Тёмный
No video :(

Jicho la Tatu - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani 

Ukombozi Choir
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 1,1 млн
50% 1

Jicho la Tatu kutoka Kwaya ya Msasani KKKT iliwekwa wakfu na kuzinduliwa tarehe 8 Desemba, 2019

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 488   
@user-dz2xr9bc6g
@user-dz2xr9bc6g 5 месяцев назад
Kama bado unaskiliza wimbo huu mpka 2024 gonga like apa❤
@nerryabel7512
@nerryabel7512 3 месяца назад
Naangalia hii nyimbo may 2024,sifa na utukufu ni kwa Mungu wetu 🙏
@upendoeliud6053
@upendoeliud6053 2 года назад
Inabidi niushike huu wimbo wote, nisala nzito sana nilikuwa sijausikiliza vizuri❤ alie andika huu wimbo Mungu azidi kumuinua, Juu.🙌
@MusaMseti
@MusaMseti Год назад
Jicho la tatu
@bxqueez5729
@bxqueez5729 Год назад
2023 tunaousikiliza huu ujumbee gonga like hapa twende kaziii
@cupcandymushi9126
@cupcandymushi9126 2 месяца назад
2024❤❤❤
@matildachibuga
@matildachibuga 6 месяцев назад
Good song be blessed more ❤❤
@jaclinemoshi9851
@jaclinemoshi9851 2 года назад
Raise up your hand if your in love with this song like me💯❤
@lameckmutemi2858
@lameckmutemi2858 3 года назад
Gonga like 2021 tunaozidi kusikiliza huu wimbo
@user-sb5mc3pf6j
@user-sb5mc3pf6j Год назад
Huu wimbo nakupenda Sana naomba kila wakat ad watoto nao wameushika nawakuta wanaimba huku wanacheza God bless them all
@elizabethmanase1227
@elizabethmanase1227 4 года назад
Jaman natamani huu wimbo uwe na mamilioni ya watu katika views coz huu wimbo ni mzuri mno na unabariki hasa cc vijana tumesha potea sana😎😗😗😗
@quickyupdates880
@quickyupdates880 3 года назад
Nimebarikiwa sana na wimbo huu kweli mungu anipe jicho la tatu
@freackyworldwide5488
@freackyworldwide5488 3 года назад
Nawapenda mnoooo yan sanaaaaaaa
@samedward4211
@samedward4211 4 года назад
Nimewasikia leo clouds radio..Nimewapensa sana.. Siku hizi Kwaya zetu zinakua kimtazamo hasa kwa nyakati hizi tunahitaji kumkaribia Yesu namna hii.. Abarikiwe mtunzi wa wimbo.. Mbarikiwe waimbaji . Yesu asifiwe.
@evaristngurukizi3033
@evaristngurukizi3033 3 года назад
Huu wimbo naupenda kuusikiliza wakati wote. Bwana Yesu asifiwe.
@Leecii5
@Leecii5 4 года назад
Yaani hyu mkaka anayeimbisha anaweza kkufanya ukaimba kwaya bila kupenda🥰!!! Me nampendaaa jmani❤️
@neemakizigha6717
@neemakizigha6717 4 года назад
Mungu awabariki sana naawatie nguvu
@bettyephraim3429
@bettyephraim3429 3 года назад
Yaani naurudia sichoki jamani jicho l tatu
@marselinakinyagha8284
@marselinakinyagha8284 3 года назад
Truth
@estermillanzi
@estermillanzi 10 месяцев назад
🎉 naupenda sana huu wimbo❤ na pia nabarikiwa sana ninapousikiliza MUNGU awabariki wote
@mackiewilfredmguhi5859
@mackiewilfredmguhi5859 2 месяца назад
Naangalia jinsi ya kuileta hii Kwaya Songea mwezi Septemba 2024 nina jambo langu.
@SelinaPaschal-vq2iy
@SelinaPaschal-vq2iy Год назад
2023 still watching
@maymsigala8355
@maymsigala8355 4 года назад
Mbarikiwe sana, leo hii ndo nimewaona kwa mara ya kwanza via Upendo TV. MUNGU azidi kuwabariki na kuwainua. Mnaimba ujumbe mzuri, mko smart na mnaimba mkifurahia. Viwango viongezeke zaidi, na mzidi kutofautishwa. YESU awe Kiongozi wenu na kuishi maisha ya Utakatifu ili mzidi kumuimbia MUNGU mpaka mwisho.
@user-ip6ls5ly9n
@user-ip6ls5ly9n 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤❤ jicho la tatu mungu atufanyie vitu katk jicho la tatu ambalo hatulion
@lilianamos7328
@lilianamos7328 Год назад
Mumenibalik cn mung awap wepes wa Kaz yn 🙏🙏🙏
@BabaEliTV
@BabaEliTV 2 года назад
An inspiration song to all Kenyans wakati huu wa uchaguzi, we make sober decisions in choosing our Leaders..Amen
@judithmasinga5190
@judithmasinga5190 Год назад
Hii inaleta maana ya kufanya kazi na mwenye kazi
@korogwepharmacy9323
@korogwepharmacy9323 9 месяцев назад
​@@judithmasinga5190❤
@dynesdaud564
@dynesdaud564 Год назад
Mwenyezi mungu nipe jicho la tatu
@evelinaluvata1471
@evelinaluvata1471 2 года назад
2022 I'm still here ❤️
@MagrethMpuno-no9rw
@MagrethMpuno-no9rw 7 месяцев назад
Mungu awabariki sana Kwa ujumbe mwema Kwa njia ya uimbaji
@SuperSamboh
@SuperSamboh Год назад
Mko vizuri, utunzi,kumtukuvmza Mungu, classic
@wilfredmremi8274
@wilfredmremi8274 4 года назад
Nafarijika mno mno nisikiapo hizi sauti Mungu azidi kuwatumia katika huduma ya kulitangaza Neno lake kwa njia ya Nyimbo Barikiwa mno mno watumishi wa Mungu
@christophermanko5670
@christophermanko5670 7 месяцев назад
Mnanibariki Sanaa Mungu awabariki Sanaa jmn!!!
@ruthmuna1264
@ruthmuna1264 2 года назад
Munguuu kweli atusaidie tuone yaliyo mbele yetu jaman nmebarikiwa saaaana Mungu awainue
@rosenyenyembe4698
@rosenyenyembe4698 3 года назад
Yesu Kristo naomba jicho la tatu
@neemamadimilo4479
@neemamadimilo4479 3 месяца назад
Wimbo ni mzuri sana, nabarikiwa nao sana, Mungu awabariki sana waimbaji wote na watunzi
@AngellaJoshua
@AngellaJoshua 3 месяца назад
Mbarikiwe watumishi wa bwana wimbo mzuriii mnoooo😊 nabarikiwa sana kupitiwa huu wimbo.
@annajephta1584
@annajephta1584 4 года назад
Nimeupenda sana huu wimbo kweli Mungu atupe jicho la tatu Mungu awabariki sana kwaya ya ukombozi k kkt msasani
@happymjora3352
@happymjora3352 3 года назад
Jamani nipewe namm jicho la tatuu
@yudambowe8916
@yudambowe8916 Год назад
Ninafarijika sana nikisikiliza huu wimbo Mungu azidi kuwabariki nyote
@user-ez4no2sk4o
@user-ez4no2sk4o 5 месяцев назад
Wimbo huu hunipa utuliv ndani ya moyo wangu🙏🙏
@janethleonard6697
@janethleonard6697 Год назад
Jaman huu wimbo naupenda mnoo na Kila nikiusikiliza hata kama nilikuwa na msongo wa mawazo nakua na aman kupitia maneno yaliyonenwa humu ndan alikiwe sana mwandishi 🙏🙏
@theodorymfuse4220
@theodorymfuse4220 Год назад
Aminaaaaa kubwa na mungu awabariki
@neywilly9817
@neywilly9817 3 года назад
Huu ni wimbo wa Familia yangu kila mmoja anaupenda na kuimba even my 3yrs son Mungu awabariki, ambariki mtunzi na aliyepata haya mafunuo.kwa siku 2mfululizo nausikiliza na umebaki moyoni mwangu.More Annointing to you Mkombozi Choir.
@pispaakim5123
@pispaakim5123 3 года назад
Kwa kweli huu wimbo umenisogeza mahali Fulani Mungu awabariki sana
@dickosngassomi4217
@dickosngassomi4217 3 года назад
zinatutengeneza.sana kiimani aiseee
@joyceelia8552
@joyceelia8552 3 года назад
Huu wimbo unanipa matumain katk majarb ambay napitia
@prosperipyana1650
@prosperipyana1650 4 года назад
Jicho la 3. Siuchoki narudia kila muda kuangalia mbarikiwe sanaaa
@jescacharles718
@jescacharles718 4 года назад
Bonge la ujumbe
@neemamaisely308
@neemamaisely308 4 года назад
Huu wimbo sijawahi kuuchoka kiukweli Mungu wa mbinguni awabariki sana sana sana kazi yenu ni njema mnoo
@mangowiloveness443
@mangowiloveness443 Год назад
Mungu awabariki sana kwa sala hii ina ukweli ndani yake
@agneskoku1635
@agneskoku1635 2 года назад
Yesu naomba Jicho la Tatu ni wajue watesi wangu wote Zaidi ya hawa ninao waona Ili niweze kuwashukuru,
@evelynemhina76
@evelynemhina76 4 года назад
Eeeh uyu dada anaeimba mungu naomba jicho la tatu ananikoshaaaaa
@richardshembilu3292
@richardshembilu3292 6 месяцев назад
Huyu dada wa solo naomba namba zake
@user-mx3zl4mc9r
@user-mx3zl4mc9r Год назад
mungu awabariki sana tena sana kwa huu ujumbe
@beatriceyosia1459
@beatriceyosia1459 Месяц назад
Huu wimbo unanihusuu kama vile nliwasimulia hostiria ya maisha yangu, kisha wao kutoa wimbo, asanten sana nimepata nguvu ya kuzid kuomba zaid jicho la tatu.
@aghatamaziku6173
@aghatamaziku6173 9 месяцев назад
Yaan kila mtu ndani kwangu anaimba wimbo huu...Mungu awabariki sana❤
@MerYEdga
@MerYEdga 10 месяцев назад
Amina sifa Kwa mungu wetu
@furahinikisapi9987
@furahinikisapi9987 4 года назад
Huu wimbo ,,,,,,!!! Sina neno zaid ya kumuomba Mungu jicho La tatu.mbarikiwe mnoooooooo
@hidayamakunga8715
@hidayamakunga8715 3 года назад
Amen! Wabarikiwe sana
@MagrethMpuno-no9rw
@MagrethMpuno-no9rw Год назад
Amina mungu azidi kuwabariki mtumike vema tumebarikiwa sana na mungu kupitia wimbo huu
@marselinadena7618
@marselinadena7618 3 года назад
Jicho la tatu. Nimetafakari sana ujumbe wa huu wimbo kwakweli aliyetunga Roho wa Mungu alimuongoza. Unapoomba jicho la tatu pia unatakiwa kuwa jasiri kwasababu sio vyote twaweza kuhimili pale tunavyooneshwa. kuna sehemu Mungu anatuvusha kwa namna ambayo kama tungeona huenda tungevunjika moyo ila Mungu alitubeba na kutuvusha. Asante Mungu
@aliceonesmo9618
@aliceonesmo9618 3 года назад
Hakika
@falijiubamba4155
@falijiubamba4155 2 года назад
Huu wimbo una ujumbe mzurii sanaa
@adenisaac7599
@adenisaac7599 11 месяцев назад
Good song to me Glory to God
@jacklineminja1419
@jacklineminja1419 3 года назад
Aisee huyu dada anasauti... Mpaka nywele zinasisimka... Mungu awainue viwango vya juu zaidi...
@deborahlyelu8292
@deborahlyelu8292 Год назад
Yupi apo nimskie vizur
@UlumbiGundula-cv9su
@UlumbiGundula-cv9su Год назад
Good song god bless you
@user-wm5us4no6y
@user-wm5us4no6y Год назад
Hiiii nyimbo ninzuri mno napenda nikiwa nausikiliza mda wote mbalikiwe
@julianasingo6689
@julianasingo6689 3 месяца назад
Wimbo umenivusha kwenye mengi asnte Mungu mbarikiwe
@catherinekilawila8363
@catherinekilawila8363 3 года назад
Bwana Yesu awatunze nmefurahi sana kuwasikia leo KKKT Kinondoni, Upendo endelea kusugua taji lako.👏👏
@brendachibura6040
@brendachibura6040 3 года назад
Jmn huyu kaka kanifanya nicheze kazini nusu kibarua kiingie moto Mungu awabariki sana🙏
@brysonmsuya3097
@brysonmsuya3097 4 года назад
Hongereni sana kwa wimbo mzuri sana Mungu azidi kuwabariki mkaendelee kuitenda kazi yake ya kuhubiri kwa njia ya nyimbo kwa nguvu na akili zenu zote.
@ev.nicksonkuyenga6900
@ev.nicksonkuyenga6900 4 года назад
Hongereni sana Vijana wetu. Mmetutoa kimaso maso wakristo. Tunamtukuza Mungu kwaajili yenu.💥
@josephanthony5952
@josephanthony5952 4 года назад
Barikiwa
@getrudapoul385
@getrudapoul385 3 года назад
Nyimbo hii inanikumbusha mbali Sana
@allanmuhutila4909
@allanmuhutila4909 3 года назад
mungu naomba unipe jicho la tatu kupitia wimbo huu na barikiwa sana nikiwa chuoni
@faustinaalphonce3141
@faustinaalphonce3141 4 года назад
Nimebarikiwa na ii nyimbo sana...Mwenyezi Mungu awabariki sana
@salustianmlingi4716
@salustianmlingi4716 4 года назад
Kwaya mubarikiwe sana najifunza sana na kufunguka kiroho kupitia wimbo huu, jicho la tatu ni la muhimu nahitaji kuona Ewe Mungu tusaidie
@HildaObeto
@HildaObeto 11 месяцев назад
Ameen nikweli nisala kubwaa sana mtumishi
@elctelvdnyakatohospital5602
@elctelvdnyakatohospital5602 2 месяца назад
Nabarikiwa saana kupitia huu wimbo
@shaluamagandi2184
@shaluamagandi2184 Год назад
Melodious voice, So touched. GOD BLESS YOU WATUMISHI❤
@jemimahaloyce3668
@jemimahaloyce3668 4 года назад
Ndio nyimbo yangu kila niamkapo, mungu awabariki sana nyimbo nzuri imenibariki.
@dynesanyimike5655
@dynesanyimike5655 2 года назад
Vhv Vgg
@irenemaganga9831
@irenemaganga9831 2 года назад
Mungu naomba jicho la tatu niweze kuona mengine zaidi haya ninayo yaona amen
@thenestory1077
@thenestory1077 4 дня назад
Huyu dada solo ❤❤❤
@mercyrotich4484
@mercyrotich4484 Год назад
Wonderful song...watching it in 2023
@franksamike174
@franksamike174 4 года назад
Ni hakika tunahitaji sana jicho la tatu ili tuweze kutembea katika njia impasayo kumpendeza Bwana Yesu. wimbo mzuri Mungu wawabariki
@veronicaipimilo3923
@veronicaipimilo3923 3 года назад
Jicho LA tatu,,,,,, mbarikiwe sana MUNGU awatumie ktk viwango vya juu zaid
@amidasinzoyiheba473
@amidasinzoyiheba473 4 года назад
Naomba jicho la tatu Yesu wangu nisije nikangukia Kwenye Shimo mbele yangu🙏
@aminathatwahir8462
@aminathatwahir8462 3 года назад
Mbarikiwe sana kuwa mawakili wazuri wa Yesu kristo, wimbo una ujumbe mzuri sana kwa safari yetu ya wokovu. Pia nawapongeza mmevaa kiheshima. Mbarikiwe
@joycekyamba2634
@joycekyamba2634 3 года назад
Haleluya mungunaomba unipe jicholatatu 🙏🙏🙏
@neysteven4733
@neysteven4733 4 года назад
Nnaupenda san huu wimboña unanibarik san pongez kwen sichok kuusikiliza leo nmeangalia kutwa nzima
@aimanathomas7752
@aimanathomas7752 4 года назад
Mbarikiwe wapendwa
@dorcahogeto1544
@dorcahogeto1544 4 года назад
Hata mimi nalitaka jicho la tatu.....can't wait to introduce this song to my church in the village who love your songs
@dorcaskinyangadzi5093
@dorcaskinyangadzi5093 4 года назад
Kwa mara ya kwanza huu wimbo nilipousikia upendo tv ukanibariki sana,🙏🏼 powerful song
@lukumaypendaeli1501
@lukumaypendaeli1501 4 года назад
Amen mbarikiwe jaman nabarikiw sana na huu wimbo jaman kwa jicho la tatu mimi ningeweza kuona mengi zaidi mbele yangu
@juliuskalawa7860
@juliuskalawa7860 3 года назад
Mungu naomba jicho la tatu, jicho la rohoni, ama kwa hakika wimbo huu umenigusa sana 🙏🙏🙏Ahsante Mungu🙏🙏🙏
@christinangure6825
@christinangure6825 4 года назад
Nimeipenda ujumbe mzuri Mungu awakuze katika uimbaji wenu
@JacklineNkya-s3l
@JacklineNkya-s3l 23 дня назад
Naupenda sana Tena sana❤
@scholajames2078
@scholajames2078 4 года назад
Wimbo mzuri Sana mungu anipe jicho la tatu Kuna mengi yamejificha ndani yangu
@joycekyamba2634
@joycekyamba2634 3 года назад
Nione mengine kupitia jicholatatu🙏🙏
@christinapaul1859
@christinapaul1859 2 года назад
Mzur sana unanibarik maneno saut daaah
@wiza2309
@wiza2309 3 года назад
Wabarikkwe watunzi na waimbaji, nausikiliza huu wimbo sichoki, Neema ya Mungu iwe juu yao
@user-xe1gx5tn7l
@user-xe1gx5tn7l 8 месяцев назад
AMEN MBARIKIWE SANA
@matildaramadhani1647
@matildaramadhani1647 3 года назад
Mungu naomba jicho la tatu aibooooo ozaaa
@jasminealvine3962
@jasminealvine3962 Год назад
Mungu awazidishie ilo jicho la tatu kwaajili ya kaz yake
@lippinesshaule2334
@lippinesshaule2334 4 года назад
Kwakweli mungu anipe jicho latatu kwahaya majaribu ninayopitia nimefarijika mno
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 Год назад
Mungu wangu wewe ni mwema siku zote.Asanteni waimbaji kwa ujumbe huu.
@braymwela9958
@braymwela9958 4 года назад
Mungu awabariki sana,,,Mungu tunahitaji jicho la tatu ili kumshinda shetani
@anethrogasian-es8zz
@anethrogasian-es8zz Год назад
Wimbo wangu tokea 2019 tafakari nzur Sana hii mtunzi hongera
@hildangowi1799
@hildangowi1799 Месяц назад
2024 still here❤
@tinielmmbaga8261
@tinielmmbaga8261 4 года назад
Mungu naomba jicho la tatu nione mengi zaidi ya haya yaliyojificha
@mariamupessa720
@mariamupessa720 2 года назад
Mungu awabalik kwahudum nzuli ya mungu
@elangwa2707
@elangwa2707 4 года назад
Wimbo mzuri sana na una ujumbe mzuri sana, yaani sichoki kuuangalia
@matildaramadhan1122
@matildaramadhan1122 3 года назад
Barikiwa San kaka
@labilyanga5549
@labilyanga5549 3 года назад
@@matildaramadhan1122 barikiwa mnoo
@ceciliansemiwe8188
@ceciliansemiwe8188 4 года назад
Nimebarikiwa na wimbo huu hakika nahitaji jicho la tatu. Mbarikiwe sana Ukombozi kwaya
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 4 года назад
Wimbo mzuri sana Mungu naomba jicho la tatu katika Jina la Yesu kritso
@asimwedeus2419
@asimwedeus2419 3 года назад
Yani mnashawishi kwakweli nachelewa kulala nakuwa bsy na huu wimbo naupenda saana niamkapo nikisikiliza huu wimbo nabarikiwa siku mzima kiukweli mnashawishi watu tuingiie kwaya jmn msasani nawapenda saaana mungu awainue zaid kwa viwango vingine jamn hakika mmeimba na mungu awabariki saaana💪🙏🙏🙏
@danieltanganyika7092
@danieltanganyika7092 4 года назад
Kkkt msasani mnanibariki sana mnaimba mpaka raha
@glorymbulu4645
@glorymbulu4645 3 года назад
Kiukweli hyu dada aliyesollo beti la tatu katuhalibia wimbo kabisa hajui kabisa bora tu wangesollo tu haw wawili! kiukweli wanautendea haki san mungu azindi kuwainua zaindi nitakuja kuwatembelea kanisani kwenu nawapenda mmeimba vizuri👏👏👏👏
@evasempita1144
@evasempita1144 3 года назад
Hongera.sana.mko.vizuri.sana.l.love.the.song
@janethkanyenda1071
@janethkanyenda1071 2 года назад
My all time song
@zacchaeusmirera5492
@zacchaeusmirera5492 4 года назад
Mungu naomba jicho la tatu niweshe kuona mbele
@evansmushi9494
@evansmushi9494 3 года назад
Mungu awabariki kwa sauti nzuli na nyimbo za mafundisho kulingana na mazingira ya maisha,,,naomba mnisaidie kupata mawasiliano ya mtunzi /mwalimu wa kwaya yenu
@dorcasmasawe3712
@dorcasmasawe3712 4 года назад
Nabarikiwa sanaaa yani najisikia amni sana mbarikiwe sana mfike mbali
@rebekanjiku7638
@rebekanjiku7638 4 года назад
Asanteni sana wimbo mzuri!Mbarikiwe
Далее
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
Unibariki - Kwaya ya Ukombozi KKKT Msasani
8:29
Просмотров 158 тыс.
MUNGU YU UPANDE WETU
6:23
Просмотров 3,4 тыс.