Тёмный

Je! Sheikh Kishki ni Salafy? | Sheikh Salim Barahiyan 

IHSAAN TV
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 100   
@HasanatKhamis
@HasanatKhamis 5 месяцев назад
Allah awape tawfiiq Mukae chini masheikh wote muondoe khitilafu zenu. Ili Uislam uzidi kusonga mbele. Ahlu sunnah lengo lake ni kuwaeka waislam pamoja.
@saidimpako5186
@saidimpako5186 9 месяцев назад
MUNATANGAZA SANA MADHEHEBU KULIKO UISILAMU WAISILAMU TUMESHA NASA KWENYE MTEGO WA MAYAHUDI
@apocalypsematrix9252
@apocalypsematrix9252 5 месяцев назад
UMENENA POA SAFI SANA 👊🏼👍 HAMNA CHA SALAFI WASHENZI KAZI YAO NI YA FITINA NA KUOMBEYA KAMA WASHENZI
@Naghib-Islam
@Naghib-Islam 5 месяцев назад
Wallahi hizi hoja zinawapa nguvu sana makafiri badala tuungane waislamu tunatenganishwa na migogoro isiomaana. Allah Atusamehe inshallah.
@user-uo8xw9kr4b
@user-uo8xw9kr4b 5 месяцев назад
Tatizo kila mtu anataka awe juu ya mwenzake.
@Abuubacary
@Abuubacary 5 месяцев назад
Allah akuhifadhi shekhe wetu
@NahiAbdallah
@NahiAbdallah 5 месяцев назад
Huyu shekh kaz yake ni kudiscuss watu tu
@animalchannel296
@animalchannel296 5 месяцев назад
mashee wanamuonea sana wivu kishki
@UkhtyAsiyaah
@UkhtyAsiyaah 5 месяцев назад
Wanamuonea wivu sana Sheikh wetu kwa neema zake na anavyoo fanya vzr wao hatuoni harakati zao ni kupigana vita tu Allah akuhifadhi na amlinde Sheikh wetu kishki na hasadi za ma sheikh
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 Год назад
Sheikh kishk sio salafi ni muislam, afu hakuna cha salafi wala wahab wala answar mbora mbele ya Allah ni mchamungu tu, acheni kujifanya nyie masalafi hamna tofauti na mashia, muogopen Allah
@thedon8467
@thedon8467 5 месяцев назад
Kwani Kuna SALAFI mkiristo ?
@omarsakawa2070
@omarsakawa2070 5 месяцев назад
​@@thedon8467hakuna salafiy muislamu wala mkristo katika zama hizi,soote ni khalafiy acheni kujipa.
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy 5 месяцев назад
Hahahahahaha sikutegemea kucheka leo mapema hii haha
@user-ok8se1ok3d
@user-ok8se1ok3d 5 месяцев назад
Mbwa hujui dini kaa kimya kima wee
@habibasalim3092
@habibasalim3092 5 месяцев назад
Eti shiia wewe hapo muogope Allaah, Salafi Salih ndio uislamu, na shiia sio muislamu, fatilia vizuri kuhusu salafi, unaweza pia search kwa hii yutube, ama nakuambia soma vitabu the fundamentals of the salafi,,ama kama wewe mtu wa mitandao kuna hawa watu watafute kwa yutube, Sheikh Al fawzan hafeedhahullaah, Al bani Rahimahullaah ,ndo utajua mtume alisema nini kuhusu hili neno Salafi
@mzeemwinyihassan9774
@mzeemwinyihassan9774 17 дней назад
Wewe mbaguziiii sana sheheee
@user-xh9gj2wd6o
@user-xh9gj2wd6o 5 месяцев назад
Mti wenye matunda ndio wenye kutupiwa mawe namuomba Allaah amuhifadhi Sheikh wetu na sisi pia
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy 5 месяцев назад
Amiiyn
@fatmasuleyman2498
@fatmasuleyman2498 4 месяца назад
Amiin ya rabb
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 Год назад
Hamuna kanzi ombeeni taifa tunaangalia 😢😢😢
@salehal-oufy5380
@salehal-oufy5380 Год назад
Je nyny mnaowatuhumu na kukafirisha nyny ni wanazuoni?
@salimakida95
@salimakida95 5 месяцев назад
Kumbe walijua hilo..vipi ulimvyokua ukimtukanana na kumuhukumu kigogo shekh Mohamed bin shekh Ayoub
@IDRISMKWlNDA
@IDRISMKWlNDA 5 месяцев назад
Umadhehebu ni usafiri wa hali ya juu Waislam wamekua mazezeta hawajalitambua hilo
@salumally663
@salumally663 Год назад
Wakati mwingine jaribuni muwe kigezo kwa umma wa kiislamu na kukua kia akili...inaonekana tumefikisika kimuono kukaa na kuanza kuchunguzana kuongea AKIDA YA Sheikh fulani ..hebu waislamu tuache huu ujinga na kukua kiakili...tujadili mambo yanayoweza kuwasaidia UMmaa
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy 5 месяцев назад
Naam
@user-mr8fd8nd8i
@user-mr8fd8nd8i 5 месяцев назад
Tujaribu kuheshimu jitihada za Mashekh wetu jamani tuwaache warekebishane wenyewe ni hatari sana kurushia Mashekh maneno mabaya
@MaalimYussuf-qy9ic
@MaalimYussuf-qy9ic 5 месяцев назад
Yaani hawa watu wanaojiita masalafi kazi nikutangaza imaniyao2 ya kisalafi na sio kutanganga dini sas sijui ndio wanasomeshwa hivyo 2 au ndio elemu yao ipeishiya kwenye usalafi 2
@AhmadaHassan-gy5uj
@AhmadaHassan-gy5uj 3 дня назад
Mawahabi kazi yenu kuvuruga uislam tu .
@SaidAlnaamani-z1o
@SaidAlnaamani-z1o 5 месяцев назад
Uyo sheikh nikupoteza time yaku msikilizi
@MudiMagwila
@MudiMagwila 5 месяцев назад
Sheikh baraiyan sema ukweli nyinyi muna dumu kwenye bidaa sana acheni kuwazuga watu
@fatmasuleyman2498
@fatmasuleyman2498 4 месяца назад
Kunyamaza kwa mtu mjinga ndio jibu lake
@CalvinVenance
@CalvinVenance 5 месяцев назад
mashekhe walikua zamani sasa hivi kuna mashekhena.
@mohamedabdallahkilimo1975
@mohamedabdallahkilimo1975 5 месяцев назад
Hakuna anaeweza kumuhukumu mtu kwasababu kazi ya kuhukum ni majukumu yake ALLAHU subhanau wataala sisi tufanye aliyotuamrisha allah ni kheir na ni bora kwetu tusigombanishwe waislam tuamke maana ni kila siku yanazuka majambo tunawekwa busy na malumbano ili tusifanye ibada kwa utulivu,tuacheni hayo mambo turudi katika umoja wetu
@mohamedabdallahkilimo1975
@mohamedabdallahkilimo1975 5 месяцев назад
Nasikitika tenda nda ya ramadhan tumefunga huku mnakosoana huyu salafy huyu badaaa jamani nani anajiona amekamilika mpaka kuhukumiana ina maana tayari wako waliojibashiria pepo wallah tutakuja kuulizwa haya mambo ninachokiamini mtu unaweza ukasoma ila ukawa hujaelewa allah ametukamilishia dini yetu ya kiislaam ila hao mashekh ndo wanaitia doa kwa huko kusoma kwao kila mmoja ni mjuzi tafuteni namna ya kurudisha umoja waumini wengi wao wanashangaa hawajui washike wapi wallah mtaulizwa
@osos9073
@osos9073 Год назад
Reference zote ni maulamaa sioni ikitamkwa qur ani
@salehal-oufy5380
@salehal-oufy5380 Год назад
Jamani kiakili tu huyu si mtu wa kumfuata
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 7 месяцев назад
Hawa wote hawapo kidini wanapigania miradi ya wasaudi!
@banihashim5347
@banihashim5347 Год назад
Leo umeongea sheikh letu
@user-rt9qr3ie9g
@user-rt9qr3ie9g 5 месяцев назад
Masuala.ya kuwazungumzia waislam na kuwakosoa ni ujinga hemu waelezeeni wafalme waovu wanao Wacha miji ya ndugu zao kumwagwa damu mfano Mohamed binsulemani m.mungu amlaani
@AbdallahSadiki-z4b
@AbdallahSadiki-z4b 2 месяца назад
Hivi ile million 200 Ulishaeleza ilipoenda ??
@adamjutto5849
@adamjutto5849 17 дней назад
Hilo sio swali la kielimu,ni mambo binafsi,wewe hujawahi kudhulumu maishani mwako
@amaxyz138
@amaxyz138 5 месяцев назад
subhanallah mbona munakufurisha watu mwatoa watu katika dini nyinyi ni nani wa kuhukumu watu
@shabanponera2895
@shabanponera2895 5 месяцев назад
Hivi umemsikiliza sheikh jibu lake au? Kasema yeye hawezi kuhukumu
@MUHSINSALUM-cc4tg
@MUHSINSALUM-cc4tg 5 месяцев назад
Kumbe Answari wamejaza MUHAFIDHIINA. LA MUHTADIINA
@jumakassim1112
@jumakassim1112 Год назад
daaaah Allaah atuhifadhi sote
@ramygichero1016
@ramygichero1016 9 месяцев назад
Mawahabi hawataki kusoma shule
@fatmasuleyman2498
@fatmasuleyman2498 4 месяца назад
Tuekesawa mawahab unajua asili ya neno hilo huyo jina la ni sheikh muhammad bin abdul wahab رحمه الله na mwalimu wa sheikh ibn baaz رحمه الله
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 5 месяцев назад
Hivi kuanzisha taasisi sio bidaa??
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 Год назад
Sasa Kishki atakuwaje salafy na hali alisema majina hayo hayako ,,yeye anajua jina uislamu tu ,,,
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy 5 месяцев назад
Tusubiri atutangazie na mwezi hahahahaha
@abu-ff8ws
@abu-ff8ws 4 месяца назад
Shekhe kishki ni msomali ?
@khamisali5978
@khamisali5978 6 месяцев назад
Anafanyiwa raddi km kakosea au afahamishwa?
@abuurauzwat1006
@abuurauzwat1006 Год назад
Kaziyenu ujinga tuu kama hamja mtaja Kassim Mafuta hamuwezi kula vikawashuka.
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
We chiz kwani yy nani ata asitajwe
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Год назад
Wee mpumbavu kama kasimu wako jadidah tulieni huko
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Год назад
Majadida sijui wapoje
@abubakarmuqaddam9845
@abubakarmuqaddam9845 Год назад
Mpumbavu ni ww uko usietambu fadhila za Wasomi waliofaidika
@mwanakombopopo5117
@mwanakombopopo5117 5 месяцев назад
Hana kazi zakufanya hamuilimshi jamii tapotea kazi nikujali Mashelk tu wenye na mambo yao muhimu
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Год назад
😂😂😂 eti ambao si twawaita masalafi uchwara Ahaha barahiyani mgomvii!! Ahaha
@ayubswaleh6044
@ayubswaleh6044 5 месяцев назад
Ila nyie mna mamlak ya kuhukum watu
@aminaosman3315
@aminaosman3315 4 месяца назад
,taasisi yako ni zulma kwa yatima mjene waislam haki zao unafaidika wewe familia yako na waarabu wenzio
@abdulahmadimkabakuli6342
@abdulahmadimkabakuli6342 11 месяцев назад
Mbona jazba mzeee
@UkhtyAsiyaah
@UkhtyAsiyaah 5 месяцев назад
😅😅😅😅
@MohammedIssa-z1k
@MohammedIssa-z1k Год назад
kwaiyo wanazuoni waliobaki ninyie mawahabi tu
@Mabahdl
@Mabahdl Год назад
Wewe mzee siulumuita kuwa kishik ameanza kupotea asiingie kwenye misikiti yako iweje ileo wamtetea? Alafu swali limeulizwa kwa mgonjwa
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Kasim mafuta alihadaika na ukubwa alitaka shekh salim awe chini yake Ksim mafuta anapenda uluwa
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 7 месяцев назад
Wewe unayomamlaka ya kuwaita watu watu bid’a?
@MohammedIssa-z1k
@MohammedIssa-z1k Год назад
mnafik mkubwa we munachaguana wenyewe kama sio wahabi hupewi nafasi kutoa mawaidha miskitini kwenu tafauti nahao munaowaita watu wabidaa na maibadhi
@thedon8467
@thedon8467 5 месяцев назад
WIVU TU KISHKI NI HODARI SANA
@SaalimMlawa
@SaalimMlawa Год назад
Na ktk bidaayenu ni kujiita salafi hivi mnazoakilikweli nyie mnawezaje kuijiita salafi ebu nanyi wacheni hii bidaa mana huu nao niuzushi Unawakosoa wenzio wakati wewe mwenyewe pia unayako Ebu tuondoleeni upuuziwenu wa ikhtilafu Na tushike hiliولاتموتن إلا وأنتم مسلمون. لاسلف ولاووو
@RajabuomariMachemba
@RajabuomariMachemba Год назад
We jaahili اقرء
@abubakarmuqaddam9845
@abubakarmuqaddam9845 Год назад
Ww pia Waongea hhh ndo nini sasa ata wachekesha nduguyangu
@SaidAlnaamani-z1o
@SaidAlnaamani-z1o 5 месяцев назад
Hayo mambo yako Ni Africa tu
@hodariahmad5116
@hodariahmad5116 Год назад
Eti kijimwanafunzi😂
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 7 месяцев назад
Yaani hukumu wanatoa maulamaa? Hii ni Kali!
@user-pe9nq3wu4p
@user-pe9nq3wu4p 5 месяцев назад
Weweni pumbavu
@omarsakawa2070
@omarsakawa2070 5 месяцев назад
Mwajifanya wa peponi sana, nyie,
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Год назад
HUYU YEYE NI MTU MZUSHI KISHA ANALAUMU UZUSHI NA WAZUSHI WAKATI NI YEYE NDIO MZUSHI MWENYEWE!
@fatmasuleyman2498
@fatmasuleyman2498 4 месяца назад
Jambo usilolijua kama usiku wa gizaa totoro 'iyaadham billah
@fatmasuleyman2498
@fatmasuleyman2498 4 месяца назад
Uislam umejengwa juu ya nasaha فسؤلو اهل الذكر انكنتم الا تعلمون aya usihukumu allah atuongoze amiin
@MohammedIssa-z1k
@MohammedIssa-z1k Год назад
kwaiyo alipomtuka mtume hakua kafir lakini mwenye kuwapinga nyie nikafir
@user-rt1bz7lk4s
@user-rt1bz7lk4s Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hawa masheikh wanatuchanganya akili zetu kwanzaa wewe mzeee mawahabi wenziwe hawakutambuiii yaani hawa mawahabi wallah wanavituko kweli wallah
@rajabuathumani5775
@rajabuathumani5775 5 месяцев назад
NYINYI NYOTE NI MAWAHABI NA MAWAHABI NI MAKAFIRI MAANA DHEHEBU LAO LIMEASISIWA NA MAYAHUDI
@fatmasuleyman2498
@fatmasuleyman2498 4 месяца назад
Akh ombi maghfira kwa ulilolisema subhana llah subhana llah akh wewe ni kama mimi lkn hapo skufich nakutakia kher
@rajabuathumani5775
@rajabuathumani5775 4 месяца назад
​@@fatmasuleyman2498bdo hujanielewa ndugu yangu nakuomba fuatilia history vizur utaelewa
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Год назад
Ukiona maharange yanaruka ruka kwenye sufuria jikoni ujue YANAENDA kuiva, mzee mm nlikua sifaham msimamo wako kiukweli lakn kwa maneno yako mwenyew hakika nimepata utuliv kuwa wew inapodondokea shilling ndio utapatikana hapo wacha kuwa hadaa watu.
@saidsalim2561
@saidsalim2561 Год назад
Acha taasub na fikra ya kunyweshwa hapo kuna kosa gani la kielimu alilokosea ktk jawabu lake.
@ibnayub2374
@ibnayub2374 Год назад
@@saidsalim2561 mm namskiliza katika kauli nying anazo zungumza sio hii tu, akitajiwa Kasim mafuta anapayukwa tu wala hana Majibu ya kueleweka, na unaniambia nna ta'asub hivi unadhan mdiruu Ana nini cha kufanya nimpende, maana taasisi yake n bora kuliko DINI ya Allah ila kwakua nyie n wafata upepo na kufungamana na mdiruu mnaona Sisi tuna ta'asub na Qasim mafuta na haya ndio maradh yenu vijana wa mdiruu hamjui hata ta'asub ni kitu gani. NA ukitaka kuamini hili sikiliza Majibu ya Qasim mafuta kwa barahian, halaf fananisha na majib ya barahian kwa Qasim mafuta UTAELEWA nn namaanisha.
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Год назад
Majadida ni watu wavurugu tu
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Год назад
Nyiee majadida ni waongo waongo tu
@hamynas
@hamynas Год назад
barahiyani kuna majibu yako huku kuhusu mashia ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-etu_axLNTnE.html
@HasanatKhamis
@HasanatKhamis 5 месяцев назад
Allah awape tawfiiq Mukae chini masheikh wote muondoe khitilafu zenu. Ili Uislam uzidi kusonga mbele. Ahlu sunnah lengo lake ni kuwaeka waislam pamoja.
@SolomomAdams-pf5zy
@SolomomAdams-pf5zy 5 месяцев назад
Sahihi
@NahiAbdallah
@NahiAbdallah 5 месяцев назад
Huyu shekh kaz yake ni kudiscuss watu tu
Далее
Эконом такси в твоем городе 😂
00:59