Тёмный

ISHARA 5 ZA MTU "ALIYEOKOKA" SEHEMU YA 1 - ASK DR KENNETH KASUNGA 

EAGT MLIMANI TV
Подписаться 451
Просмотров 2 тыс.
50% 1

Kupitia Kitabu Cha Marko 16:15-19 Yesu kabla hajamaliza Kazi yake hapa Duniani Aliamua Kuwapa Agizo Wanafunzi wake ,ikiwemo kuhubiri INJILI kwa kila Kiumbe na Kila Atakaye Amini Basi Angebatizwa na Kuokoka .
lakini pia Aliwapa ISHARA 5 Ambazo Kama wangezifuata Basi wangeweza Kuziona ISHARA hizo na Zingekuwa Ni moja ya ISHARA Muhimu kwao katika Kuhubiri .
ISHARA hizo Ni Lazima zifuatwe na kwasababu Ni Ahadi Basi kwa Mtu Yeyote Yule Anapaswa aliyeokoka anapaswa Kuziona na Kuzishuhudia kwa Macho yake
ISHARA HIZO TANO NI KAMA ZIFUATAZO
1. KUSEMA KWA LUGHA MPYA
2. KUPONYA WAGONJWA
3. KUKEMEA /KUTOA PEPO
4.KUSHIKA NYOKA
5. HATA UKILA VITU VYA KUFISHA /KUUA HAVITAKUDHURU .
Hii Ni Sawa sawa na Marko 16 :15-18 "
Mtumishi wa Mungu Dr Kenneth Kasunga Kwa Uwezo Mkubwa wa Mungu aliyompatia Aliweza Kuhubiri SoMo Hili kubwa na lenye Ufunuo wa Ajabu ,Katika Kanisa la EAGT BABATI MLIMANI Kuanzia Tarehe 06/04/- 10/04/2022 .
KARIBU UJIFUNZE
#BABATIKWAYESU ,#INJILIBILAMIPAKA #KUOKOKANILAZIMA

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@DeborahMussa-y9y
@DeborahMussa-y9y 19 дней назад
Amina
@petropatrick-l9x
@petropatrick-l9x Месяц назад
Amina sana baba Amina saaana
@nikusekelakajumba7697
@nikusekelakajumba7697 Месяц назад
Mungu akubariki mchungaji endelea kutupa neno zaidi
@HadijaChiyembekeza
@HadijaChiyembekeza Месяц назад
Asante Baba
@kman_ino
@kman_ino 2 года назад
Amen kubwa Dr. askofu kasunga
@petromwakyalabag9484
@petromwakyalabag9484 8 месяцев назад
Barikiwa sana baba
@edwardsoteli9075
@edwardsoteli9075 2 года назад
Mbarikiwe baba
@betinawakili
@betinawakili Месяц назад
Amina
@petropatrick-l9x
@petropatrick-l9x Месяц назад
Amina sana baba Amina saaana
@denisjoshua337
@denisjoshua337 2 года назад
Amen
@EzekieliJanuari
@EzekieliJanuari Год назад
Amina
Далее
DR KASUNGA - UTASHIKA NYOKA
49:29
Просмотров 602
Bishop keneth kasunga
43:32
Просмотров 5 тыс.