Waalykumus salaam warahmatullaahi wabarakaatuh Moja: Haifai kufunga siku yako ya kuzaliwa iache ipite kama ilivyo siku zingine za kawaida,,, Pili:Mtume (swala na salamu ziwe juu yake) amekataza kufunga jumamosi pekee isipokuwa itakapokuwa funga ya faradhi kama Ramadhani ama ukitaka kufunga funga ya Sunnah basi ima ufunge siku moja kabla ya jumamosi(Ijumaa) kisha jumamosi yenyewe au jumamosi kwanza kisha siku moja baada ya jumamosi (jumapili)
Wanfuga ndevu kama mtume, hawavai isbali kama mtume, hawamzushii hufuata yale aliyokuja nayo ibada zao huziegemeza kwa dalili kutok kwakwe wala hawazitangulizi akili zao mbele ya mafundisho yake.. bila shaka wanofany kinyume chake ndio wasiompenda utakut shikh wa kikhurafu kavaa kanzu iina buruza chini, kidevu cheupee, mganga kam kina Dr.sule afu useme anampemda mtume? Mche Allah
TOA DALILI ZA KUKHARAMISHA TUONE. IMA KUSEMA JIBABA ZIMA LAFURAHI . KWANI BABA HAIFAI KUFURAHI KATIKA DINI?. AU KHARAMU KUFURAHI BABA KWA WATOTO WAKE?. AU HAIFAI KUMKUMBUSHA BABA AU MWANAE KUMKUMBUSHA KUWA UMEINGIA MWAKA MWENGINE NA ANZA KUJIHESABU TENA MATENDO YAKO NA REKEBISHA ULIOHARIBU MWAKA ULIOPITA , YOTE NI KATIKA SIKU YA KUZALIWA. NA HII INAJULIKANA KUWA HATA USIPO WAKUMBUSHA WATU SIKU HIO NA UKAKUMBUSHWA BASI UTAKUFA TU KWA KUJISAHAULISHA MIAKA YAKO NA KUJIRUDISHA NYUMA๐. MNAOGOPA SANA KUKUMBUSHWA BIRTHDAY DAY ZENU KUWA MWAKA MWENGINE UMETOEKA HUO ILA MTAKUFA TU HATA MKIJISAHAULISHA NI BURE MIAMBA๐๐๐. SASA FURAHIA IKIWA MWAKA ULIOPITA ULIFANYA KHERI, ILA KAMA HUKUFANYA LIA SANA SIKU HIO. MTUME SAW AMESEMA " HASIBU KABLA AN YUHAASABUU " YAANI JIHUSSBIE MATENDO YAKO KABLA HUJAHESABIWA. BIRTHDAY KUKUMBUKA NA KULISHA WATU KWA KHERI NA HESABU MATENDO YAKO KWASABABU HATA UKUPUUZA HUKU MALAIKA WAAMINIFU WANAANDIKA VIJANA NYIE MJUE. KUJISAHAULISHA KWAKO HAKUMPUNGUZII MWENYEZIMUNGU SW KUKUPA MIAKA ZAIDI, HESABU UMRI WAKO KABLA YA KUHESABIWA. NA KUMBUKA MIAKA YAKO KUWA UNAKARIBIA KUFA, HATA UKUACHA KUHESABU NA KUKUMBUKA TAREHE YA MWAKA MPYA USIFIKIRII ITAACHWA KUANDIKWA๐, MTUME SAW AMESEMA " KUMBUKENI SANA MAUTI...." KAMA UNAINGIA MWAKA MPYA HUPATI KIASHIRIO CHA MWAKA UMEKUPITA, NINI KITAKUMBUSHA KUFA KWAJA?. WASIA WANGU. NYIE WALINGANIZI WAPYA ALIOWATABIRI MTUME SAW KUWA MTALINGANIA WATU KATIKA MILANGO YA MOTO, ANAEKUFATENI AMEANGAMIA. NAKUAMBIENI. FUNDISHENI WATU DINI NA MSIWAPE UZITO IWE HATA KUFURAHI MAJUMBANI MWAO IWE KHARAMU MTAWAFANYA WATU WASHINDWE NA UISLAMU, WAFUNZENI LILILO KHARAMU WALIJUE NA SIO MNAKURUPUKA KUTOA FATUWA ZA HOVYO HOVYO AMBAZO HAZIKUBAINISHWA KATIKA QURAN WALA SUNNA. MTUME SAW ALIPOGUNGA IJUMAA TATU ALIULIZWA, KWANINI UNAFUNGA IJUMAA TATU?. MTUME SAW ALIJIBU " YAUMA ULIDTU" (NAFURAHIA) SIKU NILIOZALIWA , MY BIRTHDAY. MTUME SAW ALIITUKUZA, ALIJIKUMBUSHA, ALIFURAHI, ALILISHA WATU, ALISWALI NA MENGINE MENGI SIKU HIO KWA KUMAANISHA SIO KHARAMU KUFARAHIO BIRTHDAY DAY ILA FANYENI YALIO BORA SIKU HIO NA YA KHERI KWAKE ALIASHIRIA KWA IBADA YA FUNGA NA SIO KHARAMU KULISHA SIKU HIO. ################### ENYI WALINGANIAJI KATIKA MILANGO YA MOTO , KWANINI MNAKHARAMUSHA JAMBO AMBALO HAKUKHARAMISHA MWENYEZIMUNGU SW NA MTU WAKE?#######.
ENYI WALINGANIAJI KATIKA MILANGO YA MOTONI. MNAONAJE MAKAFIRI WANAWAPA ZAWADI WATOTO WAO SIKU ZA KUINGIA TAREHE YA BARTHDAY NA JEE WATOTO WENU WAKIISLAMU HAWAHITAJI FURAHA JUU YENU ENYI WALINGANIAJI KATIKA MILANGO YA MOTONI?. JITIZAMENI KABLA MKAFANYA WATOTO WENU KUUHAMA UISLAMU NA KUONA UKAFIRI UNA MAPENZ KULIKO UISLAMU
Elimu ya mawahabi ni mtihani ukijaribu kuwafuta sijui M. Mungu ndie ajuae, sasa kwenye Atahiyatu swala ya mtume imo Saiyidina Muhammad leo eti tuitowe tuweke nini bass nyie mawahabi leteni yenu swala ya kumswalia mtume
ni kweli wao siku zote dini yao ni ile iliyoelekezwa na mtume kwa ufahamu wa wema waliotangulia,sio kuacha mlango wazi kila mwenye jambo lake akidhani tuu ni zuri basi laingizwa katika dini
Hawa masalafi ni malimbukeni Wamepata elimu kidogoo imekuwa keroo kwenye jamii hatuna rahaa Kila kitu wao haramuu .ila Cha ajabu wanaitikadi za kufruu hasaa Wala hawasemi kama hazifai ๐๐๐
Kwenda kuwatembelea wagonjwa ni ibada nayo inasharti zake? Sio kila ibada inanguzo sheikh na shart sheikh ,rudi ukosome tena riyadhi au madina tena ukasome sana wew bado uko nyuma.
Twayyib ((1)) NA MASHINDANO YA QURANI NI HIVO HIVO .Mtume hajalifundisha wala maswahaba lakin IBNU UTHAIMEEN ameyajuzisha . Jee nae ni mtu wa bidaa .. ?? ((2)) NA KITU KINACHOITWA (( ุนุดุงุก ุงููุงูุฏูู )) jambo ambalo Wamelijuzisha masheikh kadhaa wa KIWAHABI kama vile Sheikh FAUZAAN wala mtume hajalifundisha . Kwaivo : Muulizeni kwanza sheikh wenu FAUZAN hilo kafundisha na mtume gani ??? 1)) Limeanza lini jambo hili ?? 2)) Nani alielianzishaa ?? 3)) Jee ni kheri hilo au shari ?? 4)) Linarudi ktk Dharuriyyat ipi ?? Jee linarudi ktk (( Makusudio )) ya kuihifadhi NAFSI ?? Au DlNI ?? Au MALI ?? Au HESHIMA ?? Au NASABU ?? 5 )) Jee linapata HUKMU gani katika AHKAMI ZA FIQHI ?? Je ni Wajib au sunna au mubaha au haramu au makruh ?? (( 3)) VIGAWANYO VYA TAUHIID . -Tauhiid rububiyyah - Tauhiid uluuhiyyah . - Asmau wa swifaat . MKITUJIBU HAYA TUTAWAJIBU KUHUSU MAULID INSHA ALLAH .
Unatafuta kiki kwenye dini hujawai hata kupoteza hata kiungo chako kwaajil yadin maneno unaremba habar zakkutenga watu kma wewe hutak kumtaja mtu unae muamin niwewe
WAISLAM JIHADHALINI SANA NA HAWA WAHABI...YAANI LENGO LENU NI KUMFIFISHA MTUME WATU WASIMFAHAMA VIZURI MTUME...SIKU TUKUFU ALIYOZALIWA MTUME AWATAKI KUISIKIA.. KILA KITU DUNIANI KINAENDA KWA KALENDA...KWA HIYO IKIFIKA SIKU ALIYOZALIWA MTUME MPOTEZEE TU ...ALAFU ETI AWA NAO NI WAISLAM... YAANI WAHABI MMM
AWA WAHABI UWEZO WAO WA KUFIKILIA NI MDOGO SANA...AWA WATAKUWA NI WAISLAM KWELI ? ...MTU UNAISHI UJUI HATA MTUME ALIZALIWA LINI NA KUNA SIKU TUKUFU KWA MUISLAM KAMA SIKU ALIYOZALIWA MTUME ? HAWA WAHABI NI WATU WANAOTUMIWA NA NI MAWAKALA WANAOTUMIWA KUHAKIKISHS WATU AWAMJUI MTUME KWA UMFAHAMU ZAIDI..MAULID NI IBADA KUBWA KWSSB KTK MAULID USOMWA QURAN USWALIWA MTUME MUHAMMAD KWA VINGI SANA(ZOTE HIZO NI IBADA KUBWA)...KISHA MASHEIK USIMAMA NA KUMUELEZEA MTUME MUHAMMAD NINI ALICHOKIFANYA KATIKA UHAI WAKE..MWENENDO WAKE TABIA ZAKE NA MAFUNDISHO ALIYOTUFIKISHIA KTK UHAI WAKE...SASA HIZI NI IBADA KUBWA SANA KWA WAISLAM KWANZA NI MAAMLISHO YA M'MUNGU... YAANI WAHABI AMUELEWI MNACHOFANYA...