Тёмный
No video :(

ISHA MASHAUZI: NILIPUNGUZA MATITI NAONGEZA MAKALIO/NAJUTA 

Dizzim Online
Подписаться 766 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

ISHA MASHAUZI: NILIPUNGUZA MATITI NAONGEZA MAKALIO/NAJUTA

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 210   
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 3 месяца назад
Kuna Mungu mmoja na Mbingu moja. Amen. Dini zetu isiwe sababu ya kutengana na kuchukina. Mungu mkuu atupe hekima kwa yote. Amen.
@sadikjuma5519
@sadikjuma5519 3 месяца назад
Ishaa Kusema kweli nakubaliana na sentiments (wazo na maongezi) yako. I believe kwa ule msemo wa we are one,no matter the tradition or religion,yaani( sote tuko sawa ingawa tamaduni na dini tofauti). Kwa hiyo huku kubaguana hakuna maana kabisa,matendo mema ya kiukweli ndo important,dini ni maelekezo tu.Mimi mwenyewe mama mkristo,baba muislamu lakini nipo, so mengine tumwachie Mungu. Thanks Isha much love from Kenya. 🇰🇪❤️. Nkija Dar naja kula huko😂.
@evamilele6129
@evamilele6129 3 месяца назад
Asantee Isha umeongea sawa Mungu akuzidishie hekima . Nakuelewa Isha
@Wastara001
@Wastara001 3 месяца назад
Mbona unatumia nguvu kubwa kujitetea?? Isha ielewe shahada.
@erickkimani8729
@erickkimani8729 2 месяца назад
My all time favorite artist
@vincej9275
@vincej9275 3 месяца назад
Mungu Mmoja, let's love and respect all religions.
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 23 дня назад
Wee Isha mwuislam jina lkn hufuati Amri Mungu amekataza mziki Ameka
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 3 месяца назад
Tujitambe tunavyotaka ktk dunia siku moja tutarudi kwa Allah na huko tukamjibu Allah kama hivo tuone kimbembe pumzi tu zinatuhadaa
@rizikikhalid5119
@rizikikhalid5119 3 месяца назад
Wewe muislam kuingia kanisani sio dhambi inayoangaliwa pale imani yako msiifanye dini ngumu ilhali pengine kusali husali
@fatumaabasi777
@fatumaabasi777 3 месяца назад
Kutokusali hakumfanyi mtu ageuze sharia za Allah, ziseme sharia kamazilivyo ukizipindisha niwew kama binadam so yuko sahihi @hawamohammed, na ukishakua na imani yani muumin wa kweli kamwe hutoweza ingia kanisani, ukiona wew ni muslim halaf unaenda kanisan bado hujawa muumin wa kweli.
@happinessjonathan9994
@happinessjonathan9994 3 месяца назад
​@@fatumaabasi777Ebu tuambie kanisani kuna nn?
@khalidmwakabuta5045
@khalidmwakabuta5045 3 месяца назад
Isha Mashauzi (Mashauzi classic) nakupenda sana
@erickkimani8729
@erickkimani8729 2 месяца назад
Waaah,baada ya kuiskiza hii hapa nimeongeza pendo langu kwako.....Isha Mungu akulinde na akuongeze maisha marefu
@twahamitingi4028
@twahamitingi4028 3 месяца назад
Hata magufuli aliingia msikini naalivaa kanzu
@brigethsauzand3926
@brigethsauzand3926 16 дней назад
Isha Unajielewa sana Huwa nafuatilia sana wakubwa wetu wa dini zetu Huwa hawabagui na pia wanajua vitabu vya dini vinasemaje
@issashunda444
@issashunda444 2 месяца назад
Duh tumsifu Yesu kristo na lah illah ila lahu . Hivi ni sawa kweli Wewe fanya biashara usitudanganye wee Mashauzi
@user-zv2ng6ov2k
@user-zv2ng6ov2k Месяц назад
Nimekupenda bule from Burundi
@rosemarycosmas-oi7im
@rosemarycosmas-oi7im 3 месяца назад
Wakristo tunaupendo sana akifa muislam tunajifunika hata kama tutaona joto ila tutajifunika tunaenda kuungana nao .Mungu nimmoja tuuuu ndugu zetu waislam
@user-lm8xw7hi3t
@user-lm8xw7hi3t 2 месяца назад
Kwa hivi unataka mkristo akifa tuvue shungi
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Hakuna upendo ni unafiki tu😅
@hillarimtambo482
@hillarimtambo482 3 месяца назад
Nakupenda sana Mungu akutangulie mpendwa 🙏💕💕🌹
@nancympangile9813
@nancympangile9813 2 месяца назад
Binafsi nimekuelewa sana, naamini wengi wamekuelewa. Mimi mkristu lakini mume wangu muislamu tuna watoto na maisha yanaendelea na naamini Mungu atatusaidia tutazeeka pamoja, Amina.
@RakinaAbdalla
@RakinaAbdalla 2 месяца назад
Pole uliona wapi ndoa mkristo na muislam na NDOA mulifunga Kwa dini Gani dah pumzi hizi mtihani kwelikweli
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 2 месяца назад
Aisha endelea na moyo huo na waislam wengine hawajui dini inahitaji nini Mungu ni mmoja
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Abel Wakristo wengi hamjui dini inataka nini ndo mana wabinafsi.
@anthonyndonde2970
@anthonyndonde2970 3 месяца назад
Mungu akubariki sana Isha, nimekuelewa na kukupenda sana, we ni kichwa mama! Mungu akujalie sana, nitakuwa shabiki wako milele, Ukristo na Uislam ni Imani tu!
@missmannydxb
@missmannydxb 7 дней назад
Isha much love from Dubai ❤❤❤❤❤
@user-tr8kz6wc1j
@user-tr8kz6wc1j 3 месяца назад
Ndiyo nakupenda dada wewe milele❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Grataaaaa
@Grataaaaa 3 месяца назад
Kila mtu anatakiwa ajuwe kuna waislam na kuna waumini waislamu nd kama ao daimond hamonaiz ishamashauz washirikina zuchu na wengine ila waumini ni wale wanaojiandaaa na akhera tuu na hawapotezi mda na masuala ya dunia n kipumbavu yanayomkasirisha muumba mbingu na ardhi na viumbe vyote
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 3 месяца назад
We unajuaje kuw hujamkasirish Muumba kwa kuwanenea mabaya wenzako? Huyo Mungu wako hanifai!! Mungu gani asiye na upendo. Mbona Mahshehe wanakaribishwa? Kwa hiyo wewe Mungu anakupenda kuliko wote??
@RakinaAbdalla
@RakinaAbdalla 2 месяца назад
Hakikaa umeongea broo
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
​@@TheresiaAndrea-hv9dgMtu akibadili dini akija kwenye uislamu hata nyie mnaongea vibaya kwa wenzenu,huyo Mungu wenu pia hatufai kabisa.
@marthalukumay6465
@marthalukumay6465 3 месяца назад
Very smart lady ❤️❤️
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 месяца назад
Nimekupenda bure Aisha Mashauz i❤❤
@user-qx2bh3gr1f
@user-qx2bh3gr1f 3 месяца назад
Umeongea vizuri insha ❤❤❤
@rehemamkanda5652
@rehemamkanda5652 3 месяца назад
Mungu aendelee kukupa hekima
@user-xi4le1hp4y
@user-xi4le1hp4y 3 месяца назад
Unaingia kanisaini sawa kama unavyo sema,lakini jambo muhimu ni kuwa unapo ingia kanisani kwa wewe muisilamu unatakiwa ujue je mungu anaridhia?kila mtu anatakiwa ajue anacho kifanya,je mungu anamridhia?isiwe unafanya jambo ukafikiri mungu anakuridhia
@user-ii1tc7gt9r
@user-ii1tc7gt9r 2 месяца назад
Isha waislam wenzio ni wabinafsi sana huo ndo ukweli na ndo maana wanakulaum ukipata nafasi ingia mara nyingi uwezavyo Cha msingi moyoni mwako unabaki na Imani yako nakupenda sana mdogo wangu
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Wabinafsi dunia hii kama wakristo alafu mna roho mbaya sana
@gracemwingwa-jx7yy
@gracemwingwa-jx7yy 3 месяца назад
Asante Isha kwa kuwaelewesha wanzio,,
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Wenzake wakina nani yani nyie wakristo mnapenda udini sana😅
@gracemwingwa-jx7yy
@gracemwingwa-jx7yy Месяц назад
@@Mmm-65-z3k mmoja apo ni ww
@FloraPamba
@FloraPamba 2 месяца назад
Nimekupenda dada isha unajitambua amina mungu akutie nguvu dd
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
😅😅😅😅😅😅
@NuruMtoi
@NuruMtoi 2 месяца назад
Safi sana sijawai kuandika kabisa nimekupenda unajitambua mm nina ndugu waislam sijawai kuwabagua na nawapenda na mm ni mkristo
@rashidiurio6369
@rashidiurio6369 3 месяца назад
Aisha 🎉 nakupenda bure kabisa mammy kaza Buti usishindane na watu wasiojua kesho yao.
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
We yako unaijua
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 3 месяца назад
Huyu dada Ni Mrembo...😍
@hosianajolam8695
@hosianajolam8695 3 месяца назад
Dada asha upo vizuli mwenye mungu akusimamie
@hellenmachibya2681
@hellenmachibya2681 3 месяца назад
Ukisikiliza ya wote hufanyi chochote,wewe ni wajamii hufungwi popote,wala haikuondolei Imani Yako,,Nakupenda Kwa msimamo wako
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Angekuwa mwenzenu msingesema hivo😅😅😅😅😅😅
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 3 месяца назад
Asha mashauzi uko vizuri
@TaarabChannel
@TaarabChannel 3 месяца назад
Karibu kwangu❤
@user-xt4mi5zs2s
@user-xt4mi5zs2s 3 месяца назад
Mbn mada tofauti na matiti
@Official83640
@Official83640 3 месяца назад
​@@TaarabChannelWewe ndy Isha ?
@user-tw7xc7tc1s
@user-tw7xc7tc1s 2 месяца назад
Uko vizuri my dada nakupendaaaa
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 месяца назад
Pole dada lkn hujashiba din lzm ujute dunia ni mapito
@homeboy2307
@homeboy2307 3 месяца назад
Namshukulu mungu kwa ufahamu alio kupa
@DianaMacha-jf8gw
@DianaMacha-jf8gw 3 месяца назад
Watu bhana mnamhukum kuingia kanisani jee mngefurahia mkimkuta gest au kwa mganga
@KhamisKarisa-jn8cf
@KhamisKarisa-jn8cf 3 месяца назад
Hapo sasa
@happinessjonathan9994
@happinessjonathan9994 3 месяца назад
Hao wanaojifanya kumshangaa Isha wao ndio wanafanya mazito ya Sri Hadi shetani anashangaa kuzidiwa ujanja
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
​@@happinessjonathan9994😅Hayo mazito yanayofanywa hadi shetani anashangaa na wewe huwa unayafanya nao ndo mana umeyajua😅
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Ndo tushahukumu sasa 😅
@TaarabChannel
@TaarabChannel 3 месяца назад
Kwanza sio makosa kuingia kanisani...hakuna dalili kwenye Quran wala hadith..ni stigma zetu zaki nafki.
@wasilaahmad7913
@wasilaahmad7913 3 месяца назад
Sawa
@Mojabo-qi7sv
@Mojabo-qi7sv 3 месяца назад
🎉🎉Vzr my dear
@edinafaustinez8514
@edinafaustinez8514 3 месяца назад
Nimekupenda sana dada aisha
@user-sj8hn7jt7g
@user-sj8hn7jt7g 3 месяца назад
Amen wachana nawale wanaeneza udin mungu Ni moja
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Ndo nyie wa kwanza kusema kuna Allah na Yehova eti leo Mungu mmoja😅
@user-fx2wq2yx5r
@user-fx2wq2yx5r 3 месяца назад
Aisha ni mzalendo nakupenda
@benjamanigabriel3349
@benjamanigabriel3349 3 месяца назад
Aisha hao waliongea ujinga wao hawana ufahamu vichwani mwao mungu awasamehe
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Hata wewe umeongea ujinga huna ufahamu kwenye kichwa chako Mungu wako akusamehe bure😅
@Maria-dg6ik
@Maria-dg6ik 3 месяца назад
Mashallah daa ❤❤❤❤❤❤❤
@user-jo3cs3yu3o
@user-jo3cs3yu3o 2 месяца назад
Dk Hamis hapa anaongea toka Mozambique. Nafkiri amewapa watu somos nzuri. Mungu ni umoja tuu!!!
@aljabrsaleh4378
@aljabrsaleh4378 3 месяца назад
Allah ufahamu wa sawa sawa maana hayo maneno ya mtu ambae hujui dini yake.. Kwa muislam ni haram kuingi kanisan na kwa upeo wa kawaida tuu jaribu kujiuliza hiv kwanini kuna makabur ya waislam na wakristo na kulikuwa na haja gani kufanya ubaguz huu wakuzikana wakat ss ni wamoja? Jua kabisa ukristo na uislam sii kitu kimoja na hatahao wanaojiita jumuiya ya maridhiano hakuna maridhiano ktk mambo ya itkadi.. Na allah amesema hawatakuwa radhi mayahud na manaswaea mpk mfuate mila zao.. Nikweli dini zipo nyingi ila dini ambayo itamsalimisha mja dunian na akhera ni uislam na nyumba za ibada zipo nying ila ya hak ya kuabudu ni msikt.. Dada eti amuongoze.
@user-df1cw2xl4h
@user-df1cw2xl4h 3 месяца назад
MashaAllah umenena jambo hili dini sijui wanaichukulia je kwa kweli
@user-xb2qd6ik6d
@user-xb2qd6ik6d 2 месяца назад
Hapana! Ki ukweli wa Mungu! Mungu yupo tena mmoja tu Hayo mambo ya ukristo,uislam n.k ni itikadi tu za wazungu na waarabu walikuja na kutuletea imani zao hizo kutugawa ili tuchukiane tubaguane kisha watutawale kwa urahisi
@user-xb2qd6ik6d
@user-xb2qd6ik6d 2 месяца назад
Hakuna dini zaidi ya kupendana kindugu,kuwatii na kuwaheshimu wazazi wako. Hizi zingine ni story tu Wewe fikiri kidogo tu hata kwa akili ya mtoto wa darasa la nne! Wakristo wanajiona imani yao ni bora hivyo wanajihakikishia kuwa na haki molki kwa Mungu Ukija kwa waislamu basi ndiyo kabisaa eti Mungu ni wao peke yao,walokole nao,Baniani nao na ng'ombe wao,wapagani nao na military,miti,mito,mifugo,minimum n.k wanaamini kumpendeza Mungu vilevile! Sasa hapo Mungu ni wa nani? Chenille uvivu wa kufikiri ndugu zangu
@MwanasitiKassim-kx1rj
@MwanasitiKassim-kx1rj 3 месяца назад
Waeleweka Isha
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 3 месяца назад
Kabisa dada nimekuherewa sana
@deomusyebi9930
@deomusyebi9930 3 месяца назад
Dada mungu ni mmoja uko sahihi achana na maneno ya watu wasioenda shule, mbona Rais Samia anaingia bila shida na Majaliwa wa Majaliwa anaingia na wanaingia kwa masuala ya kitaifa na mahusiano mazuri Dada Aisha wambie wasitugawe hao kwanza Upendo mengine baada
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Huenda nawewe shule hukuenda ndo mana umewajua wasioenda shule😅 hakuna upendo ni unafiki tu😅
@user-zq2be4xr1o
@user-zq2be4xr1o 3 месяца назад
Sasa kama uliimba nawo ba ukatowa mchango ,tayari nimakosa
@UpendoMtunguja
@UpendoMtunguja 3 месяца назад
Mungu ni mmoja tuu
@salimakuyela7813
@salimakuyela7813 3 месяца назад
Huna akili tu😏😏
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 3 месяца назад
Wasikuchoshe mwaya ingia popote wanakataa kuingia kanisani lakini wanaingia gest house kufanya ufilauni
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 3 месяца назад
🤗🤗🤗😅😅😅dahhhhh
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Paskaziasholla wewe huwa unaingia nao gest house ndo mana huo ufirauni umeujua😅
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 Месяц назад
@@Mmm-65-z3k 🤣🤣🤣 jamani yamekua hayo
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
@@paskaziasholla7471 hayo hayo.
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 3 месяца назад
Toeni ya maana watu wapate FAIDA na sio kutengeneza tu film
@Maryam123-vh6sq
@Maryam123-vh6sq 2 месяца назад
Ndo mana mimi nampendaga leyla Rashid❤❤
@lilianmrope1598
@lilianmrope1598 3 месяца назад
She's smart
@stellacosmacy4785
@stellacosmacy4785 3 месяца назад
Aisha huwa ninakupendaa sana mm jamani, kusali popotee
@user-zq2be4xr1o
@user-zq2be4xr1o 3 месяца назад
Si makosa muislam kuingiya kanisani , ila sherti moja tu usifanye ibada nawo kwakuimba wala kwakusali wala mchango wowote wajanisa, uwe tu kama mgeni, kinyume na hicho tayari nimakosa
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl 3 месяца назад
Ameongea point tupu❤❤❤❤
@user-fb1vw8eh9w
@user-fb1vw8eh9w 3 месяца назад
Umekosea sana, mwanzo wewe unafaa utubie tauba Nasuha na uwache munkar
@noorsa88d
@noorsa88d 3 месяца назад
Well said anasema maneno yasio kichwaa Wala miguu
@evenasubo3117
@evenasubo3117 3 месяца назад
Karibu Tena mbs kilifi 😍💞🥰 tunakupunda🇰🇪
@TaarabChannel
@TaarabChannel 3 месяца назад
Ahsante, karibu na kwangu ❤❤❤
@evenasubo3117
@evenasubo3117 3 месяца назад
@@TaarabChannel 🙏🙏🙏NITAFIKAA MUNGU AKIPENDAA
@AnnaShija-rx6bn
@AnnaShija-rx6bn 2 месяца назад
Fanya unachokiona kipo sahihi kwako na Mungu sio binaadamuu
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 3 месяца назад
Ludi nyumbani yesu anakupenda llini ukoniwabinafusi😢
@wasilaahmad7913
@wasilaahmad7913 3 месяца назад
Kumbe ni wabinafusi😂😂😂
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 3 месяца назад
Isha ka mie😂❤❤❤
@user-gf5sd1ye7n
@user-gf5sd1ye7n 3 месяца назад
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 salute mama umenena mamy❤❤❤❤❤
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 3 месяца назад
Jamani mimi huwa nafata comment mana kunawatu wanajuwa kichambo😂😂😂
@user-hi3et7mp6m
@user-hi3et7mp6m 3 месяца назад
Mtihani mtupu,mwisiramu wakweli hapaswi kuingia kanisani,wala kusema kama unavo sema wewe,kwasababu wao wanasema yesu nimungu,haliyakuwa yesu ni mtume,kama mitume wengine,haramu kujifananisha nao,wana mkufuru mungu hawafai
@noorsa88d
@noorsa88d 3 месяца назад
Very true na wakristo wanatupiga vita kweliii ona WENZETU WAPALESTINE
@MaterlingMtui-oz8fp
@MaterlingMtui-oz8fp 2 месяца назад
Mhh, pole
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
​@@MaterlingMtui-oz8fppole pia
@gracemwingwa-jx7yy
@gracemwingwa-jx7yy 3 месяца назад
Pia waislam hao hao ndo wanakuwaga waombaji mitaani kwa ajili ya kujenga misikiti mbona hawaombi kwa waislam wenzao Tu ila kwenye kuingia kanisani niwanaona shida sana basi wasiombe michango Yao kwa wakristo waombane waislam kwa waislam
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 3 месяца назад
Tanzania dini ni ndogo snhuelewi mwisilam wala mcristo
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 3 месяца назад
wewe wacha ushabiki wa imani wacha kukashifu imani ya wengine, waisilam walikuja wapi kuomba wajengewe msikiti ? ukiambiwa uthibitishe hilo utaweza kufanya hivyo ?
@gracemwingwa-jx7yy
@gracemwingwa-jx7yy 3 месяца назад
@@Mariam-ke4og kwabahatimbaya huwaga siongezi uongo nami ukiona nacoment humu ujue nimeiona hiyo yakuchangia huku tuliko wanatembea sana kutakakuchangia nyumba ya ibada
@gracemwingwa-jx7yy
@gracemwingwa-jx7yy 3 месяца назад
@@Mariam-ke4og napia sijakashifu ila ninawashangaa waislam kuwadharau wakristo naakati msaada yakujenga nyumba ya ibada wanaenda Hadi kwa wakristo wachangie
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
​@@gracemwingwa-jx7yynyie wakristo ndo mabingwa wakukashifu na kudharau iman za wengine ndo mlivyo wabinafsi na hiyo michango kwani mmeshikiwa fimbo kutoa shobo tu😅
@jimmychoovideocollection4070
@jimmychoovideocollection4070 3 месяца назад
Mtiani mkubwa dada😢😢
@starfordalex4139
@starfordalex4139 3 месяца назад
Point
@anethmshahara8519
@anethmshahara8519 3 месяца назад
Wala hujakosea kipenzi, na hayo maneno Bismillah au alhamdulilah ni lugha tu lkn sio maneno yanayohusu imani au uislam yeyote anaweza kusema
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Muone huyu nae Bismillah au Alhamdulillah ni maneno ya lugha inayotumika kwenye dini yetu sisi waislamu ndo mana hamuwezi kuyasema kwenye ibada zenu. Na nyie simtafute lugha aliyotumia yesu wenu😅
@MariamLwimo-vm8mm
@MariamLwimo-vm8mm 2 месяца назад
Sijaona kosa ukosawa songambere mungo nimmoja
@sesilialaga5403
@sesilialaga5403 3 месяца назад
Pole Aisha Bado umepanga nyumba tu?
@user-nm6on3sw2t
@user-nm6on3sw2t 2 месяца назад
Ni kipindi hchooo bhb kasema miaka mitatu nyumaa
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 18 дней назад
Kapunguze kifua sasa hivi maana kifua kama simba dume.
@halimaibrahim1915
@halimaibrahim1915 2 месяца назад
😍
@abubakaradnan4689
@abubakaradnan4689 2 месяца назад
Usimsikilize mama bibi au mtu mwengine soma qur-an itafahamu hicho kisa ulichofanya uliza mashekh wa kislamu usichanganye dini uislam mbali na kristo mbali hakuna dini mseto
@fatumahossein754
@fatumahossein754 3 месяца назад
❤❤❤❤❤❤
@salhkasmm558
@salhkasmm558 3 месяца назад
Ukumbuke umechangia maovu wajibu wako kuwakalia kistaarabu.
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 3 месяца назад
Yaani Kiki huwa ndafata comment basi nijionee matusi😂😂😂
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 3 месяца назад
Asha una akili kuliko waislamu.
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 3 месяца назад
Wengi tu akina pinda, Membe, Makamba, just to mention few. So, wanaobwabwaja kumlaumu ni mawakala wa shetani.
@VieraMarogo-nn5vi
@VieraMarogo-nn5vi 3 месяца назад
Muhongo wew ushakuw muhisilamu utaingiaje msikitin
@magorymara5515
@magorymara5515 3 месяца назад
Mungu hana dini wewe ndo unadini mungu hayajui hayo makundi yenu tunamuomba mungu mmoja halafu unaleta mafalakano
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
​@@magorymara5515ndo nyie mnasema kuna Allah na Yehova waone udini tu umewajaa
@stevenvictor437
@stevenvictor437 3 месяца назад
Pointi hakuna baya
@user-iy3fx7cl1j
@user-iy3fx7cl1j 3 месяца назад
We ata ukingia uko kwenye chimbuko lako hakuna shida
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 3 месяца назад
Nataka nikija kula hapo nikukute wewe inawezekana?
@pendolema6038
@pendolema6038 3 месяца назад
Wa kwanza kucomment
@TaarabChannel
@TaarabChannel 3 месяца назад
❤❤❤ njoo na kwangu
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y 3 месяца назад
tatizo lenu waislam dini mnaijua kua mziki haram kwanini hamuachi
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy 3 месяца назад
Kil mt afanya analo litak man kil mt na kabur lake😢😢😢😢
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Mziki haram ndiyo na hatuachi ng'o 😅
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 3 месяца назад
ku punguza matiti dada ni ku punguza mlo, na sports nyingi, sio ku punguza ma titi na ku ongeza mlo 🙏...
@user-df1cw2xl4h
@user-df1cw2xl4h 3 месяца назад
Ungoo uoóó
@MeniJr
@MeniJr 3 месяца назад
Acha kutetea ujinga
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 месяца назад
Hata ungeingia pangoni ni wewe kipenzi.maisha ni yako hayahusiani na mbuzi yeyote.mama samia anaingia kanisani mbona hawasemi?mbinguni hakuna cha mwislam wala mkristo.ni matendo yako tu. Shule ikiwa ndogo kichwani ni shida saana kwa jamii.
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 3 месяца назад
Umeonaee kuingia kanisani Sio mbaya Wala ayna shida inategemea umeingia Kwa sababu gan
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 3 месяца назад
😂😂😂
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
We mwenyewe shule yako ndogo kichwani kwako😅
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Месяц назад
Ubogas utakuuwa
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
@@sophiakimaro5174 ubogas utakuua wewe sophiakimaro na wenzio kama wewe🤣
@janethjonas1700
@janethjonas1700 3 месяца назад
Mmmh location inaogoma...muongozo kama patern ya mume muhuni
@TaarabChannel
@TaarabChannel 3 месяца назад
😂😂😂😂 mshari wewe, pitia na kwangu
@user-jv1ch4tr8q
@user-jv1ch4tr8q 3 месяца назад
😂😂😂😂
@christinelihavi4068
@christinelihavi4068 3 месяца назад
Waislam hua munaniacha hoi😂😂ubinafsi utawaponza
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
Hamna wabinafsi kama wakristo ubinafsi unawaponza nyie.
@christinelihavi4068
@christinelihavi4068 Месяц назад
@@Mmm-65-z3k Sawa umeshinda
@zayanazayana5518
@zayanazayana5518 3 месяца назад
Kichwa cha habari kingine
@sofiarugoye7929
@sofiarugoye7929 3 месяца назад
Eti mi nimeona titi kubwa na dogo
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 3 месяца назад
Huyu nae kumbe hamnazo
@MwamvuaKing
@MwamvuaKing 3 месяца назад
Haswaaaaa
@user-kp9ig3uz9s
@user-kp9ig3uz9s 3 месяца назад
Huyu binti mbona amezeeka sana?
@rhodarichard4494
@rhodarichard4494 2 месяца назад
Unataka asizeekee yeye jiwe?
@Mmm-65-z3k
@Mmm-65-z3k Месяц назад
​@@rhodarichard4494imekuudhi pole😅
@pendolema6038
@pendolema6038 3 месяца назад
Waongo mbn sijackia hbr za matiti
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 3 месяца назад
Labda kuna mwendelezo😅
@mdachiog5211
@mdachiog5211 3 месяца назад
😂😂😂
@pendolema6038
@pendolema6038 3 месяца назад
​@@Rose-ue2ho yaani wamenimalizia bundle tu kumbe wanatangaza biashara zao
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 месяца назад
Mimi nimeona titi kubwa na dogo 😮😮
@TaarabChannel
@TaarabChannel 3 месяца назад
😂😂😂😂 sitajui..njoo na kwangu ❤
Далее
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Просмотров 3,7 млн
Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)
9:23