Тёмный

JAIVAH Amkataa MARIOO Aungana Na CHINO?/Amuandikia UJUMBE Huu Baada ya TUZO/CHINO KUMKAUSHIA MARIOO. 

Rick Media
Подписаться 890 тыс.
Просмотров 1,9 тыс.
50% 1

Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe RU-vid channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 2 часа назад
Chino asijibu chochoteee...
@saidmasika8738
@saidmasika8738 18 минут назад
kabisa mario akutak Chino hafanikiwe ukweli nausemwe
@HasaniJuma-ew2kw
@HasaniJuma-ew2kw Час назад
Tfg online tv
@yusrairakoze3966
@yusrairakoze3966 2 часа назад
Kwakweli Chino amekoseya hata mtu akufanyiye kidogo unaweza kushukuru kwa sababu iyi duniya ukipata ukamsahawu aliye kusaidiya hata kidogo inakuwa haipendezi
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 32 минуты назад
Tulia ujawai kusaidia na binadamu anaetak umfanye Mungu mtu binadamu anaweza kukusaidia ila hataki umzidi
@Isackbalancebei
@Isackbalancebei 5 часов назад
👍
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 6 часов назад
Kawaida ya binadamu akipata hu sahau
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile 5 часов назад
Pia kawaida ya binadamu akikusaidia anatamani kukugeuza kuwa mtumwa nawapenda ambao wakisaidiwa Huwa wanajikataa
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 5 часов назад
Mbona wewe umesahau
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 5 часов назад
@@PhillyAmbilikile kenge wewe
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile 5 часов назад
@@Peterchila-un2lx utaona au ndo wewe unataka bosi wako awe anakukuna mond wa uswazi wewe njooo upididini tunakupa umaarufu
@BenjaSamson
@BenjaSamson 2 часа назад
Sikweli chino hajui kuimba uchawi ndio unampa utajiri Mario ndiochazo chamaisha yako
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 32 минуты назад
Kama marioo chanzo cha maisha yake mbona kashindwa kumtangaza msanii wake mbaka leo
@channyanjen9047
@channyanjen9047 6 часов назад
Mario yuko na wivu na chino
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx 5 часов назад
Anawivu Kama wewe
@HasaniJuma-ew2kw
@HasaniJuma-ew2kw Час назад
Marioo ni mtu pouw sana sema ata harmonize alipo toka kwa diamond weng walimsema mondi kuwa mwenye roho mbaya ila Ukweli kila siku unazidi kuwa wazi
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 31 минуту назад
Tena anaroho mbaya sana alitaka chino amfanye Mungu mtu yeye mwenyewe Mungu amemlipa nn mbaka leo
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 30 минут назад
​@@HasaniJuma-ew2kw😂😂😂😂umjui marioo aliweza kuchambana na Mtoto wa kike hakamtoa adi kwenye nyimbo diamond alimtoa harmonize kipindi ajulikani ila Rich mavoko alimtoa chino kutoka ifakara mbaka dar es salaam
@HasaniJuma-ew2kw
@HasaniJuma-ew2kw 26 минут назад
@@sharifabahar9905 he ni haki ku mfanyia marioo anayo fanyia kusema vibaya
Далее
ZUCHU AIMBA WIMBO HUU MBELE YA ALIKIBA NA MWIJAKU,
6:45