Тёмный

JENGA KESHO YAKO KUPITIA SADAKA.(Toa sadaka kwa imani,kwamaana sadaka inabadilisha maamuzi ya MUNGU) 

Maisha ya Yesu  Onlinetv
Подписаться 914
Просмотров 113
50% 1

RATIBA ZA IBADA KATIKA KANISA LA MAISHA YA YESU KRISTO
KISONGO ARUSHA KWA CHANNEL
-SIKU YA JUMAPILI -Hii ni ibada kubwa ya kinabii ,maombi,mafundisho na uponyaji saa 3hasubuhi - saa 8 mchana
-SIKU YA JUMA NNE Maombi ya mtu mmoja mmoja (Kuonana na mtume ana kwa ana) saa 8 mchana -saa 11 jioni
-SIKU YA ALHAMISI Ibada kubwa ya uponyaji mafundisho na maombi. saa 8 mchana-saa12 jioni
HIVYO USIKOSE ! ASANTEH
WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@emamanuelpallanjo6693
@emamanuelpallanjo6693 Месяц назад
Amen baba nikiskia neno lako nafanikiwaga sana mtumish
@pamelawanjara738
@pamelawanjara738 Месяц назад
Amina mtumishi.Mungu anatufanyia vingi inapasa tumshukuru.sisi tunamkosea sanaa.ila yeye anatuhurumia.yatupasa tujue,na kumtafuta kila wakati.Amen.
Далее
KUWA NA MSIMAMO ACHA LAWAMA.
54:27
Просмотров 123
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16