Тёмный

Iran yasema ina 'haki' kujilinda baada ya mashambulizi ya Israel; vifo vyaongezeka hadi wanne 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 296   
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 4 часа назад
General Benjamin netapakaaaa yuko vizuri😊
@papamukulu1045
@papamukulu1045 4 часа назад
😂😂😂😂
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 часа назад
Marekani yuko vinzuri Netapaka hana jipya bwana ake sleep Joe akisema no basi hawezi fanya lolote
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 3 часа назад
Kama ulikuwa hujui viongozi wa ngazi za juu wa Marekani karibia wote ni wayahudi 😂​@@braystuskibassa3842
@maniamba.tz_
@maniamba.tz_ 3 часа назад
Marekani kausika arafu ataki Iran alipize kisasi
@annasolomon9855
@annasolomon9855 3 часа назад
​@@braystuskibassa3842 Bila Israel Marekani kwenye utengenezaji wa silaha sio chochote.. wale wameshea vitu vingi Sana myahudi ni mbunifu wa silaha na ndege za kivita.. ndo maana kwenye mashambuliz ya anga hawamuezi.. halafu Israel ni Marekani na Marekani ni Israel nikiwa na maana asilimia 95 ya wazungu wa Marekani ni Wayahudi na matajiri wakubwa katika mabenk.. fanya utafiti acha kuropoka.
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 5 часов назад
Israel noma san❤❤
@DeodatusRenatus
@DeodatusRenatus 4 часа назад
Walisema ,makombora yote yamedunguliwa ,WATU wakaanza ushabik mandaz nimebshana nao sana. but time will tell bado watatangaza tu athari wamepigwa kweli kweli wakubali yaishe
@SelemaniMsuya-q8n
@SelemaniMsuya-q8n 4 часа назад
Israel inaoneaga wanyonge natamani aamue vita kamili then time will ,, Iran sio kama Hamas au Hezbollah pia Israel Katia aibu mfumo wa ulinzi wa Iran umefanya kazi vema Sasa wasubir
@lionofjudahtv8796
@lionofjudahtv8796 4 часа назад
Watapigwa hao Iran Mimi nakopy taalifa
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 4 часа назад
Akuna air defense yeny 100% pia ata ikitokea Ivo bado mabak yataanguk na kujelui au kuua mf ndege ikianguk juu ya nyumb yako autadhulikq? Kwaiy madhala ayawez kukosekn lkn ayatalongn Kwa walivotalajia
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 4 часа назад
Ok yahud mweusii
@Insumbazose
@Insumbazose 5 часов назад
Poleni sana ndugu zetu
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 4 часа назад
Iran ilinyesha nvuwa ya mabomu but Israel imeshambulia kiakili zaidi
@raymrash
@raymrash 4 часа назад
Jamaa nasikia wamepiga mapigo mazito balaa. Israel ni shida. Mtu anapigana na pande 7.
@Abdulrazaki92
@Abdulrazaki92 52 минуты назад
Anapigana marekani si israel, angekuwa anasimama peke yake kupigana siku mbili tu angesalimu amri
@novatv5575
@novatv5575 2 часа назад
Badilisha kichwa Cha habari. Israel haijaishambulia Iran ila imelipiza kisasi mashambuliz yaliyofanywa na iran
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 5 часов назад
Iran bhana 😂😂😂. Yaani pigo moja tu Mmeanza kubweka😂😂😂. Tulieni oooh!😂😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 5 часов назад
Sasa hapo wapi Iran kabweka?? Hao wanataka Dunia ione ili ikiwashambulia Israel kusiwe na lawama...
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 5 часов назад
@@kassimrajabu7805 Sawa tu mcha mlisema hakuna kitu, makombora yamedunguliwa yote Hakuna kitu kimetokea Sawa mimi nimetulia Naangalia Aljazeera tu.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 часа назад
​@@kassimrajabu7805hebu someni Dini yenu vzuri bila ushabiki wa Dini ya Baba na Mama mtaujuwa ukweli pia maisha ya kuongozwa na Uongo si mazuri
@papamukulu1045
@papamukulu1045 4 часа назад
Si waliyadaka mbona vifo vyaongezeka na unaambiwa hio ni warning tu😂😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 часа назад
😂😂😂
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 3 часа назад
Linapokuja swala la vita duniani nchi pekee ambayo haiendekezi meza ya mazungumzo ni israel, IRAN na makundi yake ya kigaida Hezbollah na hamasi watapigwa kwa pamoja
@BUMPYANDLAMB
@BUMPYANDLAMB 3 часа назад
Mbwa hizi za Irani
@ZeProDJay
@ZeProDJay 5 часов назад
Kuna mtu alisema eti mifumo ya anga ya Iran imedungua hadi moshi wa ile mishumaa ya Israel 😅😅 kumbe mishumaa inaua siku hizi..
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 4 часа назад
Izo ni propaganda za kivita,,,wamepigwa vibaya mno
@emmadora7848
@emmadora7848 3 часа назад
😂😂😂😂
@davidandrew6332
@davidandrew6332 3 часа назад
😂😂😂😂😂
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
​@@hurumajosephat6333Tena kipigo kibaya.. Mimi niliwaambia watu wakanishambulia.. nikisema huyu mjeshi wa Irani msemaji mkuu wa jeshi anaongea kwa jazba halafu wanasema hakuna madhara Wala vifo?? Nikasema hapa kichapo kimepita watu ooh drone edaka asilimia 💯 .. yameshinda imebidi waseme yamewafika shingon.. matambo meng ooh tumeirisha ulinzii wa kutosha angani 😂😂
@mussahamad404
@mussahamad404 2 часа назад
​@@annasolomon9855naomb video ya tukio
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 5 часов назад
Hapo wameficha walio kufa ni wengi sana na uharibifu ni mukubwa sans
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 4 часа назад
Ni kweli
@RamadhaniBendera-j1s
@RamadhaniBendera-j1s 4 часа назад
Ebu tuambie wew muisrail
@DeodatusRenatus
@DeodatusRenatus 4 часа назад
Tatizo, wanaficha uchi 😅 hawatozaa
@Meshaqsamwel
@Meshaqsamwel 4 часа назад
Na ndo watu wanachoshindwa kuelewaaa...kwamba uharibifu lazima ni mkubwaa coz Israel awawez kuthibitisha kitu ambacho hawana uhakika nachoo
@yusuphkabora7685
@yusuphkabora7685 4 часа назад
Mbona wao hawakusema
@raymrash
@raymrash 4 часа назад
Irani walipopiga hakuna Muisraeli aliyekufa bali ni Mpalestina mmoja (1) na waIrani watano (5) waliokufa wakati kombora lilipowalipukia wenyewe. Leo Israel kapiga washakufa wanajeshi wanne (4). Israel ana Mungu.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 часа назад
Pia Bado idadi inaweza kuongezeka coz uchunguzi unaendelea
@hanifa9153
@hanifa9153 3 часа назад
Mungu wenu labda mashetani hawana huruma laanatullah
@raymrash
@raymrash 3 часа назад
@@hanifa9153 Allah wenu ndo shetani anahamasisha magaidi wapigane jihad
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
​@@raymrashYes Allah ni jini wa mauaji
@mussahamad404
@mussahamad404 2 часа назад
Israel walikufa na ndege zao ziliharibiwa mzee
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 5 часов назад
Islaeli haijawai feli na leo mkanushe
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 5 часов назад
@MuharramHassan-gc3wl
@MuharramHassan-gc3wl 4 часа назад
Shida wao Hawafi kila siku wanasema hakuna uharibifu😂
@aediaygo8546
@aediaygo8546 4 часа назад
Hawa Wahi deli we Kweli hanithi Hujui hata Mike Tyson tulijuanga hivyo hivyo 🌈wewe
@leonardjohnson2058
@leonardjohnson2058 3 часа назад
@@MuharramHassan-gc3wlc mlisema wametungua yote
@TariqMussa-b4b
@TariqMussa-b4b 29 минут назад
​@@leonardjohnson2058😂😂😂😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk 5 часов назад
Nchi pekee inayo weza kupigana na nchi kumi ni Israel 😅 mrusi Ukraine tu anamtoa jasho na iran ndy inasaidia urus 😅😅 kubabake warabu njoo home nina mafuta ya p ddy niwafanyie masaji😅
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 4 часа назад
Nd maana niliamua kuikataa mimba ya mama ako nilijua tu utazaliwa kilaza leo nd nakuambia me mwenyewe wewe c mwanangu Kama mama ako alikuwa anakupa matumaini Kama baba nitakukubali nd imeisha hivyo nakukataa moja kwa moja me siwez kuwa mtoto Kama wewe usiokuwa na akili timamu kama hujui mpaka sasa Urusi anapigana na NATO me wewe wa kazi gani tena?
@youngb8672
@youngb8672 4 часа назад
​@@mustafamasudi8093pole nato haijaweka vikos vyao pale wanatoa msaadatu huwez sema anapigana na NATO
@raydanfrenk
@raydanfrenk 4 часа назад
​@@mustafamasudi8093 😅😅😅😅 unavyo andika unasadiki kuwa Bibi yangu maana akili zako za kizee njoo bas unipe utam nikupake mafuta ya p ddy pimbi ww
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 4 часа назад
Alipiga nchi nne Leo asubuhi Sirya Lebanon Iran na Palestine
@raydanfrenk
@raydanfrenk 4 часа назад
​@@joshuajohn8533😂😂 duh uyu jamaa anaitwa Israel tuachane nae kabisa 😂😂😂
@davidandrew6332
@davidandrew6332 3 часа назад
Swali.. Israel wameshambulia Irani kupitia Anga ya inchi gani? Irani ilisema Imeongea na nchi jirani kuzuia shambulio lolote la Anga kutoka Israel!. Akaonya Tena Nchi yoyoyte ambayo Itahusika kutoa Anga lake ili kuishambulia Irani Basi itakua imehusika moja kwa moja kuishambulia Irani.. hii imekaaje ninependa Kwenye GPS ikaruka hii..... asante
@mdedsm5522
@mdedsm5522 3 часа назад
Kuna kitu inaitwa f35 imewapitia bila kuonekana😂😂😂😂
@JaphetJairos
@JaphetJairos 59 минут назад
Apo ndege zilitumika 😂😂 zimeenda ndege f_15 zikashambulia na zikarud salama
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 4 часа назад
Ni kawaida kwa nchi yoyote kutangaza vifo vichache. Mengine huwa ni siri ya nchi
@davidandrew6332
@davidandrew6332 3 часа назад
Mala yamezuiliwa yoote😂😂😂😂😂😂 Kiko wapi😅😅
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 часа назад
😂😂 nashangaa
@TariqMussa-b4b
@TariqMussa-b4b 32 минуты назад
​@@christinewomanoffaith5479😂😂😂
@GabrielSky64
@GabrielSky64 2 минуты назад
Hawa Bado hawajasem vizuri mpaka mwisho watafik 200😂
@ikungetajohnluketa8601
@ikungetajohnluketa8601 4 часа назад
SI wamesema wamedungua makombola yote ya Israel au??
@raymrash
@raymrash 4 часа назад
Walisema uongo 😂😂😂
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 4 часа назад
Ndege zakivita ndozimefanya hayo
@mdedsm5522
@mdedsm5522 3 часа назад
@@dorcaskarago2876f35 izo afu zikaenda kubonda lebanon😂😂😂
@mussahamad404
@mussahamad404 2 часа назад
​@@raymrashkombora halijaends hata moja na ndege zake zile ballistic zao ndio zimewauwa
@Kachelo96
@Kachelo96 2 часа назад
Bundara mimegunduwa unapedwa sn kk umesoma vyakutosha kk ilove
@Niika870
@Niika870 2 часа назад
Israel inapigana na Iran, Hamass,Huth, Hezbollah, Syria, Irack, na Urusi Kwa wakati mmoja Noma Sana 😂
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 4 часа назад
😂😂😂😂 sasa kama makombora yamezuiwa inakuwaje wauwawe.
@annasolomon9855
@annasolomon9855 3 часа назад
😢😢😢😂😂 aiseee 😅
@abubakarmussa5519
@abubakarmussa5519 2 часа назад
Kufa watu lzm ata 5 au 4 lzm
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 2 часа назад
😂😂😂😂😂
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
​@@abubakarmussa5519😂😂😂 kwanza ncheke
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 4 часа назад
Iran tunataka majibu Tena yawe ya moto Zaidi 🙏🙏ubaya ubwela
@moonlightTv-me9zw
@moonlightTv-me9zw 4 часа назад
Hahaha majibu ya mtihani😊😅
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 4 часа назад
​@@moonlightTv-me9zw Labda ni mtihani 😅
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 2 часа назад
Kama Simba tu ina ubaya ubwela na Ina fungwa Kila siku na Yanga!! Una taka na Iran nayo ije huku
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
Bro kaa utulie israel pia imefany maxhambulizi kwenye defence system za iran na nyingi zimehalibiwa next time akixhambulia na israel ikijibu mapigo kuna kuanza kusema israel inawaonea maana mazara yatakua makubwa mno
@omondiowino7875
@omondiowino7875 4 часа назад
Mkiambiwa kuwa Israel huwa hawafeli kwenye mission zao mnadhani utani....mara oooh Rassia imeleta air defence ya hali ya juu...mara oooh ..hakuna madhara....vipi hao wanajeshi walinyongwa na viazi ama...? 😂 ..🇮🇱❤️... wakijaribu this time round ni hizo Nuclear facilities zao... nadhani ujumbe umefika... hakuna air defence system yoyote yakumzuia Israel
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 4 часа назад
Israel Yair Rapid mpinzani mkuu analaumu idf imefanya operates ya uoga coz imekua successfully kwa iran na mazara madogo jaluo unakuja kuongea laiti kama kila kitu kiko sawa nenda vyombo tofauti kaangalie proximity ya shambulio na air superiority ya jeshi Lao la anga kuweni huru kujua vitu kwa uhalisia na si kwa hisia
@omondiowino7875
@omondiowino7875 4 часа назад
@@FahadAbubakari-y3f tatizo ni kuwa unaleta hisia za kidini hapa... angalia targets za Israel zilikuwa zipi na je wamefaulu...? hata mimi ninatumia different sources za habari bro na madhara hayafichiki....Kwanza Israel imetumia ndege zake zakivita...si kama Iran ambao walituma missiles tu... ndege zimetoka Israel mpaka Iran... hiyo ni 2000km na bado radar za Iran zilishindwa kudetect ... huo ni ujumbe Kwa Iran kuwa Israel inauwezo wakuipiga sehemu yoyote wakati wowote
@SuleimanJuma-c9t
@SuleimanJuma-c9t 4 часа назад
Acha ushabiki makombora mengi yameziwiliwa pia mbona wanajeshi 70 hamuisemi waliokaangwa huko na walebanon
@omondiowino7875
@omondiowino7875 4 часа назад
@@SuleimanJuma-c9t wanajeshi walikuwa tano ...acha upuuzi...unatuletea habari kutoka sources za kidini hapa 🤣🤣...juzi Tu mlisema kuwa mkuu WA wanajeshi wa Israel ameuliwa...😂😂😂
@raydanfrenk
@raydanfrenk 4 часа назад
😂😂😂😂 Kaka umemaliza sina cha ziada
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 5 часов назад
Haya sasa mliosema etiwana mfumo mzuri wa kujilinda yakowapi
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 5 часов назад
Sasa si bora wao wanasema ukweli,hao mashoga zako wanasemaga hajafa mtu kumbe wamekufa kibaooo.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 часов назад
@@kassimrajabu7805 yanakufaga hayo
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 5 часов назад
Israel ipigwa mji mzima ukaungua lakini waliendelea kuficha aibu yao😂😂😂
@FranceYohana-eg5zd
@FranceYohana-eg5zd 5 часов назад
We bwege Kila nch Ina shoga Israel wakatili na wanaume kweli tuambie unatoka mkoa gan we​@@kassimrajabu7805
@juliusmix
@juliusmix 4 часа назад
​@@MrTop-wj7nomji mzima si wote wangekufa aisee. Acha mapenzi yanayozidi hisia
@lexq-sm6lq
@lexq-sm6lq 2 часа назад
#prayForIran jamaniii🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
@kassimkhalid1185
@kassimkhalid1185 26 минут назад
ISRAEL SHABULIZI YAO DIDI YA IRAN ILIKUA NI DHAIFU SANA.
@GabrielSky64
@GabrielSky64 4 минуты назад
Hawa bado hawajasema mpaka mwisho watafika 100😂 ngoja waongez kidogo kidogo watesem vizuri.
@JosephChrisant
@JosephChrisant 4 часа назад
Wale pro Iran mko wapi?. Na bado mtasema yote!.
@sultanielhaddady2161
@sultanielhaddady2161 Час назад
Kazi Anayo netamyau maji ataita mma Qmmke
@balljmushi9599
@balljmushi9599 2 часа назад
Walisem ohooo!,,et hawata dhubut===
@proschesicoAllysumail
@proschesicoAllysumail 3 часа назад
si walizuia vipi tena haya Majeshi manne yamekufa?
@emmanuelpagati3379
@emmanuelpagati3379 3 часа назад
makuma nn wao sio ndo walianza na bado apo
@youngb8672
@youngb8672 4 часа назад
Hapo wamekufa weng niamin hapo wamekufa weng jaman waseme ukwer
@SuleimanJuma-c9t
@SuleimanJuma-c9t 4 часа назад
Mbona wanajeshi 70 haitangazwiiii acheni zenu na kwanini Israeli wanapiga maeufuku waandishi wa habariiiiii kunani
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 5 часов назад
Huyu bayden simkubali kabisa
@nelsonmrutu371
@nelsonmrutu371 3 часа назад
Good News 👏🇮🇱💪
@JacobMakwilo-u6e
@JacobMakwilo-u6e Час назад
F-35 ambazo zilikua tano tu,ziliingia kwenye anga la iran na kuachia makombora na kisha zikageuza na kurudi Israeli Salama,kuna mwanadada mu Israeli pairot ni shida sana ndiyo alipelekea matatazo mazito kwa iran kwa jinsi alivyocheza na ndege,hii inamaanisha Iran anga lao halina ulinzi kabisa au ni dhaifu maana kama wangeamua kupiga sehemu za raia wangeua watu wengi sana sema ilikua target ni sehemu za jeshi tu.
@abdallahmussa5566
@abdallahmussa5566 2 часа назад
Tunasubiri "operation true promise 3"
@Niika870
@Niika870 2 часа назад
Wamepigwa vibaya mno 😂
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
Wamejithid kuficha imemshindikana
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 2 часа назад
Makombora yote ya Israel yalidunguliwa bna, alijatua ata moja,hawa itakua walijiuwa wenyewe😢
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
Na Bado hujasema utasema Tena baadae 😂😂,🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪
@ARHLikominjala
@ARHLikominjala 4 часа назад
Hawa sns waongo sana taarifa zao za upande mmoja" wasakatonge tu"
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni 4 часа назад
Leta zako
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
Hata hao Askari wanne walisindikizwa kuzimu Bado ni uongo 😅😅 pole nahisi unaumia Sana vita ndo ilivyo😅
@raydanfrenk
@raydanfrenk 5 часов назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 walisema zimepigwa ewani 😅 nyiny warabu wa buza acha ushabeki wa kidini, et dini ya aki 😅😅 aki gani mnapigwa kama ngoma atakae nitukana nitakutafuta nikufire pimbi nyiny
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 часа назад
Wale wàliosema hakuna maafa Israel wamepoteza mud wako wapi😂
@mdedsm5522
@mdedsm5522 3 часа назад
F35s zimeingia halfu zimenyonga misheni kisha zikasepa akuna cha s400 wala s300 sasa wanaanza kutia huruma😂😂😂
@GeorgeBush-p1y
@GeorgeBush-p1y 3 часа назад
Erewa neno wanna 😂😂 hiyo itakuwa 400 SEMA wamezitoa 0 kuficha aibu😭
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 2 часа назад
Ni wakat wa kuiondoa serikal ya dhulma ya natapaka na sasa ni muda wa kulipia kwa yote haya aliyosababisha...laana huyu
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 3 часа назад
ISRAEL MTOA ROHO
@josephmkinga9509
@josephmkinga9509 4 часа назад
siwalisema walidungua yote imekuaje tena hadi wa nne na watafika zaid na zaid
@princematumbo
@princematumbo 3 часа назад
Wewe unasumbuliwa na utumwa wa kidini, waona wazayuni kama miungu yako, pumbavu
@annasolomon9855
@annasolomon9855 3 часа назад
​@@princematumbohee! Hasira zote za Nini wakati ameuliza swali! Tena swali Zur Sana 😅😅 waliseme zimedumguliwa imekuweje jamani?😅😅
@mussahamad404
@mussahamad404 2 часа назад
Ni battery zao za mipakani
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 часов назад
Mbona mkuu Putin kaguswa, mtoa siraha mkuu kwa Ukraine, Iran fanya kweli mlisema mtateketeza mitambo ya mafuta yote khuba na mashariki ya kati yote fanyen kweli
@ramahkesh9360
@ramahkesh9360 4 часа назад
STILL POOR ATTACK FROM ISRAEL 😂😂😂
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 3 часа назад
Zimetumika zaidi ya ndege za kivita 100+Sasa utazuia ipi na ipi uache kiumweli kumzuia mwisrael ni Ngumu huyu Muyahudi anatumia akili nyingi sana .na mbinu ambazo hata hazifikiriki na Israel..awazi kima yoyote ndo maana amelipa kama mnataka vita fresh ..😂
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 2 часа назад
Nyie c Putin kafunga mifumo mbn imepeny c mlisem iron dom afany kaz hkn mtu anawez jilinda mia kwa mia labda mung
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 часа назад
Duuuh
@hamadsobo304
@hamadsobo304 5 часов назад
Mungu awalaze pema peponi.
@magorymara5515
@magorymara5515 4 часа назад
Vita imeanza
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 4 часа назад
Eleweni nyie israil ina saidiwA nanchi kubwTu sio waoo 😊
@CalebThomas-ie4zy
@CalebThomas-ie4zy 5 часов назад
Wapigwe2 hao wanafadhili magaidi
@cdeegwau551
@cdeegwau551 5 часов назад
Katombwe na mashoga wenzio
@mdedsm5522
@mdedsm5522 3 часа назад
@@cdeegwau551tulia dawa iwaingie magaidi😂😂😂
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
​@@cdeegwau551mmh mashoga wansowapavadabu hao mbona ni mashoga wa kushangaza 😅😅😅
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 3 часа назад
Irani ina sema kweli Israel kazi ku ficha maumivu wanayo wao kila siku hapa kufa mtu 😂😂😂
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
Tuonyexhe kilichofichwa unachokijua ww na tupe prove no prove no authority to speak
@issashekh4726
@issashekh4726 3 часа назад
Allah awape subra na ushindi kwa yeyote apatae madhira ya vita huko mashariki ya kati
@annasolomon9855
@annasolomon9855 3 часа назад
Lakini asubuhi mlipolishwa taarifa ya kuwa hakuna madhara Wala vifo, mara drone zimedumguliwa mliwakashfu Sana Israel 😅😅 .. Hawa Irani wamechezea kipigo si ajabu Kuna wanajeshi wengi tu wamekufa na majeraha 😅😅
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
Yuko bize anaangalia movie hana habari nao
@Mubarak552
@Mubarak552 2 часа назад
Tunasubiri pigo lingine kutoka kwa Rahbar, pigeni hao mashoga wa ki Israel
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
Shoga mwenyew
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 3 часа назад
We mtangazaji ni mzayuni hatufatilii Tarifa kwako tuu .......Israel imebumaaaaa
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
😂😂😂😂 Pole
@SalumSanaa-oc8cw
@SalumSanaa-oc8cw Час назад
Kwa kila mwanajeshi mmoja zitakuja kombora 1000 hizi taarifa huwa hatufichi ili tukijibu mjue mashoga km mnaazibiwa kwa kosa gani jitaarisheni mwambieni biden akupakeni mafuta vizuri ili azidi kukupeni msaada mana round hii mtabloo
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
Kiaz kinsongea
@deodatusmugalulamugalula
@deodatusmugalulamugalula 4 часа назад
Habari tulizizipata ni kwamba wamezuia kucpiga picha wala video za tukio hadi sasa uharibifu haujulikani
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 4 часа назад
😂😂😂😂😂 israel hatari
@abubakarmussa5519
@abubakarmussa5519 2 часа назад
Mnakuwa watu mnanichekesha kwel vita vyote vinapangwa na marekan maamuz silaha gan zitumike wap tupge mwisho wa siku utasikia ISRAIL noma sana ss huwa hamuona toka mwazo nan anaendesha vita au
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
😂😂😂 maharage yanaiva maana yanaruka huku yakitoa kelele marekan
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Час назад
Serikali za kisilamu hawafichi kitu km madhuruba yakiwa makubwa basi wanakwambia kweli ila hao wazayuni wanaojita waisraeli wa mchongo hawatangazi hata wapate madhara gani
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
Acha udini paka ww kaabudu jiwe maka
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 часов назад
Mashambulizi yalikuwa nimakubwa ila yamemezwa na ulinzi wa iran hapo Israel imejikamuwa vyakutosha, iran ficheni kama wao walivyo ficha majuzi mlivyo washambulia wakatuficha ukwel, Kwanza simlisema awamu hii Israel ita mu attack ayatollah, mlifikiri ayatollah ni Kama babako,
@DeodatusRenatus
@DeodatusRenatus 4 часа назад
Akijibu , apo atafuatwa mzima mzima , save hii comment 😂, utanambia .wametikisa ili mdudu atoke shimon .akijibu tu ,watakachokifanya Israel nyote mashabik mandaz hamtokuw na ham ya kuingia FB mwez mzima
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 4 часа назад
​@@DeodatusRenatusNakuunga mkono mia kwa mia.
@omondiowino7875
@omondiowino7875 4 часа назад
Kifo hakifichiki... Israel huwa inatoa habari ya vifo ya wanajeshi wake .. tatizo ni kuwa nyinyi huwa mnatarajia idadi iwe juu😂😂😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 часа назад
@@DeodatusRenatus ndoto ya mchana kukikwa na joto kali 😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 часа назад
@@omondiowino7875 ilisema lin kuwa wamekufa kutokana na kipigo cha iran kama sio ezbollah
@ibrahimmbilizi1726
@ibrahimmbilizi1726 3 часа назад
Walisema akuna mazara iyi ngoma bado ngumu
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 4 часа назад
iran inajitengenezea njia ya kujibu😂😂 kwa habari hizo ni lazima wazitoe km zilivyo ili wapate nafasi ya kujibu kwa ukubwa.
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 4 часа назад
Ingekuwa ni irani imeishambulia islaeli na kuuwa hao wanajeshi sns munge sifu na kutangaza zaidi ya mala nne
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Час назад
Sns acheni uwongo hakuna hio habari😂
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
Toa yako
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 5 часов назад
Mashoga wao wanajeshi 70 walikufa Israel bila mashoga wenzao marekani awawezi,Taifa teule la mashoga
@omondiowino7875
@omondiowino7875 4 часа назад
@@mangulimanguli3974 tatizo unatumia sources za waislamu 😂😂😂
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 4 часа назад
@@omondiowino7875 sasa uliambiwa mm mkristo, Mm muislam najivunia kuwa muislam
@youngb8672
@youngb8672 4 часа назад
Shodmga n yeye
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 2 часа назад
Kaa kwa kutulia mjomba Gaza ni ya Israel kwa sasa na wamesha anza kujenga makazi...
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
Mnaangalia madiapers .. hivi wanajeshi 70 vyombo vya habari vikubws wasijue.. jaribu kutofautisha habari vinginevyo wew ni rahisi kulishwa matango pori na hao madiapers watafuta viewers
@amisindondi4549
@amisindondi4549 4 часа назад
Tatizo muislaer hapigani yeye ni NATO ndio wanampa campani%100
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
Hayo maneno tulijua yapo tu.. na hata mtu akiwa na maumivu na maneno kama hyo
@raymrash
@raymrash 4 часа назад
Si walisema mabomu hayakuwa na madhara 😂😂😂😂
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 5 часов назад
Oo ilani inamifumo imara sana mara mifumo ilijitahidi sana kukinga maroketi Sasa hivyo vifo vimetokeaje kama ilani inamifumo ya ulizi IPO imara ilani imepigwa vibaya sana
@danielmwaikoono8928
@danielmwaikoono8928 4 часа назад
Wana Makelele tu
@musaabbinumeir7718
@musaabbinumeir7718 4 часа назад
hata ujui kuandika ety ilani kwan tangazo hilo mpk ilani😂
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
​@@musaabbinumeir7718lakini si umeletwa kwamba anamaanisha Iran😅😅.. Pole
@musaabbinumeir7718
@musaabbinumeir7718 Час назад
@@annasolomon9855 na ww ujui toka apaa😄 kaongee kisukuma kiswahili wachie wapwani
@MankaMunisi-ng3kc
@MankaMunisi-ng3kc 5 часов назад
Si walipangua yote😂😂😂😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 5 часов назад
Kwa uzito wa mashambulizi yale Israel imepata aibu
@raymrash
@raymrash 4 часа назад
​@@MrTop-wj7no😂😂😂 kwani walisema wanataka heshima.
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 4 часа назад
Je yaliyopanguliw yaliganda qngani?😂
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
​@@MrTop-wj7noBado hujasema 😅😅 utasema Tena baadae 😅😅🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱💪💪
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 5 часов назад
Israel wana roho ngumu sana wanapigana na nchinne kwa pamoja Yemen, lwbanon,gaza na Irani
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 5 часов назад
Nchi hapo ni moja tu
@ramahkesh9360
@ramahkesh9360 4 часа назад
We kichaaa Israel ana shikwa kwa nyuma na nchi za ulala na malekani
@SuleimanJuma-c9t
@SuleimanJuma-c9t 4 часа назад
Siyo Israeli pale yupo mmarekani mmezoea kudanganya poleni
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 4 часа назад
Anapgana na vikundi tu.
@JosephChrisant
@JosephChrisant 4 часа назад
​@@ramahkesh9360Nchi za ulala ndiyo nchi gani hizo?😜
@issakhalid1098
@issakhalid1098 4 часа назад
Chalesi wewe hujui marekani izilaili uingeleza ujerumani ufaransa wote wako vitani kumsaidia myahudi
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 5 часов назад
Jamani nauliza tu hapa mtaan kijiweni nilikuta ubishani et Israel na urusi nani anaweza kumuattak mwenzake au niache uchonganishi maana ndan ya dk 7 kuna nchi itapotea alafu lawama ntazibeba mimi kwa hapa bongo
@FunnyProteaFlower-dg4gi
@FunnyProteaFlower-dg4gi 4 часа назад
Israel hapigani Kaka. Anayepigana pale ni USA na UK. AMINI nawaambia.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 часа назад
@@FunnyProteaFlower-dg4gi kwel
@emmadora7848
@emmadora7848 3 часа назад
Unafikiri kupigana ni sifa na watu wanapigana tu ?
@JacobMakwilo-u6e
@JacobMakwilo-u6e Час назад
Atakaye pigwa ni URUSI,niulize kwanini??jibu atakayepigana na Israel anapigana na MUNGU,sasa umewahi ona MUNGU anashindwa? Naongea kimaaandiko sikurupuki nataka nikufundishe neno La MUNGU linavyosema achana na hao maamuma ambao hawajui bibilia,nina mifano hai ifuatayo,nadhani unajua misri ilikua na nguvu kiasi gani kipindi cha MUSA? sasa najua unafahamu kilichotokea pale bahari ya shamu upoo! Soma maandiko ktabu cha kutoka utaona yale mapigo aliyokutana nayo farao ambaye waislam wanamuita firauni!!pili,ukisoma kitabu cha waamuzi utaona jinsi gani MUNGU alivyokuwa pamoja na waisraeli kwenye vita zote na wakashinda. Tatu,mwaka 1979 Israel waliwekwa kati na nchi tisa ambazo zilitaka kuifuta kabisa cha ajabu kabla hawajafanya hilo walishangaa wanapigwa na kusambaratishwa wote! Nne,soma kitabu cha esta utaona ni jinsi gani wayahudi walivyofanyiwa njama ya kutaka kuuwawa lakini mwisho wa siku yule aliyepanga kifo kilimkuta yeye na wayahudi wakapona kwa mkono wa MUNGU. Hivi haujawahi kujiuliza kwanini Israel hawashindwi ingawa ni kataifa kadogo saaana? Jibu ni rahisi tu MUNGU analitazama na kulilinda agano lake alilofanya na Ibrahim,isaka,na yakobo ambaye ndio israel.usitishwe na mataifa makubwa na yenye silaha kuuubwa ukazani ndio watashinda nop! Wapo waliokuwa na nguvu enzi hizo kama misri n.k lakini walidondoka kama mdudu mbele ya Taifa teule.ukifanya vita Na Israeli maana yake unataka kubatilisha Agano la MUNGU,Na MUNGU alishasema wazi kwenye Neno lake. Cha ziada Ni kwamba Israeli ndio imebeba unabii wa siku za mwisho Hasa lile la mpinga KRISTO hivyo huwezi kuipiga Wala kuifuta Israeli.
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
😂😂😂 sema nin wanajeshi wa israel wanakufa afu unacoment njugumawe kaka yaan bado hamjasema mpak mseme ni maelien wanapigana maana hamuelew iran anashenyentwaje​@@FunnyProteaFlower-dg4gi
@RamadanPaul
@RamadanPaul 3 часа назад
Sisi kama waafrika tupo pamoja na iran 🇮🇷 . Maana wanazuia utawala wa kimabavu wa wazionisti duniani. Nchi za afrika zimegubikwa na wimbi la ugaidi na uongozi mbovu, yote inasababishwa na nchi za ulaya na zionist, hivyo tusilaumu serikali zetu kuwa zinakopa sana na hakuna maendeleo kwani adui mkubwa wa afrika ni ulaya na zionist ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇸🇴🇸🇴🇭🇹🇭🇹🇸🇸🇸🇸🇸🇩🇸🇩
@phestostanley4019
@phestostanley4019 Час назад
Peke yako
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
Uko mwenyw tutolee uxhibaj wa mbute hapa 😂😂😂 . Wewe na nan sema mm na mke wangu sio sisi
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 3 часа назад
Mrusi hawezi pigana na Nato ww ..atachezea sasa hivi yenyewe amemwomba kiduku wanajeshi maji yamefika shingoni ..uingereza yenyewe tu mrusi anakaa
@raydanfrenk
@raydanfrenk 5 часов назад
😂😂😂😂😂 leo nina furah nataman mwarabu wa bongo nimpake mafuta 😅😅
@Awatee
@Awatee 4 часа назад
Jifunze kua na Heshima kwa watu wengine Heshima haiyuzwi sijui kwa nini hamukupewa malezi hasara iliojee aibu kubwa ktk jamii kua na mijitu ya Ovyo kama nyie Hasbiya ALLAH waneemal wakil
@raydanfrenk
@raydanfrenk 4 часа назад
​@@Awatee 😅😅😅😅😅 Sawa bby kwa ushauri
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
​@@Awateehata wew Huwa unaanka matusi nakujua vizuri Sana Kuna comment zako nyingi tu.. au kwa vile Leo unamachungu na Irani? Pole yatapita .😅
@daudikombo3541
@daudikombo3541 4 часа назад
Niuongoo hakuna mtu alie kufa na hakuna madhara yoyote
@isaacmagambo4017
@isaacmagambo4017 3 часа назад
Iran wenyewe wametangaza wewe unapinga, acheni ushabiki.
@emmadora7848
@emmadora7848 3 часа назад
Acha hisia za kijinga ,tumia akili
@josephpeter8511
@josephpeter8511 4 часа назад
Yaah wanastai hao magaidi na bado . Israel 🇮🇱 👍👍👍
@mustwafathabiti2978
@mustwafathabiti2978 4 часа назад
pungawew
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 4 часа назад
Tusubiri mziki mzito kutoka IRAN
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu Час назад
Hana madhara
@timetravellor5367
@timetravellor5367 4 часа назад
Subirini mrejesho muone KAZI ya wanaume inavofanywa
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu 59 минут назад
Sawa mama
@salimomar-n7s
@salimomar-n7s 5 часов назад
Tatzo waizrael hta wakiuliwa wanajeshi wao hua hwatangazi ukweli
@sirpaza8513
@sirpaza8513 4 часа назад
Iran bado kwa Israel. We unarusha makombola 300 halafu 99.9% yanapanguliwa. Huu ni ukweli mchungu kwa wanaomsapoti IRAN
@ikungetajohnluketa8601
@ikungetajohnluketa8601 4 часа назад
Israel wanasema , Tangu mwaka Jana October 7 mpk last week walisema wanajeahi 850 wameuwawa.
@missp1814
@missp1814 4 часа назад
Israel wamekufa kibao ila wanaficha tu,ila kichapo wanakipokea vizuri tu... Israel ilizoea kuwaonea wapalestina ila Sasa wamepatikana hata kama wakishinda haitakuwa rahisi lazima watachapika tu
@emmadora7848
@emmadora7848 3 часа назад
Tatizo lenu huwa mnataka idadi ifanane na huko mnakoshabikia ,tatizo linaanzia happ
@ikungetajohnluketa8601
@ikungetajohnluketa8601 3 часа назад
@@salimomar-n7s Kwani Iran ipo vitani????
@SuleimanJuma-c9t
@SuleimanJuma-c9t 4 часа назад
Israeli hamna kitu mmezoe kudanganywa
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
Uchungu unaweza kufanya ukaongea pumba .. pole lakini , ,, ukweli umejilikana mlilishwa matango pori asubuhi.. kumbe hasara kubwa na kipigo kimetembea 😅😅
@SuleimanJuma-c9t
@SuleimanJuma-c9t 4 часа назад
irani huezi linganisha na mzayuni pale amejaa mmarekani msitudanganye
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
Unaumia ukiwa wapi nikuatie hedex.. mbona Bado hujasema , utasema Tena baadae pumbavu..😅😅
@kudrasogoti3796
@kudrasogoti3796 4 часа назад
Vifo vinne kwa irani ,esrael kwa vifo 40 nani kashinda mech ya hawa wawili
@raydanfrenk
@raydanfrenk 4 часа назад
Israeli ijawai kupoteza 😅😅 walilusha ila kombora limeua mtu wa Palestina 😅
@emmadora7848
@emmadora7848 3 часа назад
Looo Israel alikuwa mpalestina 1 tu na wairan 5
@sonnyr1899
@sonnyr1899 5 часов назад
Sasa msiende kupiga tena mabango ya mitaani guseni kwenye mshono na nyie.
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 4 часа назад
Kafanya marekan kupitia base yake ya Iraq na syria
@omondiowino7875
@omondiowino7875 4 часа назад
Acha uongo buda... video ziko za jets za kivita za Israel zikitoka na zikirudi... kwanza shambulio hili Israel wametumia jets zao...si Kwa kutuma missiles.... hiyo ni kumwonyesha Iran kuwa Israel inauwezo kukwepa radar zao
@emmadora7848
@emmadora7848 3 часа назад
Uongo una wafariji sana
@yasinchatoa9481
@yasinchatoa9481 4 часа назад
Zote hizi ni jeuri ya marekani na sio Israel msimpe kichwa huyo Israeli. Kila kukicha Beiden anaingiza shehena za silaha huko Israel na mifumo ya ulinzi wa anga.. Ppp
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
Israel ni Marekani, na Marekani ni Israel.. kaka kama hujui fanya hata utafiti .. kabila lililojikita kwa wingi vna lenye utajiri wa mabenk hapo marakani ni lipi.. jibu Wayahudi.. na asilimia 95 ya Wamarekani ni Wayahudi.. acha blabla kama hujui haya mabo Kaa kimya uajitia aibu kwa ajili ya ushabiki maandazi 😅😅 pole lakini.. hivi hamjiulizi kwanini Marekani haachani na Israel? Jibu kwamba Marekani na insrael ni mtu mmoja kasoro wengine wpo Israel na Wengine wapo Marekani.. daah jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza 😅😅
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu 54 минуты назад
Sawa hiyo mifume imefungiwa marekan hata david string na iron dome😂😂😂
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu 52 минуты назад
Hiv unahix israel hana sirah ni kawaida kwenye vita kuongezewa nguvu kama iran na mataifa mengine yanavyoongezewa
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu 51 минуту назад
Kingine kama hujui kutumia sirah unaeza kupewa na bado ukauwawa lkn israel anawanyoxha haswa afu milio tunaisikia kwenu
@suhadsalim5528
@suhadsalim5528 4 часа назад
Mashoga wamefeli 😂😂😂
@annasolomon9855
@annasolomon9855 2 часа назад
Unaumia ukiwa wapi😅😅 .. kipigo kitakatifu .. na hapo Irani imeficha.. na Bado 😂😂
@ahmedmussa5533
@ahmedmussa5533 3 часа назад
Israel Hata wafe wao hawatangazi na vyombo vya habar vimefungiwa kutangaza ukweli asa hao wanaocomment ujinga kufrahia hzo habar wote naona wajinga wa fikra na hawanaakili coz ukitegua bom kunamabaki yanarudi ardhini ndio yaliowaathiri au mlijua yanayayuka angani?😂😂😂😂
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu 56 минут назад
Kila wakt wanajeshi wa israel waliokufa hutangazwa usitumie kuuwawa kwa wanajexh wa iran kama fimbo ya israel kutotangaz😂
@MgangaMalugu
@MgangaMalugu 55 минут назад
Tupe prove toka iran wanaokufa israel😂😂😂 acha maneno ya kwenye saloon za wa mama toa prove
Далее
новое испытание
00:40
Просмотров 188 тыс.
Только ЕМУ это удалось
01:00
Просмотров 816 тыс.
Why This Country Was Erased From History
16:50
Просмотров 1,4 млн