Kwani mapenzi ni brand ama jina ama pesa?si bora mapenzi alaaa,unaweza kuoa hata mama wa kibanda bora mnapendana.sioni kwenye brand kubwa na pesa na mapenzi mahali zinaingiliana
😂😂😂 wacha makasiriko buwana, wewe account yako inasoma nini?? Sote tunajua KRG ako na madoo na recent interview yake na Nicholas Kioko alisema ako worth a couple billion shillings. Siz hauwezi...