Тёмный

Jalango warns Diamond on Tanasha 

Milele Fm
Подписаться 243 тыс.
Просмотров 102 тыс.
50% 1

#AlexNaJalas

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 235   
@christinebelinda3498
@christinebelinda3498 4 года назад
Nani amekuja hapa after break up😂😂😂😂😂
@annahwanjiru7274
@annahwanjiru7274 5 лет назад
Ahaaaaa ,,jalas hiyo nikali,,,umeongea kama watu watano na uko peke yako,,,wapi like ya jalas wa kenya
@youngracemst9241
@youngracemst9241 5 лет назад
Hahaha Diamond Platinumz njoo uchukue ujumbe wako. Wakenya tunapenda kusema "Mtaachana tu" lakini hapa tunasema "usijaribu kumuacha" 😂😂😂
@nzisakasau8234
@nzisakasau8234 5 лет назад
imufikie Diamond kwa mpigo zaidi wakwetu siyo mpira eti atamchezea sis atupendangi ujinga I stand with you jalas and Alex😂
@muhijahamoud245
@muhijahamoud245 5 лет назад
Can i get in touch with you
@joyjacqueline4733
@joyjacqueline4733 5 лет назад
Jalas thumb up bro hapo sawa kabisa
@irenenelson9072
@irenenelson9072 5 лет назад
😂😂😂😂
@moureenmbuu0169
@moureenmbuu0169 5 лет назад
Ninaukethya Nzisa .....
@nzisakasau8234
@nzisakasau8234 5 лет назад
@@moureenmbuu0169 naketheka asanti
@jayjuliet7629
@jayjuliet7629 4 года назад
This show was lit and u need to play it now wen he has done it to our lovely matured Queen.
@joanolisa1
@joanolisa1 5 лет назад
Wakenya tutarusha mawe kutoka Nairobi mpaka Tandale. Atajua hajui.
@workout-hullahoop5470
@workout-hullahoop5470 5 лет назад
😂😂😂
@verodestiny4927
@verodestiny4927 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@jamesm.darnes640
@jamesm.darnes640 5 лет назад
J Olisa 😂😂
@iambee0612
@iambee0612 5 лет назад
J Olisa 😂😂😂
@susanwangui4181
@susanwangui4181 5 лет назад
🤣😂🤣😂🤣🏃‍♀️🏃‍♂️🔥
@lizershegz3102
@lizershegz3102 5 лет назад
Asijaribu kumuacha dada yetu kwani hiyo mahari tushahesabia deni ya China😂😂😂
@gamalsankara1388
@gamalsankara1388 5 лет назад
Cylus Shego 😂😂😂
@perpsgiovanna1933
@perpsgiovanna1933 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fannuelmartins4857
@fannuelmartins4857 5 лет назад
Noma
@joymukuru5918
@joymukuru5918 5 лет назад
Kweli...
@selector728
@selector728 5 лет назад
hahaahahahahhaahahaaha
@margaretmulinge8419
@margaretmulinge8419 5 лет назад
radio zaidi ya radio,addicted to listening to this guys
@Kayceedav
@Kayceedav 5 лет назад
these guys
@sherryshazala7123
@sherryshazala7123 5 лет назад
😂😂😂 hapo sawa jalash asijaribu kuleta ujinga uku atakipata 🔥🔥👌.
@jamesbukoke6781
@jamesbukoke6781 5 лет назад
namimi natoka mwanza nakuja kwako wanipige mawe
@alisaalis9218
@alisaalis9218 5 лет назад
Bt diamond ako na masifa mingi c kama Ali kiba,Asante kwa ujumbe mzure Jalango na Mwakideu,Acjaribu kumuacha Tanasha hehehee
@Carol-in5ud
@Carol-in5ud 5 лет назад
Diamond if you are watching this we kenyans are serious what jalangoo said take note haha😅😅we love you tho shem wetu💗
@timelessbeauty5677
@timelessbeauty5677 5 лет назад
Good Jalang .....he must know the truth and the truth shall set him free
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 5 лет назад
Diamond Mapenzi itakuuwa Wewe.Ukiacha mwanadada mkenya jua Wewe kwuisha Diamond 😅😅😂😂
@DavidKotut
@DavidKotut 5 лет назад
Zari was the ideal wife for Diamond. Unfortunately, he didn't see it. He will regret cheating on her.
@Zinzzi
@Zinzzi 5 лет назад
David Kotut clearly she wasn’t otherwise he wouldn’t have humiliated her like how he did. It shouldn’t have been done like that, but really it’s no one’s fault it just wasn’t meant to be. There was no way he would’ve stayed with Zari down the line. Even if he hadn’t been caught with a love child. Shes 10 years older than him and already had a life before him. His career is just reaching its peak. He needed someone who could grow with him, not somebody already established.
@sylviakadeha3261
@sylviakadeha3261 5 лет назад
Sure..thank you👏👏
@afuahhenewaa9722
@afuahhenewaa9722 5 лет назад
What I do not understand is, people has forgotten that it's was Diamond who betrayed her and they hate her so much. They should leave her alone for the sake of the the kids, she has the most important job to do. Being there for her kids ,"THEY NEED HER" Since most men only think of how they will enjoy life again, most women sacrifice for their children. He is a living proof 🙏🙏🙏
@trishtrish2349
@trishtrish2349 5 лет назад
word zinzii. Diamond was only 24 when he hooked up with zari and he is not even the one who pursued her so there is no way he would have settled with her. It is better that she found out about it 4 years down the line than later on in life when she is like 50
@KladesKladseee
@KladesKladseee 5 лет назад
Zinzzi nakupenda bure
@chemuuchemuu9358
@chemuuchemuu9358 5 лет назад
Diamond has wooed a girl from every East African country. May Kenya be the last! Walai Jalas umesema ukweli, Diamondi akimwacha dadetu Tanasha basi hicho ndicho kifu chake! Na Wakenya tuungane mikono😂
@narjmerabdie708
@narjmerabdie708 4 года назад
Ime happen😂😂😂😂😂
@benard904
@benard904 5 лет назад
That's why I love my Kenya
@leahsaita5671
@leahsaita5671 5 лет назад
Kabisa Jalas kwanza ni wetu huyo mcheso akuna..tibim!
@keithomondi7952
@keithomondi7952 5 лет назад
And we are not playing diamond 😅
@rabut.j.1829
@rabut.j.1829 5 лет назад
😂😂😂😂😂🤸🤸🤸bongo wameamua Ni Kenya...alikiba aliufungua uwanja,Mondi huyo achukua Tena TANASHA,Benpol pia kafunguka mpenzi wake atakaye funga ndoa naye Ni mkenya....hatariiiiiii
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
janet achieng Anaitwa Anerlisa mpenzi wa #BenPol
@andrevdheuvel4340
@andrevdheuvel4340 5 лет назад
akijaribu kucheza na tanasha atatii kenya ataiona paa hapo ni kweli kabisa
@lovechild3447
@lovechild3447 5 лет назад
very true jalas bt itakua tu simple aki hrt break tanasha we shall tune him to a nyeri lady......hehe jst kidding
@julie-ettshiqs7884
@julie-ettshiqs7884 5 лет назад
Hahaa jalango yawa😂😂😂.yenyewe imetosha hao amedump now he should stick to Natasha na amtumze
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 5 лет назад
Io nayo hapana mchezo usiuchezee mond ukijarbu tu, kenya utaionea viusasa😂😂
@anniewamaina1059
@anniewamaina1059 5 лет назад
Sasa wote wa TZ wakihamia Kenya c mtamalizia wenye hawajaoa wabaki kuwa bachelor...matiang'i na aingilie kati juu c kuzuri viiiiile!!!! Matiang'i do something please!!! Huhuhu
@messiahfeatures3994
@messiahfeatures3994 5 лет назад
amewaacha wangapi na wazuri zaidi ya huyo tena wapo wa Tz wenzake ashindwe kumuacha huyo? kama tabia hazitaendana ataachwa tu....
@jumaswaleh3814
@jumaswaleh3814 5 лет назад
Simba wa East Africa bado rwanda na burundi ethiopia sudan chafua kwote
@SouthTheatreAcademyTVsu
@SouthTheatreAcademyTVsu 5 лет назад
😂😂 Best comment so far.
@STACY_KENYA
@STACY_KENYA 5 лет назад
Rwanda alifika kitambo akala na akatema😂
@doreenwavua8789
@doreenwavua8789 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@bettiewins3112
@bettiewins3112 5 лет назад
Hhhhahaaaaaaaaaaa..
@funkyfeiz
@funkyfeiz 5 лет назад
True Stacy
@chichimpole8462
@chichimpole8462 4 года назад
Jalang'o 2020 uko wapi
@halima23862
@halima23862 4 года назад
Sasa imeshafanyika 2020 no more Tanasha😂😂😂😂😂😂😂😂
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 4 года назад
Hhh jalas nko hapa ongeza volume 2020hhh
@Sanyah-le1od
@Sanyah-le1od 5 лет назад
Aaha - so this is the clip. oh people settle down - Jalas is a comedian . I agree T.D.O is a good gal but it is their decision to tie the knot two months in their relationship. So Jalas - don't put too much pressure on these new couple.
@amaa6353
@amaa6353 4 года назад
Alimuacha Tanasha asikanyage Kenya
@antonyobara8382
@antonyobara8382 4 года назад
I'm here in corona era😂😂😂😂
@frankestain9816
@frankestain9816 5 лет назад
Wabongo sasa wote wanahamia kwa wasichana wetu wakenya.
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 5 лет назад
Frank Estain si ndiyo huko Kenya kuna upungufu wa wanaume
@magiehermess9949
@magiehermess9949 5 лет назад
Ata wakenya wamechukua wasichana wa Tz wengi sana.East afrika imekua moja
@yuusufnuur5752
@yuusufnuur5752 5 лет назад
Haaaa kweli kabisaa wenye wanasema simba utanwacha tanasha sisi tunasema haiwezekani umwache tutakuchapa babaaaa hahaha
@bebishag241
@bebishag241 4 года назад
Who is watching this now like me?
@janekamau807
@janekamau807 5 лет назад
Jalas wewe ni mkali sana,na wapenda sana akina Alex
@junguquumediakenya4673
@junguquumediakenya4673 5 лет назад
Hapo Jalas umeweza sana. Ajaribu kuacha Tanasha aone....
@muhijahamoud245
@muhijahamoud245 5 лет назад
Ataiona kwa wasafi tv 😂😂😂
@wacundirangu1661
@wacundirangu1661 5 лет назад
😅😅😅😅😅😅😅 Y'all so funny!!! #IfikieDiNaWasafi 😂🤣😂
@singleboymutindangolya1299
@singleboymutindangolya1299 5 лет назад
Nimesikia birthday yake itakuwa the same na ya betty kyalo na wataenda pamoja kusherekea hapa kenya naona ka Diamond jrn 😂😂😂👌👌
@clementmurimi5665
@clementmurimi5665 5 лет назад
Jaras mwambie na askize kwa makini...
@carohlyne4972
@carohlyne4972 5 лет назад
Congratulations Jalas and Alex
@medinajerono2356
@medinajerono2356 4 года назад
His songs to be banned in Kenya
@mtumishiwake4006
@mtumishiwake4006 5 лет назад
Jalas lazimisha vitu pilau ya samaki tunayo hatunayo?
@moniqueblessed7878
@moniqueblessed7878 5 лет назад
Chibu sisi hapa no refund ukijaribu utajua hujui,kondele pacho mawe itafika Tandale na catapult, hatuogopi simba
@jacklinenyanchoka3835
@jacklinenyanchoka3835 4 года назад
Exactly utatuona ww diamond
@halima23862
@halima23862 4 года назад
Don’t play with Simba , Tanasha was so fast to move to Tanzania and get pregnant so fast . Now it’s over just 13 months achana na Simbaaaas
@sultanaswaleh8892
@sultanaswaleh8892 5 лет назад
Lazima umuaminie ZARI. Huyo ndie mke wa diamond
@lucasshayo9705
@lucasshayo9705 5 лет назад
Kwan diamond platinumz anadate na Tanasha au na Kenya 😂😂😂😂
@lollol-xi3oy
@lollol-xi3oy 5 лет назад
Na Kenya 😂😂
@lucasshayo9705
@lucasshayo9705 5 лет назад
@@lollol-xi3oy Hahahah
@lucasshayo9705
@lucasshayo9705 5 лет назад
Ssa Tanasha anafanya nni huku bongo
@faridahangedo5554
@faridahangedo5554 5 лет назад
Swali nzuri sana waulize dia wanajichocha tu.
@graceadhiambo6689
@graceadhiambo6689 5 лет назад
Sisi wote....Sana Sana people from lake side
@kenyataa7493
@kenyataa7493 5 лет назад
Mtashangaa diamond atakuja na Am NOT GOING part 2.....kipenda Rohoooo
@consolataakwabi7321
@consolataakwabi7321 5 лет назад
Huhuuu D..atamuwacha tu..mark my words....wacha apate mwingine mutaona...nani aliwai jua kaa angewachana na Zari.....
@oman3527
@oman3527 5 лет назад
Zari kwakuwa kikubwa kwake asingrmuachaa yni yy kawa kibenteni
@consolataakwabi7321
@consolataakwabi7321 5 лет назад
@@oman3527 kwani ww ungali vile ulizaliwa smh!
@oman3527
@oman3527 5 лет назад
No comment my frend
@consolataakwabi7321
@consolataakwabi7321 5 лет назад
@@oman3527 better..
@awinooneko728
@awinooneko728 5 лет назад
Mimi nilijua atamuacha.Diamond only loves tifa and wema
@essaywriters4674
@essaywriters4674 4 года назад
Nani ako hapa weeks after breakup
@2BabyShop
@2BabyShop 4 года назад
Sadly alimwacha tena na mtoto...to make it worse mtoto kijana!!
@krisongalax6278
@krisongalax6278 4 года назад
Ubaya kajiacha monyewe afu analaumiwa MTU mzima aliepanga kumuoa
@madamboss348
@madamboss348 5 лет назад
😃😃😃😃😃jalango onyo Kali
@christinebelinda3498
@christinebelinda3498 4 года назад
Kuna watu husema *mtaachana tu* na wemeachana😂😂😂😂😂😂
@shoshoaaa2176
@shoshoaaa2176 4 года назад
Ebu tukumbushane tena leo 🤣🤣🤣
@aminajuma2981
@aminajuma2981 5 лет назад
Tena dai akimuacha tanasha mumfungie kuja kenya
@johnjoseph3773
@johnjoseph3773 5 лет назад
Nawaelewa sana Kenya mkiamua mneza. Lkn hata ikitokea bahati mbaya japo hatuombi mambo yaende vibaya tunae simba mmoja tu... tumlinde maana anafaida kwa nchi za ukanda wetu.
@itsshee1626
@itsshee1626 4 года назад
Napita tu after breakup😂😂💔
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 5 лет назад
jalas comedy hautaikuacha salamaaa ww
@andrevdheuvel4340
@andrevdheuvel4340 5 лет назад
umeongea kweli jalash Kenya hatutakubali kuchezewa
@dgt6303
@dgt6303 4 года назад
Haya ashamwacha. Tunasubiri tuone wakenya mtafanya nini sasa
@jamesmgalla3513
@jamesmgalla3513 4 года назад
Hii n kiki nyie ili achilie song yake na tanasha next week
@mamayaoharistar4599
@mamayaoharistar4599 4 года назад
Who is hear after the interview (Tanasha Jalango)
@Sugal67
@Sugal67 5 лет назад
Wewe Jalango pumbaf kwenda kule kachekeshe comedian pumbaf 😳
@anstarann4682
@anstarann4682 4 года назад
Am here after breakup rumours
@iansavage95
@iansavage95 5 лет назад
Kweli kabisaa asimuache tanasha
@thomasmutero1911
@thomasmutero1911 5 лет назад
Zari is the best
@zeanorbx279
@zeanorbx279 5 лет назад
Diamond wanawake wote
@mariemarianna8434
@mariemarianna8434 4 года назад
Haya alionywa... Ashamwacha dadako jalas
@oyay2821
@oyay2821 5 лет назад
Hakuna Simba tena hapo. Kuna mvua ya Basata imemnyeshea sasa ni sungura
@Kaniko_John
@Kaniko_John 5 лет назад
Akijaribu kumuacha tutamtuma kaka REDSAN apambane nae,hehehehe
@patrickkazinja4435
@patrickkazinja4435 5 лет назад
you guys a so funny,but Kenyans can't resist Diamond and wasafi,hata akimwacha Dada yenu atakuja Kenya na mtamsujudia tu.
@oukohumphrey2227
@oukohumphrey2227 5 лет назад
Jalango wiyi Raach😂😂
@nancypretty7576
@nancypretty7576 5 лет назад
Hehehehe
@jacklineapongo9432
@jacklineapongo9432 5 лет назад
Jalango ameongea.akijaribu kumwacha tanasha!!!tutampiga
@slysizb946
@slysizb946 5 лет назад
Umesahau tear gas,lazima turushiwe na umwoe
@lollol-xi3oy
@lollol-xi3oy 5 лет назад
🤣🤣🤣
@benardowuor9992
@benardowuor9992 5 лет назад
Jalas bado kuna Rwanda na Burundi angejua angemaliza na Kenya juu akimuacha tutakamua Nyegezi na tumpige bunduki hii ni kenya huwa hatuombi tukushike tutakushika usicheze na wasichana wa kenya
@STACY_KENYA
@STACY_KENYA 5 лет назад
He dated a lady for 3 months from rwanda😂😂 during hii visanga ya Hamisa tu this yr but socialite akamtema..fuata IG
@ahimidiwekimaro5100
@ahimidiwekimaro5100 5 лет назад
diff
@jacklinenyanchoka3835
@jacklinenyanchoka3835 4 года назад
Exactly
@miyerebrown4745
@miyerebrown4745 5 лет назад
Huyo ni kama kuku jogo. Nani alijua ataachana na zari. Ooh!!
@ezekiel2034
@ezekiel2034 5 лет назад
Yani hakuna wanaume wengi isipokua diamond mwatuchokesha Sasa ni pesa ama ni sura
@sarahnjeringige1451
@sarahnjeringige1451 5 лет назад
Na vile mnawatupanisha na watoto na hamjalingi mmm
@farish2899
@farish2899 5 лет назад
Very true Jalass
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 лет назад
ile sukari ya warembo wala msiongeesana sisi watanzania tunaangalia tuu tuone kama hatomuacha uyo tanasha wenu mwanzo alisema hatomuacha zari coz kamazalia watoto leo kikowapi uyo tanasha angoje vituko tuu vya mondi
@STACY_KENYA
@STACY_KENYA 5 лет назад
😂😂 kwa hivo mwakubali huyu ni simba wa nyimbo ila tabia ashaavua hilo vazi?msaidieni jameni atoshekeee
@ladymarmalade394
@ladymarmalade394 5 лет назад
Hapo kwa kusema ukijaribu kumuacha hahaaaaaaa utapurwa mawe diamond cheza tu
@frenchygigi
@frenchygigi 4 года назад
Na mbona hauongei sahi na vile anafanyia Tanasha madharau lol
@zeanorbx279
@zeanorbx279 5 лет назад
Ujumbe ufikie Simba ya wanawake
@gloriarush6110
@gloriarush6110 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂looooorrdddd!!! From Jalangos mouths to simbas ear...Utajua hujui ukimuacha dada yetu!!
@Sanyah-le1od
@Sanyah-le1od 5 лет назад
Yani wa 254 - you're going to b the most strict/harsh in-laws if this couple ties the knot. Na vile wa Bongo wanakuaga "wangwana" ....
@eleanorotieno2645
@eleanorotieno2645 5 лет назад
#tellAfriendToTellDiamond. #ImfikieDiamond. #Kieleweke. 254 hatuwachwi..... Watajua East Africa huwa Kenya tu. We own the Bread.....
@bonfacemasharia5843
@bonfacemasharia5843 5 лет назад
Napeeendaaaa saaana.ama namnagani jamani?
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 11 дней назад
Nimerudi kusikiliza leo 😂😂😂😂2024/9
@swallezallez5368
@swallezallez5368 5 лет назад
kwn ckuizi boy ndo anadrop manzi...during our tym ni demu anakuacha kukuacha
@bjzee1981
@bjzee1981 5 лет назад
Jalas jalas jalas. Simba hatishiwi nyasi. Huyo kwa diamond ni nyasi tu kwasababu ya ule msemo unao sema: Simba akizidiwa hula nyasi. So hapo simba anakula hizo nyazi coz hana nyama kwa sasa
@lollol-xi3oy
@lollol-xi3oy 5 лет назад
🤣🤣🤣Duuh
@nyerere0056
@nyerere0056 5 лет назад
Diamond asilete mchezo akisare ajue Kenya hanaga tena Show kenya
@Huhason
@Huhason 5 лет назад
I support that
@maggyfelister7981
@maggyfelister7981 4 года назад
Taambia nini watu sasa 1yr down the line
@chomboadventures
@chomboadventures 4 года назад
Nasuburi wakenya warushe mawe tandale
@florencemuye3309
@florencemuye3309 5 лет назад
Ukimuacha utajua hujui diamond
@monicanduta8167
@monicanduta8167 5 лет назад
D utajua hujui...lakini fisi ni fisi tu...kama hakutulia na zari slay queen ndiye atatulia naye?
@doyjack95jack39
@doyjack95jack39 5 лет назад
diamond umelikoroga safarii hii utalinywa nyooooo
@dinahlwambi1734
@dinahlwambi1734 5 лет назад
Diamond hii ni kenya utajua hujui
Далее
Alex and Jalas disagree and fight in studio
9:20
Просмотров 603 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 582 тыс.
What is Biology 😂😂😂😂😂
4:46
Worst Exam experience | Jalas
6:47
Просмотров 200 тыс.
Celebrities Shutting Down Disrespectful Interviewers
17:44
Diamond Platnumz Ft Mr Flavour - Nana
3:51
Просмотров 100 млн
Dr Jalas
9:45
Просмотров 93 тыс.