Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome sasa anadai kuwa viongozi wa upinzani wanakodisha maiti kutoka kwenye hifadhi za maiti ili kueneza propaganda kuwa maafisa wa polisi walitumia nguvu kupita kiasi na kuwauwa waandamanaji waliokuwa wakilalamikia kupanda kwa bei ya bidhaa.
7 авг 2023