Тёмный

VIDEO: MUONEKANO WA DARAJA LA MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI), 'KUANZA KUTUMIKA DISEMBA 30 MWAKA HUU' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Месяц назад
Angekuwepo mwamba lingeisha isha siku nyingiiii
@salomewandya7257
@salomewandya7257 28 дней назад
Kabisaa
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 23 дня назад
Acha unafiki wewe.. we unajuwaje wewe? Huenda angekuwepo pengine asingeweza kulikamilisha... we mwenyewe huijui kesho yako kama utaamka mzima au lah.. Sasa hayo ya magu eti angekuwepo daraja lingeshakamilika wewe unayajuwaje? au unadhani ujenzi wa daraja ni sawa na ujenzi wa kibanda Cha kuku eti?
@giftchristianmeela1409
@giftchristianmeela1409 Месяц назад
Pongezi kwa walipakodi wote cheers to us 🥂
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Месяц назад
Magufuli continue to rest in peace uncle 💌
@vellenahfuraha6254
@vellenahfuraha6254 Месяц назад
Mmechelewa sana.
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 Месяц назад
Jamani jitahidini sana daraja lianze kutumika kabla halijaanza kuchakaa Tena likakarabatiwa bila kutumika maana ni mda mrefu
@vellenahfuraha6254
@vellenahfuraha6254 Месяц назад
Angekuwepo mwenyewe lingeshapitika.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 28 дней назад
RIP Baba yetu Magufuli
@user-rz2dt2cn3p
@user-rz2dt2cn3p Месяц назад
MUNGU AWAONGOZE MAFUND LIISHE KABSA MAANA TUMECHOKA KIVUKO CHAMKOMBOZI KUNAVUMBI NJIAYAKUINGILIA
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 Месяц назад
R I P JPM 😭😭
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Месяц назад
JPM: Asante mwamba, pumzika kwa amani. Tutaendelea kukukumbuka daima.
@mwemezieladius5261
@mwemezieladius5261 Месяц назад
R.i.p jpm
@Madizizi
@Madizizi Месяц назад
Sasa tarehe 30 desember kweli sasa hiyo si 2025😅
@officialdana5114
@officialdana5114 Месяц назад
Magufuri wewe😢😢😢😢😢😢
@user-bz7zt8np8m
@user-bz7zt8np8m Месяц назад
Kazi iendelee
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Месяц назад
At least Tanzania Kodi zetu Wananchi zinaonesha utekelezaji katika Miradi ya Maendeleo tofauti na wenzetu wa Kenya ufisadi umekithiri. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee🇹🇿🇹🇿
@bonvivant3704
@bonvivant3704 Месяц назад
Mscheeew 🙄🙄
@richardbegga6679
@richardbegga6679 Месяц назад
Umewahi fika Kenya lkn?
@fififay4558
@fififay4558 27 дней назад
Useless,tafuta dongo kundu bridge hapa RU-vid ,lamu lapset corridor all complete projects but hatuna kelele kama nyinyi
@carolyneogall8967
@carolyneogall8967 Месяц назад
Alafu watu wanasema mama hafanyi kazi jamani hiyo nini aikazi 😊
@ivanherman6236
@ivanherman6236 Месяц назад
Kajenga yeye😂😂
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 25 дней назад
Ni mwendslezo wa kazi alizozianza Magufuli 😅
@MadilishaSimon-sb9kk
@MadilishaSimon-sb9kk Месяц назад
Rais Samia tunashukuru kuendeleza mazuri ya Jpm
@DadysBoy.
@DadysBoy. Месяц назад
million 500 au billion 500? jaman nisaidien wanda sijaelewa yan ilo faraja ndo milion 500 mbona ndogo sana.
@daudwilson8326
@daudwilson8326 Месяц назад
Ni Billion 500 (500B) Tsh.
@iddikimia4951
@iddikimia4951 Месяц назад
Billion 500 bila Kodi rudia ku play video
@erickwanjarajr5707
@erickwanjarajr5707 Месяц назад
I am not show, keep my words
@officialdana5114
@officialdana5114 Месяц назад
Shid ni kweny izo nukta .61 zinafanyaj
@aminata3702
@aminata3702 Месяц назад
from FAST to SLOW
@DansonMtambi-fq2ff
@DansonMtambi-fq2ff Месяц назад
Magufuri upo kwenye mioyo ya watanzania daima tutakukumbuka😢
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
WAOO❤❤❤ SAF SANA SAMIA 5 TENA
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 Месяц назад
Kwan kajenga Samia
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 25 дней назад
Magufuri ndo aliplan sema akawahi kuondoka Duniani😂😂😂
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei Месяц назад
Hapa wa kushukuriwa ni sisi walipa kodi, congore kwetu watanzania woteee tunaolipa kodi
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 9 дней назад
Sio kigogo ni kigongo maana yake kwa kisukuma huruma..wewe unaesema kigogo kuma nyoko Ako
@m_x2933
@m_x2933 Месяц назад
Izi ndo projects ambazo zinakidhi kuwa VAT free sio uhuni wa mwigulu na bashe kufanya VAT free uagizaj wa sukari zaid ya lak 4..akasemee VAT 510 billions sawa na ela ya kujenga ilo daraja...daaahhh
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 Месяц назад
Hongera Serikali Yetu Tanzania kwa Kutekeleza Miradi Mikubwa kwa Manufaa ya Wananchi..Hogera CCM hongera Raisi Wetu Samia Suluhu Hassan 2025.
@NammanaMobile
@NammanaMobile Месяц назад
Mbona sijaelewa apo naona kama kuna ardhi imetoka mwanzo wa had mwisho kwann isingepigwa rami tu apo kwenye ardhi
@Bartle20
@Bartle20 Месяц назад
Hiyo sio ardhi hayo ni magugu maji yametuama hapo hata kama ingekuwepo ardhi ni lazima pangeinuliwa tu.
@musakatwale1959
@musakatwale1959 25 дней назад
JPM KWANGU NI MUNGU MAANA JAPO AMEKUFA LAKINI YUKO NASI KIROHO NA ATATEKA UCHAGUZI UJAO 2025 JAPO KASHALALA
@jumahamadkali4683
@jumahamadkali4683 Месяц назад
Samia anaupiga mwingi
@joshuamsolla7376
@joshuamsolla7376 Месяц назад
mavi
@dancerboy2686
@dancerboy2686 Месяц назад
labda anapiga matako yko
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Месяц назад
​@@joshuamsolla7376kama hutaki jinyonge
@MarryCharles-rc6ei
@MarryCharles-rc6ei Месяц назад
Hujielewi, kodi yako acha usengee.
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Месяц назад
Hapa kwa manufaa ya Taifa tuseme pongezi kwa juhudi za Mheshimiwa Rais Dokta Samia na Wizara ya Ujenzi japo ni wajibu wao kuunganisha Wilaya, Mikoa na Nchi za Jirani katika ukuaji wa Uchumi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee🇹🇿🇹🇿
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l Месяц назад
Pongez kwa magufuli wew❤❤
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb Месяц назад
Watu wengine ni wapuuzi leo magu mnamsahau mpongezeni mam ila pia usisahau hii miradi ni ya magu
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 Месяц назад
Mama Samia anaingiaje hapa? Tumwogope Mungu, hapa wa kupongezwa ni hayati JPM. Mama apongezwe kwenye utalii lakini daraja hili, lile la Dar, SGR, bwawa la mwl. Nyerere WA kupongezwa ni kijana wa Chato
@dancerboy2686
@dancerboy2686 Месяц назад
wee nae ni nyumbu tu
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Месяц назад
​@@fadhililihinda6491Tumia akili pia maana na yy angeiwacha akaja na miradi yake mengine uongozi ni taasisi alipo acha mwenzako wewe ndio una endeleza
Далее
Я тоже так могу
00:12
Просмотров 897 тыс.
Иран и Израиль. Вот и всё
19:43
Просмотров 1,5 млн
China's $100BN Himalayan Mega Dam
22:52
Просмотров 1 млн
USA and Russia Military Power 2024
9:17
Просмотров 362 тыс.