Nakupenda kuliko maisha yangu kwa ajili ya Alla shekh wangu 😢😢 Yaa Alla tujaalie pepo wajawako na shekhe wetu Shekhe Othman Maalim tukawe wote Jannat firdaus Muhammad rasululla akawe ndio jiranietu Inshaalla 🤲🤲
Alhamdulillahi RabilaAlamina shukran ya RabilaAlamina Mola ajalye safari iLio bardani wasalama! Shukran Jazeelan jazak Allah khayri 🌺 🌹 karibu te naaaaaaa🌻🌻😭😭😭😭🙏🤲🙏Mola akupe umli mrefu wenye khayri na barka teli gutokan kwa ya Razaq akuraisishie kwakirajambo akiweka usahali kwa Chochte ukifanyacho kije nichema ln shaa Allah myaka hio urudi tena 🇧🇮 ❣️💞💞💞💞💞💞
ما أحلى الكلام Ni maneno matamu na mazuri yalioje Allah Akuhifadhi Sheikh na akujaalie daawa yako iwe ya ikhlaas tuzidi kufaidika na darsa zako tukiwa popote pale na Allah awahifadhi waalimu wetu na masheikh wote wa kiislamu kwani- العلماء ورثة الانبياء
Maasha Allah sheikh Othman na ma sheikh wetu wote Mwenyezi Mgu awatangulie kwa kila hatua munayopiga,awape umri,uzima na afya njema muendelee na kutupa madarsa ya kutangaza mambo ya kheir kila kitongoji In shaa Allah 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
ما أحلى الكلام Ni maneno matamu na mazuri yalioje Sheikh Allah akuhifadhi ,akujaalie daawa yako iwe ya ikhlaas na akuzidishie ilimu tupate kufaidika na Allah awahifadhi Waalimu na Mashekhe wote wa kiislamu na waislamu wote kwani العلماء ورثة الانبياء...
MashaAllah sheikh mawaidha yko ni dawa kubwa kwa wengi Allah akupe kheri na urudi salama nyumbani MashaAllah toka niwe mdogo nilipenda ata niolewa Na ww kwa hakika busara Na imani yako ya dini. Naomba tuelewa kitu kimoja nilichopenda kwa usitadhi ni hakima vijana Siku Hz atuna imani ya dini busara nidhamu naomba vijana tubadilike tuwe watu kma sheikh anatufuza mengi tuwe vijana Wa imani ya dini InshaAllah sheikh wee ni mfano wakuingwe MashaAllah
Mashaallah nikweli kabisa sheikh wetu hyu amejaaliwa hekma na busara na pia amelelewa katika mikono salama ndomana yuko Ivo tumuombee Kwa Allah amjaalie afya na umri mrefu azidi kutuelimisha hakika hyu sheikh nampenda Sana kwaajili ya Allah