Wallahi nimeskitika sana kujua alituwacha, nilkua hata simjui jina lakini nyimbo na mashahiri yake nilizipenda toka udogoni ,😢Inna lillahi wainna ileihi rajiun. Harusi nyingi ningemskia pia nyumbani kulikua na cassettes zake,This man was a National Treasure, his music will forever be classic antiques. We miss you much love frm Kenya 💚💛❤