Тёмный
No video :(

HUZUN ZATAWALA, WANANCH WAANGUA KILI, "NASHINDWA KUELEWA HII SERIKAL, WAKATI WA KURA MNATUBEMBELEZA" 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 168 тыс.
Просмотров 1,1 тыс.
50% 1

#TANZANIA: Huzuni zatawala Morogoro, Wananchi waangua klio mbele ya Waziri wa Ardhi kisa kunyang'anywa maeneo yao na kupewa mwekezaji, "nashindwa kuelewa hii serikali, wakati wa kupiga kura mnatumbembeleza"
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@kaguripenina63
@kaguripenina63 Месяц назад
Ccm safiiii safiiiii
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Wakati wa uchaguzi mtawapa tu kura .Mtalia sana nyinyi mlidhani ni Ngorongoro tu
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Месяц назад
Wanaume hawalii Stay Strong fight for your right
@user-wz3ne2kc3o
@user-wz3ne2kc3o Месяц назад
Mtalia sana huu ni mwanzo tu
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Месяц назад
Jamani jamani jamani. Serikali mungu wangu uko wapi baba wa huruma utuokoe.
@GrandYounaitha
@GrandYounaitha Месяц назад
Ai hatariii kweli
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Месяц назад
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 Месяц назад
KATIBA....IBADILISHWE....IWE KAMA YA KENYA...
@BenardLucumay
@BenardLucumay Месяц назад
CCCM , hoyeeeeee!
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn Месяц назад
Poleni sana ndgu zetu. Bado watanzania tuna shida. Sikuona pole ya dhati toka moyoni mwa waziri kwa wananchi hao. Pili waziri hana majibu ya kuridhisha kwa shida hiyo yaani alienda kama kutalii na kushuhudia wananchi wakilia halafu akaandike ripoti arudipo ofisini kwake! Kwani alishtukizwa? Alikuwa haujui mgogoro huo? Alifikaje hapo kama alikuwa haujui? Na katika yote bado nami nalia na watanzania. Kila umma wakipata shida kama hizi wanamlilia rais! Ndgu zangu (dear countrymen), rais hawezi kuwasaidia kwani yeye ndo kamtuma Slaa kushuhudia kama kweli wanalia kama matokeo ya sera zake ambazo ni: kukumbatia wawekezaji na ufisadi serikalini, kuiba kura, uuzaji wa ardhi/rasilimali za taifa kinyemela, kukopa, kukopa, kukopa nchi za nje! Sera hii ndo matokeo yake sasa. Kilio kila kona! Wananchi hawa nadhani tusiwalaumu, hawana elimu hii! vinginevyo wasingemlilia mtesi wao. Swali sasa ni je, elimu wataipataje ili wajikomboe? Changamoto!
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Месяц назад
Mnalia bure muamue kama Kenya acha kulia kueni mashujaaa kuiondoa CCM madalakaniii mtalia mpaka lini? Mabwege nyinyii😅😅😅😅
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Hayooooo yanalia hayooooo Ahhhhh halafu mwakani wanapiga kura kwa ccm washenzi nabado hamjalia mpaka mtalia sana
@coms2640
@coms2640 Месяц назад
CCM oyeee
@AndrewAllai
@AndrewAllai Месяц назад
Shida nikuto kujua haki yetu
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Месяц назад
Wa Tanzania tunatia huruma --- Mmmmmh! " Tumenasa kweli kweli "
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Месяц назад
Wapeni tena CCM msilie acheni unafiki
@ElishaOisso
@ElishaOisso Месяц назад
Mnavuna mlichopanda, mnaisoma namba ccm ni ileile,
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Месяц назад
Muikatae CCM kWa pamoja kwa nguvu zote. Chura kaziba masikio bado mnamlalamikia chura. Siwaelewi. Huyo Raisi hawatambui hataki kuwa sikiliza bado mnamuomba? Aided watanzania mnanishangaza sana sana. Hamjielewi nini mfanya? Ni nyinyi mnamlipa mshahara, mmemchagua mtu ambaye hawasikii kaziba masikio . Hivi mnajielewa? Mmechagua CCM wenyewe, msimlilie mtu.
@binsherbal6089
@binsherbal6089 Месяц назад
Endeleeni kuyapa Kura hayo Majambazi, mtalia sana na bado. Mie nataka mminywe mpaka mtie Akili. Huyo Waziri hatowasaidia chochote na huyo mnaemlilia ndo alouza ardhi yenu. Wenzenu Masai wa Ngorongoro washahamishwa na wao walimlilia hivo hivo.
@geey7893
@geey7893 Месяц назад
Magufuli aliwaambia lakini😂😂. Bado hamjasema
@AlexJamaly-zy6wi
@AlexJamaly-zy6wi Месяц назад
Ccm nimajambazi
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Toa VIMACHOZI VYENU HAPA Mlitumwa mchague ccm
@samuelmakara1475
@samuelmakara1475 Месяц назад
Kumbukeni wenzenu wamasai
@YassinRajabu
@YassinRajabu Месяц назад
acheni kelele nyinyi wenyewe mnasemaga ccm mama yenu kwaiyo atutaki kelele subilini uchaguzi mpewe 5000
@jumannentimizi9000
@jumannentimizi9000 Месяц назад
MNALIALIA NINI HICHO NDICHO MNAKITAKA ACHENI KULIALIA NYINYI,ETI MAMA NA BABA WAZIMA WANALIA SASA MNALILIA NINI NGOJA DAWA IWAINGIE ILI DAWA IWAUME VIZURI CCM MBELE KWA MBELEEEEEEE ACHA KULIAWEWE MAMA WEWE BABA.SHS 2000,CHUMVI,KOFIA,KANGA NK MSILIALIA
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
🙄
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga Месяц назад
Mh Waziri pole kwa kazi
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Месяц назад
Anawapa porojo tupu. Hatatui kitu. Mfumo mbovu. Sheria hazitendi haki, hakuna haki.
Далее
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Просмотров 3,7 млн
PATA MASHAMBA YA MIWA MKULAZI, MOROGORO
7:33
Просмотров 15 тыс.