Тёмный

ISHA MASHAUZI - "NATAFUTA MUME, ALIYEKO TAYARI ANIPIGIE" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

ISHA MASHAUZI - "NATAFUTA MUME, ALIYEKO TAYARI ANIPIGIE"
Mwanamuziki wa miondoko ya Taarab, Isha Mashauzi, amepiga stori na Jahazi la Pwani ya Global Radio, ambapo ameweka wazi kuwa anatafuta mchumba kwa mtu yeyote aliyeko tayari amtafute waanzishe familia.
#MASHAUZI
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co...

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@lengachapati3728
@lengachapati3728 3 года назад
Kazi ipo kama wanawake wameaza ivi mwisho tutakuja kuolewa wanaume kinguvu 😁😁😁😁😀😀😀😀😀😀😀😀
@mosesmrindiko7973
@mosesmrindiko7973 4 года назад
Nitafute MM WhatsApp 0711595846
@AthmanYakub
@AthmanYakub Месяц назад
Hy ishaa vp dadangu utapata mume mwenye hkeri n ww usijali
@fadhilaramadan5143
@fadhilaramadan5143 4 года назад
MTANGAZAJI UMEPENDEZZA ISHA UNATAFUTA MUME MITANDAONI UTAKUTANA NA WANAO KUTAMANI NA SONWAOWAJI MMI NAKIOMBEA KWA ALLAH AKUJALIE MWENYE KHERI NA WEW INSHALLAH
@odoaisha5709
@odoaisha5709 4 года назад
Ahsanteee
@moshy3060
@moshy3060 Год назад
Assalaam alaykum VIPI ushampatamume
@AishaAisha-xp6je
@AishaAisha-xp6je 4 года назад
Mtangazaji saut kama zamaradi mumefanana saut na zamaradi cjui ni mm ndio naona ama niko na wenzangu walete like hapa kama mnamkubali mtangazaji .
@aminamnyaruge8574
@aminamnyaruge8574 4 года назад
Kabisa MI mwenyewe nilijua ni zama
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 4 года назад
Yaani isha ana upendo sana nimelishuhudia hilo wanaosema anaringa hawamjui kabisa...Mungu akupe maisha mema
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 4 года назад
Una familia kubwa kwa hiyo unahitaji mume wa kulea familia hapo ni ngumu
@joyceraphael6631
@joyceraphael6631 2 года назад
kabisa dada isha eti uvumilie vibwenga kuuriza niriorewa nirikuwa nasomo ndoa ngumu jamani ukipata mume au mke mkadumu mshukuluni mungu 🙏
@aliabraj688
@aliabraj688 4 года назад
Hongera upo sawa ila kweli upo tayari kuolewa au unahitaji stara tu kama walivyo wanawake wengi. Nakutakia kila la kheri ila hata ukiona kungwi nae kaachwa wari jiandaaeni kuhesabu waume.
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 4 года назад
Inshaallah kheir upate mwenye kheir naww na mwenye iman na mwenye of ya Allah yarab
@kyaro5945
@kyaro5945 4 года назад
Nitafute mwana na mziki tutaupiga huku. Number +61469174245
@jumaabayo8617
@jumaabayo8617 3 года назад
Aisha nakumand sana
@chalesabedi3532
@chalesabedi3532 2 года назад
Namba sako
@bimpole3025
@bimpole3025 3 года назад
Ntakusema
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 4 года назад
Kuna kaka anaishi canada juzi alikua anakupenda kuja kukuoa
@khamisjuma5046
@khamisjuma5046 4 года назад
Message from USA beautiful mama.nikutumie tickets ⚓🇺🇸👍🌐
@hussainomar1849
@hussainomar1849 4 года назад
Mimi naona wengi wanaingia katika ndoa wakati hawajamaliza Mambo yao ya ujana na wengine hawataki kuacha Mambo yao ya pembeni.
@hassanowaziri1587
@hassanowaziri1587 4 года назад
Ishaa me xjao ni mwislam nana miaka 36.nipo tayari kukuoa nitafute.0787 878822.
@emmydzoo8729
@emmydzoo8729 4 года назад
Uishaachezeewa weeeeeee ,ndio unataka mme sasa
@tecnokitkat2586
@tecnokitkat2586 4 года назад
I love you,namba yangu 0621785088
@suzanachengula4654
@suzanachengula4654 4 года назад
Nakupendaga isha minimoja ya shabiki ako mzurii sanaa yani mpaka huwa wananiita suzy mashauxi xku takuja kwenye band yako mungu akijalia uzima
@hassanowaziri1587
@hassanowaziri1587 4 года назад
Ishaa me xjaoa nina miaka 36.nipo tayari kukuoa.0787 878822
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 4 года назад
Mimi natafuta dem humu kama huyo aisha ila asiwe na familia kubwa tuanze upya maisha, ajitahidi sana angalau asiwe na mtoto, tuanze maisha kama adam na hawa, tumzae tabu na kawawa 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@namirihamisi1989
@namirihamisi1989 4 года назад
Masha Allah somo nitakutafuta da Isha kwenye ndoa yangu
@freemansuleiman7923
@freemansuleiman7923 4 года назад
Naomba unicheki kwenye 0764570421
@kamugishaernest6227
@kamugishaernest6227 4 года назад
*anataka wenye kipato Cha kutosha* akina marioo na vibenteni mpite kushoto
@hassanowaziri1587
@hassanowaziri1587 4 года назад
Naomba namba yako ishaa nikutafute mimi nakupendaga sana nipo tayari kukuoa na sijawahi kuoa na ndoa nakupenda ishaaa mashauzi sana jamani.
@mawjumarashidi8437
@mawjumarashidi8437 4 года назад
Nakupenda bure isha wangu
@goldenson1340
@goldenson1340 4 года назад
Sina mengi 0757909821//0717057537
@nelsonemma2922
@nelsonemma2922 4 года назад
0718564902 nitafte mrembo Isha mashauzi
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 года назад
Innalilhah
@victormsangawale6542
@victormsangawale6542 4 года назад
Nipigie Mimi 0764421333
@abdurahmanramadhan7877
@abdurahmanramadhan7877 4 года назад
nakupataje tuonan tuongee
@kilala.k.5786
@kilala.k.5786 4 года назад
kataja namba zake mpigie
@alikarisa
@alikarisa 4 года назад
Mashauzi Una malingo
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 4 года назад
Malingo ndo nini? 😁😁😁
@sharafinaraja7102
@sharafinaraja7102 4 года назад
Aisha unamacho mazuri sanaaaa duuh hingera yako binti mashaallah
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 4 года назад
ALLAH akujaaliye upate mume wa kheiri na wewe ,na iwe ni sababu ya wewe kuingia peponi
@alipqasse9967
@alipqasse9967 4 года назад
Isha nakupenda sanaa ww
@shadowmedia7644
@shadowmedia7644 4 года назад
Mhhhhhhhh! Namba hyooo +255763711508
@seifmilowe87
@seifmilowe87 4 года назад
Dada ana maswal konk sana
@a.856
@a.856 4 года назад
🙏
@gemkachar
@gemkachar 4 года назад
nampigia cm inaita hapokei. nisaidieni
@soccertv293
@soccertv293 4 года назад
Usimpigie jaman nishamvisha Pete now nimchumba wangu
@mbwanarajab7238
@mbwanarajab7238 4 года назад
Tatizo matumizi yako ni makubwa sasa maendeleo yatakua kazi ngumu
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 4 года назад
Hahahahaaaaa
@barakastanley4143
@barakastanley4143 4 года назад
Achia no wadau wasolokoke
@gabimtanzania157
@gabimtanzania157 4 года назад
Interview nzuri Sana big up Odo Aisha
@odoaisha5709
@odoaisha5709 4 года назад
Mtanzania
@hafidhushafii7694
@hafidhushafii7694 4 года назад
Yaan nyiye nimafala
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 4 года назад
Umekula ubwabwa hata mdomo hujanawa, kuna punje ya ubwabwa mdomoni hahaaa
@fahadlauni5854
@fahadlauni5854 4 года назад
Hapana sio ubwabwa na wewe angalia vizuri ni kipiji cha pembeni acha ushamba na wewe
@suzanachengula4654
@suzanachengula4654 4 года назад
Acha ushamba sio punje nyoo
@tbs0583
@tbs0583 4 года назад
Ah!!!
@paulojumbe9747
@paulojumbe9747 4 года назад
Wanawake wkikulya mna matatizo
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 года назад
🤣🤣🤣🤣nenda Kamuoe bhna
@paulojumbe9747
@paulojumbe9747 4 года назад
Nyamoga family nitumie namba yake
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 года назад
@@paulojumbe9747 🤣🤣🤣🤣muombe mwenyewe
@paulojumbe9747
@paulojumbe9747 4 года назад
Nyamoga family kama unayo naomba unitumie coz mi npo mbali si rahisi kuipata
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 года назад
Cna bhna,,Amini hivyo
Далее
#慧慧很努力#家庭搞笑#生活#亲子#记录
00:11
SIMTAKI MTU
2:56
Просмотров 2,4 тыс.