Mweusi uko vizuri...Anza Sasa na wewe kuanza kufanya Kama series...Kama wengine wanavofanya...sidhani Kama utakua umewaiga sababu nahisi ulianza muda kuliko wao namaanisha mkojan na clam...ni ushauri
Jaman ka Steve nyumba ya watu unajikuta mwenye nyumba wakat mnaomba Maj hata Kama ukiambiwa ujiskie upo nyumban sio hivo njoo kwetu ufanye hivo utaita maji mma