Тёмный
No video :(

KUNGWI:Atoa siri wanayofundisha ili kulinda penzi lako.... 

The XO
Подписаться 86 тыс.
Просмотров 85 тыс.
50% 1

Follow Instagram yetu @xo_na_tira au @tirarira2 #Jiwa #Xo

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 110   
@zenamuhammed4057
@zenamuhammed4057 3 года назад
Jmn mtufunze kweliii mna tunapewa lawama na wanaume ety mnatakiwa wazaz tukisha kuvunja ungo2 tunatakiwa watto tufundishwe kdgo kdgo ili ukifkia kuolewa hakuna kaz kubwa tn icho k2 mnakizungumziaje jmn da kira The X♡
@neematelervomtawa3894
@neematelervomtawa3894 7 месяцев назад
Nimempenda naweza nikampata wapi uyu kungwi
@umukulthumhamim4319
@umukulthumhamim4319 3 года назад
Nambaaa jamani
@aishasaid5702
@aishasaid5702 5 лет назад
Mtangazaji jaribu kumpa nafasi mgeni
@halpajordan7117
@halpajordan7117 5 лет назад
Kungwi unajua ongera my dear
@mamayasir4968
@mamayasir4968 4 года назад
Mashaalh tunashukur Kwa kufunza
@yusrakamili6401
@yusrakamili6401 5 лет назад
Unaweza mdekeza Mume MPE kila kitu lakin wapo wanaume kauli zake xaumiza
@habibrwegoshora6624
@habibrwegoshora6624 4 года назад
Sio kweli mm na wife tuna miaka 25 atujawahi hata kufokeana
@krauseboss3240
@krauseboss3240 4 года назад
Yusra kamili kweli Kabisa kuna wanaume wallai mtihani sana utafanya yote ila atakutesa tu
@bakarinassor8685
@bakarinassor8685 3 года назад
Ayo yanaitwa magume gume
@binthawa2973
@binthawa2973 5 лет назад
Kungwi nimekupenda buree
@elikakisasu9721
@elikakisasu9721 5 лет назад
Kungwi naomba namba zako jaman
@zainabmohamedi2713
@zainabmohamedi2713 4 года назад
Asant kungwi
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 5 лет назад
Kila anae jifanya nikungwi utakuta ameachika katika ndoa yake hii ukungwi katika dini hakuna hii NI bidaa tu. Mwanamme nikama MBWA yaani hata umfanyie nini MWAMME kakisha kukuchoka hakuna penzi JAMANI tusidanganyane wanawake.
@agatasigara9094
@agatasigara9094 5 лет назад
yaaan mtangazaji unaleta sana jifunze kukaa kimya hatuelewi
@erickendrick3330
@erickendrick3330 5 лет назад
Asante kwa darasa la bure😘😘😘 Nmejifunza kitu
@samudraramadhani6303
@samudraramadhani6303 5 лет назад
Mtangazaji nae heee mgeni no nan hapo
@mwanasulesalum8507
@mwanasulesalum8507 5 лет назад
Kweli mama coz hta ss wengine tunaogp kuolewa kwa mitihn ilojaa SKU hzi ktk ndoa
@prettychaby4451
@prettychaby4451 4 года назад
Si angejifanyia interview mwenyew 2
@eglesiaselombe694
@eglesiaselombe694 5 лет назад
Jalia weee Nakuona mdogowangu
@farajachengula9227
@farajachengula9227 5 лет назад
Nampenda tira jamn
@marygaspar6429
@marygaspar6429 5 лет назад
Shangaa, ok! shangaaa basi sawa! siku nikivaa nahisi ntashtuka usiku nikijua ni mdudu anantembelea😂😂😂😂😎
@julianamartin9491
@julianamartin9491 5 лет назад
Haaaa nimecheka km maxr
@didahababu1894
@didahababu1894 5 лет назад
😂😂😂😂😂duh kumbe tuko wengi
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@ednafiloteus5216
@ednafiloteus5216 5 лет назад
bhana wewe ucnivunje mbavu zangu Uwiiiii 😂😂😂😂😂
@innallahmaaswabirin293
@innallahmaaswabirin293 5 лет назад
Hahahhh I m not the only one
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 5 лет назад
Mtangazaji uliza tu maswali kila kitu muachie kungwi unatukatisha uhondo bhanaa
@aishaomar4318
@aishaomar4318 5 лет назад
Naomba namba za kungwi.
@nasramohammed6716
@nasramohammed6716 4 года назад
Kupoteza hela tuu mwanamme hata umsujudie na kumramba mwili mzima hatoridhika atakuumiza tuu. Na wala hatokuona wa maana
@Zene-px7cd
@Zene-px7cd 3 года назад
🤣🤣
@omarymwinyi9684
@omarymwinyi9684 2 года назад
Jichunguze huenda una tatizo
@rayasleman1136
@rayasleman1136 5 лет назад
Hain haj yakumuita kungwi hem kajifunze ten unatubowa kishenzi
@estherpeter563
@estherpeter563 5 лет назад
Victoria nakupenda sana maana wewe noma
@eudisiaalexzanda1730
@eudisiaalexzanda1730 4 года назад
Nimekupenda bure
@njuka3515
@njuka3515 4 года назад
Kungwi uko vizuri sana Ila mtangazaji Sasa mbona umechukia nafasi na wewe ? Jlitakiwa ufuate sheria za ujana habari ungetumia 5w and H Sasa umekuwa ukichangia mada sana
@pendonyika9595
@pendonyika9595 5 лет назад
jaman kungwi Victoria Nakpenda Toka zaman Sasa saizi nmezidi kukupenda
@shumishatry4305
@shumishatry4305 5 лет назад
Mashallah daa bahati nitaka unifunde cku ya hsruc ygu nitakupata vpi my due nakukubali sanaaa
@fatushabdi2786
@fatushabdi2786 4 года назад
Hahhahahhah jamani namba vp 🚶‍♀️
@enockolando7699
@enockolando7699 5 лет назад
Tunashukuru kungwi twakuomba uzidi na hayo mafunzo Mola akuzidishie hekima
@ashalaurent2465
@ashalaurent2465 5 лет назад
Naomba naomba yako jamani kungwi mim ndoa inanisumbua jamani Nile kabala sijakimbia
@salmabintuthman3243
@salmabintuthman3243 5 лет назад
😂😂😂 Yes No mi sielewi😂
@samudraramadhani6303
@samudraramadhani6303 5 лет назад
Salma Bint Uthman aii
@kibibijimmy8791
@kibibijimmy8791 5 лет назад
Nice ila huyo kungwi anawonea wazungu wanawake wakizungu wengi atahawana izo cheni wanapenda cultural baaadhi na wengi huwa awavai izo cheni ,cheni ni waarabu sana at a wasichana wakiamerika wengi ni shanga adi mchana kweupe wanavaa kam utamaduni
@ayrahanifamuslim1629
@ayrahanifamuslim1629 5 лет назад
Asnt💟💟💟💖💖💖
@prettychaby4451
@prettychaby4451 4 года назад
Mtangazj anajibu utafkiri kaulizw😏😏😏
@aishaswaleh9457
@aishaswaleh9457 4 года назад
Daa tara naomba jina la huyu kungwi na number labda
@saadarajabu3392
@saadarajabu3392 3 года назад
Naomba namba ya kungwi
@lynalyna3968
@lynalyna3968 5 лет назад
Umetubania leo jmn muite tena
@duaalawati6097
@duaalawati6097 5 лет назад
Me namhitaji uyo kungwi nitampataje aje anifunze na mm nitakapoolewa
@rukiasalim2512
@rukiasalim2512 5 лет назад
Kiukweli Mimi huyu mdada ananishida anakuwa nawatu ambao hatujui tunawapataje weka basi namba yake hapo hapana khaaa
@hopenzowa7989
@hopenzowa7989 4 года назад
Jamani anaitwa instragram Mc Kash Kashi
@geradinavitales9542
@geradinavitales9542 4 года назад
mtangazaji mwachie kungwi aongee zaidi
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 лет назад
Hahahahahaha kumbe
@lydiakangongole6783
@lydiakangongole6783 4 года назад
Hiyo mr kuku isije ikawa kams desi . Ww polisi wanakuogopa 😃😃😃tuacheni tu
@nasraabdi1529
@nasraabdi1529 5 лет назад
Muacheni achangie maada na aulize maswali sioni kama Kuna tatizo
@patriciaondego1069
@patriciaondego1069 4 года назад
The sub title men!
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 4 года назад
Anaanzaje kusumbua kwamfano lzm atulie.
@alizahranmohd4095
@alizahranmohd4095 5 лет назад
sijaon mtangazaji mpuuuzi km huyu dunia hiiiiii, sasa km yy anajua hay mambo kwnn asiongee yy peke yk.
@habibrwegoshora6624
@habibrwegoshora6624 4 года назад
Ndoa ikitoke kila mwanandoa akajua wajibu wake..yaani kila mmoja kujua wajibu wake kwa mwenzio.....hakuna zaidi ya Hilo.mm na wife wangu tuna miaka 25 atujawahi hata kufokeana...
@thexoshowtira
@thexoshowtira 4 года назад
Hongera sana,nyinyi ni mfano Mzuri kwa kizazi cha sasa
@florachrist9602
@florachrist9602 4 года назад
Woo😍
@leilaabdul8597
@leilaabdul8597 5 лет назад
Dah sasa nn maana ya Mgeni tunakosa kitu ungemuacha atuelezee vizuri au Leo wote makungwi
@hatamimnimempendabulejaman1596
Ni kweli hata sisi tulisomaga sasa hivi wanafanya vizur kuweka kicheni part kabla ya harusi
@hatamimnimempendabulejaman1596
Haha Leila mtangazaji na yeye Kwa Leo kungwi ndio sio vibaya Lakin naye akichangia
@ziadasalim8807
@ziadasalim8807 5 лет назад
anawaboa wengi
@ashurahamis5379
@ashurahamis5379 4 года назад
Naomba namba
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 4 года назад
Kipindi chako kifupi jamanii
@restutamjuni4739
@restutamjuni4739 5 лет назад
Hasante kungwi ilakuhusu shanga ata mm sielewagi
@mariamahmad8261
@mariamahmad8261 4 года назад
naomba nitumanie namba ya huyu kungwi plz
@salehalbasam41
@salehalbasam41 4 года назад
Nime kupenda siku ujeunifunze
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 года назад
😳😳😳⁉️
@alizahranmohd4095
@alizahranmohd4095 5 лет назад
ni kweli kuwa wanaume tunahitaji kulelewa,
@charitymnyazi5401
@charitymnyazi5401 5 лет назад
Njoo nkulee
@alizahranmohd4095
@alizahranmohd4095 5 лет назад
@@charitymnyazi5401 hhhh unawez au unasema tu
@charitymnyazi5401
@charitymnyazi5401 5 лет назад
@@alizahranmohd4095 naweza but sio kukulea na pesa Bali kukuhudumia Kama mke naweza
@charitymnyazi5401
@charitymnyazi5401 5 лет назад
@@alizahranmohd4095 tujuane basi
@alizahranmohd4095
@alizahranmohd4095 5 лет назад
@@charitymnyazi5401 facebook yk nipe
@hoawsall4202
@hoawsall4202 5 лет назад
Mbona namba ipo hapo
@daddydadamtabo998
@daddydadamtabo998 5 лет назад
Kabisa kwayo
@neemambendo5854
@neemambendo5854 5 лет назад
Hilo limtangazaj linakela
@fattyandruqyahbinthouthman8025
Sasa kungwi wa nini na wewe wajua khaaa unaboa tira embu mpee nafasi basi😏
@fatmahmohammed7838
@fatmahmohammed7838 4 года назад
Anaongea sana
@kashihussein6353
@kashihussein6353 3 года назад
Umeona eee si mtulivu uyu host anabore sana
@mwanaidyibrahimu3207
@mwanaidyibrahimu3207 5 лет назад
jamani huyo kungwi anatumia jina gani instagram
@marthabubele4989
@marthabubele4989 5 лет назад
🥰🥰🥰
@emmanuellaulent9444
@emmanuellaulent9444 5 лет назад
Martha Bubele in
@sumesume7928
@sumesume7928 4 года назад
Kungwi waeza nipa namba yako tafadhali
@yasmenoozm8094
@yasmenoozm8094 5 лет назад
Hallo
@pilimbaji2147
@pilimbaji2147 5 лет назад
Mbn umemleta Kungwi bcc kama wewe wajua kutueleza mpee nafasi yake wanikera mm apa
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 5 лет назад
Hivyo vidole vya kugwi mkorogo sasa unapo dunda omg 😮
@binthamoudshariff5492
@binthamoudshariff5492 5 лет назад
Kungwi wape wape wasojielewa
@fridaerastor9722
@fridaerastor9722 5 лет назад
Naona namba ya kungwi
@misskarun2548
@misskarun2548 3 года назад
how can one get these classes?I feel I need one
@rahimaahmed2755
@rahimaahmed2755 5 лет назад
Kungwi nataka namba yako
@rozy_mnk7550
@rozy_mnk7550 5 лет назад
mtangazaji anabowa
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 5 лет назад
Mic u da jaria ngonde wangu dada angu yaani da jaria umemfunika mtangazaji unatoa maelezo mazuri
@rehemasalim513
@rehemasalim513 4 года назад
Mbona sikusiia jina lakungwi na number zske hapo mwishoni?
@hopenzowa7989
@hopenzowa7989 4 года назад
Mc Kash kashi
@marionshan3651
@marionshan3651 4 года назад
Kungwi jameni Ni nini?????nijuzeni tafadhali
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 лет назад
Kugwi arudi tena atupe utamu tira da mpe nafac Mgeni atamwangie 😁
@nasramohammed6716
@nasramohammed6716 4 года назад
Sasa apo ndio umefundisha nini hapa mtandaoni au mnalia watu mb zao tuu . hamna kazi zakufanya nyinyi
@omarymwinyi9684
@omarymwinyi9684 2 года назад
Wee ni maraya akiri zako zipo mkunduni hivyo huwez jua kinacho zungumzwa hapa kanye ukalale
Далее
Penzi lako ni jipya?Zingatia haya JIWA HASSAN
15:03
Просмотров 62 тыс.
ДО ВСТРЕЧИ НА РАЗГОНЕ
52:11
Просмотров 453 тыс.
Triple Protein Sandwich
00:32
Просмотров 4,6 млн
KUMDHIBITI MUME FANYA HAYA
24:00
Просмотров 584 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 142 тыс.
ДО ВСТРЕЧИ НА РАЗГОНЕ
52:11
Просмотров 453 тыс.