Idris Sultan anaelezea series yake mpya ya mtandaoni iitwayo Nakupenda Kufa, ukaribu wake na Wema Sepetu sasa na kama anaweza kurudiana naye, endorsements zake, kwanini yupo single na mengine #ChillnaSky
Idris sultan ur soo talented ur my favourite kabisa tuseme kiswahili cha america ulipokuwa huko wazungumza kiswahili cha ki america hahaha sultan umenifurahisha saaaana