Тёмный
No video :(

JEMEDARI SAID ACHEKELEA Eng. HERSI KUNG'OLEWA, ALIWAZOMEA WAZEE WA YANGA SC. 

Evvy Digital
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

JEMEDARI SAID ACHEKELEA Eng. HERSI KUNG'OLEWA, ALIWAZOMEA WAZEE WA YANGA SC.
Jemedari Said Kazumari ameelezea kwa ukubwa zaidi juu ya sakata la Rais wa Yanga SC, Injinia Hersi Said kung'olewa na watu wanaojulikana kwa jina la Wazee wa Yanga SC wakidai kuwa viongozi hao wa Yanga SC ambao ni Hersi Said na wenzie wapo katika klabu hiyo kinyume cha Katiba
#yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@user-pf6yw7vh1p
@user-pf6yw7vh1p Месяц назад
Nyie utopolo msimtafute wa kumuangushia jumba bovu eleweni fact kesi ilikuepo na huyu magoma alihoji vitu vya msingi tangu mwanzo akapuuzwa katumia haki yake kikatiba kaenda mahkamani sasa Kazumari anaxungumza baya lipi kwani Wasafi c wanaiponda Simba siku zote mbona kimya,wacheni ujinga kaeni mezani musuluhishe ili trh 8 msipigwe 6
@NicholasMhina-dz5gz
@NicholasMhina-dz5gz Месяц назад
Daah mnamshambulia Jemedari mpaka mmesahau Mzee Magoma Jemedari sio aliepeleka kesi mahakamani sio alieshinda hiyo kesi lkn yeye kuchangia au kunukuu alichoongea na mzee Magoma inakua shida hivi ni nani aliewaroga wana Yanga!
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
Yaani mpaka mtangazaji anashindwa kuongea anayoyajua ili na wengine waielewe issue ilivyo kwa sababu sababu ya watu wasiopiga miswaki vinywa vyao kutwa kutukana nakuongea utumbo natakataka tu.. Inasikitisha Sana
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Месяц назад
Yanga inawenyewe
@lusubilokorosso5661
@lusubilokorosso5661 Месяц назад
Kwa hiyo Yanga ina katiba mbili? ya 2011 na 2020,hatari sana
@user-jn9ym1pz5k
@user-jn9ym1pz5k Месяц назад
Falahuyo jemedali
@minazsaid2470
@minazsaid2470 Месяц назад
Jemedari hebu mpumzishe hersi inatosha tushajua unamchukia kiasi kwamba hta kumuona hutaki basi please acha kumuongelea vibaya.
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Месяц назад
Yaani crown mmechemka kumleta jemedar na Goflea hwaongei kiweledi ispokuwa ushabiki zaidi na chuki.
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 Месяц назад
Kilicho semwa na wana sheria wa Yanga na kinacho elezwa hapa ni tofauti. Kule umeongelewa ujanja ujanja tu hapa kuna hoja ya msingi
@user-ob2cm8oc8s
@user-ob2cm8oc8s Месяц назад
Tfda na tbs 😅😅😅
@onesmothimos2635
@onesmothimos2635 Месяц назад
Jemedari tuna kupenda Wana Yanga tusemee
@SelemaniMwelunguza
@SelemaniMwelunguza Месяц назад
Huyu jemedar anahusika katika hili anatakiwa afanyiwe Kaz mbona tunamchekea
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 Месяц назад
Huyu Jemedari ni mmojawapo wa kuwashawawishi akina magoma
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 Месяц назад
KWA NINI KWANZA WALIMTAFUTA JEMEDARI WAUGANE KWEYE KESI KWASABABU JEMEDARI ANAJULIKANA NI MNAFIKI UNAONA ANAVYO JILEZA KWAMBA ANAJIJUWA NIMNAFIKI SIO MCHAMBUZI WATU HAWA NDIO WANAO RUDISHA MAEDELEO YA SPORTIS TANZANIA
@christopherkomba7782
@christopherkomba7782 4 дня назад
Uyu jamaa sura ngumu acheni yanga tumetembeza sana bakuli
@BensonAswile
@BensonAswile Месяц назад
Wewe huiombei mema Yanga katika maisha yako.
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Месяц назад
Mbona nyie uto mnavichwa vigumu? Hukumu imetoka mahakamani Kazumali anahusikaje
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu Месяц назад
Tatizo la watu wa YANGA huyomzee yukosahii isipokuwa timubado inafanya vizuri amuwezi mkamuelewa hebu jiulizeni wanayanga MWENYEKITI wenu wa wanachama ninani? mana huyo mnayemuita raisiwenu nimfanyakazi wa mzamini sasa upandewenu wanachama mnawakilishwa nanani? kuweni makini timu inafanya vizuri na mnasema mnamafanikio alafu huku mnadaiwa mabilioni sasa mafanikio yakowapi? Mana mpira ni biashara nakwenye biashara mtu akifanikiwa inamana amepata faida sasa chakushangaza timu inasemekana imefanikiwa huku imeingia asara ya bilioni ambazo azijulikani ninani anaezidai angalieni GSM atakuja kujibinafsisha hiyotimu baada yakuona deni limekuwa nyingi na wanachama awanahuwezo wakulilipa hilodeni haposasa ndo mtakuja kumkubali huyomzee.
@yusufukombo6807
@yusufukombo6807 Месяц назад
Jemedari saidi mnafiki sana jibu maswali ya wenzio kulingana maelexo yako. Mpuuzi flani hivi
@severinantunuligwa4598
@severinantunuligwa4598 Месяц назад
Huyu jamaa kazinari ni mpumbavu kweli yaani unasema walikushirikisha wewe Kama Nani? Kumbe wewe ndio uliowashauri wafoji hizo Saini?
@SelemaniMwelunguza
@SelemaniMwelunguza Месяц назад
Mmbea mkubwa
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx Месяц назад
Magoma yupo sahihi anajielewa sio hao mbugira nyuma mwiko
@user-iu2cm5um6e
@user-iu2cm5um6e Месяц назад
Jemedari,jemedari, jemedari,achana na YANGA y wanainchii,juwa yako, yawantu yaache ww mbona umbea unapenda sana mpaka umewafundisha hadi vijukuu vyako navyo havilali kabisa,achaaaa
@reubenmakalla745
@reubenmakalla745 Месяц назад
Msajili vyama vya michezo BMT
@reubenmakalla745
@reubenmakalla745 Месяц назад
Jemedari baadhi ya wanaotajwa kuhusika wanakata kuwa hawakuhusika na saini zao zimegushiwa. Mfano: Fatuma Karume. Hapo usemi kitu una kalia kusema Magoma Magoma. Funga mdomo
@jumaali9243
@jumaali9243 Месяц назад
Hata bado
@SaleheMohamed-fw5dm
@SaleheMohamed-fw5dm Месяц назад
Nilichogundua adi waandishi wanamchukia heris du kweli.fanya jema upingwe
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Месяц назад
Sasa. Hivi tumehamia EFM baada ya HUYU FALA KUHAMA NA TUNAHAMA CROWN BAADA YA FALA KUHAMIA HUKO SO KIBA UJUE UMEUA MEDIA TAYARI
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd Месяц назад
😂😂😂😂Hawez kuua midia kwa ukwel
@lamama.
@lamama. Месяц назад
mbona hueleweki
@ExecutiveHouseKeeperElewana
@ExecutiveHouseKeeperElewana Месяц назад
Jemedari Said Acha ujinga na kushabikia mambo ya hovyo. Ukiwa km mwandishi huwezi kusema nasikia mashahidi waliitwa. Wewe ni mjinga na hupendi maendeleo ya Yanga
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Месяц назад
Hakuna SAKATA lolote, kazumari acha kushadadia utabaki na AIBU......Eng haondoki wala baraza la wadhamini hawaondoki hata mmoja,....NJAA zinawasumbua ww na Magoma.
@user-tx3wd4rw8d
@user-tx3wd4rw8d Месяц назад
Yaan jemedar kama msenge kwaiyo we jemedar unamuona magoma Yuko sahihi yaan we jemedar kuma sana
@user-dt6in5pc1h
@user-dt6in5pc1h Месяц назад
Huyu.jemedar.hajui.lolote.then.ninamashaka.naelmuyake.
@nbanba7138
@nbanba7138 Месяц назад
Huna unacho kijua nyanyaza kuku wee na ndomana unaulizwa una jing'ata
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 Месяц назад
Jemedari ovyo ana chuki na yanga sc alitaka cheo hila akukidhi vtgazo😢😢😢
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd Месяц назад
😂😂😂😂Ety chuk kwakip
@pelisiuskalikule1345
@pelisiuskalikule1345 Месяц назад
Jemedari Said umepwaya huna facts unakwepa kwepa maswali ya mwandishi
@joachimnangale9214
@joachimnangale9214 Месяц назад
Hujui kitu wewe,SI uende jkt?
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 Месяц назад
Duuuuh huyu Jemedari mbona analisemea sana kiaaina halafu anajificha kwenye koti la Magoma
@minazsaid2470
@minazsaid2470 Месяц назад
Ila crown mmekosa watu wote ndio mumlete jemedari kweli
@user-jn9ym1pz5k
@user-jn9ym1pz5k Месяц назад
Alyi towa jemedali atahalibu ledio
@SalimuRamadhani-nl7bp
@SalimuRamadhani-nl7bp Месяц назад
Wewe jemedari hakika we ni shga sana kwani huwa waliwa tko nini
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 Месяц назад
Jemedali sasa akifikaga hapa ndo utamjua vizuri kama ni mchambuzi bora
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Месяц назад
WAMEZITOA AKINA JEMEDARI SAID NA GEOFREYA
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Месяц назад
MNAMHOJI JEMEDARI(SIMBA) MCHOCHEZI
@user-hu2vo1jm8o
@user-hu2vo1jm8o Месяц назад
hakuna mchambuz mpuz kama huyu
@amoschacha6401
@amoschacha6401 Месяц назад
Shida ya shabiki wa yanga hawatak ukwel, wanataka uongo kama wanaoupata kwa Eng
@ahmedjeizan4431
@ahmedjeizan4431 Месяц назад
Huyu msenge Anashiriki hili kwa 100% kuna mawasiliano yote na hao kina mikundu sijui magoma msenge
@SaleheMohamed-fw5dm
@SaleheMohamed-fw5dm Месяц назад
Wanakomaa sula kukuza majambo ysngu ianguke duh hii nchi inawanafiki jmn
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v Месяц назад
Ovyooo!
@MoajGraphics
@MoajGraphics Месяц назад
Hii ngómbe inajikuta inajua wakati hajui kitu. Katiba za michezo zinasajiliwa RITA?? Ngoja akaishushe daraja JKT
@Marjeby
@Marjeby Месяц назад
Kesi ya kukazia huku!?Jamaa liongo sana aiseee
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Месяц назад
Hiii tunasema adui mueembee njaa hapo kazumali umefurahi sanaa ila mnalolitengeneza halina afya ktk mpira wetu wa tanzania
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel Месяц назад
Huyy nae msenge
@user-ll5tg7iq7b
@user-ll5tg7iq7b Месяц назад
Nyie mnajadili upuuzi Magoma hana hadhi ya kuishitaki yanga.ushauri wangu kwenu waandishi muiteni Magoma mfanye nae mahojiano hapo studio na siyo kumfuata uchochoroni.tumeona hata makazi yake ni duni hata hao waliokuwa wanasikiliza shauri lake nao wanajambo lao ndiyo maana mahakama zetu haziaminiki.
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Месяц назад
Mmbeya muongo hujua Wewe ulivyo na sura ngumu kwa Yanga ungesema tu
@reubenmakalla745
@reubenmakalla745 Месяц назад
Bodi ya Wazamini ya Yanga ipo kwa mjibu wa KATIBA ipi?
@tabumayuhana47
@tabumayuhana47 Месяц назад
HUYU JAMAA ANAYAPENDA SAANA MAGUMU YA YANGA, HEBU ANGALIA ANAVYOIJUA HII KESI KUTOKA KIINI CHAKE!!! MARA NYINGI DUA ZAKE HAZIKUFUA DAFU NA WALA HAONI AIBU!!! SHIDA YAKO NI NINI ETI NDUGU HUYU NA YANGA JAMAANI!!!
@user-xg9ix9ex9h
@user-xg9ix9ex9h Месяц назад
Wewe alikiba kama unataka hiyo redio ichukiwe endelea na huyo mjinga wako
@ZulekhaBaksh-ii4fk
@ZulekhaBaksh-ii4fk Месяц назад
Mpuuzi huyu majungu unayaweza
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Wewe Jemedari huna weledi kabisa. Unashabikia ujinga
@vaxminja9053
@vaxminja9053 Месяц назад
Hivi Jemedari una akili kweli! Je hao wazee walisimama na nani mahakamani? Huoni walipeleka kesi mahakamani walighushi saini?
@MathiasLima-b7v
@MathiasLima-b7v Месяц назад
Huyu jemedali nihajitambuu
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
Watu wanamuona huyo Mzee tu. Kiufupi kuna vigogo wako Nyuma yake hizi timu 2 Simba na Yanga msizichukulie poa kwa wale wenye D mbili tu ndio wataelewa. KIUFUPI HUYU MZEE ANA KITU
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 Месяц назад
Kwani Jemedari ndiye alitoa hukumu? Kaiulizeni mahakama
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Месяц назад
KUMBE MHUSIKA NI JEMEDARI SAIDI NA KINA MAGOMA,AMESEMA WALIMSHIRIKISHA
@jumakibasame3210
@jumakibasame3210 Месяц назад
Huyu asili yake Kula panya, pia ameferi kimaisha ndio maana anachukia maendeleo ya wengine
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Месяц назад
Kudhihilisha uongo wako Mbona ameendelea kukataaa na amemtuhumu karani wa mahakama kuwa ametoa siri kwa kuwapa nakala ya hukumu
@harunivilimba7279
@harunivilimba7279 Месяц назад
Hadi mm Yako atazomewa
@SaleheMohamed-fw5dm
@SaleheMohamed-fw5dm Месяц назад
Uyo aliyezua mjadala boya kama maboya wengine jemedali.kaungane nae .maana uyu jamaa toka usajili wa chama kapinda pinda adi kanyooka mwenyewe tuliza mshono mzee.doz inakuja mwez wa nane lig kuu tabu iko pale pale
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j Месяц назад
jemedari unapotaka kufatilia jambo vizuli unatakiwa utafute ukweli pande zote tana kikweli kusikia jambo siobusala kulizungumzia
@SALVATORYLYIMO-ni6fp
@SALVATORYLYIMO-ni6fp Месяц назад
Watafungwa wawe fundisho Kwa wengine
@ErnestBoniface
@ErnestBoniface Месяц назад
Katika kosa walifele kumleta huyo choko
@ExecutiveHouseKeeperElewana
@ExecutiveHouseKeeperElewana Месяц назад
Hivi inaingia akilini Yanga ishtakiwe wasipeleke wanasharia. Yaani ww ni wivu tu mbwa koko ww
@josephmwise3177
@josephmwise3177 Месяц назад
Huyu jamaa ni mchumba tu,badala ya kuhangaikia ya mchezaji Wake yeye anashabikia Magoma.
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy Месяц назад
Kazumari ww ni mfu tokea lini ukaiongelea yanga kwa mema ww unaiongelea kwa ubaya tu hufi au hugonwi na gari unachefua huna.uchambuzi.unachuki tu ww
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb Месяц назад
Rushwa tu.
@vincentkatabalo286
@vincentkatabalo286 Месяц назад
Kwanini Yanga tusikatae kufanya kazi na hiki kituo cha redio anachofanyia kazi huyu mkuda?
@melchermuyungi3327
@melchermuyungi3327 Месяц назад
Hivi huwa amsikii hahibu kujadili vitu ambavyo hamna data navyo
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Huyu nae ndio kundi la wahusika. Walee wasioitakia yanga mazuri. Mshindwe na mlegee. Huna hata kadi ya uwanachama hai unabweta bweta.
@benedictgamuya8855
@benedictgamuya8855 Месяц назад
Kazumali unasema huna uwezo wa ku-question wakati wewe ni mwandishi. It seems haujui hata misingi ya kazi yako. Hata kibalance story. Ukiambiwa/kusikia jambo unashadadia tu. Unayoyazungumza unaonekana tu unashabikiaga ujinga. Watu wanakuona. Yanga inajielewa kuliko wewe unavyofikiri. Acha ushamba na kuwa biased. Yanga ni taasisi inayoendeshwa kwa mujibu wa sheria. Hakuna jambo la namna hiyo. Huko tulikwisha toka Yanga wako well focused na vision na mission zao. Utabaki kujiabisha tu.
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j Месяц назад
wewe jemedari mjinga sana
@user-xh9cf9rn5q
@user-xh9cf9rn5q Месяц назад
Acha ushamba ww,mbona una wivu badala ya kumsapoti kijana mwenxiwe ktk uongozi wa michezò.
@shedadiabdul654
@shedadiabdul654 Месяц назад
Hiki kiredio kinaenda kufa
@noelymwakasege2428
@noelymwakasege2428 Месяц назад
Unachukia tu we
@IdrisaHasanfaki
@IdrisaHasanfaki Месяц назад
Hata na wewe msaidie magoma na uchambuzi wako wa hivyo na mahakamani katoke ushahidi
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Месяц назад
TUMFUATE EDDO KUMWEMBE ANATUMIKA NI MCHOCHEZI
@MtungaJunior
@MtungaJunior Месяц назад
Utopolo wana mapovu
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Месяц назад
Mwongo tu wewe huna lolote mpaka sasa hakina mashiko
@selemapingon9286
@selemapingon9286 Месяц назад
Jemadari una ujuaji mwingi sana. Kuna nyakati kama hujui kitu ni vema kukaa kimya. Mwandishi makini kazi yake kubwa ni ku-balance story lkn kwako wewe chanzo chako mwanzo mwisho ni Magoma. Very biased in your opinion. Na wenzio ndiyo wanakuona jembe hapo. Hii ndiyo quality ya media yetu Tanzania. We have a long way to go
@user-us7wo7jf8s
@user-us7wo7jf8s Месяц назад
Ww mmawia unalolote ndonya unashupaliiia ndo maana magoma alikutafuta ww bwabwaz mwenzie
@ahmedjeizan4431
@ahmedjeizan4431 Месяц назад
Huyu anatafuta kufirwa
@eliushalinga648
@eliushalinga648 Месяц назад
Waodoke hatuwataki wainziwamadalaka
@BensonAswile
@BensonAswile Месяц назад
Wala hang'oki, chuki yako Injinia tu
@tumwitikemanda7601
@tumwitikemanda7601 Месяц назад
Huyumbeakaaa kolohuhu
@fatumamtakyawa3612
@fatumamtakyawa3612 Месяц назад
Kama una huakika usiseme uongo wewe tunakujuwa
@MussaCharles-l9p
@MussaCharles-l9p Месяц назад
Jemedali mpumbavu,
@nbanba7138
@nbanba7138 Месяц назад
Nauzur jamaa wana kuhoji vizuri unajibu utumbo fuk
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 Месяц назад
Mshamba wewe, Kanavyozungumza utafikiri kanajua lolote...unaongeaje vitu ulivyosikia...Limbukeni wewe...viredio vyenu siku hizi vinajaza wajinga na wapumbavu wakishaona mic wanatema mate tu... Ona kanavyocheka kichawi, sura kama kamecheleweshewa mshahara... Hako kafitini kengine eti kanamsogezea mic na mdomo wake ka una bandeji...
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 Месяц назад
Wata'ngatuka mnaowajua nyie
@rufinermwamdanga4946
@rufinermwamdanga4946 Месяц назад
r
Далее
C’est qui le plus fort 😂
00:18
Просмотров 10 млн
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
AGASEKE K'AMAKURU AGEZWEHO YO MU KARERE 28 08 2024
6:42
#ZaNdaaani KOCHA AGOMA KUSAINI, AWAKATIA SIMU MABOSI
2:51
MANCHESTER UNITED TUYITEGEHO IKI IYI SEASON?
15:27
Просмотров 4,8 тыс.