Тёмный

Hukumu ya kumuita ""SAYYID"" Mtume ﷺ 

SALAFI STUDIO 💻.
Подписаться 818
Просмотров 6 тыс.
50% 1

🎤 Sheikh Abulfadhl kassim Mafuta Kassim .(حفظه الله تعالى ورعاه)

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@BalyaKimenye
@BalyaKimenye Месяц назад
Allah amhifadhi shekh wetu
@JibirilaSharif
@JibirilaSharif 5 месяцев назад
Allah amhifadhi Sheikh ABUL FADHL
@suleymanislam4015
@suleymanislam4015 Месяц назад
Masufi hamuezi elewa mpaka Allah awafunue kifuniko kwenye nyoyo zao
@azizaj776
@azizaj776 2 месяца назад
Masalafi bangi mnazovuta hazijawahi kumuacho mvutaji yoyote SALAMA
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq Месяц назад
Na mahizb bangi za kisumu cio alafu makhurafi wenda wazimu
@Omarymagota74Omarymagota74
@Omarymagota74Omarymagota74 3 месяца назад
Alla akuhifadhi
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 3 месяца назад
Chuki za mawahabi dhidi ya Mtume ni za wazi sana
@abdallahjuma4397
@abdallahjuma4397 3 месяца назад
Wanfuga ndevu kama mtume, hawavai isbali kama mtume, hawamzushii hufuata yale aliyokuja nayo ibada zao huziegemeza kwa dalili kutok kwakwe wala hawazitangulizi akili zao mbele ya mafundisho yake.. bila shaka wanofany kinyume chake ndio wasiompenda utakut shikh wa kikhurafu kavaa kanzu iina buruza chini, kidevu cheupee, mganga kam kina Dr.sule afu useme anampemda mtume? Mche Allah
@azizaj776
@azizaj776 2 месяца назад
Sishangai MASALAFI = MAYAHUDI
@MohamefMullah
@MohamefMullah 4 месяца назад
Elimu ya mawahabi ni mtihani ukijaribu kuwafuta sijui M. Mungu ndie ajuae, sasa kwenye Atahiyatu swala ya mtume imo Saiyidina Muhammad leo eti tuitowe tuweke nini bass nyie mawahabi leteni yenu swala ya kumswalia mtume
@tbm7tv257
@tbm7tv257 3 месяца назад
Nyie mnataka sheria muiongoze kwa akiri zenu, siyo akiri zenu ziongozwe na sheria. Ndo mana hamuachi kuzusha mambo na mnachukulia poa.
@rashidyusuphmwatebela8802
@rashidyusuphmwatebela8802 3 месяца назад
Hujaelewa kilichozungumzwa ndugu yangu, Allah akujaalie elimu yenye manufaa
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq
@ExcitedCricketHelmet-wr4sq Месяц назад
Sasa ww leta hadith inayosema ivo au maneno ya mwanachuoni yeyote
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 5 месяцев назад
Ss walikuwa wanasemaje?
@Ustadhihamza
@Ustadhihamza 5 месяцев назад
Tushawazoea hamna jipya
@hajihaji123-lp5lx
@hajihaji123-lp5lx 5 месяцев назад
ni kweli wao siku zote dini yao ni ile iliyoelekezwa na mtume kwa ufahamu wa wema waliotangulia,sio kuacha mlango wazi kila mwenye jambo lake akidhani tuu ni zuri basi laingizwa katika dini
@tamimuhamidu5
@tamimuhamidu5 5 месяцев назад
Ni kweli kabisa ndo walivo masalafy hawana JIPYA kwahyo inabidi muwazoee hivohivo nao ndo watakavyo
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 3 месяца назад
Hawa masalafi ni malimbukeni Wamepata elimu kidogoo imekuwa keroo kwenye jamii hatuna rahaa Kila kitu wao haramuu .ila Cha ajabu wanaitikadi za kufruu hasaa Wala hawasemi kama hazifai 😂😂😂
@tbm7tv257
@tbm7tv257 3 месяца назад
@@tamimuhamidu5 Mmezoea uzushi. Endeleeni kuzusha.
@tbm7tv257
@tbm7tv257 3 месяца назад
@@ABUUALLY-ch5jr Kama ipi kufuru hiyo?
Далее
JE YAFAA KUMUITA MTUME ﷺ  "SAYYIDANA"
2:58
NAMNA YAKUJITOA KWENYE MATATIZO NIHIVII.
20:35
Просмотров 15 тыс.