Тёмный

JFUNZE KUENDESHA GARI AINA YA SCANIA R420 KUPTIA SIMU YAKO 

MAYO ONLINE
Подписаться 2,8 тыс.
Просмотров 41 тыс.
50% 1

#TANZANIA #subscribe

Опубликовано:

 

30 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 9 дней назад
Tofautisha kati ya kuelekeza na kufundisha mkuuu unafanya jambo ZURI ila maelezo Yako hayajitoshelezi
@donaldelias6689
@donaldelias6689 2 года назад
Daaaa ndoto zangu kubwa nikua dereva wa hizo gari kubwa.mungu anisaidie
@alfredibrahim7085
@alfredibrahim7085 8 месяцев назад
Temperature gauge unaita mzunguko wa maji na hiyo engine rotation siyo jinsi ya kubadili gia dereva anajitahidi lkn dash board inamzingua
@neemagk7707
@neemagk7707 3 года назад
Nimeonaaa uko vzr
@mzogatz629
@mzogatz629 3 года назад
Napenda sana kujua kuendesha magar marefu
@mayoonline7446
@mayoonline7446 3 года назад
Soon good epsod zaja usiwaze boss wng
@fatmabahero3971
@fatmabahero3971 2 года назад
Unanikoshaaa 🔥🔥🔥✅
@mayoonline7446
@mayoonline7446 2 года назад
Ur welcome
@christinamdalingwa9361
@christinamdalingwa9361 Год назад
Mh Asante jaman
@zabronchilimba8210
@zabronchilimba8210 Год назад
Gari ya gia 12ukimaliza gia mpaka ya 12 kurudi unaazaje hadi unamaliza
@victorngingo9510
@victorngingo9510 2 года назад
Safi xan wazee
@user-gy7sq4df5f
@user-gy7sq4df5f Год назад
Poaa
@jivaajivaa4697
@jivaajivaa4697 2 года назад
🙌
@frankmeney3296
@frankmeney3296 3 года назад
Chenga tupu
@mayoonline7446
@mayoonline7446 3 года назад
Wap hujavutiwa boss wng
@jacksonswai3498
@jacksonswai3498 Год назад
Hajui chochote huyo mbona madereva tupo wengi tuliosomea na wazoefu tena tunauwezo wa kuchambua gari ya aina yoyote hadi ukaona kama kuendesha gari ni kama kula ugali tuu
@shadrackkassale2968
@shadrackkassale2968 Год назад
Hajui chochote nn sasa acha matambo mdogo wangu acha kukosa wakati wewe mwenyewe hamna kitu
@kivuliahmad467
@kivuliahmad467 2 года назад
Jamaa haju gauge zinaitwaje
@mayoonline7446
@mayoonline7446 2 года назад
Huyu interview tulifanya nae tu cz dereva tulimkosa
@dieselsolution
@dieselsolution 2 года назад
Broo kabla ya kurafuta dereva wa kuelekeza gari RU-vid hakukisha ni dereva kweli na sio mbabaishaji maana hata rpm haijui,temperature gauge hujui n.k
@mayoonline7446
@mayoonline7446 2 года назад
Ni kwel huyu ni tingo tu cz dereva tulimkosa
@mrsam9114
@mrsam9114 Год назад
Mm natak nijifunz kuendesha n napenda San sasa utanisaidia vp
@mboyatadei6315
@mboyatadei6315 Год назад
Hiyo unayemhoji kuelekeza jinsi ya kuendesha scania R420. hajui anachokifanya. Anakuangusha.
@godfreymtove4896
@godfreymtove4896 3 года назад
Huyo jamaa haijui vizur hiyo gari, toka lini herufi R imaanishe Automatic!!?? Na herufi A je ita maanisha nn Kwenye magari??! Pia hiyo gari haina pedel ya clutch, pedel ya break ndio imeunga nishwa na mfumo wa clutch. Na mshauri afungue you tube ajifunze kupitia kampuni zilizotengeneza hayo magari, asije kuharibu bure!
@mayoonline7446
@mayoonline7446 3 года назад
Shukhran sana kiongoz
@jumannekhalifa7761
@jumannekhalifa7761 2 года назад
Siku ukiwa dereva wa magari makubwa utaelewa clutch kwa gali kubwa ipo tena nyingi sana na ndokaziake kuondokea na inatumika zai gari ikiwa kwenye jamu sehemu pa kugeuza kwa shida lazima itumike na ipo usiyifananishe na NOA mjomba uwe muerewa
@christinamdalingwa9361
@christinamdalingwa9361 Год назад
Unajua mwenye nimeshanga R auto mh nimepatakigugumz Asante miuu
@mkawelaismaily4920
@mkawelaismaily4920 2 года назад
Nagitajigufudishwa
@sumayyasaidi5834
@sumayyasaidi5834 2 года назад
oy me ndg yko naxhda na no yk 2ongee
@minhopa2786
@minhopa2786 3 года назад
Nkbl wazee wakzi sas mim bwan izo scania auto nazigonga vizur san ila sida inapo kuja bwan kwenye kulid nyum kuna vtu vina nichanganyak
@masudijanken840
@masudijanken840 2 года назад
Inakuchanganyaje kaka
@mackmilannanyaro7575
@mackmilannanyaro7575 2 года назад
Tunapataje mawasiliano
@mangalilikilawe6788
@mangalilikilawe6788 3 года назад
Huyo tanboy hajui gari anabwabwaja tu hajui hata kazi ya temperature anasema ni maji wakati nijoto inamana temperature inaweza kupanda kama feni lisipo fanya kazi hatakama gari ina maji
@masudijanken840
@masudijanken840 2 года назад
Dah nitaiboresha ili watu wajifunze vzr
@stanleykabuko7490
@stanleykabuko7490 2 года назад
kabisa mkuu
Далее
JIFUNZE JINSI YA KUSOMA DASHBOARD YA HOWO 336
9:29
Просмотров 9 тыс.
DEREVA MKONGWE AZIPANGA GIA   CHEKI PAKA MWISHO
4:48
Просмотров 33 тыс.
UCHAMBUZI WA MITIHANI YA UDEREVA
7:49
Просмотров 22 тыс.
JINSI YA KUENDESHA GARI WAKATI WA MVUA
15:10
Просмотров 3,8 тыс.
Scania inapopata dereva anaejua kuipangilia gear.
2:18
Axor 2543 Mercedes truck auto and manual drive
8:11
Просмотров 72 тыс.