Daaaah yaani hii movie inauzika kimataifa kabisa!! Nimeshawishi marafiki zangu kama wanne wote wanaifuatilia na wameipenda!! Hongereni sana team Busati
Kosa limeshafanyika basi wazazi wate mshirikiane zuu aolewe maisha yaendelee wakipata baraka naamini watafanikiwa maisha na nyumba inauzwa watu marekaniii patamu hapo😂😂😂