Тёмный

HUU NDIO WOSIA WA MBARIKIWA KWA WATOTO WAKE. 

Devotha Sanga
Подписаться 383
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@JonathanLugna
@JonathanLugna 5 месяцев назад
Ninacho kupenda MCH ni jinsi ulivyofauru kuwaunganisha washiriki wako na kwenda pamoja nao Hakika wamemeza roho yako kama baba kama mimi ningekuwa hapo mbeya hakika ningekuwa mshirika wako Napenda msimamo wako Songa mbele kina yeremia waliwekwa sero ya shimo lenye tope lakini walipotoka hawakuacha kusema kweli ya Mungu UBARIKIWE SANA MCH BARIKIWA
@annasam-nw4sw
@annasam-nw4sw 5 месяцев назад
Oooh Tembea na Yesu ameeeen ee ameeen eee Ameen haleluya Ameen Usilotaka kutendewa usimtendee wingineeeeee...ameeen haleluya ameeeen ❤❤❤❤Asante babaaaaa ameeeen ..tubaki na Yesuuuu tuuuu
@MamaNkungi
@MamaNkungi Час назад
Amen amen mungu awatunze
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA 5 месяцев назад
Hongera sana mchungaji na nyimbo yenye funzo kubwa kwetu mbarikiwe wote mungu aendelee kuwalinda daima na kuwstia nguvu milele. Mchungaji nakufuatilia sana .. nikiwa marekani .nafurahi sana .nikiwaona hivyo ..
@TausiMokiwa
@TausiMokiwa 4 месяца назад
Amen natembea na yesu siku zote zamaishayangu mbalikuwe sana❤❤❤
@WilfredMalima
@WilfredMalima Месяц назад
Amina jaman duuh❤
@HejJsj-hv5it
@HejJsj-hv5it 2 месяца назад
Be blessed 🙌
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 3 месяца назад
Mimi naomba muulize roho mtakatifu kuhusu kuweka picha ya mchungaji kwenye nguo ni machukizo kwa Mungu mnakuwa kama mnamwabudu au mnamtangaza yeye ,Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu
@LuthuBayo-de9wm
@LuthuBayo-de9wm 5 месяцев назад
Asante baba nitatembea na huyo yesu mungu anisaidie kwa alivyo nisaidia kwa injili yako by kaiza 🎉🎉❤
@EmanuelRazaro
@EmanuelRazaro 4 месяца назад
Ubarikiwa Bwana
@VeronikaJerome
@VeronikaJerome 4 месяца назад
Na tembea na yesu kila niendapo na tembea nayesu
@cecyliamosha370
@cecyliamosha370 2 месяца назад
Ubarikiwe sana Mt.wa Mungu.Mungu akulinde akutunze ck zote
@gpupinternational
@gpupinternational 4 месяца назад
Nakupenda sana kwa ajili ya ukweli wa neno la MUNGU.Tuponyu yako.amina.
@VeronikaJerome
@VeronikaJerome 4 месяца назад
Natembe na yesu kila niendapo
@hosealutangilo5058
@hosealutangilo5058 6 месяцев назад
Tembea na Yesu....Milele yote
@AGATHACLAVERYMAKANTA
@AGATHACLAVERYMAKANTA 5 месяцев назад
Hongera sana baba, hakuna MUNGU azidi kuwatetea na mama ili nasi bila kuchoka tuwafuate nyuma, BARIKIWA sana na wimbo huo nzuri sana, hakika nitatembea nae mpaka mwisho MUNGU anisaidie sana
@AlubatiElia
@AlubatiElia 2 месяца назад
Mungu akunze baba
@HellenkwambokaOtwori
@HellenkwambokaOtwori 5 месяцев назад
Amen kukejeliwa kuko lakini mtazamie tu yesu
@annasam-nw4sw
@annasam-nw4sw 5 месяцев назад
Asante baba na mama yetu ❤❤
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 4 месяца назад
Kwa hiyo mtumishi baada ya kutoka jela umewaamuru waumini wavae rangi ya jela?
@DevothaSanga-d3d
@DevothaSanga-d3d Месяц назад
@@ndogoroedson199 HAPANA! Hajaamuru tuvae nguo za Jela! HIZO NGUO ZILIANZA KUVALIWA YEYE AKIWA BADO JELA NA WATU WACHACHE; Lakini pia Sisi ni Wafungwa wa WA NENO LA MUNGU, Kwani MITUME WALIFUNGWA KWA AJILI YA NINI?? UKIWA MKWELI KWENYE HII DUNIA WEWE JUA WAKATI WOWOTE UTAKUWA KIZUIZINI.
@omanss268
@omanss268 6 месяцев назад
Mungu akubaliki sana
@PastorNathanael-ex4co
@PastorNathanael-ex4co 5 месяцев назад
Barikiwa sana mtumish wa MUNGU
@gpupinternational
@gpupinternational 4 месяца назад
Amina❤
@WinnieResian
@WinnieResian 6 месяцев назад
Amina
@JojinaMbwiga
@JojinaMbwiga 5 месяцев назад
Amina
@victorkamugisha2282
@victorkamugisha2282 4 месяца назад
Safi sana.
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 6 месяцев назад
Ameeeeeen
@EliaMhile
@EliaMhile 2 месяца назад
Huyu mtu kipawa chake ni uimbaji tu, uchungaji kavamia fani.
@DevothaSanga-d3d
@DevothaSanga-d3d Месяц назад
@@EliaMhile Pole sanaaaaaa! Usilolijua ni usiku wa GIZA TOTORO.
@EliaMhile
@EliaMhile Месяц назад
@@DevothaSanga-d3dninyi ni wa baba yenu Ibilisi, kazi mzifanyazo si zenu ni za baba yenu maana hata yeye alikuwa mpinzani wa Ile kweli tangu mwanzo!
@ElizaAxson
@ElizaAxson Месяц назад
Minatamani kujua ivi wewe mbarikiwa ni dhehebu gani
@DevothaSanga-d3d
@DevothaSanga-d3d Месяц назад
UPENTEKOSTI WA KIZAMANI KATIKA NYAKATI ZA MWISHO.
@mwamuzi
@mwamuzi 6 месяцев назад
Umeanza kufulukuta nawewe
@DevothaSanga-d3d
@DevothaSanga-d3d 5 месяцев назад
Kama unavyoona.
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 5 месяцев назад
​@@DevothaSanga-d3d Nani huyu alikuwa anakuuliza hivyo??
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 6 месяцев назад
Mbarikiwa siyo mchungaji ila ni mwana maigizo huy bwana
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH 6 месяцев назад
Sasa aliekuambia ni mchungaji ninani? Ewe joka mwana wa joka
@DevothaSanga-d3d
@DevothaSanga-d3d 6 месяцев назад
Ni heri ambaye ni mchungaji mwanamaigizo ambaye kazi zake zinaonekana na wewe umepata nafasi ya kuzifuatilia.
@omanss268
@omanss268 6 месяцев назад
Heri yake mwanangu maigizo kuliko we hujulikani mbinguni na duniani mwenzeo ajulikana mbinguni na duniani
@samwelmswete2232
@samwelmswete2232 6 месяцев назад
Si kosa lako kwakua hujui alicho kiweka mungu ndani yake ila sisi tumesaidiwa na huyu mch .mungu na aongeze neema juu yake.
@HelbethMlelwa
@HelbethMlelwa 5 месяцев назад
Kafuatilie nyimbo za wachungaji, nani kakiita hapa??
@MaDennis-f2n
@MaDennis-f2n 5 месяцев назад
Mwanaharakati huyo
@DevothaSanga-d3d
@DevothaSanga-d3d Месяц назад
@@MaDennis-f2n UNA UHAKIKA NA HICHO UNACHOKIONGEA???? KUWA MTU WA HAKI NDO UANAHARAKATI?????
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 6 месяцев назад
Mbarikiwa siyo mchungaji ila ni mwana maigizo huy bwana
@DevothaSanga-d3d
@DevothaSanga-d3d 6 месяцев назад
Ana heri sana kwa kuwa Mwanamaigizo yanayoleta TIJA.
@Ambwene
@Ambwene 6 месяцев назад
Basi tufanya mamaako ndo mchungaji
@evanestharold5079
@evanestharold5079 5 месяцев назад
Aamen.
Далее
MBARIKIWA ALA KIAPO NA MKE WAKE MBELE YA KANISA
11:58
Obby Alpha - Kijito cha utakaso ( Official Video ).
6:01
MOGmusic feat.   NTOKOZO  MBAMBO - Praise the LORD
9:41
Customer Care Sn2 Ep 62B
21:56
Просмотров 51 тыс.
JARIBIO LA 11 LA MAUWAJI
35:23
Просмотров 2,3 тыс.