Тёмный
No video :(

HUU NDIO MUONEKANO WA DARAJA LA KIGONGO - BUSISI MWANZA 

barmedastv
Подписаться 128 тыс.
Просмотров 57 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 авг 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@directorammyb5179
@directorammyb5179 4 года назад
Jiji la miamba noma gonga like kama ww ni mwana mwanza na Subscribe ili nifike mbal kama ww au wengine mwanza oye Tanzania oyeeeee
@frankyohana5617
@frankyohana5617 3 года назад
Ila lingekuwa linaambatana na reli ya SGR kwa juu au pemben ingenoga sanaaa
@Nedjadist
@Nedjadist 4 года назад
Moja ya sharti za uandishi wa habari ni kuwa na lafudhi sahihi katika lugha unayoitumia kwa kazi yako. Kutokidhi sharti hilo ni sababu kuu ya mtu kutoajiriwa. Watu wanaopokea habari wanafanya hivyo kwa sababu nyingi, mojawapo kujifunza lugha. Hii Laisi, Dalaja, Magali nk..
@audifasmassera1289
@audifasmassera1289 4 года назад
Taaluma imevamiwa!😀😀😀
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 4 года назад
Kuna tatizo kubwa sana la lugha fasaha na utamshi wa maneno, hawa watangazaji ni aibu tupu.
@freddymello3227
@freddymello3227 4 года назад
Mwanza ,Shinyanga,Bukoba stand up!! Maendeleo yanakuja.
@polloz77
@polloz77 4 года назад
Safi sana Awamu ya Tano Congratulations kwa kazi nzuri mnayofanya
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 4 года назад
Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 4 года назад
Big up Rais wangu ninakukubali sana
@zefaniasalehe4799
@zefaniasalehe4799 4 года назад
Kuna wasom hum kumbe😂😂😂😂nisemetu hongera sana mweshimiwa magu
@pujimontanapachino4958
@pujimontanapachino4958 4 года назад
Me nauliza swali hivi zile pesa zandani b4 mika hii 5 zilikua wapi me ningekua ndio magufuli ningenyonga wale viongozi wezi wote pumbavu kabisa walikua sio wazalendo kabisa yani nchi ilikua maskini yamwisho kupe pesa zipo na nchi inaweza kujiendesha mungu ampe nguvu Dr magufuli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni binadam atukamiliki
@audifasmassera1289
@audifasmassera1289 4 года назад
Duh! "Magali" Matamshi ya herufi "L" na "R" kazi kweli! 😁😁😁
@ahmedjeizan7102
@ahmedjeizan7102 4 года назад
Kabisa huyu hajui matumizi ya R kwenye L wala hajui lais ndio Rais bandali sio BANDARI MJINGA KABISA
@nelsonsalumuclovis753
@nelsonsalumuclovis753 4 года назад
Uyu magu bwana,niatari sana
@joakimamitai9722
@joakimamitai9722 5 лет назад
Big up
@rahelkachilu5744
@rahelkachilu5744 3 года назад
Hongera swam ya tano
@daudsteven4232
@daudsteven4232 5 лет назад
tunalisubiri kwa hamu sana na kwa shauku
@fatushinapeiabdi6130
@fatushinapeiabdi6130 5 лет назад
Ongera sana
@kassimulugajo6512
@kassimulugajo6512 4 года назад
upo mwanza sehemu gani mrembo
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 3 года назад
Dasa watu wa mwanza mmeona juhudi za magu bado mnamshangilia lisu haki ya Mungu mkimpitisha lisu vyote hivyo vinayeyuka hamtaamini huyo
@josephmalisa2987
@josephmalisa2987 4 года назад
Wewe msomaji jaribu kutofautisha "R" na "L" penginevyo unachokisoma ni "FAKE NEWS"
@khairbinjumaa5545
@khairbinjumaa5545 4 года назад
Kama unaweza kutamka takriban sasa gari unashindwaje.. Update! Unatamka ukarabati vizuri lakini bandari unachemsha? Kwenye sentensi hiyo hiyo?
@daudsteven4232
@daudsteven4232 4 года назад
Yaani mm ndo basi siku likimalizika nitafurahi sana
@abdallahsaid8157
@abdallahsaid8157 3 года назад
Hivi hizo ferry zinatumia muda gani kuvuka upande wa pili???? Mwenye kujua anifahamishe!
@estherpeter5103
@estherpeter5103 3 года назад
Dkk 30 to 40
@catherinecostantino2034
@catherinecostantino2034 3 года назад
Boat na me meli zitaweza kupita kwa chini ?
Далее
Fancy VS Classic #shorts  @CRAZYGREAPA
00:33
Просмотров 788 тыс.
KARIBU MWANZA: Jionee kisiwa kiitwacho "SAA NANE"
6:59
Congo, Thrill of the River | Deadliest Journeys
49:39
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Просмотров 6 млн