Тёмный

HUYU ASKOFU NI BALAA | AICHAKAZA SERIKALI YA RAIS SAMIA SAKATA LA NGORONGORO | "NI AIBU KWA DUNIA" 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 177 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@lazaroeliphas8353
@lazaroeliphas8353 Месяц назад
Ubarikiwe sanaa mtumishi ubarikiwe sanaa mtumishi ubarikiwe sanaa mtumishi
@GodwineMuchunguzi
@GodwineMuchunguzi Месяц назад
Baba baba Asante Kwa ujumbe mzito huu mungu akubalikii
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 Месяц назад
Baba Askofu Mwamalanga ardhi ya Tanzania inalia dhambi. Watu wanaukiwa na kupotea bila sababu. Wanafanya baba wa Taifa asrest in peace honey. Ahsante baba ❤️🙏🏾
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Месяц назад
Mwanzo mama alikuwa hapendi uchawa sasahivi anapenda Sana ukimsifia tu unakula mema ya inchi
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe Месяц назад
Sifa za duniani zinamsaidia nini
@EmmaculateGembe
@EmmaculateGembe Месяц назад
Samia ametuharibia nchi Archie Tanganyika yetu Marubani ubabe wake
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 Месяц назад
Mmmh, hivi Neno uchawa wa kujitamka waziwazi ulianzia awamu gani..?
@issujar.j.francis3220
@issujar.j.francis3220 Месяц назад
Asante sana Bishop.
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 Месяц назад
Asante Baba Askofu kwa Elimu.
@ZawadyKaoneka
@ZawadyKaoneka Месяц назад
Sofa ya watu Hawa wa mbeya ni wazuri sana Wana akili Sanaa hawaogopagi ni wakolofii sana Wana maamuzi magumuu
@williamnyakasi2323
@williamnyakasi2323 Месяц назад
Asante Askofu Umesema
@thomsonmwakyanjala7536
@thomsonmwakyanjala7536 Месяц назад
ASKOFU Mwamalanga umesema busara na ukweli wa Kimungu. Ubarikiwe sana.
@danielkusongwa3981
@danielkusongwa3981 Месяц назад
thank you
@StephenMpallange
@StephenMpallange Месяц назад
Kwa Kweli nchi (Serikali) inakaribisha laana kuu.Serikali haijengwi kwa damu za watu wanaopotezwa na kuuawa gizani.Damu za watu wema ambao wanaopotezwa zinaendelea kuzungumza",,hata lini kuendelea kutolipa kisasi kwa wale watu waliotuondolea Uhai wetu,Hali wao wakiendelea kuishi?"Ufu.6:9-11.Hizi Ni Roho zilizodhulumiwa kikatili maisha yao.Mungu akiamua kulipiza kisasi juu ya dhuluma dhidi ya Roho hizi(nafsi hai)Watawala na viongozi waovu mtaangamia na Taifa litaangamia vibaya,Bwana Mungu ana watu wake waaminifu na husikia maombi yao ,na Vilio vyao.Shime viongozi onyesheni uchaji wenu kwa Mungu kivitendo,ndio utu wema,huruma,upendo,kujali wengine.Ukatili Hauna nafasi katika jamii yetu waTanzania.
@nivvermsemo4595
@nivvermsemo4595 Месяц назад
Asilimia kubwa wanaotekwa ni chadema
@mchungajimpigauzitv5703
@mchungajimpigauzitv5703 Месяц назад
Naomba Mashehe na MAASKOFU na Wachungaji Mkuu wa Nhii Maana taifa likizama Mtadaiwa Maana Mungu amewapa dhamana ya loho za watu kiloho na kimwili fanyeni halaka kuzima mahala panafuka moshi
@emilyKassiano-oo5iy
@emilyKassiano-oo5iy Месяц назад
MUNGU akulinde asikofu
@OleNaibalaatome
@OleNaibalaatome Месяц назад
Kweli kabisa
@JofreySanga-lu8pn
@JofreySanga-lu8pn Месяц назад
Maasikofu wengine mbona hatuwasikii kutetea watu jamii yenu. Mko kisadaka TU eti
@MathiasSongoyi
@MathiasSongoyi Месяц назад
Asante kwa kusema ukweli,Sasa umefika muda wa kwenda ikuru kumwambia mtawala hayo yote kwa maana hatua zichukuliwe na kamati ya haki na amani,tunahitaji Kila kundi lisiingiliwe na vyombo vya dola vinavyoagizwa kutoka juu.
@majaysjrmtitu5300
@majaysjrmtitu5300 Месяц назад
Asante baba.
@MariaMgeni-r7d
@MariaMgeni-r7d Месяц назад
Samia ndio tatizo la nchi hii
@rasnchimbi
@rasnchimbi Месяц назад
Wamasai waungane na vyama taasisi,wanaharakati na wananchi wote kudai 👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd Месяц назад
Mimi napenda tuwaache sisiem na serikali yake walewe vya kutosha, wavuruge vya kutosha na wafanye madhambi ya kutosha ili hata wasiojua wajue na ifike mahali watanzania wakasirike kwa wakati mmoja na wachukue hatua kung'oa udhalimu uliopo. Kwa wale waliosoma hesabu wanajua least common multiple.
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo Месяц назад
Sasa katika hili baba askofu minyi kama kamati mnalichukiliajje ????.
@AlexMakala-s7k
@AlexMakala-s7k Месяц назад
Ubalikiwe mtumishi
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Месяц назад
Tanzania tuliishi kindugu tuliaminiana maana huko nyuma wahubili walihubili na kufundisha neno la mungu kwa haki sasa vimegeuka maana tumeacha neno la mungu tumeasi maagizo ya mungu na kuishi kinafki nafiki na viongozi wa kiloho hawahimizi maombi wamegeukia siasa sasa jamani taifa litaponaje kila mtu anaacha njia na kugeukia uchawa sasa maombi ni adimu sana
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Месяц назад
Sasa hivi kagera vijana wadogo ndo wanaugua magonjwa yasiyojulikana.
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Месяц назад
Kwa kweli sikujua huu ni unyama. Ndani ya taifa letu. Jirekebishe serikali ya Tanzania. Mungu hapendi.
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu Месяц назад
Sa hii serekali ya Tanzania Ina jua habar za Mungu?
@festofute58
@festofute58 Месяц назад
😊😊😊😊😊
@raymondjohn3798
@raymondjohn3798 Месяц назад
Mimi napinga uonezi Huo mbaya kuwahamisha wamasai Kwa nguvu,wao niwazawa wa nchi,wale waarabu wawindaji nikirudi Kwa ukoloni
@ritchiemuta1092
@ritchiemuta1092 Месяц назад
Huyuni chawa tu amtaje aliyevuruga amani na kuondoa haki za raia wanajulikana
@NassorHamdun
@NassorHamdun Месяц назад
Father waukweli unafaa
@MungayaLaitayok-mr1gs
@MungayaLaitayok-mr1gs Месяц назад
Sio wameachau waandamane bali waliomba siku Tano ya kweenda kujipanga hili waje wakiwa wengi
@norubetinyigo-oh7qx
@norubetinyigo-oh7qx Месяц назад
Weka senyenge pakiishia ifadhi
@JeradiMaulidi
@JeradiMaulidi Месяц назад
Kumbewenyehaki badompo fanyauchawa nawewe
@JosphatMwandele
@JosphatMwandele Месяц назад
Askofu umesema kweli selikali wanatumia guvu kubwa muno
@nivvermsemo4595
@nivvermsemo4595 Месяц назад
Asilimia kubwa ya wanaotekwa ni chadems😊
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
🤷‍♂️
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Месяц назад
Leo chadema kesho ...
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Месяц назад
Askofu aache mambo ya Kukariri. Wamasi wa mwaka 1959 sio Wamasi waliopo sasa mbugani. Wala hajui kuwa Wamasai wako 120,000 na Hifadhi inakufa, na Rais alishasema miaka 3 iliyopita kuwa ni lazima kazi ifanyike ya kunusu ngorngoro. Wamasai walijisahau na uanza kjenga nyumba za bati na matofali na kuweka Umeme wa Solar, pikipiki kila mahali wakati kelele zinafukuza wanyama. Hili swala ni lazoma Rais atilie Mkazo na asirudi nyuma mpaka ngorongoro irudi kernye hali yake ya Uihifadhi.
@brightontibenda2346
@brightontibenda2346 Месяц назад
Nothing you know be silent unless otherwise will be shame to you!
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Месяц назад
Hilo la ngorongoro,n dhuluma wangewagawia huduma na kuwapa eneo kidongo kuliko hii y maandamano,huduma n za kbinadam,vtuko n wenye madaraka uko saw baba,
@abubakarimburu9096
@abubakarimburu9096 Месяц назад
Hizi sadaka za waumini zinazo wajaza matumbo zinawatia viburi sana
@MariaMgeni-r7d
@MariaMgeni-r7d Месяц назад
Msenge mkubwa wewe
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 Месяц назад
Ukristo unakusumbua ni chuki tu hamna lolote. Njaaa mbaya sana.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Месяц назад
Bila kilsto mngekulana kama samaki maana ni yesu pekee anaeleta amani ya kweli
@MariaMgeni-r7d
@MariaMgeni-r7d Месяц назад
Msenge mkubwa wewe
Далее
Bro's Using 3 Weapons
00:36
Просмотров 3,8 млн
What Should Leaders Learn from History?
28:33
Просмотров 416 тыс.