Тёмный
Mwanzo TV Plus
Mwanzo TV Plus
Mwanzo TV Plus
Подписаться 159 тыс.
Welcome to Mwanzo TV PLUS
Independent Online Media serving East Africa with premier news - Uncensored and Undaunted
WAFANYABIASHARA TANZANIA WALALAMA
7:19
День назад
CHADEMA YAZIDISHA KAMPENI TANZANIA
1:13
День назад
UCHAKAVU WA SHULE MBEYA
5:17
День назад
CHADEMA YAZIDISHA KAMPENI TANZANIA
3:56
День назад
KERO LA MAJI MWANZA!
1:49
День назад
Комментарии
@deomtekele3166
@deomtekele3166 22 часа назад
Siasa nzuri sana
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 22 часа назад
Keisha taaaaa
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 22 часа назад
Ongea poiti mzee mzingwa ndye nn umekuwa wimbo
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 22 часа назад
Kumbe mzigwa amezoleka kutongozwa
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 23 часа назад
Kazi ya mafisi ni kununua watu kwa kodi zetu huo ni ukweli usiopingika
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 День назад
Naona mauzauza...🙄🙄🙄🙄🙄
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 День назад
Huyu fala
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya День назад
Siasa za Tanzania ni za ovyo. Wananchi tunayafuatilia sana.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 День назад
None sense
@albertkamala6843
@albertkamala6843 День назад
>KAULI YA KUJENGA NYUMBA MOJA NI KINYUME KABISA NA HALI HALISI! >TAASISI ZINAZOPAMBANIA MISINGI YA HAKI NI TOFAUTI KABISA NA ZINAZOKINZANA NA MISINGI YA HAKI.
@Wiope430
@Wiope430 День назад
Nina swali Moja: MH. Lema kwa uwezo anao, Ana mabanda mangapi ya Kuku au mashamba? Na ni watanzania wangapi wameajiriwa kwenye vyanzo vyake? Ili watanzania wamwamini kwa anavyoongea!
@franciscowilliam2575
@franciscowilliam2575 День назад
Hivi huyu angeshinda uenyekiti wa Kanda angeyasema yote Haya kwa jazba?
@rwezimulastephen3713
@rwezimulastephen3713 День назад
Mtu mfupi na mawazo ya ovyo
@kingmichael1234
@kingmichael1234 День назад
Huyu ni shetani hafai kuwa kiongozi kabisaaa
@kingmichael1234
@kingmichael1234 День назад
Msimgwa mpumbavu awe na heshima
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm День назад
KWa pesa za wizi mnaweza kuwa dunia nzima. Ufisadi wa mali za wananchi hizo. Inakuja siku. Na nyinyi vitisho vya nini. Ni nyinyi ndo mnawatishia wananchi. Tunahitaji tüme huru na Katiba mpya ya wananchi. Si ombi ni haki yetu. Yaani Msigwa kumbe ni muhimu na maarufu sana kwa ccm kuliko wote wa ccm. Kumbe hamna wenye kuona mbali huko.
@johnboscomasumbuko1073
@johnboscomasumbuko1073 День назад
Amenyooka
@bicorugina1452
@bicorugina1452 День назад
Kaz unayo pol sana ukipitia comments utapata jibu
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 День назад
....na kama kalewa....si muadilifu kazini....awajibishwe...la sivyo...ajiuzuru! Duuuh! Anatuona watanzania mafala kabisa!
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 День назад
Msigwa ongelea hali ngumu ya maisha achana na chadema baba lao
@oscarmnyawami6667
@oscarmnyawami6667 День назад
Aaah kumbe sababu huna kazi....njaaaa!!!
@oscarmnyawami6667
@oscarmnyawami6667 День назад
Brother tatizo Ni kukosa uenyekiti na Mbowe au Ni Chadema potea safari ndo imeanza....
@oscarmnyawami6667
@oscarmnyawami6667 День назад
Kumbuka ukitapika usiridie matapishi yako,vipo ungepata uenyekiti haya ungeropoka?
@oscarmnyawami6667
@oscarmnyawami6667 День назад
Umejimaliza kubali usikubali kwishaaaaa
@aloycemchuo7687
@aloycemchuo7687 День назад
Njaa
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 День назад
Msigwa ni mwana siasa malayamalaya
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo День назад
Sio, ccm hii ya majizi
@MichaleMwakyambiki-pq4co
@MichaleMwakyambiki-pq4co День назад
Achen utapeli.
@ClementLushino
@ClementLushino День назад
Alioigia nao ndio aliotokanao, kiongozi wa Kanda unaondoka na watu kumi tena IRINGA majini Kanda ni IRINGA majini tu, si mikoa za ya mitatu.
@augustinemainde
@augustinemainde День назад
Siasa za Lema bwana watu wanakuona komediani 😂😂😂😂
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j День назад
Chadema mtulie 2 hio ndio siasa lzn msemwe tujue ambayo hatujawahi kusimuliwa....
@dulasaid2581
@dulasaid2581 День назад
Haki oliyokua unapigania teyari umeipata?
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 День назад
Umasikini unaanzia kichwani kwa mtu... Ukiongeza na sererkali mbovu. Unakua umasikini suti.
@user-el1eh6xn6w
@user-el1eh6xn6w День назад
Msigwa tumejitambua wadanganye wajinga wenzako
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 День назад
Bee ludesi bee! Msigwa umefilisika, wewe ni mchungaji feki uliyepoteza maadili na dira kwa tamaa huku na kule sawa na wale wanasiasa malaya malaya tu! Historia yake ya kuingia TLP,NCCR,hatimaye CDM ni njaa tupu! Ulingoja nini cdm miaka yote?! Hizo unazoongea ni uongo,na pumba tupu hata utoke povu tutakupuuza....
@aminieljohn5475
@aminieljohn5475 День назад
Mchungaji msigwa!!....what goes around comes around!..,unajisikiliza kweli?..kweli siasa mchezo mchafu...
@aminieljohn5475
@aminieljohn5475 День назад
Chama chenu??? ...
@kagombaEnok
@kagombaEnok День назад
Waende tuuu makapi hayo
@ZuhuraMarande-fl2zw
@ZuhuraMarande-fl2zw День назад
Vaa kofia ilioandikwa ccm
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza День назад
Wote mnawo waona hawana habari ya kuzwa bandari mikataba.hawajuwi chochote. Nahawo wamenunuliwa kwa sh 5000. Hawana lolote .sasa ndiyo unaweza kuona wajinga. Walivyo .
@NeemaNey-mp2fi
@NeemaNey-mp2fi День назад
Makonda jembe jaman mm Sina chama ni mtanzania huru makonda namkubali
@majutoomari7445
@majutoomari7445 День назад
Magari yametumika kusomba watu kuwaleta kwenye mkutano halafu hawawapi chakula watu wa watu
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 День назад
Kwa maisha haya mzee sizani kama vijana wenye akili timamu wanaweza kukusikiliza wewe Laurent Bagbo tuambie ile misitu yetu na bandari itakuaje? Bado utazipigania au na wewe uko na hisa huko
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 День назад
Kwa maisha haya mzee sizani kama vijana wenye akili timamu wanaweza kukusikiliza wewe Laurent Bagbo
@joanmutabihirwa5254
@joanmutabihirwa5254 День назад
Msigwa sasa tunakunyangaya Uchungaji wewe ni mchumia tumbo tu, Unawaachia lahana kizazichako nakushauli Murudie Mungu wako na utubu kweli
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 День назад
Bandari wamasai na vikokotoo naomba uongelee mzee tupe kauli yako juu ya bandari zetu
@user-td3xz9ej7r
@user-td3xz9ej7r День назад
Mangi tulia
@AbdulJamal-xp4pn
@AbdulJamal-xp4pn День назад
Nivizuri utupe sera ya chama chako kweli lowasa atabaki kua mwanasiasa bora kwangu wa karne
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 День назад
Sasa mbona unawapiga wenzako mawe acha unafki
@benolduka
@benolduka День назад
Msigwa Huna aibu, utachukiwa sana, una uso wa kufa, haya ongea ya ukohamia achana na ulikotoka. Sahau ubunge hupati tena
@ElishaOisso
@ElishaOisso День назад
We mjinga unatumiwa kupiga kampeni na uchaguzi ukiisha utarudi nyumbani kulima mihogo,hutaambulia hata ujumbe wa nyumba 10