Тёмный
No video :(

Ili uwe Mwanamke mbele ya Mwanaume ni hivi...Sheikh Abdulrazak 

The XO
Подписаться 86 тыс.
Просмотров 139 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 247   
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 Год назад
Tira nakupenda🌹🌹♥️♥️unatusaidia Sana wanawake wenzio. Dah I have to change😍😍😍
@gayletete5769
@gayletete5769 5 лет назад
Hapo kwenye matunzo wanawake tunapapendaaaaaaa....like mingiii Anna from chugaaa
@mohamedshaaban3297
@mohamedshaaban3297 5 лет назад
This Word Is Crazy,,,,,, This World Is So Sad 😔 😔 😔,,,, Walimu Wa Mapenzi Ni Wengi Na Watu Wko Busy Na Mapenzi,,,,Lkn Cha Ajabu Ndiyo Kizazi Kinacho Ongoza Kwa Talaka, Ukahaba, Umalaya, Usaliti Na Tamaa,,,, Mungu Tusaidiye Ichi Kizazi Na Hii Sayar Ya 21th
@khadijaraj
@khadijaraj 5 лет назад
tunakosea sana katika malezi ndo maana hata waalimu wa ndoa tukiwa wengi,bado inakua vigumu kubadilisha tabia aliyoiona kwao/aliyoizoea kwao. sio wote wapo tayari kwa mabadiliko ya kheir. Tuosome mtume wetu/mwalimu wetu mtume Mohammed S.A.W alivyoishi na wake zake. na kwa sasa tunafaa mafunzo ya ndoa yaanze kufundishwa Madrassa...ili watoto wakikua watapata muongozo mzuri. Madrassa tunafundishwa dini Alhamdulillah ila ndoa/dunia waalimu wanaogopa kuyasomesha. Utakuta hata Baadhi ya mashekhe ku quote Quran ayyat zinazowazungumzia wanandoa vipi wanapaswa kuingiliana wanazikwepa. je tutaona aibu hadi lini kulizungumzia tendo la ndoa na vizazi vinaharibika? Unaona usipomfunza mwanao kuhusu mitandao na dunia,wengi tu wanaingia na kujifunza wenyewe...unaona aibu kumweleza mwanao ubaya wa kupiga punyeto/kumfunza kuhusu hisia atakazozipitia akianza kuingia umri wa miaka 12....unaifanya siri nae akifikia anafanya siri. kwa nini sikjuizi vijana wadogo tu wanaongoza kwa ngono za mapema???? wazazi tunaona aibu kuwazungumzia watoto maisha watakayoyapitia. Hauelewi kua wakijua mapema wataweza kujichagulia maisha wanayoyataka? watajua ubaya na uzuri wa jambo flani na wataweza kufanya maamuzi yaliyo na busara?
@mohamedshaaban3297
@mohamedshaaban3297 5 лет назад
KHADIJA RAJ .Asante Umejaribu Kufafanuwa Vizur Kidgo Ila Ina Bidi Tuelewe Nn Hasa Chanzo ?!? Nn Hasa Ttzo.
@rahillhamidu2544
@rahillhamidu2544 5 лет назад
Wallai tena sijui tunakosea wapi Allah atunusuru
@mohamedshaaban3297
@mohamedshaaban3297 5 лет назад
Rahill Hamidu .Tusimsingiziye Mungu, Mungu Wala Hahusiki. Mungu Aliumba Dunia Kisha Alituwekeya Mipaka Ila Wanadamu Tumejitengezeya Mipaka Ya Kwetu Wenyewe. Ina bidi Turudi Nyuma Kwenye Fact Na Tujiulize !!!!!??
@khadijaraj
@khadijaraj 5 лет назад
@@mohamedshaaban3297 swadaqtah
@salmasaid1521
@salmasaid1521 2 года назад
Mashallah mashallah
@luckygyal6868
@luckygyal6868 5 лет назад
Hapo kwa kuingiliwa kumenifurahisha mno,love that part
@SafeHaven_TV
@SafeHaven_TV 5 лет назад
TIRA,napenda kuangalia The XO kwa sababu unajua sana ku-host,hauna papara,una maswali ya msingi alafu uko tayari kusikiliza sio tu kuongea kama ma-host wengine. Thank you.
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 5 лет назад
Huyu kaka kanifurahisha tu hapo kwenye kutoa matunzo. Kuna wanaume wengine hawajiongezi kbs!
@hustlerlady3652
@hustlerlady3652 5 лет назад
Jamani sheikh ntafutie mume kamili kama ww una hekma na busara sana masha Allah😘😘😘
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 5 лет назад
Kuongea tuu ndio kwao vitendo zeroo
@islandinsuranceagency8008
@islandinsuranceagency8008 5 лет назад
Mmeanza
@mohameeddoaan2296
@mohameeddoaan2296 2 года назад
Dada diva jiandae
@neymarsuleyman8602
@neymarsuleyman8602 5 лет назад
Jamaa romantic voice, #na tira naeee dah...!
@jenniferomar786
@jenniferomar786 5 лет назад
True fact .. kwa pande zote mbili kwa mke & mume... swadaqta shekh... 👌Mola azidi kutuongoza🙏Jazakahlaulkhairàan 😊
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 года назад
Kabs Mum Akikusifia Unasikiarah
@yustakipenyakipenya9117
@yustakipenyakipenya9117 5 лет назад
Nakupenda sana nataman kila mwanaume aone mafunzo yako
@billylovebilly9418
@billylovebilly9418 5 лет назад
Nimepend. hiki kipind kizur mno mashaa Allah
@catenzeki678
@catenzeki678 5 лет назад
Alosema uyo shekhe ni kweli wanawake tunapenda kusifiwa...nlikua na ex wangu ata nkivaa dera alikua akinisifia
@angelmwandata2233
@angelmwandata2233 5 лет назад
Catherine Nzeki Mwau Mwau 😄😄😄😄
@emmakalou5920
@emmakalou5920 5 лет назад
Catherine Nzeki Mwau Mwau 😂😂😂
@fatmaali4794
@fatmaali4794 3 года назад
Mashallah darsa zuri time ni chache
@binhussain3445
@binhussain3445 2 года назад
Kujamba tenaa
@hawamwajumahayat5053
@hawamwajumahayat5053 5 лет назад
Huyu kaka jamani sijaolewa ila huaga ananikosha sn jamani I love u for the sek of Allah ❤️❤️🇰🇪
@joycesamwely4132
@joycesamwely4132 5 лет назад
kaka uko vzr natamn nigempat mwanaume kam wew aliyeko na wew au atakayekupat ataenjoy life moreee
@joxiahmendez1325
@joxiahmendez1325 4 года назад
Kwnye Kujamba apo mmh!.. Mwanamke kujamba mbele yangu daaaah hapana itakua ajieshimu!.
@gastonnkana8428
@gastonnkana8428 3 года назад
Daah mungu anijalie nipate mwanaume.bor kama huy.kaka
@thurayyaomar655
@thurayyaomar655 5 лет назад
kaka nkupenda sana hongera kwa mafunzo Allah akubarik
@winfridapeter4458
@winfridapeter4458 5 лет назад
Mme wangu Kwa utani mashallah
@veronicawaryoba1093
@veronicawaryoba1093 5 лет назад
Sheikh umenifurahisha kwakweli
@jassygomoh4003
@jassygomoh4003 4 года назад
Yani unajua kutunyambulia maneno Abdul
@dainagano3656
@dainagano3656 5 лет назад
Abdul jamaaaan hapo kwenye helaa mhmhm
@marypaul8908
@marypaul8908 5 лет назад
Nipo sehemu sahihi Allhamdulilla 🙏
@jacquekatarimo9107
@jacquekatarimo9107 5 лет назад
shukrani nimefaidi mengi katika mafunzo haya
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 лет назад
Mashaallah shekh umenipunga apo ukipapata ucachie kbs pata apo 👫😁
@buruhanimandazi8000
@buruhanimandazi8000 5 лет назад
Swadakta shehk
@ayubuishaka9614
@ayubuishaka9614 5 лет назад
nimeipendaa
@nancynyaga7675
@nancynyaga7675 4 года назад
Umegonga ndipo sheikh
@swaumuramadhani3298
@swaumuramadhani3298 2 года назад
Mashaallah
@hawarassi5408
@hawarassi5408 5 лет назад
Theory is good real life asa afrika na Maisha yetu magumu impossible
@noelelinuru3012
@noelelinuru3012 5 лет назад
mashallah mada nzur shekhee
@khadijambwago5340
@khadijambwago5340 5 лет назад
Mungu akujaalie ww sheihk
@jokhakhalef822
@jokhakhalef822 5 лет назад
Jamani umeongea kweli kabisa
@uwingeneyeshadia7697
@uwingeneyeshadia7697 5 лет назад
👏👏👏👏👏 lazima wanaume washibishe wake zao ipasavyo👍
@merryn4891
@merryn4891 5 лет назад
Napata somo zuri
@princessamnemuhamad3755
@princessamnemuhamad3755 5 лет назад
Huyu kaka namkubali sana ...anaongea ukweli na we Dada wacha kuongea kama upo kitandani
@mussaamisse7613
@mussaamisse7613 5 лет назад
Maneno matamu yanamlegeza
@zamizozamy5528
@zamizozamy5528 5 лет назад
tira kalegeaaa mpaka kaomba kahawa 😂
@princessamnemuhamad3755
@princessamnemuhamad3755 5 лет назад
@@zamizozamy5528 hahahaha
@princessamnemuhamad3755
@princessamnemuhamad3755 5 лет назад
@@mrswaris9224 hatari
@ashnaomi2385
@ashnaomi2385 5 лет назад
Ehe safi sana
@zuwenamaulid9473
@zuwenamaulid9473 5 лет назад
Jamani I just love this mada
@mariajoseph2645
@mariajoseph2645 4 года назад
Asante naomba no zako
@zanto3439
@zanto3439 5 лет назад
nmeipenda hii 😁😁
@annaboniphace600
@annaboniphace600 3 года назад
Jaman huyo shekh yuko vzr Mimi sijaolewa jmn nampataj
@lupinamathiasikopowakitale6771
Unaongea vizuli mashalla nimependa
@zenamuhammed4057
@zenamuhammed4057 3 года назад
Bro abdulrazzak nikiwepo pba napnda kufatlia THE XO ukiwepo wewe na dada Tira nawapenda sn mungu awabarki mzidi kutufunza cc bdo tunahtaj kujua ivo kbla hatujaingia ndoan
@zawadiomari3757
@zawadiomari3757 5 лет назад
Maneno mazur sana
@ndzmah47ali6
@ndzmah47ali6 5 лет назад
Upo sahihi kaka
@marypaul8908
@marypaul8908 5 лет назад
Kweli kabis shekh maneno kuntu
@furahampanga486
@furahampanga486 4 года назад
Sauti iko chini sana
@elizabethalex6138
@elizabethalex6138 5 лет назад
nimewapenda sana mnaongea vizur
@salimalqartubi3038
@salimalqartubi3038 5 лет назад
Asante kaka kunakitu ni mejifunza
@fatmagopy1366
@fatmagopy1366 5 лет назад
Asant kwa somo
@rebekadanieli8395
@rebekadanieli8395 5 лет назад
Nimeonjoy sana jmn hongereni 😘😘sheikh😘😘tira
@jaffaryhassany9832
@jaffaryhassany9832 5 лет назад
Love you dada
@saumumboka8938
@saumumboka8938 5 лет назад
Da! Noma
@shefundisalehe3571
@shefundisalehe3571 5 лет назад
Uko vzur kak
@glorytwanga1611
@glorytwanga1611 5 лет назад
i lov ur voice dada
@tommytyga4417
@tommytyga4417 5 лет назад
Noma
@husnajohn7466
@husnajohn7466 5 лет назад
Tommy Tyga sanaaa
@alwaleedsalim4249
@alwaleedsalim4249 5 лет назад
Huyu kaka anaongea ya kweli
@rehemacharles6159
@rehemacharles6159 3 года назад
Doctor u make my day😂
@rockfieldsailo9883
@rockfieldsailo9883 5 лет назад
🔥🔥🔥🔥🔥🙌
@asiamohamed6101
@asiamohamed6101 5 лет назад
Haswaa nimeielewa hiyo kweli sherh anasema haki
@zuhuramwawimo997
@zuhuramwawimo997 5 лет назад
maneno mazuri kabisa mafunzo matamu😅😅😅😅💃💃💃💃
@user-jk4ct2ld2r
@user-jk4ct2ld2r 6 месяцев назад
Asante kaka ila Nina tatizo mwanaume wangu mpole ila ukikosea tu anakupiga haingie sana nisaidie please nashindwa kujitoa kwake
@mwanahawaaishaii5222
@mwanahawaaishaii5222 5 лет назад
yupo vizuri sana huyu kaka
@shanielmasoud4130
@shanielmasoud4130 5 лет назад
Nice
@kipendarohozavery5148
@kipendarohozavery5148 4 года назад
Nandomana ndoa xilizonyingi no 36.nasio 63.
@peterkailembo4101
@peterkailembo4101 5 лет назад
Kabisa sheikh mwanaume lazima mzigo wa kutosha, true yaani, labda huyo mwanaume mgonjwa
@jenolove7603
@jenolove7603 5 лет назад
Hahhahahaaaaaaahahahahhaaaaa vzr kaka hat kama unakifua kama naniii,,,,,,.....
@joycemdoye8555
@joycemdoye8555 2 года назад
Kwakweli mm unanisemesha vizuli Nakupa kilawakat
@sammychibya9480
@sammychibya9480 5 лет назад
Shekhe lazma mtu aje ale maisha juu angu nakuapiaa kamwe 👏👏 lazma ni mjampiee🤣🤣🤣🤣
@fellygal5414
@fellygal5414 5 лет назад
Kwel
@aminatradjabu6392
@aminatradjabu6392 5 лет назад
Anabahati sana mke wako
@naimaswaelee1656
@naimaswaelee1656 4 года назад
kaka samahan namuomba mwenyezi mungu anipe mume kama wewe maana nishajikatia tamaa ya kuolewa
@binhussain3445
@binhussain3445 2 года назад
Nipo Kwaajili yako Naima
@muhammedtetere484
@muhammedtetere484 2 года назад
Njoo inbobo naima I'm serious
@lucymayelias3114
@lucymayelias3114 5 лет назад
Asante shehee
@jobmaclean5382
@jobmaclean5382 5 лет назад
Be teacher
@wennybarny168
@wennybarny168 5 лет назад
Wanume wanapenda ubabe kwenye mapenzi
@nasmafarmsltd9146
@nasmafarmsltd9146 5 лет назад
kiislamu kwènýè nģuo hapana hata kama ñ mumeo
@vyonneeugine7507
@vyonneeugine7507 5 лет назад
Sheikh Wafunze,wanaume engine wawe,na adabu
@lucymayelias3114
@lucymayelias3114 5 лет назад
Mambo madogo lkn makubwa kwa mwanamke
@kulwajafar2888
@kulwajafar2888 5 лет назад
Kaka asante sana umenisaidia kitu kikubwa sana leo
@neymarsuleyman8602
@neymarsuleyman8602 5 лет назад
WanaSauti za mapenzi
@rahelmakala2608
@rahelmakala2608 5 лет назад
Dah wewe mkaka mkeo km utamfanyia haya bas uko vzr sana leo umesemaa nakupenda buree
@glorymasunga2645
@glorymasunga2645 5 лет назад
Jamani mbona moto😜😜
@roseegongo3919
@roseegongo3919 4 года назад
Yaan huyu kaka jaman
@jennajenna4082
@jennajenna4082 4 года назад
Nikweli
@allybukuku1391
@allybukuku1391 5 лет назад
Kitchen party za vyombo ndio zinaleta hizi shida
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 5 лет назад
Wanaume wasikuhiz mapenz yamepunguwa saan wanapendag mwanamke mweny akili za kimaendeleo zaid nasio kweny mapenzi
@ruthnyaudo5034
@ruthnyaudo5034 4 года назад
True
@leylaally3291
@leylaally3291 5 лет назад
Kwenye matumizi apo awajiongezi mpaka uombee kaaa
@yusuphmaganga8193
@yusuphmaganga8193 5 лет назад
Haswaaaaaaaaaa
@marthajonathan6277
@marthajonathan6277 5 лет назад
Hapo kwenye kuingiliwa kumenifurahisha😂😂😂
@Sam_me01
@Sam_me01 Месяц назад
Mmmh hapo kwenye kuingiliwa apo 😅😅😅😅 balaaa
@jennipherphilimon7297
@jennipherphilimon7297 5 лет назад
nmeipend hyo
@lamuboy387
@lamuboy387 3 года назад
Nalianzisha mm huku
@anamanoni1243
@anamanoni1243 5 лет назад
Mhhhh uhondo juuu ya uhondo
@AminaAmina-bs1qp
@AminaAmina-bs1qp 4 года назад
WANAUME wasasa hakuna wanaume hasira kibaooo hawana mahaba. Bora nikae tu
@winfridadominancy3492
@winfridadominancy3492 4 года назад
Jaman Nahis nilichelewa kuanza kuangalia vipindi vyako.
@thexoshowtira
@thexoshowtira 4 года назад
Karibu,bado hujachelewa
@suukay3251
@suukay3251 5 лет назад
I salute u sir👌ukweli mtupu
@munaaahmed9804
@munaaahmed9804 5 лет назад
Yani yani😂😂😂😂nipate mume kama sheikh mimi😂😂😂😂😂 ntaishi nikiona niko peponiiii
@idrisamohd9872
@idrisamohd9872 5 лет назад
Usihadaike na maneno hujui vitendo vyake
@geshonndezi9615
@geshonndezi9615 5 лет назад
Mtengeneze wako
@mourinebey_kenya7027
@mourinebey_kenya7027 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣kumbe tunawaza pamoja 🤣🤣🤣🤣🙌
@aminatradjabu6392
@aminatradjabu6392 5 лет назад
Unanifanya nilie kaka Abdul razak
Далее
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 20 тыс.
Friends
00:32
Просмотров 207 тыс.
Mwanaume wako niwa hivi?mtengeneze/dawa hii hapa
14:04
Ndio maana wadada wakibongo hamwolewi....abdulrazack
14:44
KUMDHIBITI MUME FANYA HAYA
24:00
Просмотров 584 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 142 тыс.
Angalia unapokosea mapenzini...
13:27
Просмотров 36 тыс.
НЕДОВОЛЬНА УСЛУГОЙ #shorts
00:27
Просмотров 20 тыс.