Тёмный

MACHOZI YA SENGA MSIBANI KWA PEMBE, ALITUAGA KABISA, INANIUMA SANA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 31 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 174   
@neemanziku5403
@neemanziku5403 52 минуты назад
Pole Sana mzee senga
@Moha-l3c
@Moha-l3c Час назад
Innalillahi wa inailahi rajiun Allah ajaalie kaburi lake na letu yawe mabustani ya jannah....ameen
@revocatusmalimi4525
@revocatusmalimi4525 3 часа назад
Pole sana Mzee Senga kwa kuondokewa na pacha wako,ukweli tasinia ya sanaa haitaweza kupata tena msanii aina yake
@zuumlondwa9518
@zuumlondwa9518 44 минуты назад
Sana walikuwa wote sana
@FATHIYA002
@FATHIYA002 34 минуты назад
Pole sana mzee tunakuombea uwe na subra wewe kweli rafiki wa kweli umepata pigo pole
@hajiramadhanihaji355
@hajiramadhanihaji355 4 часа назад
Pole Sana Sana mzee senga .
@ezekielbkuyeko5241
@ezekielbkuyeko5241 Час назад
Poleni sana familia, industry of bongo movie, ndugu jamaa na marafiki na Tanzania kwa ujumla
@FatmaSaid-j9o
@FatmaSaid-j9o Час назад
Innalilah waina ileyhi rajiun inshaAllah Allah amjaliye kauli thabit nasi tulo baki Allah atujalie mwisho mwema ameen
@naomibildad509
@naomibildad509 2 часа назад
Pole sana Senga, pole nyingi pia kwa familia. Mungu awafariji.
@RizikiGunda
@RizikiGunda Час назад
Duh pole kwafamilia poleni pia kwawaigozaji wetu watathnia ya filam za bongo muvi maana mzeewetu pembe alikua muigizaji mahiri naanaye jituma poleni Sana Bwana ametoa na Bwana ametwaa jinalake nalihimidiwe !!🙌🙌🙌🙏🙏🇹🇿
@Najima-r6r
@Najima-r6r 3 часа назад
Pole sana mzeee wetu senga umempoteza rafiki😢😢
@siwonikewilliam9146
@siwonikewilliam9146 4 часа назад
Pole sana senga kwa kuondokewa na rafiki ndg,Apumzike kwa amani
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 Час назад
Urafiki wa senga na pembe kama urafiki wa Mzee majuto na Mzee small😢
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Час назад
Poleni sana Tasnia ya Sanaa na Wanafamilia kumpoteza Mpendwa wetu😢😢😢😢😢
@gladnesswazir-zz9lk
@gladnesswazir-zz9lk Час назад
Pole sana babaang senga haki umeumia....polen familia r.i.p pembe 😭🤲🙏💔🕊️
@georgeomondi4567
@georgeomondi4567 2 часа назад
Pole zetu kutoka nchi ya Kenya mashabiki wa vipindi zenyu 😂🕊️🇰🇪🌹🇹🇿🕊️🇰🇪🕯️🇹🇿🕊️🕯️🇰🇪🌹🇹🇿🕯️🇹🇿🙏🇹🇿🕊️🇰🇪🌹🇰🇪🌹🇹🇿🕊️🌹🇹🇿🇰🇪🌹🕊️🇰🇪🇹🇿🌹🇰🇪
@teedullah5708
@teedullah5708 4 часа назад
Poleni Sana Asa mzee senga pole sana
@MaryMgaluli
@MaryMgaluli 49 минут назад
Poleni sana ndugu jamaa kwa kumpoteza mpendwa wenu.
@deborahrehema4066
@deborahrehema4066 4 часа назад
Yoh 😢😢😢😢😢pole sana mzee Senga ni painful 😢 💔 😢
@JescaMwakaponda
@JescaMwakaponda 4 часа назад
Pole sana senga /Mungu akutie nguvu katoka hiki kipindi kigumu
@OmanOman-hj7tv
@OmanOman-hj7tv 46 минут назад
Pole mzee senga na familia ya marehemu
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 4 часа назад
Dah Mzee wangu senga pole sana
@josephinejoseph3919
@josephinejoseph3919 4 часа назад
😢😢Pole Sana senga yani una maumivu ya Hali ya juu
@ZahorSalum-h9q
@ZahorSalum-h9q 3 часа назад
Pole sn .Mzee .wetu hkika imekuuma .sn..Allah amsamehe makosayake
@AzizSalumu
@AzizSalumu 2 часа назад
Pole Sana mzee wangu tumuombee Ina Lilah waina ilahi rajiuun
@FelixEliudy-rc1nb
@FelixEliudy-rc1nb Час назад
Kwa mara ya Kwanza nasikia Mzee senga namsikia akiongea silias imemuuma sana.
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 42 минуты назад
Pole sana Senga
@TonnyJimmy-z5c
@TonnyJimmy-z5c 4 часа назад
Bora we umempa shikamoo kuna mitangazaji inasemaga Heshima yako
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 часа назад
Kweli mi inanikera eti mtu mzima unamwabia heshima yako sijui ndo nini maana yake watanzania tuna salam zetu shikamo ndo hesima kwa wa kubwa
@dicksonulotu7427
@dicksonulotu7427 4 часа назад
Haaaahaaaa unakuta tayari alikuwa amemsalimie😂
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 4 часа назад
Safi kabisa,wafundishe na wenzio
@bongatv25
@bongatv25 4 часа назад
​@@halimamasai2234 shikamo siyo dili wewe salam ya kitumwa
@sakinahyela545
@sakinahyela545 2 часа назад
Poleni sana
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 4 часа назад
Polen sana senga na familia ya pembe
@Al-farsy-l6p
@Al-farsy-l6p Час назад
Allah akutie nguvu babaetu
@KawserA-hw1j
@KawserA-hw1j Час назад
Pole sana
@esthermichael4653
@esthermichael4653 3 часа назад
Pole sana mzee Senga na mwandishi maswali yako yaweke vizur usirudie rudie
@Daniella249
@Daniella249 4 часа назад
Poleni sana familia
@Fatmashilinde-nu4fj
@Fatmashilinde-nu4fj 50 минут назад
Pole sana mzee senga 😢😢😢😢😢
@IsayaKavina
@IsayaKavina 3 часа назад
poleni saana wandugu ukweli huo msiba umetugusa wengi poleni familia pole sana ndugu yangu senga
@VisentSoko
@VisentSoko Час назад
Pole Sana senga
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 Час назад
jamani nampenda Senga yani kweli nishazeeka kama hawa wachekeshaji wamekua baba zangu hata mimi nshakua kikongwe,RIP baba yangu kipenzi Pembe
@dicksonulotu7427
@dicksonulotu7427 4 часа назад
Pole sana Mzee Senga
@tumainieliud8702
@tumainieliud8702 43 минуты назад
Senga bana Pole sana 😢 eti kichwa kimeingia vairasi
@AminaJuma-sp4ii
@AminaJuma-sp4ii 2 часа назад
Pole sana baba yetu senga inauma sanaa tume mpenda mungu kampenda zaidi😢😢
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 Час назад
Poleni sana jamani Mungu awafariji wafiwa wote
@VeronicaCrement
@VeronicaCrement 2 часа назад
Pole sana mwenyezi mungu apumzishe kwa amani
@AshoreAa
@AshoreAa 4 часа назад
Pole sana senga ngoni mwenzNgu imetuumizz hata sie mzee wetu akituchekesha sana mungu ampe kauli thabit awe na makazi mema mungu Amsamee pale anapo kosea
@benjaminpaschalkayombo2394
@benjaminpaschalkayombo2394 3 часа назад
Senga ni Mngoni
@bongatv25
@bongatv25 4 часа назад
Ila mbengo upo vizuri
@hodamzungu4107
@hodamzungu4107 Час назад
maneno mazima sana
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 4 часа назад
From 🇧🇮 inalillah wa inalillah rajiun
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 3 часа назад
Pole sana umepoteza mtu na watu kuwapata ni shida
@isaiahmakenzi9243
@isaiahmakenzi9243 2 часа назад
Pole sana Mzee Senga na familia yote kwa ujumla RIP pembe🕯️
@AgnessDaud-jk7ro
@AgnessDaud-jk7ro 3 часа назад
Pole san Senga,Mungu akupatie faraja
@latifasalum7611
@latifasalum7611 Час назад
Pole sana senga ulimpenda sana pembe lkn allah kampenda zaid
@FatimaMuhammed-n8y
@FatimaMuhammed-n8y Час назад
Poleni Sanaa wana family
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 часа назад
Pole sana Mzee senga rafiki yako pembe kakuacha
@deadcrush
@deadcrush Час назад
Tayari kichwa kimeingia virus.😂😂
@pena_tz
@pena_tz 4 часа назад
pole senga
@KhalifaIjabariro
@KhalifaIjabariro 4 часа назад
Polee mzeee sengaa
@georgeomondi4567
@georgeomondi4567 2 часа назад
Pole poleni Sana ndugu jama na marafiki atuna lakusema yote Niya mwenyezi MUNGU 🕯️🕊️🌹🇰🇪🌹🇹🇿🕯️🕊️🇹🇿🕊️🕯️🇹🇿🌹🇰🇪🙏🌹🕊️🇰🇪🕊️🇹🇿🕊️🌹🇰🇪🕊️🇹🇿
@hawababy120
@hawababy120 2 часа назад
Pole san mze senga😢😢Allah Amrehemu zaidi😢🇧🇮
@ThadeiAndrea
@ThadeiAndrea 50 минут назад
Mwenyezi Mungu ailaze loho ya malehemu peponi Amin
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 15 минут назад
Ni roho na marehemu. Siyo loho na malehemu
@rayahamisi118
@rayahamisi118 36 минут назад
Kwani mwandi amujui kuuliza😢😢
@andrewsharuwa
@andrewsharuwa 2 часа назад
Pole sana mzee wetu napo umejikaza kuongea 😭😭😭😭 rest easy pembe wetu jaman
@MagrethKyando-l4g
@MagrethKyando-l4g 2 часа назад
Pole sana mzee Senga
@wachimbavisima
@wachimbavisima 2 часа назад
sisi ni waja wake na sote tutatejea pumzika ndugu yetu mungu akupe pumziko lenye amani
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Час назад
Maskin kaumia sana Mungu awape faraja Anajikaza tu baba wa watu😢😢😢
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 Час назад
Pole Mzee sengs kifo chetu sote
@FatmaJuma-h3i
@FatmaJuma-h3i Час назад
Allah amsameh nampe malazi mema huko akhera aendako
@BravoEliashibu
@BravoEliashibu 3 часа назад
Polen sana mzee senga pole sana
@seifseif5549
@seifseif5549 Час назад
M mungu amsamehe makosa yake ammin
@HaniphaAbdallah-c6e
@HaniphaAbdallah-c6e 4 часа назад
Pole sana senga Dah😭😭😭😭
@JemaDo-q3r
@JemaDo-q3r 25 минут назад
Pole seng
@hawaa341
@hawaa341 2 часа назад
Pole senga kuondokewa na pacha wako pia wote wanafamilia nawapa pole
@AdelaMgaya-st1vb
@AdelaMgaya-st1vb 3 часа назад
pole sana mzee senga
@MwanahamisiSaidRamadhani
@MwanahamisiSaidRamadhani Час назад
Huyu mzee minikimtazama tu najiwa na kicheko ataka yupo sirias
@RamadhaniOmary-e3d
@RamadhaniOmary-e3d 3 часа назад
Mzee senga pole sana
@floridamwalongo5172
@floridamwalongo5172 2 часа назад
😢😢😢 Pumzika kwa amani na pole saaana mzee
@AdolphinaLupogo-l2n
@AdolphinaLupogo-l2n 3 часа назад
Mungu ailaze roho yake mahar pema
@Sengakarera
@Sengakarera 2 часа назад
Pole sana senga na tanzania kwa ujumla,
@TausiMokiwa
@TausiMokiwa 2 часа назад
Poleni sana ndugu jamaa na malafiki wote
@YekoniaBilama
@YekoniaBilama 49 минут назад
Polen ndugu jamaa mlio guswa na msiba huo
@GhanimaHamadi
@GhanimaHamadi 3 часа назад
Innalilah ndio mwisho wetu sote tuta 10:57 kumis sana pembe na tungu yako na maneno yko ya kufurahisha
@ishaniramadhani8710
@ishaniramadhani8710 2 часа назад
Navaa viatu vya senga jinsi alivyo pokea huo msiba nimejikuta napokea maumivu makali sana pole sana senga pole tanzania tumepoteza mtu mtu aliye tufariji sana kipindi tukiwa na msongo wa mawazo
@MmMm-tt1wi
@MmMm-tt1wi 3 часа назад
Polen sana wanafamilia😢
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 Час назад
Daaaaa mzee pembe🙏🙏🙏😭😭
@Kidotii
@Kidotii 3 часа назад
Lala salama Pembe! Ahsante kwa kutupa Tabasamu!
@ZachariaMwita-bu7rw
@ZachariaMwita-bu7rw 3 часа назад
Dah pole sana mzee wetu MUNGU atukie nguvu😢
@chrissTitus-li1vp
@chrissTitus-li1vp 2 часа назад
Binafsi sijapenda mwandishi kwa jinsi ulivyo Fanya mahusiano interview mbovuu
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 часа назад
Pole sana Mzee senga
@safarimallya4536
@safarimallya4536 3 часа назад
Dah pumzika kwa amani mzee wangu ...
@AshuraIbrahim-r3l
@AshuraIbrahim-r3l 59 минут назад
Innalillah wainna illah rajiun 😢
@ZenahZenah-w3u
@ZenahZenah-w3u 2 часа назад
Inalilay waina hilay rajiun pole sn mzee senga kwa kipindi iki kigumu.
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g Час назад
Innalillah wainnalillah raajuun pole senga
@EstherJohn-tz9ov
@EstherJohn-tz9ov 2 часа назад
Duh poleni sana
@DaudiMazengoMasterDTEM
@DaudiMazengoMasterDTEM 2 часа назад
R.I.P my best commedian
@JosephJoseph-s7k
@JosephJoseph-s7k Час назад
Poleni 😢😢😢😂
@chidmp
@chidmp 3 часа назад
Innalillah llah wainnal llah rajuh pumzika kwa amani mzee pembe
@alexanderibrahim3481
@alexanderibrahim3481 2 часа назад
Mungu akutie nguvu
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 33 минуты назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 2 часа назад
Ndugu za pembe na rafiki yake pembe tunawaba polen sana ndugu zangu.
@AbusheheKhalifa
@AbusheheKhalifa 2 часа назад
Poleni wanafamilia ya uchekeshaji
@FatumaAbdalah-sj3dz
@FatumaAbdalah-sj3dz Час назад
Innalila wa innalila rajiun😢😢
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Час назад
Senga bhana eti ni sawa na boda boda na mataili yake moja limenyofuka. Pole sana mzee senga
Далее
JOTI AWALIZA WATU MSIBANI KWA PEMBE, SKIA MANENO YAKE
8:57
HATIMAYE MZEE ALIYETEKWA NA WANAWE AFUNGUKA MAZITO
7:53