Hawatusaidii Sisi ndo tunawasaidia, tunawalipa mshahara, mnakula bule, mnajisaidia bule hizo zote ni nguvu zetu, mnakula jasho letu na bado mnaiba jasho letu, inauma Sana.
Acha kujipendekeza kila raia ana uhuru WA kutoa maoni yake Muulize ruto Sioni kosa lake natamani ungemwita muulize kwnn ulichoma picha naje unahisi serikali ifanye nnn sio kumkamata
Alitukanwa mungu na aliyetukana ni afande sele mbona serikali hamkufanya kitu Kwa sababu ni mungu ndio maana hamsemi lkn samia ndio mwajiona Kimbelembele kusema huyo MTU ashikiliwe hii sio Hakii kabisa na huu ni ukatili wa kiimani kabisa serikali mnavyofanya sio haki mwacheni MTU aseme anachokitaka. ( Every citizen has a right to do what he or she wants at any time or any place)
Kwani. Mama samia ni mungu mama sio mungu ni mtu tu na ukisema kakashf basi ameshindwa kuongea kilichokera kuhusu mama ndo maana kafanya action hiyo sasa mfanyakazi wangu hawezi kuogopwa akikera anaambiwa je ni wapi sauti za maskini zitamfikia au ni shobo we mkuu ambaye nawe unalipwa mshahara kwa kupitia kodi zetu
Acha ushamba mama hajaanza kusemwa vibaya leo wala jana... Ni maraisi wote na jambo la kawaida tu.... Unaweza kuona ni jambo jema kumbe ndio kuanzisha tatizo
Mnamuonea tu kumkamata picha kitu Gani nanyie serekali mnayoo tufanyia Yana uzur gan bwana ,mtu anaongea ukweli tu nyie vipi mnazingua tz Bora tuwe kama Kenya tu
Nyinyi viongozi mnakuwa na jazba sana akili fupi tu wewe ndio kama unataka kutengeneza hili jambo lisambae na kutengeneza mada hakuna utalatibu mwingine wa busara wa kuchukuwa hii hali ya ukhanisi inazidi kiasi watu wanaogopa kupeleka watoto wao kwenye boarding school ww mwanambeya umechukuwa hatua gani ww unataka kutia kuni kwenye moto
Kumtia hatiani ni ngumu sana sana maana hajavunja sheria...! Hiyo picha ya samia, ni picha ya kawaida tu na siyo nembo ya taifa. Lakini, anapokuwanayo,, anakuwa anaimiliki kama personal property yake, so anaweza kuichana tu au kuichoma... lakini, kamkosoa Mama... tu, hajamtukana matusi ya nguoni.... HUYO JAMAA, LABDA SHERIA ISITENDE HAKI...IKITENDA HAKI, HAWEZI FUNGWA KABISA.
hakuna maoni ya kumtukana raisi,tusisababishe vurugu na ukosefu wa heshima kwa kisingizio cha kutoa maoni!! kwanza kuchoma picha ya raisi ni kosa kisheria!!
@@Dizzolee-tz na mkizidi kuleta ushoga wenu atawatia vidole kabisa.....bwabwa mkubwa wewe. Mna chuki mpaka hamjui hata mnaloongea?!! Hebu nendeni mkafirimbwe kwa nabii Tito huko.
Wanashindwa kuwakata wanao iba mabillioni ya hela serikalini wana kazi wa kuwanyanyasa wanannchi kwanza hapo alipo sio tanzania' fanya maendeleo ya mbeya kazi uliyopewa sio kazi yako hiyo ni ya polisi
Wakimalizana na huyo sheria itayotumika kumshtaki naomba itiliwe mkazo sana manake matusi mtaani imekuwa jambo la kawaida aswa kwa makonda wa dala dala na vijana wengi muda mwingine utumia tusikama sehemu ya kusifia lakini si tabia njema..
Mkuu wa Mkoa hana akili kabisa huyu .Kila mtu ako na Freedom of expression..Shida ya sisi watanzania tunajipendekeza sana na hawa politicians wengi ni slaves kwa watu wa nje ..
Tanzania hao viongoz sisi tumepiga kura wengine wameingia bila sera tuliyemchagua alikuwa na sera tofaut kwan rais ni mfamle au malikia mbona viongoz wengi wamesemwa
Hinyi sio kabisa oo akamatwemara moja yani mamboyamsingi mnashindwa kuyafuatilia mnafatilia upuuzi inatakiwa ujiulize kwa nini Kadanya hivi tafuta sababu ila kauliyake nikwamba yupo upande wa 👹👹👹
Nackia Kuna jamaa amenunua leo umeme wa Elfu tatu akapata uniti moja😅😅😅 Kwani makato saiz ya umeme mwisho wa mwezi ni shingapi au wamepandisha kimya kimya
Tatizo wabongo kumsifia mama ndio wanaona dili mama kizimkazi mm wananiboa kumsimfu mtu ambae Hana msaada wowote zaidi yakutuzingua tu na uongozi wake wa urith ,,mpaka mtu afe