Тёмный

IDDY PIALALI Amshauri MWAKINYO Baada ya KUFUNGIWA - "WATU WANAMCHUKIA TU, MAISHA Yake YAPO JUU" 

Bongo Boxing Safari
Подписаться 29 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

IDDY PIALALI Amshauri MWAKINYO Baada ya KUFUNGIWA - "WATU WANAMCHUKIA TU, MAISHA Yake YAPO JUU"
Bondia Iddy Pialali Ametangaza rasmi kuwa yeye ni Team Hassan Ndonga na Atahakikisha Anashinda siku hiyo ya Oktoba 22, 2023 katika pambano lake dhidi ya Oscar Richard wa Naccoz Gym.

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@salumchilimba7250
@salumchilimba7250 11 месяцев назад
💪💪💪 Big up Iddi Pialali ushaongea Ukweli juu ya chuki ktk utafutaji wenu boxes Allah Akubariki bro.
@mansimbasuleiman4596
@mansimbasuleiman4596 11 месяцев назад
Mwanangu idi pialal umeongea points sana na imeonesha uwezo wako ni mkubwa pambana vita haviitaj m2 muoga much respect
@mwendakarithi9741
@mwendakarithi9741 11 месяцев назад
Nakukubali sana kaka Pialali, nilikuwa shabiki wa mfaume mfaume lakini huyo bwana ako na tabia za kitoto na udaku kama mmama. Mshenzi kweli.
@onesmokihombo4931
@onesmokihombo4931 11 месяцев назад
🎉pamoja sana idd nilazima ujari thaman yako mwenyewe usikubari marengo yako akupangia mtu mwingine pambania maisha yako maana hakuna mtu anapambania maisha ya mtu mwingine tatizo wengi wanapenda sifa ambazo haziwasidia chochote namkubali sana mwakinyo anae sema kauza mech nisawa anaesema anadharua nisawa anaesema hajitambui nisawa anaesema kaporomoka nisawa kwani wao akina nanan na wako wapi hawajauza mechi hawana dharau hawaja poromoka wako wapi
@kulatendaudi7671
@kulatendaudi7671 11 месяцев назад
upo sawa kakaa
@baoussenesombair8007
@baoussenesombair8007 11 месяцев назад
Akuna kamushina . Uyu jama ni mzuri sana anajuwa.🇲🇿💼
@Ram_1893
@Ram_1893 11 месяцев назад
Idd Pialali 🙌🙌🙌
@mustafaosman1838
@mustafaosman1838 11 месяцев назад
Uko sawa kaka pamoja
@tusajigwe7491
@tusajigwe7491 11 месяцев назад
Very nice man
@yousufyousuf5963
@yousufyousuf5963 11 месяцев назад
Big up bro wew unakili mwakinyo ni nyota
@zakariasalimu2384
@zakariasalimu2384 11 месяцев назад
Kk nakubali
@gadisonmichael7805
@gadisonmichael7805 11 месяцев назад
ila idi pialali nimekukubali hakika wewe ni msema ukweli
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 11 месяцев назад
Upo sahihi kaka
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 11 месяцев назад
KATIKA WOTE AMBAO NIMEWASIKIA WEWE NDIYO UMEONGEA POINT NA UNAUELEWA MZURI SANA.
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 11 месяцев назад
Wisdom ✊🏿
@jacksonmbwasi8366
@jacksonmbwasi8366 11 месяцев назад
nakubal sana mwamba
@selemanisabihi5994
@selemanisabihi5994 11 месяцев назад
Wewe tim asani jichanganye
@lakuchumpa9724
@lakuchumpa9724 11 месяцев назад
👏👏👏👏
@coolruler6820
@coolruler6820 11 месяцев назад
Unajielewa mdogo wangu,,,,wewe na Dulla ni mifano kwa wenzenu
@mot.tvmsamvu6770
@mot.tvmsamvu6770 11 месяцев назад
pialar unajua kuongea point
@issamagambo1879
@issamagambo1879 11 месяцев назад
Hakika pialali mwakinyo wanamchukia kwa misimamo yake
@MtondooSalim
@MtondooSalim 11 месяцев назад
Kumbe sikukukosea kuwa shabik wako pamoja na mwakinyo IQ ya juu kabsa
@absalomnamoyo7176
@absalomnamoyo7176 11 месяцев назад
Ameongea ukweli kabisa
@AbuuBarua
@AbuuBarua 11 месяцев назад
akili kubwa kaka pialali
@SalimuMbaraka
@SalimuMbaraka 11 месяцев назад
Hi Ni Kweli
@wanatangawaja6397
@wanatangawaja6397 11 месяцев назад
Ukweli usemwe
@emmanuelcharles5613
@emmanuelcharles5613 11 месяцев назад
Pialali huna baya kwa mwakinyo hasani anajitambuwa
@DaudiShemaghinde
@DaudiShemaghinde 11 месяцев назад
Bgp
@Somba-m1x
@Somba-m1x 11 месяцев назад
Idi pialali sio mnafki namkubalo
@othmanchande572
@othmanchande572 11 месяцев назад
KAKA UMEONGEA KITU SAHIHI KABISA DUWA KWAKO
@ramsohouse2838
@ramsohouse2838 11 месяцев назад
Kuanzia leo nipo upande wako pialali
@Ram_1893
@Ram_1893 11 месяцев назад
Wajina umemkubali sio 😀😀😀
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 11 месяцев назад
Toka uko hujui hata kuongea
@BashiteKivuruge-ef4jm
@BashiteKivuruge-ef4jm 11 месяцев назад
We utakukuw na roho ya kichaw utamchukia vip mtu umjui akujui acha iz
@boniphacegervas8118
@boniphacegervas8118 11 месяцев назад
Acha chuki kichwa maji wewe kwo ulitaka atukane au naye kuungana nawale wanaomchukia , shida mnachuki za kijinga tu
@HemedyWaziri
@HemedyWaziri 11 месяцев назад
Safi san kaka pialali wee siyo mnafiki 🥊
@KadabraGadna-xu5ez
@KadabraGadna-xu5ez 11 месяцев назад
Tulia fala ww msenge wa nchi kavu
@adilhabib8988
@adilhabib8988 11 месяцев назад
Unatafuta umaatufu na ww kichaa
Далее
Build Station Demo Day
3:51:25
Просмотров 2,4 тыс.
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Просмотров 33 млн
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 2,9 млн
Свинья неудачник ( Liar's Bar )
24:01
Просмотров 493 тыс.
"BORA MANDONGA KULIKO MWAKINYO"  MFAUMEMFAUME AFUNGUKA"
13:12