Тёмный

Jeshi la Polisi lataja chanzo cha mauaji ya watu watatu Dodoma 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

[20:59, 17/09/2024] +255 713 404 214: Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limetoa taarifa ya awali kuhusu mauaji ya watu watatu, ambapo imebainika kuwa walipoteza maisha katika nyumba moja baada ya kuchomwa moto, huku mmoja wao akipigwa na kitu kizito kichwani.
Akizungumza leo, Septemba 17, 2024, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP Anania Amo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa liligundulika Septemba 16, 2024, saa tisa mchana, katika Mtaa wa Segu Bwawani, Kata ya Nala jijini Dodoma.
Kamanda Amo aliongeza kuwa uchunguzi wa chanzo cha tukio hilo bado unaendelea, huku hatua za kina zikichukuliwa ili kubaini wahusika wa mauaji hayo.
Tukio hili limezua hofu miongoni mwa wakazi wa eneo hilo, huku Jeshi la Polisi likiendelea na msako kuhakikisha wahusika wanakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria.
[21:19, 17/09/2024] +255 713 404 214:

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 56   
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 День назад
Polisi wakikuambia watachunguza ndio usahau kwa vile sio rahisi kusikia wakikuletea taarifa ya uchuguzi
@MichaelSumila
@MichaelSumila День назад
Polic niwapuuzi hata mkikamata muarifu hawataki tumuuwe ila wahalifu wanatuuwa kila siku daaaah 😢😢😢😢😢😢
@OfficialA83640
@OfficialA83640 День назад
@@MichaelSumila Ila wao panya road wanawaua tena wanawafata majumbani kabisa sio sehem za kz zao mtu kalala wanamtoa ndani kisa mwenyekiti na mjumbe wakiwachoka tu mtaani
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 День назад
Huyu kabila lake ni mrangi origino sikiliza lafushi yake. Kiswahili kakijulia shule.😂😂😂njole njole mwanawitu.❤❤❤
@mamachris6811
@mamachris6811 День назад
Lafudhi
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Час назад
Kabisa.
@molenicharles9107
@molenicharles9107 День назад
Huyu kamanda au ni Mgambo
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l День назад
😅😅😅😅😅😅😅 kwanimi😊😊😊😊
@OfficialA83640
@OfficialA83640 День назад
Bora useme ww km mtoto wa darasa 3 usomaji gani huo😂😂😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n День назад
😂😂😂😂😂
@user-yo3ff4qj7z
@user-yo3ff4qj7z День назад
😂😂😂 nimejikuta nacheka kwa maumivu
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 День назад
😂😂😂anastasitaki
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 День назад
Akipatwa tukio police mwenzenu ndio mnafanya operation ya kuharas watu.. Na mkiwafikisha kituo cha police mkiona mtu hausiki... Mtu huyo lazima mtoze hela ili kumwachia!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 День назад
Mungu tusaidie mbona matukio yamezidi sanaaaa ya kuuwawa kuna nini hasa Binadamu tumekuwa hatuna hofu ya Mungu
@HasanKisome
@HasanKisome День назад
Hii Media ya Mwananchi Ni Ya Hovyo Sana Haifai Mnaandika Jeshi La Polisi La Taja Chanzo Cha Mauaji ya Watu Watatu Dodoma mnatuwekea Kripu Haitaji Hicho Chanzo Pumbaav sana.
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 День назад
Soma basi vizuri hiyo ni Kiswahili!! Unaimbah!! Duuh
@jacksongeorge3964
@jacksongeorge3964 День назад
Yani sijui anasomaje bana
@jacksongeorge3964
@jacksongeorge3964 День назад
Yani hilo tukio siliewi hata ,mshauuda wenyewe washindwa kujieleze , huyu polisi nae anasoma wala hata simuelewi.,
@rahema1992
@rahema1992 День назад
Yan kama mtt wa darasa la kwanza
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru День назад
Hiyo dodoma mpeni kamanda zuberi muone moto wake
@RamadhaniSuru
@RamadhaniSuru День назад
Haoneagi yuko sahihi kilawakati anaingiya yeye mwenyewe fronti mojakwamoja
@IbrahimuMollel-d7e
@IbrahimuMollel-d7e День назад
Kwa hyo mgambo ndyo hawajui kusoma
@fredgonga
@fredgonga 21 час назад
Duh!.. Ule muda wa kukaa na mishale na mikuki ndani umewadia
@LAZAROBOMANI-ex6bj
@LAZAROBOMANI-ex6bj День назад
Duuhhh!!!
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th День назад
Askari mzima hata kusoma hajui hivi huwa mnazipatajee hizo kazi looh anasoma kama chekechea
@SelestinaHamis-dw1gs
@SelestinaHamis-dw1gs День назад
Kwann msiwe mnafanya Doria kwenye makazi ya watu
@OctavianiRongino
@OctavianiRongino День назад
Msamee ana kigugumizi nakuongea kwenye mike labda ajazoea msamee uyu nikamanda sio mwanasiasa
@doreenlazaro175
@doreenlazaro175 День назад
Huyu mwanafunzi mwenzangu la saba D
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 День назад
Huyu afande mganga wake yuko vizuri, hafai kua msemaji
@jacksongeorge3964
@jacksongeorge3964 День назад
Poor reading kabisa
@IvanMocha
@IvanMocha День назад
Ni kama ana lafudhi ya kiiraq bhana, haya angeonge mkurya je!?
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 День назад
Msimhukumu afande
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 День назад
Mcgaga 100% wanaongea utafikiri hawana ulimi
@khadijathani9064
@khadijathani9064 День назад
Izo oparation ndo kukamata watu ovyo na kuwapiga au me sijaelewa maana m mungu tuokoe sie waja wako
@MichaelSumila
@MichaelSumila День назад
Serekali yetu haina hasikali polic hawako makini muda wakufanya DORIA wao wako BAR wanalewa mtu akiuwawa wanajifanya wanajua sana kutetea uhalifu
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu День назад
Kumbe ht mm naweza kuwa police anaongea nn hapo
@EmmanuelmadembweMaiko
@EmmanuelmadembweMaiko День назад
Jmn tunaomba wapatikane tuu mana mbaka tumechoka na hao watu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 День назад
Mwandishi mbwa! Anatafuta hela kwa laxima?
@user-po5nz9ls6u
@user-po5nz9ls6u День назад
Uchaguzi wa serekali za mtaa wakati watu wanapotea? Acha huo umandazi.
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 День назад
Tumeyumba kabisa hakuna kitu😂😢😢😢😢mambo si shwali tujilinde wananchi jamani hawa ndio warinzi wetu hata kujiereza tu mtihani😂
@kasongosaid2577
@kasongosaid2577 День назад
Cjawahi kumuelewa hyu afande wa kimburu
@rahema1992
@rahema1992 День назад
Weeeeeeee kasongo kwahy cc wamburu hatujui kusoma
@PendoPatrick-eo5ej
@PendoPatrick-eo5ej День назад
​@@rahema1992Sasa huoni huyu afande anasoma nn hapo
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 День назад
Afande unashindwa na mwanangu kusoma daah😢😢😢😢
@queenlisapherooz7321
@queenlisapherooz7321 День назад
Nikajua ni mm tu ndio nimeon kwamb hajui kusom duh au hadi avae miwani
@HusnaMtitiko-yt4ru
@HusnaMtitiko-yt4ru День назад
Sikiliza vizuri kuna watu wengi tu huwa wanaongea hivyo kwa kunasa nasa na siyo kupenda kwake ndivyo alivyozawaliwa
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu День назад
Afande sikuelewi mwambie uyo wa nyuma yako atusomee basi.
@wilsonletiet7852
@wilsonletiet7852 День назад
mbona huyo afande anangatangata ulimi akiongea, km vile hajiamini kwa anachokiongea?
@abednego3876
@abednego3876 День назад
Hawa ndo wa2 wanateuliwa na mama bwn 😂.
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 День назад
Huwezi amini sijaelewa chochote nlikuwa nahesabu hizo nyota huko mabegani mbona huyo mwingine hana
@jacksongeorge3964
@jacksongeorge3964 День назад
Yani hili tukio silielewe kwasababu Afande hajui hata kujielezea, nimeona video ingine ya shuhuda...nae pia hajui kujialezea anaenda Mbele nyuma nyuma mbele...
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk День назад
Shida kitokujali kwa serikali Utekaji kuhusika kwa jeshi lenu kunachochea uhalifu nchi nzima
@AhaziNelson-t1i
@AhaziNelson-t1i 16 часов назад
Ha ha ha! uimanyire miekenye?
@DeusNkunga
@DeusNkunga День назад
Is Kiswahili your native language?
Далее
MKE ALIMKIMBIA KISA UMASIKINI, AKAWA BILIONEA
13:42
Просмотров 56 тыс.