Тёмный

HUU MWAKA HAUTAISHA KABLA YA TWAHA KIDUKU NA MWAKINYO KUPIGANA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 18 тыс.
50% 1

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 7 месяцев назад
Mwakinyo babu wa ngumi tz kiduku mtoto mwakinyo another level ila ngumi haina mwenyewe lakin twahha kumpija mwakinyo si rahisi
@SalimAbdallah-tg1yo
@SalimAbdallah-tg1yo 7 месяцев назад
Twaha kaporomoka Sana kiwango tuweni wa kweli asije akakkubali kupijana Na mwakinyo litamkuta kitu kibaya Sana
@michaeljames3480
@michaeljames3480 7 месяцев назад
acha wongo 😅
@festopaul7549
@festopaul7549 7 месяцев назад
JIDANGANYE MCHEZO WA NGUMI NI KAMA MPIRA TU UNABADILIKA KUTOKANA NA MPINZANI UNAEKUTANA NAE..
@allahisone6386
@allahisone6386 7 месяцев назад
​ KWEL SASA
@omarykalulu-cw5kt
@omarykalulu-cw5kt 7 месяцев назад
Kwa mtazamo wako ndo unaona hivyo mwakinyo hilo pambano hatoboi nipo pale niitwe mbwa miaka yote anamuogopa kiduku miaka miwili hii ndo kaona anamuweza kwa kipimo gani kisa anapiga tiz na wazungu tutamuona mitazamo yetu itapata majibu
@omarykalulu-cw5kt
@omarykalulu-cw5kt 7 месяцев назад
Wewe ndo usipigane na mwakinyo usimwambie kiduku
@upmmwambwalo5
@upmmwambwalo5 6 месяцев назад
Msichokijua hata leo mkiweka pambano kati ya kiduku na mbabe,bado m'babe atapigika tu,sababu wote wanagombana wakiwa ulingoni,na kiduku ni mvumilivu na ana stamina kubwa!sasa mabondia hawa ukiwapa boxer mwenye stamina uvumilivu na skills/maarifa makubwa,ambayo kiduku na mbabe hawana,wanakaa haraka sana! pambano zote alizopigwa kiduku nisababu alizidiwa maarifa/skill na wala siyo nguvu!bondia mzuri ni yule ambae haruhusu pigo limuingie kwanamna yeyote!na bahati ikiingia,uvumilivu mkubwa uwepo! ushauri wangu kiduku asikubali ulingo na Mwakinyo!labda kamchukueni yule muafrika kusini aliyempiga kiduku pale mwanza,if not mistaken!Ndiye mumletee mwakinyo
@omarykalulu-cw5kt
@omarykalulu-cw5kt 7 месяцев назад
Mwakinyo miaka yote anawaogopa dulah na kiduku leo hii ndo anajitutumua mwakinyo hamalizi round atashindana ila hatashinda maneno yachukueni hayo
@Nurdinimohamedy
@Nurdinimohamedy 7 месяцев назад
Yangu macho tu 😂😂😂
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr 7 месяцев назад
Mwkinyo yupo sahh
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 7 месяцев назад
Tatizo watu boxing haijui twaha anajua Kupigana ila mbinu zake za wapiganaji wandani na hana experiace na new boxers( mwili mkubwa na nguvu anazo ila hana uwezo wa kufosi mapigo…..na ngumi zake zakusikilizia na miguu mizito sana ,,kumpiga mwakinyo ana asilimia chache sana labda mola apitishe rehma zake
@riziwan9709
@riziwan9709 7 месяцев назад
Uyo dogo baikoko atayakanyakaga tu nyie kuwen mashahid 😅😂😂
@officialkdee35
@officialkdee35 7 месяцев назад
Mwakinyo anataka heshima
@maxmia100
@maxmia100 7 месяцев назад
Kwahiyo ameona kiwango kimeshuka
@omarykalulu-cw5kt
@omarykalulu-cw5kt 7 месяцев назад
Mwakinyo anaponzwa na mdomo
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 7 месяцев назад
Team mwakinyo nipo
@LevocatusKulinyangwa-sb3ps
@LevocatusKulinyangwa-sb3ps 6 месяцев назад
Viatu visije kumbana tena twaha kajilegeza Ili mtu aingiee kichwa kichwa
@selebrumofficial8240
@selebrumofficial8240 7 месяцев назад
Anaonge tu mwakinyo hana moyo wa kupanda na kiduku uringon nipo paleeeeeee😂
@user-lk8ws3fz9x
@user-lk8ws3fz9x 7 месяцев назад
Wew unaongea upuuz gan twaha ana kitu gani huyu
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 7 месяцев назад
Na twaha akitaka kujipima aombe kupigana na indongo au katembo!!! Halafu uwezo wakubloki ngumi ni mdogo sana
@user-xx7ch6kw2u
@user-xx7ch6kw2u 7 месяцев назад
twa anakweda kujichimbia kabulini kumfata cheka
@rajabdanga8590
@rajabdanga8590 7 месяцев назад
Wamemchokoza wenyewe
@StevenMgassa
@StevenMgassa 7 месяцев назад
Mbona alikataa wakati Twaha wa moto Sasa hasa hiv kamuona ameshuka ki uwezo na ndo anamtaka
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 7 месяцев назад
Jidanganye mchezo unabadilika kutokana na mechi
@nicholauskakolanya743
@nicholauskakolanya743 7 месяцев назад
Hata Sasa Bado Mwakinyo hamuwez twaha
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 7 месяцев назад
ilo pambano ilo liwe mapema embu
@kiya0910
@kiya0910 7 месяцев назад
Mwakinyo ataka Kiki Tu juu kashuka mwakinyo
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 7 месяцев назад
Mwakinyo ataopigwa na ana hofu pindi ivyokua anahijiwa
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 7 месяцев назад
Kiduku mbinu zake za zamani ..jamaa abadilishe trainer asiwe mkaidi
@user-nn7uf1mr7x
@user-nn7uf1mr7x 7 месяцев назад
😂😂
@SelemaKidundo-ii2pz
@SelemaKidundo-ii2pz 7 месяцев назад
Twahahamuwezimwakinyo twahaazidimazoezi labdamajiha
@user-qc2pr3wx6l
@user-qc2pr3wx6l 7 месяцев назад
Timu mwakinyo tupo
@user-tn4ny3ii2t
@user-tn4ny3ii2t 7 месяцев назад
Siokweli mwakinyo anachokitaka niheshimatu
@user-cc2mi1mr5r
@user-cc2mi1mr5r 7 месяцев назад
Nyie twenden tu atajulikana nan dada tu
@abdallahussi2978
@abdallahussi2978 7 месяцев назад
Nimeona clip moja inasshiria hofu kubwa kwa mwakinyo mbele ya twaha kiduku, mpakaanatoa mfano wa boxer aliyekuwa na mwili mkubwa na yeye akampiga knock out hivyo ndivyo anavyomfananisha na kiduku kwamba duku ana mwili mkubwa na yeye ana mwili mdogo lakini ina maana atamshinda hii yote ni uwoga tena woga mkubwa mpaka unakumbushia vitu vya zamani, jasiri siku zote hana maneno mengi jasiri siku zote anasonga mbele tu, jasiri anafanya kwa vitendo na sio kwa maneno , ianakuwa kama mlevi saa sita usiku anarudi anaimba anatukana anatoa vitisho vingi we jifiche alafu rusha jiwe uone atakavyotoka mbio, hatuhitaji maneno mengi tunataka tuone ngumi, nitashangaa sana kama nitamwona kidudu akijibu
@kelementbushishi3687
@kelementbushishi3687 7 месяцев назад
😂😂😂
Далее
MSUKUMA OG KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU
12:28
Просмотров 1,2 тыс.
🛑самое грустное видео
00:10
Просмотров 160 тыс.
Опасная Морская Пена! 🤯
0:25
Просмотров 2,2 млн
BIGAVOY DAROSHKA #shortvideo
0:18
Просмотров 2,9 млн
45 ИЛИ 90
0:33
Просмотров 6 млн