Тёмный

Hussein Bashe: Ampa Makavu Luhaga Mpina I Tusifanye Siasa Kwenye Mambo Hatari I Bajeti Yapita 100% 

Подписаться
Просмотров 67 тыс.
% 319

Katika kuhitimisha hoja ya bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa siku ya jana na Waziri wa Kilimo Mhe. Husseni Bashe, leo Wabunge waliendelea kuchangia bajeti hiyo ndipo Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina alipochangia mchango hiyo

Опубликовано:

 

18 май 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 146   
@fatimahants1526
@fatimahants1526 2 года назад
Hongera sana mheshimiwa bashe kuwa kiongozi wa mfano kwenye sekta ya kilimo....nk 🖋🇴🇲🇹🇿
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 года назад
Hongera kubwa kwa waziri Bashe Jembe letu MWENYEZI MUNGU ALIYEHAI akulinde akutunze 🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤
@anafisuleimani7083
@anafisuleimani7083 2 года назад
Nakupenda sana kwa ajiri Allah wewe una uzarendo na taifa letu
@barakajames2030
@barakajames2030 2 года назад
MY FAVOURITE MINISTER..MP HUSEIN BASHE
@Pol_Gee
@Pol_Gee 2 года назад
@bashe Mungu akujalie siku ya siku uwe Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...Amen
@ufundi_tz
@ufundi_tz Месяц назад
raisi wa wapi ?
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 года назад
Hongera Mheshimiwa, tunahitaji viongozi kama wewe
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 года назад
Completely right, Marekani wanatoa ruzuku kubwa sana kwa wakulima.
@eliuskivuyo7599
@eliuskivuyo7599 2 года назад
Mh bashe kama hawakuelewi nikwamba hawataki tu sio kweli kwamba haueleweki we chapa kazi Mkuu ikimpendeza mungu siku moja utakua final say ktk nchi hii niswala la wakit na majira tu.
@pastorb.alaurent1006
@pastorb.alaurent1006 2 года назад
Umenena maneno yako Mungu hakutangulie kuyaish kila sku
@ldoom8827
@ldoom8827 2 года назад
This is the right, well informed patriotic citizen of Tanzania. I like his firm stand on facts and data. The power to process info is great. We need such committed citizen who never betray their country. He is an ordinary man but his articulate vision is an asset
@josephbundala8238
@josephbundala8238 Год назад
I don't trust him, Luhaga Mpina is not so unsmart
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 2 года назад
Huyu ndio Rais sasa kama kweli mnataka mrithi wa mama. Mama amuongezee ulinzi huyu kijana.Ni hazina ya urais
@Ahdall
@Ahdall Год назад
Lkn Watanzania na ubaguzi wao watamkubalia Msomali kua rais
@EAST884
@EAST884 5 месяцев назад
​​​Salim tu mzanzibari aliwekewa ZENGWE itakua msomali bashe!!! ccm na watanganyika hawawez kubali haitatokea wanaweza kuvumilia mzanzibari lkn msomali kama bashe au kinana NOOOOO@Ahdall
@Pol_Gee
@Pol_Gee 2 года назад
Huyu jamaa uongozi ujao apewe nafasi ya kuwa makamu wa rais. Tanzania itasogea mbele. This guy is genius
@maulidabdulkadirguled1257
@maulidabdulkadirguled1257 Год назад
Ebana kweli
@topesafi9742
@topesafi9742 Год назад
waziri mkuu sio makamu,kwny hii nchi waziri mkuu ndo mtendaji mkuu kuliko hata makamu
@mbogorasabi5865
@mbogorasabi5865 2 года назад
Uko right Mh bashe.huwa nafatilia Sana speech zako..
@ibrahimjuma903
@ibrahimjuma903 2 года назад
Rais huyooo
@davismwakanyamale6945
@davismwakanyamale6945 2 года назад
Kwangu mimi huyu ni mmoja wa mawaziri bora katika baraza la sasa
@fadhilimwasyeba8548
@fadhilimwasyeba8548 2 года назад
Hongera sana Bashe kweli wewe Mzalendo
@erodeshayo123
@erodeshayo123 2 года назад
Ndoto yangu kwako imetimia sasa nikuombee tena nn jamani hata sijui sasa nikuombee nn ilanamwachia Mungu akupe unacho stahilo Hussen Bashe waziri wetu nakupenda sana kwakweli Mungu amekuona amekupa uwaziri na ndio atakaye kuona ktk hilo unalo stahili nahitaji hata kukuona Mweshimiwa nipate japo nafasi nikupe la moyoni na uniongoze pia
@AmnaayMalley
@AmnaayMalley Месяц назад
Hao wanawivu mweshimiwa Bashay chapa kazi sisi watanzania tunakuamini san san Barikiwe sana
@thomaskabungo2211
@thomaskabungo2211 2 года назад
Hongera Sana Bashe thanks very much
@fundimkuut.v2973
@fundimkuut.v2973 2 года назад
BASHE unajua unajua unajua tena kama magufuli nakutabiria utakuwa rais kwa uwezo wa allah tuseme inshaaah MHESHIMIWA BASHE
@KATOPE1
@KATOPE1 2 года назад
Aamin
@marymsenye6145
@marymsenye6145 2 года назад
inshallah
@martinmngeni5319
@martinmngeni5319 2 года назад
Huyu ndio rais gombea 25 tukupe nchi
@KATOPE1
@KATOPE1 2 года назад
@@martinmngeni5319 kabisa
@ramadhantahila9131
@ramadhantahila9131 2 года назад
in Sha Allah
@nasserabdi2630
@nasserabdi2630 Месяц назад
MashAllah we salute you Minister from Somaliland 💚🤍❤🖤💙
@richardsaidi2448
@richardsaidi2448 2 года назад
Bashe Yuko vizr.but no one is perfect
@knight6757
@knight6757 2 года назад
Big up Mh. Bashe!
@gabrielbahat9107
@gabrielbahat9107 2 года назад
Viongozi kama hawa wanatakiwa sana!
@aronatv47
@aronatv47 2 года назад
Mpina Tangu atolewe kwenye uwaziri Sijui yukojje Hata simwelewii..Anajidai.mjuaj
@richardtungaraza7509
@richardtungaraza7509 2 года назад
Wivu tu,mpina Ana kitu roho inauma,hata mh msukuma aliwahi kumuambia .
@aronatv47
@aronatv47 2 года назад
@@richardtungaraza7509 Wacha imuume tu.Siasa ndivyo ilivyo Leo kwangu kesho kwako..
@mejamiela7436
@mejamiela7436 2 года назад
Namwelewa Sana bashe
@khalfanibobewe4278
@khalfanibobewe4278 2 года назад
Hawalaluan wanatengeneza mazingira ya kuwalidhisha wananchi tu
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 года назад
Mh Waziri tuletee mbolwa za soil nutrion kulingana na Aina ya Ardhi zilivyotafitiwa. Tusing'ang'ane na aina fulani tu za mbolea. Kweli Mh siasa isituharibie kilimo. Pambana kishujaa. Wakulima tuko nyuma nyako. Ardhi zingine zimeshachoka zinaitaji kurudishiwa afya yake (soil nutrition).
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 года назад
Mpendwa mbolea ndo hizo na hazina ubaya kinachobadilika ni dosage ama recomendation kulingangana na virutubisho vilivyo katika udogo wa sehemu husika na ili ujue udongo wako unahitaji mbolea kiasi gani basi inabidi waje wataalam shambani kwako wachukue samuli za udongo na kuupima baada ya hapo watakupa kiwango sahihi cha mbolea kinachohitajika shambani kwako.
@christopherryoba580
@christopherryoba580 2 года назад
Yani wewe bro nakuelewa mno na I wish one-day nitakuona live
@kulishaandry5730
@kulishaandry5730 2 года назад
Mh. Waziri Bashe, dhamira yako ni njema sana.... Kamwe usipuuze hoja za mh. Mpina, tunataka maboresho yenye tija zaidi. Sijapenda namna uliyotumia kumjibu, msiaibishane tunawahitaji sana.
@zuberijuma7366
@zuberijuma7366 2 года назад
Ulitaka ambembeleze
@ebenezerkaaya7345
@ebenezerkaaya7345 2 года назад
Ulitaka amuache apotoshe?? Kwan Tz tunaviwanda vngap vya mbolea useme wizara ndo inapandisha bei, haya mambo ya mbolea mafuta n mambo ya dunia and there is no excuse
@esterkiyabo1329
@esterkiyabo1329 2 года назад
🙏
@esterkiyabo1329
@esterkiyabo1329 2 года назад
🙏
@timboxlee919
@timboxlee919 2 года назад
Shida kwanini bei ya mbolea iko juu tanzanie, tu,,bashe kishanunuliwa na mafisadi
@saidkanji9882
@saidkanji9882 2 года назад
2025 atumpi alitaka kutufukuza pugu eti kisa ng'ombe mpina mjinga sana
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 2 месяца назад
Kaka nakukubali Mm fundi gereji apo kwenye sabostalaizi umeniacha mbali nimekumbuka shokap za pikapu
@allymansur8155
@allymansur8155 2 года назад
Bashe wape ukweli wapuuzi kama hao ambao wakati wa uongozi wao walikuwa ni chawa tu.
@pastorsthenksrojaskapunga6843
@pastorsthenksrojaskapunga6843 Месяц назад
Kutoka 1:8,10 [8]Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. Now there arose up a new king over Egypt, which knew not Joseph. [10]Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii. Come on, let us deal wisely with them; lest they multiply, and it come to pass, that, when there falleth out any war, they join also unto our enemies, and fight against us, and so get them up out of the land.
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 2 года назад
Huyu kijana namwelewa sana
@justinmwamloso7559
@justinmwamloso7559 5 месяцев назад
Tz kila kitu ni siasa kwa hali hio mmmh
@CashKassim
@CashKassim 12 дней назад
Mheshimiwa bashe hakuna mtanzania asiyekuelewa tunakuelewa
@mohammedhimba1647
@mohammedhimba1647 2 года назад
Bashe katika wanasiasa ninaoamini wanafaa kuwa marais hapo baadaye wewe mmoja wspo
@pascalnicolaus6986
@pascalnicolaus6986 2 года назад
Poole Luhaga mpina huyu sio level yako! Jiandae kwa ukweli na si siasa za kumchafua huku ukweli ukiujua.Uliyoyafanya ukiwa waziri ukitaka tutakukumbusha.Bashe is another level na ni hazina ya taifa hili
@ahadimwakaniemba8401
@ahadimwakaniemba8401 2 года назад
Asante ukweli ndio unaotakiwa.
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 2 года назад
Mpina alitembea na rula ya kupima samaki Sasa abane mkundu c wakati wake
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 2 года назад
😀😀😀😀
@aloycekaguhi7959
@aloycekaguhi7959 2 года назад
Utazani kwel sema hii NCHI ngumu Sana😂😂
@Muganyizi
@Muganyizi 2 года назад
😂😂😂😂😂
@abdallahally842
@abdallahally842 2 года назад
Fact
@BuluguJames
@BuluguJames 2 месяца назад
Good 👍
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Год назад
Haya Mpina Tender hiyo ya Tani 4000 lete USHAHIDI, Tenda umepata, Bashe kasema wazi tumemsikia mie SHAHIDI yako endapo utaleta Ushahidi wako halafu akunyime Tender weeeee
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 2 года назад
Kwa hoja za mpina kajipange upya japo nakukubali
@thomastarimo
@thomastarimo Год назад
Sawa kabisa kaka useni uyo bwana suzu
@CashKassim
@CashKassim 12 дней назад
Bashe achana na wafu hawana jipya
@sambayimichael3360
@sambayimichael3360 2 года назад
Hivi ccm mumelogwa na nani kila kitu makofi tu?
@allymusira2153
@allymusira2153 Год назад
Hiki kichwa Safi sana
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 Год назад
MPINA ANA CHUKI BINAFSI KWA WATU FULANIFULANI WAJUAJI WANAELEWA.
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 2 года назад
Luhaga Mpina uko sahihi hao wapigaji
@josephandrew3444
@josephandrew3444 2 года назад
Inatakiwa mraruane kabisa ili raia tupate watetezi jmn ikiwezekana mpigane kbs maana wote ni ccm
@user-sp5sh4lr2q
@user-sp5sh4lr2q 5 месяцев назад
Ila kubali ushauri
@josephatkiliko2546
@josephatkiliko2546 2 года назад
🙏🙏🙏🙏
@eliniemalema8152
@eliniemalema8152 Год назад
🙏🙏
@raymondmsuya7127
@raymondmsuya7127 2 года назад
Waziri wangu
@emmanuelisarria6321
@emmanuelisarria6321 5 месяцев назад
💯👍👍
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 2 года назад
Vitu vingine leteni hoja kwa iyo hayo mataifa yanayouza mbolea kwa Bei nafuu kutoka afrika je hawapo kwenye mfumo wa soko la dunia.
@bonifacejames34
@bonifacejames34 2 года назад
Wanatoa Ruzuku kubwa ya Mbolea ambayo Mpina ndiyo anaipinga
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 2 года назад
@@bonifacejames34 kwani serikali haiwezi kutoa ruzuku kubwa ili kushusha Bei ya mbolea?
@hijazhija316
@hijazhija316 2 года назад
Katumwa
@grolygeophrey6047
@grolygeophrey6047 2 года назад
Acha ujinga kazi ya kiongozi ni kutatua changamoto cyo kuzungumza ujinga huo sasa makofi ya nni???
@bonifacejames34
@bonifacejames34 2 года назад
Kama huo ni ujinga umepoteza muda wako mwingi uliokwenda shule😄
@menovicmushy1032
@menovicmushy1032 2 года назад
kichwa hiki
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Год назад
Raisi wangu ajaye
@josephbundala8238
@josephbundala8238 Год назад
Wabunge kupiga mikofi tu bila kuhoji
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 года назад
Wengi wana-comment kwa Mihemko tu humu.Yaani kama waziri Bashe asinge simama basi kila mtu angemuona Mpina ni Shujaa.Ameulizwa Maswali mengi ya Msingi hapa lakini anajibu kwa Panic,why you people want to establish Bank ya Ushirika haliyakuwa wakulima tayari wanayo bank yao? Na ikiwa BOT ndio ya Toa Sera,mbona basi msiiweze Bank iliyopo Sasa? N.k,ingawa nampenda pia Bw.Bashe.
@frankmwakatundu9856
@frankmwakatundu9856 2 года назад
BASHE NI MZALENDO WA KWELI NAKUOMBEA AKIUALIE UWE RAIS WA TAIFA HILI ILI TUJE TULE MEMA YA NCHI YETU!!! HAKIKA WEWE NI MZALENDO KUTOKA NDANI YAMOYO WAKO, TUMEWAONA WENGINE NI WAZALENDO WA KUVAA MASHATI YA RANGI YA BENDERA YA TAIFA, WANAVAA TAI YA RANGI YA BENDERA YA TAI KUWASHIRIA KUWA NI WAZALENDO KUMBE NDANI YAO NI MBWA MWITU, TUKILALAMIKA JUU YA MAMBO KADHAA YA YASIYO FAA WANATUAMBIA TUHAME TWENDE BURUNDI LOOH!!!
@janechriss8118
@janechriss8118 2 года назад
Hee!!!! Wamegeukana
@user-mi8bw4gv4c
@user-mi8bw4gv4c Месяц назад
Wapiga makofi wazee wa ndio Kila kitu
@michaelmwakifwamba909
@michaelmwakifwamba909 2 года назад
Unaongea na sisi wakulima,lakini unachanganya Lugha,baadhi yetu hatukuelewi japo nasikia umeongea vizuri,tumia Lugha moja au basi!
@maulidabdulkadirguled1257
@maulidabdulkadirguled1257 2 года назад
ulikimbia shule nini
@janechriss8118
@janechriss8118 2 года назад
We Bashe wewe hicho kiingereza wanakielewa?????
@malelabmalela5016
@malelabmalela5016 2 года назад
Saf dogo
@junioramos1338
@junioramos1338 Месяц назад
Ichi kwicha magufuli akikiamin Sana.... Na rais anatakiwa Sana kuwa kama uyu mtu
@williammwallo9031
@williammwallo9031 Месяц назад
Mh,bashe,wewe,nijembe,ulaya
@SurprisedDachshund-rc2fw
@SurprisedDachshund-rc2fw 28 дней назад
Bashe msomali anaukumu watanzania wajinga wanapiga makofi
@mwidinijuma8214
@mwidinijuma8214 2 года назад
Punguza vingereza wakulima wa nzega wakuelewe .
@mnyetikulwa4510
@mnyetikulwa4510 2 года назад
Kama ulikuwa humwelew n ww tuu
@geofreystephen8499
@geofreystephen8499 2 года назад
For someone who knows this good english,is it really that hard to say,"it is very dangerous"😒instead of "it is very danger!"? Viongozi mnatuaibisha bhana
@eliasjuma4635
@eliasjuma4635 2 года назад
wanatuvuruga kwa kweli
@suleimanalkindy6502
@suleimanalkindy6502 2 года назад
Hata lugha mama ya kiswahili tunafanya makosa ya kisarufi. Ni jambo la kawaida.
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 года назад
GEOFFREY, ulimi Umeteleza tu. Hivi unaamini Mh BASHE anashindwa kuzungumza kwa UFASAHA kweli
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 года назад
Cha muhimu kaeleweka
@zuberijuma7366
@zuberijuma7366 2 года назад
Weeee nawe huna hoja za msingi
@mdimimdimi4282
@mdimimdimi4282 2 года назад
Mibunge mikundu ya nyani yote inayoshangilia
@deogratiusnjau1744
@deogratiusnjau1744 2 года назад
Inafanana na ya wazazi wako
@mdimimdimi4282
@mdimimdimi4282 2 года назад
@@deogratiusnjau1744 matako ya mzazi wako mwenye maziwa makubwaaaa
@georgemhalla8853
@georgemhalla8853 2 года назад
Umerogwa wewe
@mdimimdimi4282
@mdimimdimi4282 2 года назад
@@georgemhalla8853 umelogwa mkundu wakoooo
@zumbemaganga169
@zumbemaganga169 2 года назад
wewe bashe usilete maneno mengi ya kuzungumzia jimbo la mpina ss halitusaidii zungumzia utatuzi wa changamoto ya mbolea ishuke bei..usilete uswahili mwingi apa
@mhiyaoswedi4499
@mhiyaoswedi4499 2 года назад
Acha uchawi umesikia jimbo la mpina tuu vingine hujasikia
@zumbemaganga169
@zumbemaganga169 2 года назад
@@mhiyaoswedi4499 nimesikia vitu vingi, wazir hatakiwi kuzungumzia jombo la mtu...anatakiwa azungumzie utatuzi wa mbole sisi tunaolima tunajua maumivu ya mbole..maswala ya kuzungumzia jombo la mtu halitusaidii hayo mambo yakuchambana ni maswala ya kike! wewe akizungumzi Jimbo la linakusaidia nn? Labda Kama unaishi kwenye ilo jombo la mbina sawa..serikali ujitahid iweke ruzuku kwenye mbolea kama nchi za jirani zetu walivyofanya..
@mhiyaoswedi4499
@mhiyaoswedi4499 2 года назад
Ungesiliza swali la mpina kwanza ndio uje umjaji ila wewe umemu atack bashe,mpina kamkejeli bashe kwenye swali lake
@zumbemaganga169
@zumbemaganga169 2 года назад
@@mhiyaoswedi4499 hapana nimesikiliza mwanzo mpaka mwisho...ukisha kuwa bungeni na wewe ni wazir jibu mambo ambayo ya msingi mfano mpina alizungumzia maswala ya bank mana Kuna baadhi ya bank zingine zinaanzishwa kwa ajili ya upigaji anataka tuanzishe banki ya ushirika wakati bank ya kilimo bado haiko sawa wala haijawezeshwa vizur ilikusudi wakulima wapate mikopo nafuu na isiyokuwa na riba kubwa! lakini mpina alitoa ushauri mzuri kuwa tusianze kuanzisha mabanki ambayo tunaanzisha mwisho wa siku hatufikii lengo tunaanzisha kitu kingine...mana Kuna watumishi wengine sio waaminifu wanakula izo ela! yeye anasema kuwa soko la dunia mbolea imepanda nchi za wenzetu wameweka ruzuku kwenye mbolea ndio manaa ipo bei ya chini ata yy mwenyewe ametoa takwimu kuwa wemeweka ruzuku,alafu sisi tunaviwanda vya mbole kwa mfano kile Cha Arusha minjiku..kwa nini serikali isiweke ruzuku ili wakulima tupate unafuu..sisi uku tumelima kidgo kwa sababu ya bei ya mbolea imeshout kwa kasi Sana kutoka elfu 50 mpaka laki na 20 na 30 mfuko mmoja na huwezi kulima kwa mbolea ya aina moja Kuna Dap,Urea na Can bro kama wewe ungejua changamoto jinsi zilivyo, ila kama sio mkulima utaona kitu Cha kawaida Kuna watu wameamua tu kulima bila mbolea ukienda kuangali shambani hakuna kitu...
@godlovekamuntu973
@godlovekamuntu973 2 года назад
Bashe unamiliki heka ngapi zilizovunwa? Ingekuwa vzr Waziri km ilivyo wizara yako apimwe kwa ufanisi wa mafanikio ktk mashamba anayoyamiliki. Ndyo apewe kijiti kusimamia wizara.
@FelisterByengoma-do5ln
@FelisterByengoma-do5ln Год назад
Mheshimiwa Bashe wewe ni jembe
@user-nm7hl5iw5n
@user-nm7hl5iw5n Месяц назад
Muongo huyu
@timboxlee919
@timboxlee919 2 года назад
Wewe bashe ushanunuliwa na mafisadi, punguza bei ya mbolea acha kumsema mpina, ufisadi tu ,Rip JPM
@mnyetikulwa4510
@mnyetikulwa4510 2 года назад
Umeyumba ww
@jameschambuya4874
@jameschambuya4874 Год назад
Nakupongeza kwa kweli kwa kazi nzuri Ila tu wakulima wa wilaya ya Malinyi hatujapata mbolea hiyo ya ruzuku hadi Leo. Mvua zimeanza kunyesha
@hamidurashid9609
@hamidurashid9609 2 года назад
Kwann mnapenda kuongea kingerea bungen munazingua
@nyabendasayumwe8514
@nyabendasayumwe8514 2 года назад
Huyu ni mpiga dili
@lucasbartazari7797
@lucasbartazari7797 2 года назад
" ....very DAGER !" hahaaaaa! Hakuna kitu huyu mtu. Kelele tu na upigaji mwingi. Tunamjua Bashe na Rostam Aziz wake. Bashe anapotosha kabisa! Ameulizwa mambo mawili muhimu: 1. Benki ya ushirika na 2. Bei ya mbolea. Anaeleza bei ya mbolea kwa uchungu utadhani kweli ana niya njema na kukwepa la benki ya ushirika. Ukweli ni huu; 1. Benki ya ushirika ni mipango yao wafanyabiashara ambao ndo sponsors wake ktk siasa. Hataku kueleza kwa nini anaachana na benki ya kilimo ambayo ipo, sasa nakimbilia ushirika. huu ni ujinga tu! 2. Mbolea ilipanda kabla ya vita ya ukraine. Hizo bei za mbolea nazotaja duniani siyo bei halisi maana hajaeleza ni bei kwa uzito gani. Bei zimeharibika mikononi mwake kwa kudekeza wafanyabiashara wake. 3. Historia ya miaka ya 90 anayosema kwamba yalikuwa maamuzi ya watanzania wote, huu ni ujinga! Ni serikali ndo hupeleka sera Bungeni na kulazimisha zipite. Sera nyingi hupita baada ya wafanyabiashara na wanufaika kuwahonga wanasiasa. Kwenye mafuta ilikuwa hivyo enzi za waziri Mkulo akaondoa kodi baada ya kuhongwa na wahindi wanaoagiza mafuta toka Malaysia!! RUBBISH!
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 2 года назад
Acha makasiriko bro 😎 Leta ushaidi hapa tuone
@hasinauuwimana8405
@hasinauuwimana8405 2 года назад
Ila ukitazama Bashe alimwambia asitumie kelele tu, amemuomba alete ushahidi penye hizo mbolea zinauzwa bei rahisi, nazani Bashe iko open sana
@emmanuelnjawa3664
@emmanuelnjawa3664 2 года назад
Nadhani wewe ndiyo unayeongea RUBBISH STUFF. This boy is among the few Ministers who need to.be applauded.
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 2 года назад
Wewe mvunja moyo Bashe ni kichwa acha uzushi
@hasinauuwimana8405
@hasinauuwimana8405 2 года назад
@@stephanokaaya1881 akawaulize wakulima ndio wanajibu kwa Bashe, maana sisi kazi yetu nikujadili mitandaoni tu