Тёмный

DR KASUNGA - UTASHIKA NYOKA 

EAGT MLIMANI TV
Подписаться 451
Просмотров 603
50% 1

Somo la Siri 5 ZA MTU ALIYEOKOKA ,huu Ni mwendelezo wake
Moja ya Ahadi na ISHARA waliyopewa wanafunzi wa Yesu Ni pamoja na Kushika Nyoka na Kutokudhuruiwa na Huyo Nyoka .
Marko 16:18 Inasema "Watashika Nyoka,Hata wakinywa kitu Cha kufisha hakitawadhuru kabisa "
Wewe Mwana wa Mungu uliyeokoka unapaswa Kuelewa kuwa Unayo ISHARA hii pia Unapaswa Kuielewa kwa Undani Hapa Askofu Dr Kasunga Ameifafanua kwa Undani zaidi kwamba wawezaje Kushika Nyoka na Nyoka Asikudhuru .
fuatilia Somo Hili kwa Undani zaidi Utapata kuelewa na Kujifunza kwa Undani zaidi na Roho wa Mungu awe Juu yako ,Akupe kuelewa na Kujifunza Kwa Kina zaidi ,Usisikilize tu bila Kutafakari ,Unayo Hali ya Kumkumbusha na Kumuomba Roho mtakatifu akusaidie pia Katika KUSIKILIZA kwako .
#BABATIKWAYESU#KATIKAMLIMAWABWANAITAPATIKANA#INJILIBILAMIPAKA

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@PaulMwandembo
@PaulMwandembo 3 месяца назад
Mi Paul mwandembo toka nakuota Barbara baba mchungaj
@jonas_helias
@jonas_helias 2 года назад
Amen sana nikiwa Moshi naipata vyema. #jonawisetz
@elishamwamlima3514
@elishamwamlima3514 2 года назад
Amen MUNGU azid kukutumia. Baba kasunga hua unanibariki sana
@kman_ino
@kman_ino Год назад
nikiwa morogoro && pwani nasikia GOD akinena nam kupitia DR bishop kasunga be blessed dady of kyela
@masterkey536
@masterkey536 7 месяцев назад
Chunya tunawapenda
@dismasstephano1993
@dismasstephano1993 2 года назад
Ameen
@esterally191
@esterally191 2 года назад
Ameni
Далее
Свожу все свои тату (abricoss_a_tyt)
00:35
Сказала дочке нет!
00:54
Просмотров 370 тыс.
UKRISTO NI UDHIHIRISHA WA UUNGU
48:39
Просмотров 11
Свожу все свои тату (abricoss_a_tyt)
00:35