Mashallah mwenyezi Mungu akuzidishie nguvu na hekma yakutupatia mawaidha na tuweze kujiepusha na tamaa ya mambo ya dunia.Alhamdhullah....Allah is great
Yaraby usitujaalie dunia kua ndio mapnz kwet yarabby tujaalie tuipe mgong dunia na mamb yke ispokua tujaalie tuipambe akhera ytu ili tukapte saada hko yaumul-Qiyama ishallah 😘😘❤
MashaAllah Allah akuzidishie umri mrefu wenye afya furaha uzima na baraka tele uzidi kutupa daaawa ,akuepushe na kila hasad na akujaalie Pepo ya Firdaus pamoja na waislam wote Amiin
Alhamdulillah twamshukuru Mwenyezi Mgu kwa kutujaalia kuwa na ndugu katika dini ya kiislamu kama wewe na wengine kwa kutuongoza kidini na yanayo tufaa katika dunya.
Jazzaka allahu ghaira sheikh wetu hakika nimefaidika na mawaidha haya na m/mungu atutilie WEPES aaaamin kila penye zito soteee a aaaamin yaa rabbal alaaamin.
Sheikh Othman anasoma Qur’an kwa sauti mzuri sana - MaashaaAllah Tabaarakallaah. I wish tungenufaika na record zake za tarteel. Qiraa’a ya Sheikh Othman kwa sauti yake mzuri itapatia watu shifaa, sakeena na utulivu InshaaAllah
mwenyezi mungu akuzidishie hekma, akuzidishie imani na elimu uzidi kutujuza yalio bora maana kuna saa nikikusikiliza najaribu kufanya mazuri zaidi. mungu akuweke inshalaalah
Allah akupe umri mrefu na akuzidishie elimu ili uzidili kutuelimisha na kutufumbua pale tulipokuwa hatuoni tuione na kuikimbilia pepo ya milele isiyo na karaha allah tujaalie mwisho mwema wa maisha yetu,muepushe shekhe wetu na misukosuko ya dunia.
Allah atujaliee maishaa marefu yenye baraka ndani yakee na atujaliee maisha mafupi kama hayana baraka ndani yakee ilii tusiweze kumuasi Allah (s.w) maaana Allah ni mwingine wa kusamehe na ni mwenye ghadhab kwa walee ambao watakao muasi maaan ni mjuzi wa kuadhibu adhabu nzitooo.... Rabana atina fidunya hasanat Wafil agheratul hasana Wakina adhaba naar Allahumaa ajirna minanar saalimin
NAPENDA SANA KUFUATILIA MAWAIDHA YA SHEIKH OTHMAN MAALIM . ANA UFASAHA MKUBWA KATIKA UTOAJI WA MAWAIDHA......NIMEIPENDA HARAKATI YA CHANNEL HII NA IMENITIA MOTISHA WAKUFUNGUA CHANNEL YANGU ILI KULINGANIA UMMAH JUU YA TAWHEED NA MAFUNZO MENGI YA DINI YA ALLAH NI ONGEZA MIMI NA KILA MJA KATIKA NJIA YA HAKI AMEEN