo salama na pia lazima aolewe,limbwata alilopewa kai na mkewe latakapokwisha mkewe cha moto anacho,jaman nimekuwa wa pili kwenye coment tangu,gonga like jaman walau 20,