Тёмный

ISHARA SABA (7) ZA KUKUONYESHA MUNGU AMEJIBU MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 15/02/2024 

Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Подписаться 77 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.
Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
- M-Pesa Lipa Namba : 5252176
- MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
- KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
Gospel Teachings for soul winning Purpose.

Кино

Опубликовано:

 

14 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@user-ye1dt2eb8u
@user-ye1dt2eb8u 5 месяцев назад
Mchungaji ,,,maadui woote wa Kila aina, ikiwepo mpango wa kando, na wachawi,wengine wengi, tunaomba aje juu Yao, na jinsi ya kijiepusha nao, Mchungaji ukiona mesg yangu tufundishe tafadhali mapenzi wa Mungu,aliye kuita Kwa jina lake mwenyewe.
@rachelmacha3725
@rachelmacha3725 21 день назад
Ameni kwa mafundisho haya kumbe nilijibiwa muda mrefu kwa kutokujua nilikuwa naendelea kuomba. Mungu akubariki Mtumishi, na azidi kukupa ufunuo na maarifa ili wengi tupone.
@lovenessmwamengo7090
@lovenessmwamengo7090 5 месяцев назад
Baba ktk jina la yesu nisaidie nijue kusoma ishara.
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu Месяц назад
amen nimejikuta na wepesi katika hali zangu,uzito umeondoka hofu imeondoka,nashukuru Mungu amejibu maombi yangu
@user-gc2wu9me3e
@user-gc2wu9me3e 4 месяца назад
Mungu akupe maisha malefu ili tuendelee kupata mafuzo ya neno la mung
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 5 месяцев назад
Mungu ukubariki sana baba, hiyo point ya nne ya Mungu kukupa maagizo imekuwa ikitokea sana mimi nakumbuka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili Mungu alinipa maagizo ya kufanya, kuna mambo matatu(majaribu) yalikuwa mlima mzito sana sana kwangu na niliyaombea kwa miaka mingi (nane) ikawa siku moja usiku nimelala nikaota ndoto naona kuwa nina mizigo mitatu na hiyo mizigo mitatu nimeibeba kwa muda mrefu napeleka mmoja naufikisha mahali narudia mwingine tena naufikisha mahali pia na mwingine tena vivyo hivyo nikasikia kama mtu ananiambia kwenye ndoto wewe hiyo mizigo yako unatakiwa utoe nauli kiasi fulani akakitaja ili ubebewe hiyo mizigo nami nikamjibu hata kama nikiasi fulani nikakitaja (kikubwa kidogo kuliko kile alichotaja) nitatoa na ni kweli peke yangu haikuwezekana kuibeba na kuifikisha, nikawa nimeshituka nikafikiri sana juu ya hiyo ndoto nikajua kuna jambo Mungu anataka nifanye sikuchelewa nikaanza maombi ya kimuuliza Mungu ndoto ina maana gani na nafanyaje sasa ndipo kwa Neema ya Mungu siku Moja nikasikia sauti ndogo ya ndani ikiniambia ni nichukue sadaka niipeleke madhabahuni na kisha niandike yale mahitaji matatu niyapeleke madhabahuni niweke ile karatasi ya mahitaji chini ya madhabahu wanapoweka biblia wakati wa kuhubiri nikaenda nikamweleza katibu wa kanisa naye akanipeleka kwa mchunguaji nikamweleza ilivyokuwa mchungaji akakubali(alikuwa ameokoka vizuri na anayajua mambo ya rohoni) akaruhusu niweke pale nilipoambiwa niweke. Nimemshangaa huyu Mungu ni miezi miwili tu imepita tangu nipeleke hayo mahitaji madhabahuni Mungu amejibu kwa kishindo.Namtukuza sana Mungu.
@uniceTweve
@uniceTweve 4 месяца назад
👏👏
@Lusimo1116
@Lusimo1116 5 месяцев назад
Asante sana baba yaani mimi huwa unanibariki mno mno na sijawahi kumuelewa mchungaji mwingine kabisa ,na mimii ni Muislam sijwahi choka kukusikiliza unahubiri kisomi mchungaji Nabarikiwa sana nikiwa makambako Njombe❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@DamsonChipa
@DamsonChipa 5 месяцев назад
Ameeni pastor aamini mtu wa Mungu baba kweli anakutumia katika haki na kweli yake barikiwa sana am ata Ifakara-morogoro-tz!!
@lucyrehema6207
@lucyrehema6207 5 месяцев назад
Barikiwa Sana baba umekua sehemu kubwa Sana katika Maisha yangu ya kiroho pindi ninapo fatilia mahubiri Na mafundisho yako tayari kupitia somo hili nmepata jibu la ombi langu barikiwa Sana Mungu akupe Maisha marefu hata vizazi vyetu vile kutoka kwako 🙏🙏
@tulizokilasi
@tulizokilasi 3 месяца назад
Mungu akutunze Pastor una mahubiri mazuri sana
@yvettembavu9306
@yvettembavu9306 Месяц назад
Amena Baba yani nimebarikiwa sana
@user-ez3jm4cs4t
@user-ez3jm4cs4t Месяц назад
Tunamshukuru Mungu kwaajili yako maana neno linaponya
@user-py2ko5wg6v
@user-py2ko5wg6v 5 месяцев назад
Asante Mungu hakika umeongeza Iman ktk safari ya wokovu barikiwa pastor
@user-ck6ts8cv9o
@user-ck6ts8cv9o 5 месяцев назад
Mungu akutie nguvu umenitoa sehemu moja kwenda nyingine mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏
@SamantherLubanga-ir9ir
@SamantherLubanga-ir9ir 10 дней назад
Asanti kwa neno bariwa, ninasikia niko poa ndani ya neno
@doreenephraim4057
@doreenephraim4057 5 месяцев назад
Neema ya Mungu ikufunike daima
@user-sc5gt6gs3s
@user-sc5gt6gs3s 5 месяцев назад
Baba mchungaji ubarikiwe sana 🙏
@user-ys7ef2ei6z
@user-ys7ef2ei6z 5 месяцев назад
Somo zuri sana ubarikiwe sana pastor George ❤
@lilianamondi862
@lilianamondi862 5 месяцев назад
Pastor sijui nisemeje! Katika mafunzo Yako yaani nimetaja tu tatizo langu na mara tu nimejibiwa kwani mafundisho Yako kupitia kwa mwenyezi ukweli yana nguvu... Barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 5 месяцев назад
Amen Amen Amen Nimepokea Katka Jina La Yesu.
@user-hf7vg1rs4f
@user-hf7vg1rs4f 5 месяцев назад
Mungu akupiganiye akuongez nguvu na mafuta, ubarikiwe sana mchungaji 🙌
@user-vt4wj1fr2c
@user-vt4wj1fr2c Месяц назад
Aiseeee!! kweli ukijua kweli kweli itakuweka huru.
@PurMer-lx4qf
@PurMer-lx4qf 5 месяцев назад
Amen ❤❤❤❤❤barikiwa mchunganji hakika Imani yangu inaendelea kuongezea❤munhu akubariki nanakurinde
@princhesdiana4786
@princhesdiana4786 4 месяца назад
Mchangaji wa nyakati za mwicho. Wewe ni baraka kwangu na kwa wengi. Pst. Jonah. Kenya.
@slamafamily5720
@slamafamily5720 5 месяцев назад
🙏 Amen pastor bc mungu amenijibu maombi yangu kwasababu kunaneno kila maramara linakuja neno...kuwa utamkumbuka bwana mungu wako anaekupa utajiri woow pastor nimejibiwa bc Amen glory to God
@winfredkariuki4318
@winfredkariuki4318 Месяц назад
Amen
@mercymwaisaka8133
@mercymwaisaka8133 5 месяцев назад
Naomba Mungu aniwezeshe nifike JRC listening from Mombasa. Mtumishi umekua wabaraka sana
@constantinnihimbazwe7224
@constantinnihimbazwe7224 5 месяцев назад
barikiwa baba mucungaji tusaidiye maombi kuusu watoto wetu wanashambuliwa Sana n'a magonjwa
@ibrahimukikwilili4368
@ibrahimukikwilili4368 5 месяцев назад
Ooh Asante baba mchungaji kumbe hata kwangu Mungu amekwisha kujibu maombi yangu
@nickolassimion
@nickolassimion 5 месяцев назад
Baba hii ya kufahamu ishara naomba nisaidie
@user-fs1gs5pm4m
@user-fs1gs5pm4m 5 месяцев назад
amen amen ubalikiwe sana mungu akupe neema kwakadili ya utukufu wake❤🎉❤❤❤❤❤❤
@user-uh2tu4us4
@user-uh2tu4us4 4 месяца назад
Mungu aliye kuonekania naomba nami pia anionekanie
@aliaaliamint8545
@aliaaliamint8545 5 месяцев назад
Amen Amen Mungu akubariki mtumishi kwa mafundisho mazuri
@CatherineMakokha-dg6ws
@CatherineMakokha-dg6ws 5 месяцев назад
Let us give glory to God, for talking with us through your pastor more blessings in Jesus mighty name 🙏🙏
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 5 месяцев назад
Amen Amen Amen Mtumishi Wa Mungu Tunashukuru Kwa Mafundisho Manzuri.
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 5 месяцев назад
Amen Amen Amen in Jesus mighty name I truly believe &TRUST more more more countless times, Amen
@JustaJohn-qt6iv
@JustaJohn-qt6iv 5 месяцев назад
Ameni 🙏🙏🙏 Kuna kitu nimejifunza
@user-ty8xk1ez6n
@user-ty8xk1ez6n 5 месяцев назад
Powerful message 🙏
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 5 месяцев назад
Mtumishi Barikiwa Sana Katika Jina La Yesu Kristo.
@uniceTweve
@uniceTweve 4 месяца назад
Nimebarikiwa Mtumishi wa Mungu
@jacklinejackline2539
@jacklinejackline2539 5 месяцев назад
Amen and Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@user-vx5rb6rg1v
@user-vx5rb6rg1v 5 месяцев назад
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏
@janetmuema1955
@janetmuema1955 5 месяцев назад
Amen Amen 🙏
@NENO_UZIMA90
@NENO_UZIMA90 5 месяцев назад
Glory Glory ❤
@user-kf6ox4pe5b
@user-kf6ox4pe5b 5 месяцев назад
Amen 🙏 amen amen bwana unitetee mungu
@penninahmarthias9301
@penninahmarthias9301 5 месяцев назад
Ameen and Ameen Our God is powerful
@user-yh1gm9sx2p
@user-yh1gm9sx2p 5 месяцев назад
Ameen, Ameen I'm blessed.
@janetosogo1167
@janetosogo1167 3 месяца назад
Nimebarikiwa sana
@user-dx6zw2lu8c
@user-dx6zw2lu8c 5 месяцев назад
Bwana yesu akutunze saana
@glorykimaro5620
@glorykimaro5620 5 месяцев назад
Amen Glory to God
@user-xj8jq7ne8r
@user-xj8jq7ne8r 5 месяцев назад
Kwakweli hakika mungu anakutumia
@paulaminzi114
@paulaminzi114 5 месяцев назад
Wewe ni baraka sana
@TabizaAa
@TabizaAa 4 месяца назад
Amen 🙏🙏
@gracewangari1471
@gracewangari1471 5 месяцев назад
Amen Amen
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 5 месяцев назад
Glory 2 God
@user-md7ks7um4o
@user-md7ks7um4o 5 месяцев назад
Sauti jamani hatuskii
@MunaBaibe
@MunaBaibe 5 месяцев назад
Wanibariki tuu pastor
@KondeBoy-kx4so
@KondeBoy-kx4so 3 месяца назад
Ameen
@anakikare7226
@anakikare7226 5 месяцев назад
Naomba namba za simu nitumie sadaka,,,,,,masomo ya mtumishi huyu yamenijemga sana ,,,,,,
@ruthabed
@ruthabed 5 месяцев назад
Postor natamani nijue kusimama na neno
@everlynjuma8881
@everlynjuma8881 4 месяца назад
Mchungaji this is a powerful message,but power fluctuations interfered.kindly find a way of correcting so that we get the message in totality.
@nickolassimion
@nickolassimion 5 месяцев назад
Natumaini kwamba unatufundisha ili, tufahamu. So can you answer my question about it. How can i know about ishara?
@MunaBaibe
@MunaBaibe 5 месяцев назад
Paybill ya kutuma sadaka
@user-rd3bd1mh5t
@user-rd3bd1mh5t 4 месяца назад
Angalia video paka mwisho kabsa kunaa namba zinapita za sadaka utaona
@hellenlight4894
@hellenlight4894 4 месяца назад
1. Neno 2. Ujasiri 3. Amani ps 35 4. Maagizo 5. Nuru katika moyo 6. Furaha isio ya kawaida 7. Badilisha haja ya moyo wako
@maymakau4852
@maymakau4852 5 месяцев назад
Amen
@jescahmuhongo48
@jescahmuhongo48 5 месяцев назад
Amen
@EsterbernardoVumo-kn2xv
@EsterbernardoVumo-kn2xv 5 месяцев назад
Amen Amen Amen Leo Nililia Sana Asubuhi Nilivyokuwa Naomba Lakini Jioni Nilivyoingia KwenyeMaombi Nilifikili Ningrweza Kulia Sana Lakini Cha Ajabu Sikulia Tena Nikawa Na Amani.
Далее
Как пронести Конфеты В ТЮРЬМУ
19:16
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
JINSI YA KUBATILISHA MIUNGU KATIKA ARDHI  BY FJ KATUNZI
1:17:28
MAOMBI YASIYOSHINDWA
45:23
Просмотров 163 тыс.
Крыса 🐀🤣
1:01
Просмотров 3,2 млн