Wanao fatilia hii movie wallah iko na mafunzo mengi mno ukizingatia sana utafaidika congrats kai na wenzio Allah awajaalie kila la kheri mzidi ku2elimisha❤❤❤❤from kenya
Tunaoamini Sania atawin deel lake tujuane hapa, hakuna mkate mgumu mbele ya chai😂😂😂😂 ila Zuu unapendwa mno na bibi Yako ila ningefurahi waowane TU jmn❤❤❤
Aya Tena ❤❤❤ wale mawif zake zuu kutoka 🇴🇲 tujuwane bas Hila shangala hyoo watasha wa 🔥🔥🔥 saw harusi tunayo hatuna Hadi rahaaaaaaaaaaa❤❤❤ wale kama naolewa mm jinsi ninvyojisikia raha ebu fanya nimaliza mtaba mapema na mm nakaolewa 🇹🇿