Тёмный
No video :(

Huyu hapa tena Dinamite, anazidi kukua! Afanya makubwa London na Italia, aja na 'Mjomba' 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 87   
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Wana SNS tulikumiss DINAMITE 😘 Mashallah, umekuwa ❤
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Год назад
Vijana wa hovyo acheni kummezea mate dogo,sisi tuendelee na mabibi zake wakina siwema siwetu huyu dogo bado career yake iende mbele,Mimi kama member wa vijana wa hovyo kijana ana future nzuri,Very proud for you,I'm so proud to you.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 месяцев назад
SI WEMA SI WETU SI WAO 😂😂😂😂😂😂😂😂
@Pedeshee01
@Pedeshee01 11 месяцев назад
@@salimmalaka256 anaitwa Wema siwetu
@ramamrutu4914
@ramamrutu4914 Год назад
bro sky , kuna kit nimejifunza sana kwako mungu akubaliki kwa kumsoma mtu kwa nilichoona hapa huyu mtoto sio muongeaji bado ni muonga su ni aibu ila umekuwa ukiongea wewe sana alf yeye akiwa anakubali na kuitikia umekuwa muongeaji kwenye hii interview na umekuwa ukiuliza kila jambo ili kumfanya afunguke kuongea ila yeye sio muongeaji coz ni mtoto bro umetisha sana , angekutana na mtangazaji ambae hayuko vizur asikweza ila umefanya vizur sana
@felicianfrancis9895
@felicianfrancis9895 Год назад
Nimeona kazi zake. Nzuri sana na muziki wake wa mjomba mzuri sana pia wenye hahadhi ya amapiano
@benjaminkangolo2017
@benjaminkangolo2017 Год назад
😂😂😂Jamani katowa shkamo she so cute MaashaAllah
@gibbs1320
@gibbs1320 Год назад
Wa Kwanza Ku comment. Love you Dinamite. Mnipe likes zangu jamani acheni kunionea wivu kisa nimekuwa wa Kwanza ..... 😂
@zunnually5886
@zunnually5886 Год назад
I’m so proud with her , she is good in everything (Talented)❤🥰😍
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 11 месяцев назад
Interview haichoshi 😊😊😊😊😊
@producerema291
@producerema291 Год назад
Niko very inspired na stori ya Dinamite
@kawtharal_amin5503
@kawtharal_amin5503 Год назад
O
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 Год назад
Hongera sana Mungu azidi kukupigania malengo yako yafike unapotaka
@yasminlyall7665
@yasminlyall7665 11 месяцев назад
We'll raised upcoming star
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 11 месяцев назад
Masha-Allah mzurii kisha chapenda kucheka tu! Dinamitee😂😂😂
@hopechidera
@hopechidera Год назад
Kadada kanakuwa kweli😍❤
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Mrembo zaidi na atakuwq mrembo zaidi anamacho mazuri kama makengeza sio makengeza kweli uhafcast haumtupi mtu hongera ndugu
@AshaLove-jn5ru
@AshaLove-jn5ru Год назад
Mashallah amekuwa jamani
@lightnessabdallah2340
@lightnessabdallah2340 Год назад
Beautiful girl Mungu kukuze
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Mtoto kalelewa haswaa.,wachana na hawa wa baadhi ya masatar mchwara, wanafundishwa kudanga. Shame. Big up mama Denamite. Tumbo lako limebarikiwa.
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Год назад
Nataka tujue familia yako kama unalea vizuri maana unajua kuchamba familia ya watu na kupamba familia zingine vip familia yako?
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
@@barikilangoy4737 wewe ni wale waliofundisha mabinti zao kudanga? Jikaze dawa ikuingie.
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Год назад
@@damariszuckschwert9489 nataka kujua familia yako ikoje acha kupamba za watu wenye pesa zao,wew mwenyew mdangaji mkubwa sana ndio maana unadanga mpaka kwenye familia ambao hawajui ata kidogo naomba utoe mfano wa mtoto wako ambao unafundisha vizuri 🖕
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
@@barikilangoy4737 Familia ya nani nimepembana nayo? Kameze dawa zako yaonekana leo umesahau.
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Год назад
@@damariszuckschwert9489 huna lolote wew mdangaji kama mkeo tu
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Год назад
She is cute n beautifull
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Kwa kweli kekuwa hongera mrembo
@petercostakisoka
@petercostakisoka Год назад
Beautiful congratulations 🎊 🎉
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Год назад
Kakuwa sana,nampenda sana uyu mtoto❤❤❤
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 Год назад
Wow she is so cute ❤❤❤
@AmiriMalenge
@AmiriMalenge 11 месяцев назад
Big up kwake kwa kuongea vizuri kiswahili angekua mwingine kama Diva angekua anaingiza zana maneno ya kizungu kitu ambacho sio sahihi. Yani nimemuelewa binti hapendi kuchanganya lugha
@Ramlat-lv7uf
@Ramlat-lv7uf 8 месяцев назад
Dinamite kakua jaman🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Mashallah amekuwa d wangu mnooo
@UnnieKhadijah
@UnnieKhadijah Год назад
Mtoto Ana akili sana MashaaAllah😍😍
@quilijohn8634
@quilijohn8634 Год назад
Napenda wazazi wanao propell watoto wao kuongea Kiswahili. Hongera! Nilimuona akiwa na miaka 12. Kanajitahidi kuongea Kiswahili.... Bravo!
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Год назад
Mimi naamini kila mtoto ana akili sema tu mazingira yametofautiana kutokana na maisha magumu ya watu
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 Год назад
Kumhoji huyu mtoto ni kazi mno nao bro sky anavyo pata shida
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Mungu akulinde na mafanikiyo yako utakayo
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Год назад
Dogo anaongea kiswahili vizuri sana ,angekua diamond au harmonize ungesikia zeze zeze mziki zeze supa star bongo men.
@lucymtuka6393
@lucymtuka6393 Год назад
😂😂😂
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Год назад
😂🤣😂🥳
@clevermngao7565
@clevermngao7565 Год назад
😂😂😅
@ishimwevanessa14
@ishimwevanessa14 Год назад
😃😃😃😃😃
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Год назад
Mm Wana niudhi kweli mtu unaulizwa kiswahi unaanza nomara waaaaa
@vanessambamba8539
@vanessambamba8539 Год назад
Go my girl
@alsam4881
@alsam4881 11 месяцев назад
Ni binti mzuri na ana maadili na heshima, kwahiyo mie namshauri ni bora aendelee kuimba peke yake, au kama anataka kuimba na wasanii wa bongo, basi ni bora aimbe na wasanii wanawake kuliko wanaume, kwasababu hao wasanii wanaume wa bongo ni vicheche wahuni wataanza kumtongoza na kumuharibia maisha yake.
@QueenLabrunedephilBoy
@QueenLabrunedephilBoy 11 месяцев назад
Kweli kabisa dinamite ame kuwa lakini kipindi alipo kuwa ndogo alikuwa mrembo sana kuliko sasa ivi napenda wimbo wake wa tamaduni zetu😘😘
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 Год назад
Napenda anavyopenda kiswahili
@Jmedia_Tv
@Jmedia_Tv Год назад
Kanamfanya sky aongee kwa kasi, kamechangamka
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Год назад
Kila kitu anajaribu huyu mtoto
@suntzu8959
@suntzu8959 Год назад
Form 3 ni sawa na form 3 huku, tofauti ni kwamba shule ya msingi wanafanya miaka mitano. Yaani akifanya mtihani darasa la tano anakwenda form 1. Kenya shule ya msingi wanafanya miaka 8 halafu form 1. Haimaanishi akifika darasa la. Nane ni sawa na form 1.
@Fgldesigns
@Fgldesigns Год назад
Ni ipo kama alivyosema linahesabika darasa la mtihani... Kule unafanya mtihani darasa la 5 huku unafanya darasa la 7 Then, Huku unafanya ukiwa form four kwahiyo form three sawa na form one
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 11 месяцев назад
😂
@tamarali8325
@tamarali8325 Год назад
Beautiful girl 👧
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 месяцев назад
HUYU MTOTO DINAMITE HODARI WAKUIMBA TOKEA MDOGO NILITAMANI ANGEIMBA NA WENZAKE KATIKA ILE NYIMBO YA SUPER WOMAN.
@sumeiyamaddy95
@sumeiyamaddy95 Год назад
Ana rangi nzur mashallah shombe shombe
@happypiusi3801
@happypiusi3801 11 месяцев назад
🎉🎉🎉❤❤
@user-tu5yz3ii6f
@user-tu5yz3ii6f 11 месяцев назад
laa iki kibaba kinammezea mate mtoto mdogo. ila ni kazuri she's beautiful girl we baba usimmezee mate
@muuminikidunda9214
@muuminikidunda9214 Год назад
Eti nazinga pia icho ni kiswahili cha ndani kabisa nimepeda
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Год назад
Kabisaaaa
@Aboodjan4-
@Aboodjan4- Год назад
Pumbaav😂😂😂
@Aboodjan4-
@Aboodjan4- Год назад
Anazinga 😂😂
@boobohhh3029
@boobohhh3029 Год назад
👌⚘
@SimoniPetro-xn7vi
@SimoniPetro-xn7vi Год назад
@omarymohamed168
@omarymohamed168 Год назад
😂😂😂😂 ety anazidi kukuwa. Umalaya huoo
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Wenzetu wanaakili na lugha zao sisi kiswahili tunajiona kama sio lugha 😢. Tujifunze kwq wenzetu tupende vya kwetu
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Год назад
halaf kuna wengine wanababaika na lugha za kigeni😂
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 Год назад
Si mseme tu hamjui kiingereza.
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Mie mwka WA 10 huu nipo. Hiz nchi za kiarabu siongei hata kidg Arabic Zain kiswahili 😅tu
@madawamchuwa8253
@madawamchuwa8253 Год назад
​@@husseinhussein9971kwani kingereza ndio nini? Kuna mtu anaitwa muarabu huyu kiumbe anathamini Sana lugha yake na watu wenye vingereza vyao wamejaa kwenye nchi zao Wana watumikia habu tupishe sie
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
sky ukiwa naye tena umuukize kama maman yake anamufuza kupika??na nishakula gani anapenda kupika na kula???anajuwa kusoga ugali
@benjaminkangolo2017
@benjaminkangolo2017 Год назад
😂😂😂😂 Ana juwa ila hana level za kupika ugali
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Год назад
​@@benjaminkangolo2017chams😂😂😂
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 Год назад
Hapo kwenye ugali sasa 😅
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Год назад
Kusoga ndio nini
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
​@@benjaminkangolo2017Wewe ndio msemaji wake 😂😂😂
@aaii8301
@aaii8301 Год назад
😍😍😍😍
@user-pp8qb3bb9r
@user-pp8qb3bb9r Год назад
Simba hapo atabadilisha mkataba kama vle zuchu
@thobiasyphaustine3714
@thobiasyphaustine3714 Год назад
Sijaowa
@emanuelmaro875
@emanuelmaro875 Год назад
😂😂tukusaidiaje
Далее
Construction site video BEST.99
01:00
Просмотров 331 тыс.
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Просмотров 4,6 млн
Di Namite- Tamaduni (Official Music Video)
3:30
Просмотров 221 тыс.