Allahu akibaru innalilaah wainaa ilayh raajiun yaa rabbii tunakuomba ifanye qabr ya shekh wetu muhammad bin ayyoub iwe iwe miongon mwa mashimo ya pepon aaamiiin
Ktk tarekh yake Sheikh Mohammad bin Ayoub wkt yupo mdogo baba yake mzazi alimpeleka pwani kumchapa bac wkt anamuadhibu mwanae akatokea Khidhri w zama zileeee akamuombea msamaha kw baba yke Mzee Ayoub Sheikh mwnyewe akamwambia bac kashajifunza hyu,na ktk jambo lingine Sheikh Walid Alhad kaimu Sheikh mkoa aliombewa dua sikio lake lilikuwa linamsumbua kila siku akaenda kw Sheikh Mohammad Ayoub akamwambia natumia dawa lkn sikio bado bac Sheikh aliongea na sikio tu mpk leo limepona na hakupata tena ugonjwa w sikio,na ktk maajabu yke mengine ya Sheikh alikuwa kuna siku anakuja kijana darasni na siku anakuwa mzee kwny kwny umbo lke lkn alikuwa mpk atake umuone,Allah amrahamu Sheikh wetuna azidi kitufaidisha zaid ya elimu yke. #Amini
*✍قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله تعالى :* AMESEMA shaykuhul ISLAAM IBNU TAYMIYYAH ALLAH AMREHEMU *" من ظن أنه يأخذ من الكتاب والسنة بـدون أن يقـتَـدي بالصّـحابـة ويتبِع غَـيــر سَبيلهم ، MWENYE DHANA YA KWAMBA ANAWEZA KUCHUKUA MAFUNZO YA DINI KWENYE KITABU CHA ALLAH NA SUNAH PASI NA KUWAFUATA MASWAHABA NA AKAWA ANAFUATA NJIA ISIO KUA YAO ((MASWAHABA)) فَـهو من أهل البدع " .* HUYO ATAKUA NI MIONGONI MWA WATU WA BIDAA *📚 المصدر : مختصرالفتاوى المصرية ص(٥٥٦) .*