Yes he definitely knows what he's doing! On the other hand he was there for Eric asipigwe kwa track.. Eve alitoka mbio hadio odeon😂😂😂navile amepewa support
For once and for all let be serious musician, my fellow Kenyan mbn tusiwa a unfollow hao musician wore ndio they will hear erico out byda let's support this man he has a point like us up coming musician plzzz Kenyan let's do so heri we follow the up coming musician
Mungai Eve and other online media you need to learn from Butita's SPM Buzz, *always leave watermark on your videos so that these big traditional media houses won't use them without giving you credit*
How in the hell is there not like a thousand wrecks and people getting hit or run over? That is probably the most chaotic style of traffic I've ever seen.
The owner of this Page is the only RU-vidr nimeona ako na Balls kwa hiyo Crew yote. He was there during the Arrest na followed the police Car. Hao wengine wote alikuwa wametoroka even before Teargas ipigwe.
Siku zote mashetani ndio wanapendwa Kwa hii dunia Kwa nn watu wasijitokeze barabarani Kwa ajili ya njaa Kenya bei ya vitu mafuta ya petrol bt kuhusu wasanii na wakenya tupo tuu ambapo wasanii wengine wenyewe wanaharibuu hata tabia za watoto wetu kua na Mila mbaya huyo Eric mwanzo ndio hafai kabisaa Yani Mambo yake yote mabya Kwa jamiii mwanzo alkua mzuri mchekeshaji sawa bt sahiii mara uchi yy mara wanawake wake uchi zina faida gani Kwa jamii na mbeele ya mungu
Kuliko washukulike na watu suku wenye waliroka gerezani wanne ati ukiwapata wanakulipa 20m wanashukulika na watu wenye wako inocent wanatumia akili Yao ndio wapate mkate wa kila siku shame on them
That is the reason why most of this Kenyan artists are useless. Eric is fighting for their rights and instead of supporting him, they are also fighting him. SMH
kenyan artists wakipata pesa kidogo wanaonanga wamefika wanaanza kumea pembe , there are better ways to do things like professionals and thats where they lose it ,ever seen Diamond or Harmonize vex authority ? and thats why they go far. This guy last week said Kenyan music is dead leo he is fighting for kENYAN MUSIC .choose to be an activist or an artist .period
Wazi wako wakubwa wakubwa na case kubwa kubwa wanafaa kuangalia lakini mtu anajulikana ndio wamekamata utadhani ni criminal Ako wanted Kenyan police very useless shame on you