Тёмный
No video :(

Ally Stars TOT Hauvumi lakini umo [Kwa Raha Zangu Taarab] [Kwa Raha Zangu Taarab] Taarab za zamani 

BURUDANI AFRICA
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 354 тыс.
50% 1

Usisahau ku subscribe kwenye link hii www.youtube.co...
Taarab za zamani
Hauvumi lakini umo -Ally Stars

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 282   
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Subscribe for more taarab music ru-vid.com
@mbesherejoh4219
@mbesherejoh4219 6 лет назад
Ndugu yangu mimi nina shida na wimbo nadhani uliimbwa na khadija kopa akiwa TOT 'nipe nipe raha mtoto wakitanzaniaaa nipe nipe raha mtoto niweke kwenye himayaa ni wimbo mwaka 1992/3 plz nitakupa hata elfu 10 kaka @burudani africa Nicheki kwenye namba hizi 0679930776 na whatsup 0752341449
@willi.kagoroba.5393
@willi.kagoroba.5393 3 года назад
@@mbesherejoh4219 and
@willi.kagoroba.5393
@willi.kagoroba.5393 3 года назад
@@mbesherejoh4219 and
@willi.kagoroba.5393
@willi.kagoroba.5393 3 года назад
@@mbesherejoh4219 instagram.com/explore/tags/sreee/?hl=en #sreee hashtag on Instagram • Photos and Videos
@mwasitisaidy3632
@mwasitisaidy3632 Год назад
@@mbesherejoh4219 hhhhhhhh
@wazirbashir7626
@wazirbashir7626 7 месяцев назад
Twende twende foo (2024) bado tupo na Ally Star
@mwisyopatrick7203
@mwisyopatrick7203 Год назад
Wewe ujumbe mzuri sana Africa Kila ausikilizae wimbo huu lazima ukumbuke miaka 25 iliyopita utajua ulikuwa wapi
@techfreenolqdp
@techfreenolqdp 6 лет назад
Kama bado unaisikiliza hii 2018 na inakukumbusha mahali Fulani hapo zamani gonga like please
@halmakinty962
@halmakinty962 6 лет назад
Godfrey Jwangi nice art the for the upload ninzuri inmafunzo
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap
@japhetkabogo1610
@japhetkabogo1610 6 лет назад
Godfrey Jwangi nitaftie wimbo unaoimba NATANGA NA NJIA , WASAP 0765360946
@hadijashabani6233
@hadijashabani6233 6 лет назад
Godfrey Jwangi nakumbuka enzi za TvT
@dianaeliona2841
@dianaeliona2841 2 года назад
Daah nilitafutaga hz nyimbo skufanikiwa sku nmeipata nilifurah sana sana jmn yaan sipendag taarabu lkin hiz utaniuwa hongeren sana jmn
@ceciliahobuyah1582
@ceciliahobuyah1582 Год назад
From 2000 till 2023 still rocking!!!!! 🥳🥳🥳🥳🥳🥳❤❤❤❤💖
@williamelias3094
@williamelias3094 4 года назад
Yaani haya maneno Bora mama yake angemzaa mbuzi angewauzia wapika supu angekua na faida
@sangomamourice6331
@sangomamourice6331 4 года назад
Asante home sweet home kumbuku zinarudi nyuma
@suleimanimran3424
@suleimanimran3424 5 лет назад
Nilidhani mimi chanda na wewe ni pete yangu, ikawa ninakupenda kukuona umwenzangu, kumbe nimefuga donda 'lilowashinda wenzangu, ikawa wagawa tender hata kwa rafiki zangu, toka bibi fanya nenda bora niishi kivyangu, mimi sili vya kuvunda hilo ni sindiko langu, Wewe si mtu ni sanda, nahofu uhai wangu, Ama kweli mlezi wako anokulea---ana hasara Ama kweli Mwalimu wako anokufundisha---ana hasara Ama kweli mzito wako anokulea--Ana hasara Ama kweli mchumba wako ulompata---ana hasara mdogo wa kimo una mambo wewe, unamambo wewe, una mambo, nimeshaamini chochote kizuri hakikosi kasoro
@isaacmbugi5593
@isaacmbugi5593 2 года назад
Malizia wimbo kaka
@fatmamazige9486
@fatmamazige9486 Год назад
Good!
@jumanzige9644
@jumanzige9644 2 года назад
Back in da days nikiwaq kijana mdogomdogo tu 1999 school isevya form three. maishs yanaenda kasi sana
@t7zkc5tpxgim28
@t7zkc5tpxgim28 4 года назад
Wow! napenda sana huu wimbo tangu 2000 hadi wa leo hauzeeki
@fatimambarak9474
@fatimambarak9474 3 года назад
Na upenda Sana uno wimbo toka nko class3 mpka ss bado ua napenda Sana👌👌💕 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
@maryambailakhunani3360
@maryambailakhunani3360 4 года назад
Alosikiliza wimbo huu 2020 tujuane 🔥🔥
@kingjaymal3349
@kingjaymal3349 4 года назад
Nipo hapa😀😀😀😀
@k7thmedia396
@k7thmedia396 10 месяцев назад
nairobi 2020🔥
@SaidiRamadhani-yu4dj
@SaidiRamadhani-yu4dj 9 месяцев назад
Nipo hapa nlisikiliza sana
@rhodagama6664
@rhodagama6664 4 года назад
Ukiisikiliza ule mstari anasema ..mdogo wa kimo unamambo wewe .. Ahaha nakumbuka hii kanda iliuzika saana kuanzia 2000 ilisumbua vbaya mnoo wale wahenga wenzangu tukumbukane unaikumbuka hii ulikuwa wapi!?
@edwinajoseph5086
@edwinajoseph5086 3 года назад
Nasoma kipindi hicho jamani wahenga raha sana
@mwatumudogo3948
@mwatumudogo3948 4 года назад
Weuweeeeeee hadi raha 2020 ngoma haijazeeka
@kimutaiboit8516
@kimutaiboit8516 4 года назад
niko hapa 2020 (dwendi dwendi)
@kuruthumuomary8398
@kuruthumuomary8398 4 года назад
Kitambo Sana dah miaka ya 2000 nikiwa darasa la nne,,dah nimekumbuka Sana home mtwara
@muktabsumra4119
@muktabsumra4119 3 года назад
Duh nyumba zilo nakumbuka mombasa Nairobi na Kampala coach FULL HANDAZ NAMA YONDA
@subirakibona5161
@subirakibona5161 2 года назад
Hapo nakumbuka kaka yangu kaja na radio kaset kutoka moro dah ilikua shida kijijini huko uparen
@nyekingobwire7993
@nyekingobwire7993 5 лет назад
Amakweli mleziwako alokulea Kala asala amakweri mwalim wako alokufundisha Kala hasala walaufanani navyako vitendo unamambo wewe😁😀😁😀👏👏👏👍👍👍💗💝❤💓💕Kama unasikiliza ngoma him 2018 gonga like twendesawa
@emmanulpatrick4211
@emmanulpatrick4211 3 года назад
Mtoto wa kilosa ally hemedi stat
@ibrahimramadhan8228
@ibrahimramadhan8228 3 года назад
Kwel nyimbo bado ipo vzur imenkumbush mbal san miak ya 2004 bdo nskiliz mpk leo 2020
@josephabel7654
@josephabel7654 4 года назад
Nimeitafuta muda mrefu sana hatimae
@annielsabayamollel7854
@annielsabayamollel7854 Год назад
Tuliosikiliza huu wimbo 2023 tujuane
@user-xx3ym4hl7y
@user-xx3ym4hl7y 7 месяцев назад
Tupooo mi ndo ngoma zangu hzo 😅😅❤
@salymkapala6973
@salymkapala6973 3 года назад
nov 2020 twende sawa
@aishaomari1025
@aishaomari1025 4 года назад
Dah kitambo sana nymbo hii. Umegeuka gobore kubeba kila mgambo....hua nikiumizwa na mwanamk naskilza nymbo hii
@couragetv3314
@couragetv3314 Год назад
Taarabu imenipeleka mbaliiiiiii Haya wote wa 2022 vidole juuuu❤
@AliAli-wo4rq
@AliAli-wo4rq 2 года назад
Nakumbuka huu wimbo dadangu akiolewa 2000 wanikumbusha mbali
@mmaahsayyid1858
@mmaahsayyid1858 6 лет назад
Wow ad raha ndani ya Qatar wapi wenzangu stress za waarabu zipite na kuleeeee
@arafashaban6916
@arafashaban6916 5 лет назад
Weye 😂😂
@suleshmwakz8329
@suleshmwakz8329 5 лет назад
Doha ndaniii
@naseemjeddah8042
@naseemjeddah8042 5 лет назад
Tupoo atuvumi
@Ambagaye
@Ambagaye 7 лет назад
Nadhani niliusikia wimbo mara ya kwanza mwaka 2001. Nilicheka sana ile sentensi inyohusu "kugombiniwa kama mpira wa kona!"
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 7 лет назад
+Majura Selekwa he he. Enjoy kabisa and share with friends
@walterosoro2489
@walterosoro2489 4 года назад
Wimbo huu ni mtamu
@willi.kagoroba.5393
@willi.kagoroba.5393 3 года назад
Moira.wa.kona
@bakariabdallah7978
@bakariabdallah7978 3 года назад
🤣🤣🤣
@zawadimnyazi4866
@zawadimnyazi4866 5 лет назад
Oyooo hadi raha jamani enzi hizo nikiwa bado mdogo
@raewambia33
@raewambia33 Год назад
Aaah utamuuu sio🎉🎉❤ ngoma haijazeeka
@aishakhamis714
@aishakhamis714 6 лет назад
Duh unanikumbusha mbaali saana hadi nalia,yani ulipotoka wimbo huu mwaka 2000 ndo mwaka aliokufa mama yng,
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Pole sana Aisha. Nafurahi una enjoy
@ismailmjesh6550
@ismailmjesh6550 6 лет назад
Aisha Khamis Allah amsamehe madhambi yakeeee
@katore1982
@katore1982 4 года назад
Iñnalilah wainnailaihi rajiun...zidi kumuombea duah..! Tuwe pole sote
@aishakhamis714
@aishakhamis714 4 года назад
@@katore1982 Amin🤲
@zachariahanderson677
@zachariahanderson677 6 месяцев назад
2024 steal watching
@francishoza7979
@francishoza7979 5 лет назад
Dah nakumbuka maisha fulan kilosa mama yng bado yu hai. Rip Mama I love yu
@sapzuuramadhan2983
@sapzuuramadhan2983 5 лет назад
Tunaomba nyimbo za Ally star, kidege, kisonoko, ukikelekwa, Natanga nanjia tunazimisi hatari
@auntykaira8677
@auntykaira8677 4 года назад
Daah 2020 nasikilza
@jonikisomo_19969
@jonikisomo_19969 5 лет назад
Daaah 2019 na wimbo bado unanikumbusha miaka ya mwanzoni mwa 2000
@robertelly2315
@robertelly2315 4 года назад
unakumbuku wapi?
@user-xx3ym4hl7y
@user-xx3ym4hl7y 7 месяцев назад
Muziki unaishi jamani nyimbo ziliimbwa zamani kma huu wimbo unakukumbusha kitu tia like hapo haijalishi ni majonzi au furaha ❤❤
@selemanfunditumepotezadhah7039
@selemanfunditumepotezadhah7039 3 года назад
Duh nakumbuka nipo hoi kitandani
@jumanzungu5925
@jumanzungu5925 7 лет назад
Tunaombeni Ndugu nyimbo za ABDUL MISAMBANO akiwa T.O.T
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
sawa. zipo njiani
@mbesherejoh4219
@mbesherejoh4219 6 лет назад
Ndugu yangu mimi nina shida na wimbo nadhani uliimbwa na khadija kopa akiwa TOT 'nipe nipe raha mtoto wakitanzaniaaa nipe nipe raha mtoto niweke kwenye himayaa ni wimbo mwaka 1992/3 plz nitakupa hata elfu 10 kaka @burudani africa
@aysherkabby5937
@aysherkabby5937 5 лет назад
Mbeshere Joh nipe nipe raha mtoto wa kitanzania nipe nipe raha nakupenda ile mbaya Nyimbo iliimbwa na Othman Soud akiwa TOT sio Khadija kopa..
@zulphakajala8141
@zulphakajala8141 4 года назад
Nakumbuka Musoma Mjini kwetu aah Jaman Raha sana
@hanifayunus8502
@hanifayunus8502 3 года назад
2021...naipenda sana💕💕💕
@emmanuelikomba3190
@emmanuelikomba3190 4 года назад
Enzi hizoooooooooooooooooo.....nakumbuk sana hii track.
@husseinkatuga414
@husseinkatuga414 4 года назад
Good song old is good
@andrewawuor7982
@andrewawuor7982 5 лет назад
Good.mimi sili vya kuvunda hili si ndizigo langu.MY SONG .Wacha taarab iitwe taarab
@sallasmartine5497
@sallasmartine5497 7 лет назад
nyimbo inanikumbusha mbali sana toka 2001 nikiwa na marafiki zangu
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Endelea ku enjoy taarb music. Na usisahau ku share na marafiki
@jumanzige9644
@jumanzige9644 2 года назад
MIMI NAKUMBUKA NIKIWA TABORAA FORM THREE 1999
@rosemarryoccd7799
@rosemarryoccd7799 6 лет назад
kk unaweza sana ludi kwenye game mziki wa taarabu haupo Tena kk ludi nakumbuka mwaka 2001 nyimbo ilitamba sana by Konga times baby
@issaally7928
@issaally7928 4 года назад
Nzuri mda dah2000
@willi.kagoroba.5393
@willi.kagoroba.5393 3 года назад
@@issaally7928 and
@Kaka_Rambo
@Kaka_Rambo 2 года назад
2021 nasikiliza hili goma bora la muda wote
@aishaabdi5887
@aishaabdi5887 4 месяца назад
2024still hot...
@carologunyo9675
@carologunyo9675 5 лет назад
'Duka lako la asali sasa linanuka shombo'...wah!!reminds me wen in Form 2 matuga gals,Mr Mangi,Sanga (RIP)and Sawa loves the song.big up 2019.miss those days
@iddzimbu8964
@iddzimbu8964 4 года назад
RIP....hatuvumi ila tumo!!
@mgobosamgobo4916
@mgobosamgobo4916 2 года назад
Naomba nyimbo ya shalila imetungwa na aliy hemedi star na kuimbwa na malkia nasma khamisi kidogo
@mwakaribukhamisi7036
@mwakaribukhamisi7036 2 года назад
Sang alifariki😭😭😭
@kefaonamu953
@kefaonamu953 3 года назад
Mara kwanza kuskiza ilikua April 2001
@jamilabaraka8449
@jamilabaraka8449 6 лет назад
Mwimbo umenikumbusha zamani duuuu 2000 enzi ye Y2K
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Thanks. I am glad unaburudika na muziki wa taarabu . Dont forget to subscribe and share with friends
@victorianbenardnachenga6839
@victorianbenardnachenga6839 5 лет назад
Enzi za nyimbo hii pale Y2K Bar Buguruni ilikuwa hataree Dar nzima ilikuwa inahamia pale kuburudika na kundi nzima la TOT Band...daaah kweli siku zinakimbia saana..!!!
@noahkhalifa1462
@noahkhalifa1462 2 года назад
My mom would play this all morning on repeat … good old times
@melodynerido2286
@melodynerido2286 6 лет назад
Napoteza stress kutika Lebanon loving it nakumbuka Enzi hizi
@ramadal2390
@ramadal2390 Год назад
Yaan uyu mZee na Misambano ndio walifanya nianze kusikiliza taarabu
@chuzilapweza6517
@chuzilapweza6517 6 лет назад
doooh enzi hazirudi nyuma.... nakumbuka mbali Sana aisee
@mrashiauctionmart5352
@mrashiauctionmart5352 6 лет назад
Jamani ntafuta nyimbo za huyu ally star za zamani aliekua nazo antumie 0712576523. Na nnatoa na pesa kwa aliekua nazo
@mrashiauctionmart5352
@mrashiauctionmart5352 6 лет назад
Hasa natanga na njia jmn kwa yoyote antumie nalipa na pesa 0712576523
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap
@geofreygidion925
@geofreygidion925 6 лет назад
Misambano
@juliusmtei8909
@juliusmtei8909 2 года назад
Hata wangetoa ngapi mtunzi anajua kuchana sio mchezo naipenda sana imetulia za kale dhahabu!!
@kin20180
@kin20180 4 года назад
This is my favorite song. I listen to it everyday
@msiyakwedele828
@msiyakwedele828 2 года назад
TOT those days Safi Sana...
@jumadea7957
@jumadea7957 5 лет назад
Hatariiiiii hili song
@eddyeddy2907
@eddyeddy2907 4 года назад
Old is gold
@adamchigamba2862
@adamchigamba2862 3 года назад
2021 bado havumi na kumbe yumo
@erickiriinya834
@erickiriinya834 5 лет назад
Niliishi kumsikia mama anauskiza taarabu hii...leo nimeitafuta...maneno dah!!
@mariamgedi2694
@mariamgedi2694 Год назад
Nani tupo huku 2023??
@rosemarryoccd7799
@rosemarryoccd7799 6 лет назад
mmhhh enzi zile vya nivizuri sana nakumbuka 2000 ama kweli jaman
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 лет назад
Miaka hiyo ndiyo tunazaliwa nyie mushaanza kuzijua nyimbo
@halmakinty962
@halmakinty962 6 лет назад
Hapa kweli nilifuga donda 25 yrs of stress
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap
@zowrama2355
@zowrama2355 5 лет назад
2019 mpooo.😂
@brendangesa7144
@brendangesa7144 4 года назад
Zow Rama tupo
@emmanuelbongo9382
@emmanuelbongo9382 4 года назад
Kajamaa ka zowmemes kamekuja huku hahaha. Tumekutana😂😂😂 haya umefata nn
@kingjaymal3349
@kingjaymal3349 4 года назад
Njoo huku 2020 😀😀😀😀
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 лет назад
Nice song! Good message!!
@abuumulhamjihaditvonline8015
@abuumulhamjihaditvonline8015 5 лет назад
iko poa hii song HAWAVUMI LAKIN WAMO huwa inanikoshs roho san kila niiskiapo kabisa
@williammatayo2811
@williammatayo2811 2 года назад
Hawavumi.lakini.wamo
@haifayunus7729
@haifayunus7729 3 года назад
Old is gold as we rock 2021...🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊
@moshiraelqady9513
@moshiraelqady9513 3 года назад
2021☝
@mgobosamgobo4916
@mgobosamgobo4916 2 года назад
Tutumie nyimbo ya shalila tot taarabu mwimbaji nasma khamis mtunzi aliy hemedi star
@benyjoh6543
@benyjoh6543 3 года назад
Nimeshaamin chochote kizuri hakkos kasoro 2020
@karimhashil6721
@karimhashil6721 3 года назад
JUISI YA MUWA TUPE BURUDAN
@bosskhan_bills
@bosskhan_bills 4 года назад
Nanii tupo pamoja 2020 😂🥂🥂🥂🥂
@aboubackhrkassangullah8380
@aboubackhrkassangullah8380 5 лет назад
Yeeeeeeera 2019 bado ni moto
@jamalahmed3366
@jamalahmed3366 6 лет назад
Nimekumbukuka mbali sana
@TomBowwow
@TomBowwow 7 лет назад
Nimesha amini chochote kizuri hakikosi kasoro
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 7 лет назад
+Ba Fazul kabisa
@adamahmady6852
@adamahmady6852 4 года назад
Hahahahaaaa yani nikisikilizaga huo unanikumbusha mwaka 2000 nikiwa nzega
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 7 лет назад
Asante sanaa Burudani Endelea kutuekea hizi taarab za zamani ni Poa sana.Mama huruma huyooo
@mrashiauctionmart5352
@mrashiauctionmart5352 6 лет назад
Tunaombeni nyimbo ya kisonoko, kitanda,
@husseinmuya3974
@husseinmuya3974 6 лет назад
Nilitafuta hu wimbo kwa miaka 10 leo nikaupata nikaona raha mpaka nilikumbuka Africa kwetu jamani ...i miss you Africa.muahh
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
karibu sana mwanahalima mwachili. Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
subscribe for more. nita upload nyimbo hivi karibuni
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap
@khadijachembela5946
@khadijachembela5946 4 года назад
Leo nimekumbuka mbali mitaara Kama hii hatwariiiiiii sana
@sapzuuramadhan2983
@sapzuuramadhan2983 4 года назад
Nyimbo ya ukikerekwa, natanga nanjia ,kidege zipost nazenyewe jmn
@oscarobura3686
@oscarobura3686 6 лет назад
mpira wa kona,mama huruma...true story hiyo
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap
@rehemamkanda5652
@rehemamkanda5652 3 года назад
Wapi Aly star enzi hizo mala ya mwisho nimekuona moi kwenye mazoezi
@Quilant749
@Quilant749 6 лет назад
My first time to lestin to this wonderful song, a'v been replaying since morning very nice lyrics.
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Nice song and very nice lyrics and melodies. Please dont forget to share na marafiki, facebook, whatsapp and twiter. Mungu akubariki
@tambweshabani8926
@tambweshabani8926 Год назад
Daaah bado inaishi hii taarabu mujarabu kabisa
@marmarim3816
@marmarim3816 4 года назад
Welaaaaaaa hatar Sana👌👌👌👌👌
@madinaabdalla2576
@madinaabdalla2576 4 года назад
Kicking stress out this corona period najipa rahaaaa
@mkumbasonic8280
@mkumbasonic8280 Год назад
Inanikumbusha mbali Sana
@mbozder2748
@mbozder2748 6 лет назад
my childhood star..mko wapi jamani mbona mlinoga
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap
@marcusraina3682
@marcusraina3682 5 лет назад
Zamani raha sana jmn
@afandechanel1507
@afandechanel1507 4 года назад
Gonga like kama leo hii unatimiza myaka 20 unasikilza hiii kitu kwa mara nyingine
@mimaally49
@mimaally49 4 года назад
Naupenda sana huu wimbo
@judithomukuba1907
@judithomukuba1907 Год назад
Ever loved
@didakalaule7840
@didakalaule7840 4 года назад
18/January 2020 nyonda bado tamu nakumbuka kipindi inatoka nilikua darasa la4 kula kulala no stress utoto raha jmn
@josephkahindi7242
@josephkahindi7242 5 лет назад
hapo kwa kugombaniwa kama mpira wa Kona duuuu noma
@maryamkyando3956
@maryamkyando3956 3 года назад
Hahaha
@othumanomari1589
@othumanomari1589 11 месяцев назад
2000 💪💪🇹🇿🇹🇿🔥🔥
@halmakinty962
@halmakinty962 6 лет назад
Maskini moyo Wangu nilidhani Mimi chanda na wewe no Pete yangu ooo nahofu uhai Wangu 1998
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Enjoy na usikose ku share na marafika kwenye mtandao wa facebook , twitter na whatsap
@mohamudovzenden3875
@mohamudovzenden3875 4 года назад
Bonge la memory back In Lumumba st.Mwanza ..
@shamtekavinga3620
@shamtekavinga3620 6 лет назад
acha kabisa hii kitu
@BURUDANIAFRICA
@BURUDANIAFRICA 6 лет назад
Thanks. I am glad unaburudika na muziki wa taarabu . Dont forget to subscribe and share with friends
@emmanuelbongo9382
@emmanuelbongo9382 5 лет назад
2019 august hapa
@estherchamhene212
@estherchamhene212 6 лет назад
Mdogo wa kimo ha haaaa 😂
@nunualharthynunualharthy1289
@nunualharthynunualharthy1289 6 лет назад
Esther Chamhene 😂😂😂😂😂
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 6 лет назад
Esther Chamhene mpe tekeee
@Pedeshee01
@Pedeshee01 5 лет назад
Tuliozaliwa 2000 hapa sijui tunaelewa kweli
@rukokwalugiga949
@rukokwalugiga949 4 года назад
Umesahau we si MTU ni sanda
@abdallahkapama9981
@abdallahkapama9981 3 года назад
Hizo ndizo zenyewe
@jannetgrey6940
@jannetgrey6940 Год назад
Napenda,sana
Далее
Swahili: Kimasomaso
16:58
Просмотров 1,7 млн
Как дела перцы?
00:25
Просмотров 72 тыс.
Hauvumi Lakini Umo - Ali Star
17:28
Просмотров 16 тыс.
TAARAB NONSTOP MIX 1 HOUR | ZILIPENDWA TAARABU
1:11:39
Просмотров 1,3 млн
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
Muwa
11:32
Просмотров 1,1 тыс.
Utalijua Jiji Full Song
18:13
Просмотров 2,8 млн